USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Hiyo B - 2 bomber ilitunguliwa kwenye vita ya ya Yugoslavia sasa nashangaa kuna watu wanasema hakuna nchi inaweza kuitungua kuna watu wanamahaba na USA kuliko wamarekani wenyewe.

Ushahidi kuwa ilitunguliwa uko wapi?

iliyopigwa yugoslavia ama serbia ilikua ni F-117,kidogo kimuundo iko kama B-2,ina muundo kama popo,baada ya hapo marekani wali iretire,ilikua inatisha

Lete ushahidi kuwa kweli ilitunguliwa.
Mkuu Nyani Ngabu, mimi sikuwa na nia ya kujibu hili swali lako la kutunguliwa kwa hii ndege ya F-117 ambayo ni familia moja na B-2.

F-117_Nighthawk_Front.jpg
​

Sikutaka kujibu kwa sababu nilishatoa ufafanuzi kuhusu kutunguliwa kwa ndege nyingine ya B-52 huko Vietnam nikajua kuwa utakuwa umepata jibu.
Lakini naona bado unazidi kuwaambia watu humu walete ushahidi kuwa ilitunguliwa!

B-2_Spirit_original.jpg

Najua sababu ni moja nayo ni kuwa hii ndege ni very advanced compare to other planes as inatumia Stealth Tech na kimsingi ndege za Stealth ni vigumu kuzitungua so huwezi kuzifananisha na kama B-52.

Lakini hata hii pia ya Stealth yaani whether ni F-117 au ni B-2 bado ni familia ile ile na kama wadau wanavyosema hapa ndani ni kuwa imeshawahi kutunguliwa tena na nchi ambayo haikuwa na Tech advanced ya modern weapons as walitumia Antiaircraft za Mrusi za zamani kabisa!

Anyway, kuhusu tukio hili la kutunguliwa kwa ndege ya Marekani aina ya Lockheed F-117 Nighthawk katika anga la nchi ya Serbia karibu na sehemu moja inaitwa Buđanovci katika nchi ya Yugoslavia Federal Republic mnamo tarehe 27 March 1999.

Hii ndege ya aina F-177 ni single-seat, twin-engine stealth attack aircraft ambayo ilikuwa developed na kampuni ya Lockheed's kupitia secretive Skunk Works division na ilikuwa inaoperate by the United States Air Force (USAF).

Suala kubwa hapa la kujiuliza ni kwa nini kila mara watu wanapoongelea kuhusu kutunguliwa kwa ndege watu huwa wanakumbushia tukio la kutunguliwa hii ndege? (The F-117).

Hii ni kwa sababu inaaminiwa kuwa hii ndege ndio ndege ni operational aircraft ya kwanza duniani ambayo was the first to be designed around Stealth technology! (ikiwa na maana kuwa haiwezi kuonekana kwenye Rada).

Maana yake ni kuwa yenyewe inaweza ku-operate katika anga ya adui bila ya adui kui-detect Zaidi tu san asana atajikuta ameshambuliwa n ahata bila ya eye kugundua kuwa ndege iliyomshambulia ipo wapi!. Therefore kimsingi kwa sababu ndege hii ilikuwa inapita juu sana na ina-operate usiku (basi nyie mtashambuliwa bila ya kujijua mpaka defense zenu zote zinakwisha na mnashindwa vita.

Hii ndege kwa wakati huo ndio ilikuwa ni the most advanced plane kwa upande wa NATO na Marekani, ilikuwa ni Top secret plane na ndio ilikuwa ndege iliyokuwa inategemewa na US.

Na pia kumbuka kuwa ndege zote zilizofuata zinategemea technologia ya kutokuonekana kwenye Rada (Stealth Technology) na ndio maana sasa kila nchi unasikia toleo jipya lao la ndege wanadai ni stealth – iwe US, China or Russia.

febNewsD9.jpg
​

article-0-0018C38700000258-530_634x475.jpg
​

Habari hii ilikuwepo kwenye CNN mwaka 1999 ikionyesha kuwa Serbia wameitungua hiyo ndege.

F-117A-Kill-Serbia-1999-1S.jpg

800px-F-117_canopy.jpg
​

Picha: Canopy of F-117, serial number 82-0806; Belgrade Aviation Museum

800px-S125_Neva_250_brPVO_VS%2C_sept  ember_01%2C_2012.jpg
​

Aina ya Makombora ambayo yaliyoiangusha hiyo ndege ya F-117

article-2228637-0018C35700000258-476_634x436.jpg

Haya ni mabaki ya sehemu ya ndege hiyo 1999, sasa hivi yapo kwenye jengo la makubusho mjini Belgrade
​

article-0-0018C36000000258-230_634x466.jpg

Mabaki ya ndege ya Marekani high Tech iliyotunguliwa Serbia 1999​

article-0-0D74BA75000005DC-786_634x286.jpg

Mabaki ya ndege ya Marekani high Tech iliyotunguliwa Serbia 1999​

article-0-0018B83800000258-184_634x687.jpg

Wanavijiji wakirukaruka juu ya sehemu ya bawa la ndege hiyo ya US aina ya F117 Stealth bomber

Baada ya Miaka 10 kupita
​

article-2228637-15C7C021000005DC-980_634x437.jpg
​

Rubani aliekuwa anaiendesha ile ndege ya Kisasa anaeitwa Dani baadae baada ya vita kuisha alienda kumtafuta yule mtu alieitungua ndege yake na kufanikiwa kumkuta na kumpa hongera maana si kitu cha kawaida kwa kuweza kuitungua ile ndege ya F117 Serbia during the Kosovo war

article-2228637-15C7CC2A000005DC-755_634x428.jpg
​

Zelko and Dani baada ya vita walikuja kuwa marafiki, hapa alimpatia sample ya ile ndege yake ya high tech kama ukumbusho kwake

article-2228637-15C7CA51000005DC-774_634x423.jpg
​
Watu hawa walikuwa maadui mmoja akiwa upande wa NATO (US) akiendesha ndege High Tech na mwingine alikuwa ardhini akijitahidi kuzitungua hizo ndege za NATO.

============================== =

Huyu hapa Pilot katika VIDEO aliekuwa anaiendesha hiyo ndege ya F-117 iliyotunguliwa huyu hapa na aliemtungua

Hii ni kwa wale wabishi - haya kataeni na hii hapa

Watasema kuwa ni "Video-Shopping"!

​

----

BBC World News wakiripoti juu ya kukutana kwa alietungua ndege na aliemtungua

​

Link to BBC:

Foes now friends: US stealth pilot and the Serb who shot him down - BBC News

.
============================== =.

cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau @ retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE
 
Last edited by a moderator:
Swali la kujiuliza?! -

800px-S125_Neva_250_brPVO_VS%2C_september_01%2C_2012.jpg

Kama old Tech makombora yanaweza kuangusha the very advanced & sophisticated plane! je sasa ikija kwenye s400? ambayo:

  • Yanakwenda katika speed ya "mach 8"
  • Yanalipua mpaka Missiles!
  • Yanafika karibu na Space?!
  • Mengine simalizii

Hivi kweli nyie wenyewe Jiulizeni Swali?

Mchina anatengeneza makombora ya Antiaircraft aina nyingi very powerful, Kwanini alimuomba Russia amuuzie haya makombora ya s400 kwa 3 Bil dollars?! - aliona nini?

  • Kama Israel wanapiga kelele kuwa Syria asipewe s300
  • US wanalalamika Iran asipewe s300
  • What about s400?

S-400-Triumf-Air-Defense-System.jpg
 
Mkuu mataifa hayo yanapinga silaha kubwa kwa kuhofu zinauzwa kwa maadui zao wa karibu na gharama za kuzidhibiti ni kubwa pia. Kama ilivyo kwa makombora ya nuclear.

Hata China inapinga mauzo ya silaha zA kisasa za USA kwa Taiwan. I think Hivi ni vitu vya kawaida. Ila we we uNA exaggerate situation. Sijaona uzito wa hoja yako.
 
Dotworld Kama Russia wangekuwa fiti kihivyo wangeiruhusu Ukraine ijiunge na NATo na wasingeng'ang'ania Crimea.

Unataka dunia iiogope Russia wakati russia inapigana na sisimizi everyday. Chenchyia. Wakati USA inapigana na nchi na tunaona every day.
Ugomvi wake(Russia) Na China kuhusu mipaka hawajaweza kuutatua kibabe mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyani Ngabu, mimi sikuwa na nia ya kujibu hili swali lako la kutunguliwa kwa hii ndege ya F-117 ambayo ni familia moja na B-2.

F-117_Nighthawk_Front.jpg
​

Sikutaka kujibu kwa sababu nilishatoa ufafanuzi kuhusu kutunguliwa kwa ndege nyingine ya B-52 huko Vietnam nikajua kuwa utakuwa umepata jibu.
Lakini naona bado unazidi kuwaambia watu humu walete ushahidi kuwa ilitunguliwa!

B-2_Spirit_original.jpg

Najua sababu ni moja nayo ni kuwa hii ndege ni very advanced compare to other planes as inatumia Stealth Tech na kimsingi ndege za Stealth ni vigumu kuzitungua so huwezi kuzifananisha na kama B-52.

Lakini hata hii pia ya Stealth yaani whether ni F-117 au ni B-2 bado ni familia ile ile na kama wadau wanavyosema hapa ndani ni kuwa imeshawahi kutunguliwa tena na nchi ambayo haikuwa na Tech advanced ya modern weapons as walitumia Antiaircraft za Mrusi za zamani kabisa!

Anyway, kuhusu tukio hili la kutunguliwa kwa ndege ya Marekani aina ya Lockheed F-117 Nighthawk katika anga la nchi ya Serbia karibu na sehemu moja inaitwa Buđanovci katika nchi ya Yugoslavia Federal Republic mnamo tarehe 27 March 1999.

Hii ndege ya aina F-177 ni single-seat, twin-engine stealth attack aircraft ambayo ilikuwa developed na kampuni ya Lockheed's kupitia secretive Skunk Works division na ilikuwa inaoperate by the United States Air Force (USAF).

Suala kubwa hapa la kujiuliza ni kwa nini kila mara watu wanapoongelea kuhusu kutunguliwa kwa ndege watu huwa wanakumbushia tukio la kutunguliwa hii ndege? (The F-117).

Hii ni kwa sababu inaaminiwa kuwa hii ndege ndio ndege ni operational aircraft ya kwanza duniani ambayo was the first to be designed around Stealth technology! (ikiwa na maana kuwa haiwezi kuonekana kwenye Rada).

Maana yake ni kuwa yenyewe inaweza ku-operate katika anga ya adui bila ya adui kui-detect Zaidi tu san asana atajikuta ameshambuliwa n ahata bila ya eye kugundua kuwa ndege iliyomshambulia ipo wapi!. Therefore kimsingi kwa sababu ndege hii ilikuwa inapita juu sana na ina-operate usiku (basi nyie mtashambuliwa bila ya kujijua mpaka defense zenu zote zinakwisha na mnashindwa vita.

Hii ndege kwa wakati huo ndio ilikuwa ni the most advanced plane kwa upande wa NATO na Marekani, ilikuwa ni Top secret plane na ndio ilikuwa ndege iliyokuwa inategemewa na US.

Na pia kumbuka kuwa ndege zote zilizofuata zinategemea technologia ya kutokuonekana kwenye Rada (Stealth Technology) na ndio maana sasa kila nchi unasikia toleo jipya lao la ndege wanadai ni stealth – iwe US, China or Russia.

febNewsD9.jpg
​

article-0-0018C38700000258-530_634x475.jpg
​

Habari hii ilikuwepo kwenye CNN mwaka 1999 ikionyesha kuwa Serbia wameitungua hiyo ndege.

F-117A-Kill-Serbia-1999-1S.jpg

800px-F-117_canopy.jpg
​

Picha: Canopy of F-117, serial number 82-0806; Belgrade Aviation Museum

800px-S125_Neva_250_brPVO_VS%2C_september_01%2C_2012.jpg
​

Aina ya Makombora ambayo yaliyoiangusha hiyo ndege ya F-117

article-2228637-0018C35700000258-476_634x436.jpg

Haya ni mabaki ya sehemu ya ndege hiyo 1999, sasa hivi yapo kwenye jengo la makubusho mjini Belgrade
​

article-0-0018C36000000258-230_634x466.jpg

Mabaki ya ndege ya Marekani high Tech iliyotunguliwa Serbia 1999​

article-0-0D74BA75000005DC-786_634x286.jpg

Mabaki ya ndege ya Marekani high Tech iliyotunguliwa Serbia 1999​

article-0-0018B83800000258-184_634x687.jpg

Wanavijiji wakirukaruka juu ya sehemu ya bawa la ndege hiyo ya US aina ya F117 Stealth bomber

Baada ya Miaka 10 kupita
​

article-2228637-15C7C021000005DC-980_634x437.jpg
​

Rubani aliekuwa anaiendesha ile ndege ya Kisasa anaeitwa Dani baadae baada ya vita kuisha alienda kumtafuta yule mtu alieitungua ndege yake na kufanikiwa kumkuta na kumpa hongera maana si kitu cha kawaida kwa kuweza kuitungua ile ndege ya F117 Serbia during the Kosovo war

article-2228637-15C7CC2A000005DC-755_634x428.jpg
​

Zelko and Dani baada ya vita walikuja kuwa marafiki, hapa alimpatia sample ya ile ndege yake ya high tech kama ukumbusho kwake

article-2228637-15C7CA51000005DC-774_634x423.jpg
​
Watu hawa walikuwa maadui mmoja akiwa upande wa NATO (US) akiendesha ndege High Tech na mwingine alikuwa ardhini akijitahidi kuzitungua hizo ndege za NATO.

cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau @ retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE

Bado hujaleta ushahidi unaoonyesha kweli hiyo ndege ilitunguliwa.

Habari za kuitungua zilitoka kwa hao sijui ndo Waserbs.

Ni watu wa kuaminika kweli hao? I don't think so.

Walidai hivyo ili wapate ujiko tu.
 
Mkuu dotworld wakati wa Cold war, mataifa haya mawili yalifanya chochote ili kuangamizana.ili yabaki kuwa salama. Na proxy war ilikuwa convenient way kuachieve their goals.

Hata technolojia ya nuclear ilivuja kwa mataifa mengine duniani, kwasababu ya ugomvi wao. Kwa wewe kusema USA ilikosea kuwatumia mujahidina pale Afghanistan na unasema USA haikuwa inawapenda wa Afghanistan. Labda unataka Kumaanisha Russia iliwapenda wa afghnistan. Wakati ukweli ni kuwa mataifa haya Makubwa duniani yalikuwa yana hujumiana kwa kila kitu. Na hakuna ushahidi wa kusema USSR iliwapenda waAfghanistan.am a serikali yao ya kisekulari

Kwani pia sio USA iliyoifanya Iran kuung'oa utawala wa kisekulari.

Russia ndio ilikuwa inafadhili mataifa.ya waarabu dhidi ya Israel.
Hata Amani mashariki ya kati Israel na Egypt ililazimishwa ilikuondoa influence ya Russia pale middle east. Ambaye alitaka.kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Israel.

Russia iliotumia aerikali ya afghan dhidi ya NATO. Ile ilikuwa vita proxy war, kipindi cha cold war.
Na umishenary wa wamarekani kwa wajahidina hauna uhusiano na ugaidi tuliona Leo. Waliutumia kuwapa morali ya kupigana. Manake waafghan walikuwa waoga kufa vitani.
Naweza nikasema usekulari unahusika na religion dominance zaidi,
Kasome zaidi historia ya uislamu ili kujua usekulari maanaake nini?

Kwa wale Wanaotaka ku-equate ugaidi wa leo na usa kuwa recruit ya mujahidina ni kuwa wanatafuta excuses za uovu wao.
Ile ni imani na inatumia maandiko. Na magaidi wa Leo hawapigani na Russia tena.

Russia ilikuwa ni nchi yenye mtazamo wa kupiga marufuku watu wasiamini katika uwepo wa mungu.

Russia ilishapeleka vichwa vya nuclear CUBA, kama sio USA kutka masaa 52 ya kuivamia kyuba kijeshi, wakati wa Kennedy, USSR wasingeviondoa vile vichwa.

Pia ufahamu tu kuwa ugomvi wa hapo Ukraine, unatokana na Russia kusapoti vikundi vya uasi(pro Russian).

Putin aliwahi kunukuliwa hivi karibuni Akisema atahakikisha anaviwezesha kipesa, vyama vya siasa vya upinzani vya ulaya magharibi especially vile vyenye mtazamo wa kikomunisti, ili vifanye kazi kwa maslahi yao na kueneza propaganda zao.

Na ni wiki hazijapita mbili, Russia imesaini mikataba ya kuiwezeaha ugiriki kiuchumi na kushirikiana nayo.

Utaona hata udukuzi aliokua akifanyiwa mama Angela Merkel na wamarekani (NSA) ni kwakuwa ametokea Eastern German ambayo ilikuwa ujerumani yenye kufuata ukomunisti. USA hawana imani naye. Wanahisi anawezA kuwa pandikizi. Ukiwa narrow minded utasema USA wachokozi. Kumbe la!

Russia imemnyang'anya Ukraine ardhi ya Crimea kwa ubabe.kwasababu tu anajiiunga na nchi ushirika na nchi za ulaya magharibi.

Ni mwaka jana kama sijakosea, Russia amedungua ndege ya kiraia akaua RAIA wengi wa uholanzi. Na wala haikuomba radhi kwa mauaji hayo. Ikafanya nde ge za mashirika mengine ya duniani ziamue rasmi kubadilisha route zake. Zisipite kwenye anga hiyo.

Ulaya na.marekani zilichukizwa na kuamua kuongeza economic sunctions zaidi kwa Russia.

Sasa Bado hujanishawishi kuwa mbinu za Russia ni takatifu dhidi ya mbinu za USA.
Nachotaka kusema haya mataifa yanasimamia objectives zao ruthless and fanatically.
Na hayawezi kuaminiana moja kwa moja. Na hapawezi kuwa na mchezo wa fair play kati yao. Na ndio mwana unaona China haitaki kuwa na USA wala Russia. Imechagua kuwa independent.

Kitu ambacho huwezi kukiepuka katika hii minyukano yao, USA imekuwa victor Mara nyingi zaidi. Wakati Russian imefeli zaidi.
Kwahiyo wanoishabikia USA blindly ni kwamba wanatazama results. Mpira ni magoli mkuu.

Unaona ilivyo shida kujadiliana na huyo dotworld?

Nimemsihi abadilishe staili ya uandishi wake ili twende naye sambamba lakini naona kagoma.
 
Swali la kujiuliza?! -

800px-S125_Neva_250_brPVO_VS%2C_september_01%2C_2012.jpg

Kama old Tech makombora yanaweza kuangusha the very advanced & sophisticated plane! je sasa ikija kwenye s400? ambayo:

  • Yanakwenda katika speed ya "mach 8"
  • Yanalipua mpaka Missiles!
  • Yanafika karibu na Space?!
  • Mengine simalizii

Hivi kweli nyie wenyewe Jiulizeni Swali?

Mchina anatengeneza makombora ya Antiaircraft aina nyingi very powerful, Kwanini alimuomba Russia amuuzie haya makombora ya s400 kwa 3 Bil dollars?! - aliona nini?

  • Kama Israel wanapiga kelele kuwa Syria asipewe s300
  • US wanalalamika Iran asipewe s300
  • What about s400?

S-400-Triumf-Air-Defense-System.jpg

Bado hujatoka ushahidi kwamba kweli hao Waserbs waliitungua hiyo ndege.

Umekunywa na kulewa anti-US propaganda ndo maana unashindwa hata kutoa ushahidi wa kweli zaidi ya kubandika mipicha tu.

You are comical.
 
crimea ilitaka yenyewe kujiunga na russia,kwanza kiasili crimea ni sehemu ya russia.
kuhusu ukraine kwanza rais aliyechaguliwa kidemokrasi kapinduliwa kwa nguvu na yakatokea mauaji na waukraine wa mashariki wakaanza kutengwa na kunyanyaswa kwa vile asili yao ni russia.
wale waliopindua nchi,wakisaidia na marekani,wakafanya kuitisha uchaguzi wa kimagumashi haraka haraka na katika uchaguzi huo maeneo yaliyokua yakimuunga mkono rais aliyepinduliwa yakawekewa mizengwe kupiga kura.
matokea ukraine mashariki ikadai kujitenga na ukraine.
russia haijawashika mkono wasijiunge na NATO,ila tu imewatahadharisha kuwa haitakuwa nyema.

kama russia inawasaidia watu wa ukraine mashariki ni kwavile serikali iliyopo ilianza kuwaua kwa mizinga na mashabulizi ya ndege,bila russia kusaidia wangeweza kumalizwa.
as for crimea ile ilikua ni uamzi wao tena kwa kura kujiunga na russia.na madai yao ni ya miaka mingi
 
On 20 January 1991, Crimea regained its status as an Autonomous Soviet Socialist Republic. Note that this was many months before Ukraine declared its own independence on 24th August 1991. In February 1992, it renamed itself as the "Republic of Crimea" On 5th May 1992, Crimea declared itelf "Independent" pending the outcome of a referendum to be held in August 1992. On 15th May 1992, the Ukrainian parliament declared the declaration of independence to be illegal and gave Crimea one week to cancel the referendum. In June 1992, both sides reached a compromise and it was given the status of "Autonomous Republic". In May 1994, the then President of Crimea re-opened the Crimean referendum, and contrary to the wishes of Kiev who tried to stop it going ahead, voters voted in favour of the following 1: 78.4% voted in favour of Crimean Independence that had relations with Ukraine on the basis of a set of treaties. 2: 82.8% voted in favour of dual Russian/Ukrainian citizenship. 3: 77.9% voted in favour of Presidential Decrees not covered in the May 1991 constitution being made law. Following these results, in March 1995, Kiev's Parliament tore up Crimea's constitution and permanently removed the post of "President of Crimea" and from June to September it was governed under a Presidential Decree from the Ukrainian President. In October 1995, Crimea wrote a new constitution which wasn't recognised by Ukraine until 1996 following amendments which ruled that Crimea's constitution must be approved by Kiev. Effectively, Crimeans voted overwhelmingly for independence from Kiev in 1994, Kiev annexed it in 1995 and then passed laws to ensure it remained as part of "Ukraine" from then onwards. Funnily enough, the West didn't bellyache about Crimea's massive vote in 1994 or Kiev's annexation of it in 1995,
Culturedallroundman /2014/03/19/the-crimean-referendums- of-1991-and-1994/
 
Dotworld Kama Russia wangekuwa fiti kihivyo wangeiruhusu Ukraine ijiunge na NATo na wasingeng'ang'ania Crimea.
....
Hivi unajua sababu za US ku'reset' uhusiano na Cuba...!? Unajua ni kwa nini US hairuhusu Mexico kuwa stable country ....! Kiasi cha kuenyeshwa na vikundi vya madawa ya kulevya vinavyo'operate' kutoka US?

Euro Maidain walipochukua Kiev unajua walisemaje...wanapiga marufuku lugha ya Russia (ukifuatili sheria za UN kuhusu Genocide, Euro Maiden walikuwa wametanga mauaji ya kimbali), na walikuwa tayari kuua raia wote wenye asili ya Russia. Ni mpumbavu anayeweza kumuacha ndugu yake auwawe wakati yeye anaangalia tu wakati anauwezo wa kuzuia mauaji hayo.

Crimea iliporwa na kuharibiwa na Ukraine, ile ilikuwa sehemu ya Russia. Fuatilia hotuba ya Putin wakati akihutubia RFC akiwakirisha maombi ya kubadili katiba ili zikubaliwe Crimea na Sevastopol City kujiunga na Russia.
 
Mkuu mataifa hayo yanapinga silaha kubwa kwa kuhofu zinauzwa kwa maadui zao wa karibu na gharama za kuzidhibiti ni kubwa pia. Kama ilivyo kwa makombora ya nuclear.

Hata China inapinga mauzo ya silaha zA kisasa za USA kwa Taiwan. I think Hivi ni vitu vya kawaida. Ila we we uNA exaggerate situation. Sijaona uzito wa hoja yako.
Hoja yako wewe haina mashiko!

Hebu tuache central Governments kama Taiwan & Saudia, Yemen & others (hili si tatizo sana)

Kwa nini US anawapa Vikundi vya Wanamgambo Silaha kubwa kubwa ambao ni vigumu kuvidhibiti?! hapa naongelea ISIS na Alqaeda?!

Angalia
  • Afghanistan,
  • Libya,
  • Syria na kwingineko!
Isis-fighters-drive-a-US--009.jpg

isis_armed_us.jpg

Yaani imefikia wakati kuwa kama ukigombana na US tu anakuletea Alqaeda! - sasa Je Alqaeda ni askari wa US kwa ajili ya Kudi-stabilise nchi ambazo ana ugomvi nao?!

Kumbuka Ghadafi alikuwa analalamika kuwa katika wale watu wanaoandamana kuna Alqaeda ila watu wakampuuza! - haya sasa leo nani anabisha? - haya Ghadafi hayupo Je si kweli kuwa Alqaeda ndio wamejaa Lybia?

Macain alishawahi Ku-tweet kwenye Account yake akijisifia kuwa yupo na "Brave Fighets wa Syria" (Alqaeda & ISIS)

B4_gQCuCEAAS_ax.png

mccain-isis.jpg

Hivyo hivyo US aliwaleta Alqaeda na ISIS Syria,

Rais wa Syria (Assad) nae akalalamika kuwa US wamemletea Alqaeda watu wakampuuza, tena MaCain akatoka Marekani akaenda mpaka Syria akapiga nao picha wale ISIS akasema atawaletea Silaha na Pesa pamoja na Training!

​
McCainTerrorists.jpg

​

Haya yapo wapi? - leo hii hao hao Marekani wanalalamika wanarudi tena kuanza kuwashambulia watu wale wale waliowapa silaha!

Ghadafi, Asad wote walisema wale ni Alqaeda! - sasa ni nani aliwapa silaha, Training pamoja na Funding Alqaeda?! na ISIS?! - ni US!

--cc:
Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE
 
Last edited by a moderator:
Ha aahaaa kuna watu wabishi sijui ulitaka upewe ushahidi gani zaidi ya huu.Kwa hiyo unataka kusema hiyo ndege ilianguka yenyewe siyo.Unasema Waserbs si watu wa kuaminika lakini akisema USA unaamini.Duh ukisikia ugonjwa wa kupenda ndio huu sasa.

Bado hujaleta ushahidi unaoonyesha kweli hiyo ndege ilitunguliwa.

Habari za kuitungua zilitoka kwa hao sijui ndo Waserbs.

Ni watu wa kuaminika kweli hao? I don't think so.

Walidai hivyo ili wapate ujiko tu.
 
So, what would a war between the U.S. and Russia look like? Here are a few scenarios, from awful to merely bad:
Nuclear Armageddon
Even with the slow mutual nuclear disarmament since the end of the Cold War, the U.S. and Russia each have thousands of nuclear warheads at the ready. As Eugene Chow noted earlier this year, the entire stockpile of U.S. intercontinental ballistic missiles (ICBMs) — 448 active — is essentially aimed squarely at Russia. Russia's hundreds of ICBMs are probably returning the favor.
In all, the U.S. has about 7,700 nuclear warheads, including 1,950 warheads ready to deploy via ICBM, submarine, and airplane, plus thousands more in mothballs or waiting to be dismantled, according to the latest tally by the Federation of American Scientists. Russia has slightly more warheads overall — about 8,500 — but a slightly fewer 1,800 of them operational. China, in comparison, has about 250 nuclear warheads, a bit less that France (300) and a bit more than Britain (225).
Nuclear war with Russia is still mutually assured destruction. Hopefully, that's still deterrent enough.
A conventional war in Eastern Europe
This is the other scenario that never happened in the Cold War. Now, the possibility of scenario one (nuclear Armageddon) makes this one almost equally unlikely. But for the sake of argument, let's assume this hypothetical U.S.-Russia war breaks out in Ukraine, and that other NATO forces are supplementing U.S. troops, ships, and aircraft. Unlike in the Asia-Pacific, where the U.S. keeps China in check (and vice versa, as Eugene Chow explained), NATO provides the United States with a robust military alliance set up specifically to take on Soviet Russia.
The first dynamic is that Russia would have home field advantage: The Russian navy has long called Crimea its home, and whatever troops Russia doesn't already have in Ukraine are right next door, one border-crossing away. The other big starting point is that the U.S. and its NATO allies have Russia effectively surrounded. By its own public count, the U.S. has 598 military facilities in 40 countries, along with the 4,461 bases in the U.S. and U.S. territories.
Along with its large number of bases in Germany, the U.S. has major military installations in Qatar and the Diego Garcia atoll to Russia's south and Japan and South Korea to its east. NATO allies France and Britain are even closer, as this map from Britain's The Telegraph shows:
Image
On top of that, NATO has bases around Russia's western perimeter and in Turkey, right across the Black Sea from Ukraine. What about Russia? "They have a presence in Cuba," more a way station than a base, NYU professor Mark Galeotti tells The Washington Post. And Russia has a naval base in Tartus, Syria. But otherwise "they have no bases outside the former Soviet Union."
Russia has an estimated 845,000 active-duty troops, with as many as 2.5 million more in reserve. NYU's Galeotti isn't very impressed. Russia's military is "moderately competent," he tells The Washington Post. "It's not at the level of the American or British or German military, but it's better than in the 1990s." The Russian troops, especially the Spetsnaz special forces, are "good at bullying small neighbors, but it would not be effective against NATO. It would not be able to defeat China." Galeotti is even more brutal about Russia's Crimea-based Black Sea Fleet:
As a war-fighting force, it's not particularly impressive. Its main vessel was basically built to fight other ships and so is only useful in fighting a naval war. It's got the Moskva, an aging guided-missile cruiser; a large anti-submarine warfare cruiser — very dated; a destroyer and two frigates, which are more versatile; landing ships; and a diesel attack submarine. It's not a particularly powerful force. The Italian navy alone could easily destroy it. [Washington Post]
The U.S. military's 1.4 million active duty troops and 850,000 reservists, but it can't just throw all of them at Russia — somebody has to maintain those 598 bases around the world, as well as defend the U.S.
NATO's Response Force (NRF), which would probably be the first armed unit to engage the Russians, has
13,000 troops at the ready and thousands more in reserve. Here's NATO describing its first-response team, right before NRF war games last fall:
If Russia would have the advantage at sea — Sevastopol is its home port, and the U.S./NATO would have to dislodge its navy — the U.S. would have an edge in the skies, mostly. "The U.S. planes have better radar, missiles, and electronic warfare equipment, while the Russian planes are judged to have superior handling and thrust-to-weight ratio, which would give them an edge in a classic dogfight," says Charles Clover at the
Financial Times.
But classic dogfights are at least as dated as Top Gun, Russian defense analyst Ruslan Pukhov tells FT. "Ever since Soviet days we have been lagging behind the U.S. in military aviation." Because of that gap, he adds, Soviet and Russian military planners have invested heavily in air defense systems, and the S-300 and S-400 systems are the best in the world. "It's like boxing," Pukhov says. "If you have a weak right arm, you need to compensate by a strong left arm. Soviet strategists made up for a weakness in aviation by investing heavily in air defense systems."
A U.S.-Russia war probably wouldn't end up a draw, but it would be a bloody mess. The site Global Firepower ranks the U.S. the most powerful conventional military in the world, and that's without NATO, but Russia is a pretty close second (here it differs with Galeotti). If you look down the list of military assets, the U.S. beats Russia in almost every category — Russia has more tanks, ground artillery, and mine warfare craft.
There's a wild card, though: Since 2010, the U.S. and Russian militaries have been increasingly cooperating, including engaging in joint military exercises. Unlike in Soviet times, or even the 1990s, U.S. and Russian military commanders know one another and are familiar with each other's armaments and strategies. Until the U.S. put all U.S.-Russian military engagements on hold Monday, the relationship was good and improving.
There's "a very robust, cooperative effort between our militaries," Rear Admiral Mark C. Montgomery, deputy director for plans, policy, and strategy at U.S. European Command (EUCOM),
told Foreign Policy in 2012, as Russian officers were in NORAD headquarters in Colorado, practicing counterinsurgency tactics.
The naval exercises "tend to be fairly deep in their level of technical engagement," Montgomery said, "where say, the ground ones and [special operations forces] ones are still fairly young exercises that do a lot more walk-thru than detailed exercising. But as they go year to year, they get more complicated."
A proxy war
Short of a negotiated peace with no casualties, this is the best of the bad options. The U.S. and Russia have already fought a string of proxy wars, the big ones being Vietnam to Afghanistan. In this scenario, the U.S. might finance Ukrainian forces to fight Russian soldiers, with the probable goal of driving them out of Ukrainian territory. Or, should the U.S. or NATO back the Ukrainian army, Russia might fund pro-Moscow separatist movements in Ukraine against it.
Russia helped the North Vietnamese beat the U.S. in Southeast Asia, and the U.S. helped the Mujahideen defeat the Soviets in Afghanistan. If that pattern holds, and Ukraine is the battleground, then it's bad news for the occupying army. Advantage: America.
 
Al Qaeda will Kill Us All !!

​

When Gaddafi said this
back in 2011, that "it's Al Qaeda, not his people", the Western media just laughed and wrote it off as the rambling of an Arab dictator.

But since then, we see that Libya has become an Al Qaeda safe haven, where even American diplomats are not safe (Benghazi attack).

We see in Syria and Iraq how ISIS has taken over via that "revolution", which the West was so supportive of when Gaddafi was trying to warn them.

Yeah, it's no longer a laughing matter for the Western media and leaders; Gaddafi could see what was about to happen, but the West's arrogance wouldn't allow them to take him seriously.

It was Putin of Russia who believed and supported Gaddafi, and who is currently supporting Assad against ISIS, as he has been doing for years. Clearly, he has much better judgment than our incompetent and arrogant leaders

Al Qaeda will Kill Us All !!
- Gaddafi Speech March 8, 2011

​
 
Last edited by a moderator:
Bado hujaleta ushahidi unaoonyesha kweli hiyo ndege ilitunguliwa.

Habari za kuitungua zilitoka kwa hao sijui ndo Waserbs.

Ni watu wa kuaminika kweli hao? I don't think so.

Walidai hivyo ili wapate ujiko tu.

Kwahiyo USA ni watu wa kuaminika?
 
Ha aahaaa kuna watu wabishi sijui ulitaka upewe ushahidi gani zaidi ya huu.Kwa hiyo unataka kusema hiyo ndege ilianguka yenyewe siyo.Unasema Waserbs si watu wa kuaminika lakini akisema USA unaamini.Duh ukisikia ugonjwa wa kupenda ndio huu sasa.

Kwani ndege huwa hazipatwi na technical malfunctions na kuanguka?

Unajua NATO/ Wamarekani walirusha sorties ngapi kwenye hiyo bombing ya 1999?

Unadai wangu ni ugonjwa wa kupenda. Na wenu tuuiteje? Ugonjwa wa kuchukia?

Acheni hizo nyinyi.
 
Bado hujatoka ushahidi kwamba kweli hao Waserbs waliitungua hiyo ndege.

Umekunywa na kulewa anti-US propaganda ndo maana unashindwa hata kutoa ushahidi wa kweli zaidi ya kubandika mipicha tu.

You are comical.

sasa unataka ushahidi upi zaidi ya aliotoa?,ameweka hadi mabaki ya ndege,hadi pilot alieponea chupuchupu.............
au ulitaka video?.....ha ha ha,kipindi hicho hapakua na smartphone kwamba kila mtu anaweza capture tukio na kuliweka utube
 
Kwahiyo USA ni watu wa kuaminika?

Watu wote huwa wanadanganya.

Hata Warusi hudanganya na kupiga propaganda.

Tena huko Urusi ambako hakuna uhuru wa vyombo vya habari uongo ndo hutawala.
 
Bado hujatoka ushahidi kwamba kweli hao Waserbs waliitungua hiyo ndege.

Umekunywa na kulewa anti-US propaganda ndo maana unashindwa hata kutoa ushahidi wa kweli zaidi ya kubandika mipicha tu.

You are comical.
Sishangai majibu haya kutoka kwa NN.
 
Back
Top Bottom