USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

sasa unataka ushahidi upi zaidi ya aliotoa?,ameweka hadi mabaki ya ndege,hadi pilot alieponea chupuchupu.............
au ulitaka video?.....ha ha ha,kipindi hicho hapakua na smartphone kwamba kila mtu anaweza capture tukio na kuliweka utube

Mabaki ya ndege si ushahidi na pilot si ushahidi kwamba hiyo ndege kweli ilitunguliwa.

Inawezekana kabisa ilipatwa na hitilafu halafu ikaanguka katika eneo la adui, jambo ambalo ni kawaida kabisa katika uwanja wa vita.
 
Kwani ndege huwa hazipatwi na technical malfunctions na kuanguka?

Unajua NATO/ Wamarekani walirusha sorties ngapi kwenye hiyo bombing ya 1999?

Unadai wangu ni ugonjwa wa kupenda. Na wenu tuuiteje? Ugonjwa wa kuchukia?

Acheni hizo nyinyi.

lakini si umeona mpaka pilot kamtafuta aliyemtungua?,kama ingekua tatizo la ufundi angemtafuta kweli?
 
Yaani mpaka Pilot kaja kutoa pongezi bado unaabisha duh sasa sijui ulikuwa unataka ushahdi gani tena.

Kwani ndege huwa hazipatwi na technical malfunctions na kuanguka?

Unajua NATO/ Wamarekani walirusha sorties ngapi kwenye hiyo bombing ya 1999?

Unadai wangu ni ugonjwa wa kupenda. Na wenu tuuiteje? Ugonjwa wa kuchukia?

Acheni hizo nyinyi.
 
lakini si umeona mpaka pilot kamtafuta aliyemtungua?,kama ingekua tatizo la ufundi angemtafuta kweli?

Kamtafuta wapi? Na kamjuaje kuwa huyo ndo aliyemtungua?

Mapicha yamekuwa photoshoped na nyie mnayaamini mazima....pathetic little souls.
 
Kamtafuta wapi? Na kamjuaje kuwa huyo ndo aliyemtungua?

Mapicha yamekuwa photoshoped na nyie mnayaamini mazima......

Kwa ujanja ulionao nadhani unaweza kutumia utaalamu wa kudhibitisha kuwa hiyo ni 'photoshopping'. Lakini kwa kuwa wewe una 'allergy' ya kutoa ushahidi, pia sitashangaa utakapoanza kuchambua uumbaji wa sentensi kwa kuangalia vivumishi na wenzake...!
 
mkuu nyani ngabu, mimi sikuwa na nia ya kujibu hili swali lako la kutunguliwa kwa hii ndege ya f-117 ambayo ni familia moja na b-2.

f-117_nighthawk_front.jpg
​

sikutaka kujibu kwa sababu nilishatoa ufafanuzi kuhusu kutunguliwa kwa ndege nyingine ya b-52 huko vietnam nikajua kuwa utakuwa umepata jibu.
lakini naona bado unazidi kuwaambia watu humu walete ushahidi kuwa ilitunguliwa!

b-2_spirit_original.jpg


najua sababu ni moja nayo ni kuwa hii ndege ni very advanced compare to other planes as inatumia stealth tech na kimsingi ndege za stealth ni vigumu kuzitungua so huwezi kuzifananisha na kama b-52.

Lakini hata hii pia ya stealth yaani whether ni f-117 au ni b-2 bado ni familia ile ile na kama wadau wanavyosema hapa ndani ni kuwa imeshawahi kutunguliwa tena na nchi ambayo haikuwa na tech advanced ya modern weapons as walitumia antiaircraft za mrusi za zamani kabisa!

Anyway, kuhusu tukio hili la kutunguliwa kwa ndege ya marekani aina ya lockheed f-117 nighthawk katika anga la nchi ya serbia karibu na sehemu moja inaitwa buđanovci katika nchi ya yugoslavia federal republic mnamo tarehe 27 march 1999.

Hii ndege ya aina f-177 ni single-seat, twin-engine stealth attack aircraft ambayo ilikuwa developed na kampuni ya lockheed's kupitia secretive skunk works division na ilikuwa inaoperate by the united states air force (usaf).

suala kubwa hapa la kujiuliza ni kwa nini kila mara watu wanapoongelea kuhusu kutunguliwa kwa ndege watu huwa wanakumbushia tukio la kutunguliwa hii ndege? (the f-117).

Hii ni kwa sababu inaaminiwa kuwa hii ndege ndio ndege ni operational aircraft ya kwanza duniani ambayo was the first to be designed around stealth technology! (ikiwa na maana kuwa haiwezi kuonekana kwenye rada).

Maana yake ni kuwa yenyewe inaweza ku-operate katika anga ya adui bila ya adui kui-detect zaidi tu san asana atajikuta ameshambuliwa n ahata bila ya eye kugundua kuwa ndege iliyomshambulia ipo wapi!. Therefore kimsingi kwa sababu ndege hii ilikuwa inapita juu sana na ina-operate usiku (basi nyie mtashambuliwa bila ya kujijua mpaka defense zenu zote zinakwisha na mnashindwa vita.

Hii ndege kwa wakati huo ndio ilikuwa ni the most advanced plane kwa upande wa nato na marekani, ilikuwa ni top secret plane na ndio ilikuwa ndege iliyokuwa inategemewa na us.

Na pia kumbuka kuwa ndege zote zilizofuata zinategemea technologia ya kutokuonekana kwenye rada (stealth technology) na ndio maana sasa kila nchi unasikia toleo jipya lao la ndege wanadai ni stealth – iwe us, china or russia.

febnewsd9.jpg
​

article-0-0018c38700000258-530_634x475.jpg
​


habari hii ilikuwepo kwenye cnn mwaka 1999 ikionyesha kuwa serbia wameitungua hiyo ndege.

f-117a-kill-serbia-1999-1s.jpg


800px-f-117_canopy.jpg
​

picha: Canopy of f-117, serial number 82-0806; belgrade aviation museum


800px-s125_neva_250_brpvo_vs%2c_september_01%2c_2012.jpg
​

aina ya makombora ambayo yaliyoiangusha hiyo ndege ya f-117


article-2228637-0018c35700000258-476_634x436.jpg


haya ni mabaki ya sehemu ya ndege hiyo 1999, sasa hivi yapo kwenye jengo la makubusho mjini belgrade
​

article-0-0018c36000000258-230_634x466.jpg



mabaki ya ndege ya marekani high tech iliyotunguliwa serbia 1999​

article-0-0d74ba75000005dc-786_634x286.jpg


mabaki ya ndege ya marekani high tech iliyotunguliwa serbia 1999​

article-0-0018b83800000258-184_634x687.jpg


wanavijiji wakirukaruka juu ya sehemu ya bawa la ndege hiyo ya us aina ya f117 stealth bomber


baada ya miaka 10 kupita
​


article-2228637-15c7c021000005dc-980_634x437.jpg
​

rubani aliekuwa anaiendesha ile ndege ya kisasa anaeitwa dani baadae baada ya vita kuisha alienda kumtafuta yule mtu alieitungua ndege yake na kufanikiwa kumkuta na kumpa hongera maana si kitu cha kawaida kwa kuweza kuitungua ile ndege ya f117 serbia during the kosovo war

article-2228637-15c7cc2a000005dc-755_634x428.jpg
​

zelko and dani baada ya vita walikuja kuwa marafiki, hapa alimpatia sample ya ile ndege yake ya high tech kama ukumbusho kwake


article-2228637-15c7ca51000005dc-774_634x423.jpg
​
watu hawa walikuwa maadui mmoja akiwa upande wa nato (us) akiendesha ndege high tech na mwingine alikuwa ardhini akijitahidi kuzitungua hizo ndege za nato.


cc: bukyanagandi elungata mng'ato extraterrestrial gagnija justdoitnow bongolander tanzanialaw 2013 sodoliki mnyikungu malcom lumumba maziku masunga jr. consigliere chasha poultry farm red giant kimweri aleyn kui ngongo mnyikungu viva89 gautama pter mag3 realman faizafoxy sirchief maswala 1954 nyani ngabu phile1879 kui 2013 the mountain lion phillemon mikael mr ceragem ndahani kimweri red giant yonga bill cosby aleyn bulldog mbulamatali mr. President ze kokuyo chasha poultry farm ngaramtoni pianist gwijimimi dragoon noel 2014 mdau @ retroviridae kadoda11 idawa tujitegemee
mkuu Dotworld wakati mwingine tunajadiliana na watu wasiojua haya mambo hivyo hoja zao zimejikita zaidi katika kubisha na wala si kutoa ushahidi unaojitosheleza, badala yake wamebaki na majibu mafupi mafupi yaliyojaa kila aina ya mshangao, mimi niseme wazi pro us wote waliomo humu ndani hasa MR PRESIDENT na@nyaningabu wameshakiri tayari kuwa technologia ya russia kwa silaha za kivita hasa katika anga iko juu sana kilichobaki ni ubishi wa kitoto tu usio na tija.
Endelea kutoa facts watatuelewa tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mataifa hayo yanapinga silaha kubwa kwa kuhofu zinauzwa kwa maadui zao wa karibu na gharama za kuzidhibiti ni kubwa pia. Kama ilivyo kwa makombora ya nuclear.

Hata China inapinga mauzo ya silaha zA kisasa za USA kwa Taiwan. I think Hivi ni vitu vya kawaida. Ila we we uNA exaggerate situation. Sijaona uzito wa hoja yako.

yaaani mkuu kabisa unadiriki kusema kuwa hujaona uzito wa hoja ya Mtaalam Dotworld...hata baada ya kupitia thread yote hii na yote alioyaongea???
...wabongo tuna matatizo ya asili aisee!!!
si lazima mtu awe shemeji yako ndio umkubali

..(appreciative is one step towards civilization)
 
Kwa ujanja ulionao nadhani unaweza kutumia utaalamu wa kudhibitisha kuwa hiyo ni 'photoshopping'. Lakini kwa kuwa wewe una 'allergy' ya kutoa ushahidi, pia sitashangaa utakapoanza kuchambua uumbaji wa sentensi kwa kuangalia vivumishi na wenzake...!

Na nyie mmebaki kuwa cheerleaders wa dotworld tu.

Shameful.
 
hoja yako wewe haina mashiko!

Hebu tuache central governments kama taiwan & saudia, yemen & others (hili si tatizo sana)

kwa nini us anawapa vikundi vya wanamgambo silaha kubwa kubwa ambao ni vigumu kuvidhibiti?! Hapa naongelea isis na alqaeda?!

angalia
  • afghanistan,
  • libya,
  • syria na kwingineko!
isis-fighters-drive-a-us--009.jpg


isis_armed_us.jpg

yaani imefikia wakati kuwa kama ukigombana na us tu anakuletea alqaeda! - sasa je alqaeda ni askari wa us kwa ajili ya kudi-stabilise nchi ambazo ana ugomvi nao?!

Kumbuka ghadafi alikuwa analalamika kuwa katika wale watu wanaoandamana kuna alqaeda ila watu wakampuuza! - haya sasa leo nani anabisha? - haya ghadafi hayupo je si kweli kuwa alqaeda ndio wamejaa lybia?

macain alishawahi ku-tweet kwenye account yake akijisifia kuwa yupo na "brave fighets wa syria" (alqaeda & isis)

b4_gqcuceaas_ax.png


mccain-isis.jpg

hivyo hivyo us aliwaleta alqaeda na isis syria,

rais wa syria (assad) nae akalalamika kuwa us wamemletea alqaeda watu wakampuuza, tena macain akatoka marekani akaenda mpaka syria akapiga nao picha wale isis akasema atawaletea silaha na pesa pamoja na training!

mccainterrorists.jpg

​

haya yapo wapi? - leo hii hao hao marekani wanalalamika wanarudi tena kuanza kuwashambulia watu wale wale waliowapa silaha!

Ghadafi, asad wote walisema wale ni alqaeda! - sasa ni nani aliwapa silaha, training pamoja na funding alqaeda?! Na isis?! - ni us!

--cc:
@bukyanagandi elungata mng'ato extraterrestrial gagnija justdoitnow bongolander tanzanialaw 2013 sodoliki mnyikungu malcom lumumba maziku masunga jr. consigliere chasha poultry farm red giant kimweri aleyn kui ngongo mnyikungu viva89 gautama pter mag3 realman faizafoxy sirchief maswala 1954 nyani ngabu phile1879 kui 2013 the mountain lion phillemon mikael mr ceragem ndahani kimweri red giant yonga bill cosby aleyn bulldog mbulamatali mr. President ze kokuyo chasha poultry farm ngaramtoni pianist gwijimimi dragoon noel 2014 mdau retroviridae kadoda11 idawa tujitegemee
mkuu@dotworld
watu wengi wanajua kuwa yanayotokea mashariki ya kati ni ukatili wa waarabu wenyewe au kuna utawala wa kimabavu wa watawala wenyewe, lakini ukweli ni kwamba terrorism is a created thing na creator ni usa na ndiye huyo huyo hutumia karata ya ugaidi kuvamia nchi zingine. Wakati mwingine hutumia magaidi kudhoofisha nchi maadui wake, mwanzoni isis walikuwa na base yao uturuki rafiki kipenzi wa marekani walipewa mafunzo na silaha za kivita na usa lengo kubwa ilikuwa ni kuharibu utawala wa syria pamoja na kujipanga kwajili ya kuivamia iran. Hivyo vurugu tunazoziona mashariki ya kati ni kutoka kwa the greatest criminal of the world ambayo ni usa.
 
Kujaza server na mapicha ya kuokoteza wikipedia si kutoa facts wewe.

mimi huo mtanange wa serbia nilikua naucheki live,wakati marekani wamekoleza kuitwanga serbia,mwishoni wanataka kuikamata yote,bana we,wakashitukia vifaru vya mrusi vinaingia serbia bila yao kuwa na tarifa,marekani wakabaki hawajui wafanye nini?,wavitwange vifaru vya mrusi na hivyo kurisk vita na mrusi ama iwe vipi,hatimae mrekani akasitisha vita,nakumbuka ilikua usiku na nilishuhudia live coverage ya CNN ya tukio,kilichoendelea vita vikastop ghafla,mengine sikumbuki kwani imepita miaka mingi
 
Kwani ndege huwa hazipatwi na technical malfunctions na kuanguka?

Unajua NATO/ Wamarekani walirusha sorties ngapi kwenye hiyo bombing ya 1999?
.

"Nyani",
kwanini usiweke vithibitisho vya kuonyesha yale maelezo ya ndege aliyo weka Dotworld siyo kweli?.kwanini huthibitishi "unacho kinena"?.
 
Last edited by a moderator:
mimi huo mtanange wa serbia nilikua naucheki live,wakati marekani wamekoleza kuitwanga serbia,mwishoni wanataka kuikamata yote,bana we,wakashitukia vifaru vya mrusi vinaingia serbia bila yao kuwa na tarifa,marekani wakabaki hawajui wafanye nini?,wavitwange vifaru vya mrusi na hivyo kurisk vita na mrusi ama iwe vipi,hatimae mrekani akasitisha vita,nakumbuka ilikua usiku na nilishuhudia live coverage ya CNN ya tukio,kilichoendelea vita vikastop ghafla,mengine sikumbuki kwani imepita miaka mingi

Acha fiksi wewe. Marekani wala haikutaka kui-occupy Serbia.
 
mimi huo mtanange wa serbia nilikua naucheki live,wakati marekani wamekoleza kuitwanga serbia,mwishoni wanataka kuikamata yote,bana we,wakashitukia vifaru vya mrusi vinaingia serbia bila yao kuwa na tarifa,marekani wakabaki hawajui wafanye nini?,wavitwange vifaru vya mrusi na hivyo kurisk vita na mrusi ama iwe vipi,hatimae mrekani akasitisha vita,nakumbuka ilikua usiku na nilishuhudia live coverage ya CNN ya tukio,kilichoendelea vita vikastop ghafla,mengine sikumbuki kwani imepita miaka mingi

Mkuu .Elungata. hii hapa ni Documentary Mpya ya RT 2014 kilichotokea wakati wa NATO Bombing of Yugoslavia (Serbia)

Eti alafu leo hii EU wameshasahau wanataka kuilazimisha eti Serbia ijiunge EU pamoja na NATO

Serbia haitaki ... alafu wanailaumu! - hivi how about wale watu waliouwawa kutokana na hayo mabomu ya NATO?

​
 
Last edited by a moderator:
Dah...kaka kwani huwezi kuwa concise na to the point?

Saa ingine unanichosha na staili ya uwasilishaji wako.

Licha ya hivyo, nitarudi kukujibu.

Mkuu Nyani Ngabu, DotWorld anacho fanya ni sahihi kabisa - hataki kuacha anystone unturned - anajua akiacha loophole basi mtakuja na nondo zenu kuziziba - ni hilo tu mkuu.

Labda mimi niongezee kwamba Merikani ilikuwa inajua sana jinsi Urusi ilivyo kuwa inawasaidia kijasusi na kiufundi North Vietnam katika masuala ya Air Defence System - ndege(BOMBERS) nyingi za B-52 zilitunguliwa na Wa VietNam kutokana na msaada wa meli za Kirusi ambazo zilikuwa zimewekwa strategically kwenye Bahari ya China na Pacific, zilikuwa zitatumika kuwapa taarifa mapema wadunguaji - taarifa hizo zilihusu idadi ya ndege, mwelekeo na altitude hivyo Wavietnam walikuwa wanajua mapema ndege hizo (B-52) ziko mostly likely kudondosha mabom eneo gani, ndio maana majeshi ya Vietnam yaliweza kuhamisha baadhi ya vitu vyao vya muhimu mapema na kuweka mobile S.A.M sehemu salama, si hilo tu - Warusi waliwapatia Wa Vietnam high altitude missiles ambazo zilikuwa zinalipuka angani na kusambaza aluminium foils angani hivyo kusababisha RADA ndani ya ndege za Merikani kuwa confused (zione maluweluwe) na kushindwa kulenga vizuri AAM na ASM, vitendo hivyo viwili viliwatia hasira sana Wamerikani - na hiyo ilikuwa sababu moja wapo ya kutaka kulipiza kisasi huko Afghanistani kwa ku-support na kuwafundisha wanamgabo akiwemo Bin Ladden ili wampe fundisho Mrusi, ndio maana Merikani hakujali inampa nani silaha as long as anampinga Mrusi unapewa silaha tu, walipewa silaha za kila sampuli lakini inayo kumbukwa zaidi ni Stinger Missiles walizopewa na CIA 1980 kuhangushia ndege na Helicopter za Urusi. Makundi aliyo yafuga/fadhili Mmerikani huko Afghanistan ndio yamekuja kumugehuka na kutumia silaha hizo hizo kupigana nao. Binafsi nachukulia Wamerikani kuwapa silaha Mujadeen wa Afghanistan kama ilikuwa ni kulipiza kisasi cha Merikani kushindwa vita Vietnam kutokana na msaada wa Warusi - I might be wrong....
 
Mkuu Nyani Ngabu, DotWorld anacho fanya ni sahihi kabisa - hataki kuacha anystone unturned - anajua akiacha loophole basi mtakuja na nondo zenu kuziziba - ni hilo tu mkuu.

Hapana, aisee. Style-wise inakuwa vigumu kumjibu hoja kwa hoja na mstari kwa mstari.

Jana nimejaribu kufanya hivyo na yakatokea madudu tu ambayo wala sikuhangaika kurudia kuyanyoosha.

Hakuna haja ya kuweka bullet points kama atakayenukunuu zitamletea matatizo.

Mtu anaweka mapicha tenA makuuubwa, kwani tuko Instgram hapa?

No need to be superfluous.
 
Back
Top Bottom