retroviridae
Member
- Apr 9, 2015
- 47
- 19
Ivi why do people hate America or west in general?
Ivi why do people hate America or west in general?
With due respect, mkuu umeandika kama una reference ya stori za vijiweni. You still have a lot yo learn mkuu

Mataifa yenye kutawala mwenye sekta ya anga dunia na ndege za abiria.
Boeing,
RR -Rolls Royce's hawa kwenye engine bora,
Airbus ya ufaransa.
BOEING ikiwa ndio kinara. Sasa sijajua Russia wanauzia wapi hizo.ndege zao...?!
Unachekesha sana. Hivi Airbus zinatengenezwa wapi? Hii ndege mrusi anamuuzia nani?
Xorry naomba unielezee jinsi America na washirika wake walivo husika katika kuanzisha mgogoro?? ..
bcz kwa mie nilivokua naona kwenye news ni kwamba mgogoro umeanzia pale Yule former president alipokataa kujiunga na European Union (EU)
Huoni tatizo lilikua humoumo ndani ambapo kulikua na pande mbili zinapingana?
ambapo moja ilitaka president aiunganishe nchi yao na Europe ( majority of em are Real Ukrainians)
Na upande wapili walikua (pro- russians/,Russian speaking people) ambapo walianza upinzani baada ya president anaesupport Ukraine kuangalia upande wa russia kung'olewa madarakani
Na Russia ikachukulia advantage kuchukua Crimea kibabe...jambo ambalo likafanya West waingilie Kati??
...Maziku hebu nielezee hapo....
Mkuu, umeuliza alafu umejijibu. Jinsi amerika na washirika wake walivyoingilia mgogoro wa ukraine teh teh teh
Unajua mie ckumwelewa huyo maziku ...ye anasema kuna mkono wa USA na washirika wake katika kuanzisha vurugu uko Ukraine wakati mi nilivoona ni kwamba Russia ndo alisababisha USA aingilie Kati kwa kuchukua Crimea
Huoni kwamba Russia ndo sababu..??
I feel lyk chuki zao 2 kwa USA

marekani ilikua na mkono wake katika kumpindua rais wa ukraine aliechaguliwa kwa kura.na hii ilikua ni baada ya kuona huyo rais anasita kujiunga na NATO.
LENGO la marekani ilikua ni kupachika kibaraka wao ambae baadae angejiunga na umoja wa ulaya na pia NATO.
Kisha angekataa kurenew ukodishaji wa russia wa eneo la crimea ambako kuna kambi ya jeshi la majini la russia.
hiyo sehemu iko very strategic kwa russia na hivyo hawangekubali iangukie kwa marekani

Urusi wanatengeneza ndege za saizi ya kati (abiria 100), Sukhoi Superjet 100, washindani wake siyo USA bali Kanada (bombardier) na Brazil (embraer).
View attachment 253692
View attachment 253693
Meet the Superjet 100 (in triumphant rendering form)¡ªthe newest entrant into the sub-100 passenger regional jet arena. This one's notable, however, for being the first new passenger jet designed and built in Russia since the fall of the Soviet Union.
source: scac.ru
Hii conspiracy
kuna jamaa anaitwa macain ndo alikwenda ukraine kuchochea mapinduzi,nikipata link ntaweka