USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

You....!!! what, U CAN give me LECTURE...!!!?????? wtf..!!

Ur DEAD, wait for ur COFFIN....Dead...!!! 🎤🎤🎷🎷

Dead man walking...!!! lmfao...!!!!👌👐👐

Kuna mahali nimesoma kwamba wewe ni pilot...kwa hakika nimemkumbuka pilot Andreas Lubitz na Germanywings yake...

Kama kweli wewe ni pilot wa ndege za abiria na upo Tanzania nawaomba wataalam watusaidie kujua wewe ni nani..

Your posts leaves a lot of uncoordinated pieces and bits.

Samahani lakini
 
pole sana mkuu.itabdidi nikuombe utupe elimu ya bure kuhusu kushuka kwa rep mpaka 0 na elimu ya kujihami unapo jadiliana na hao "GCE".

Kunafurahisha humu!, eti kujihami na hao 'GCE' mnafanya GCE i sound kama vile kikosi fulani cha uja.susi!
 
Kunafurahisha humu!, eti kujihami na hao 'GCE' mnafanya GCE i sound kama vile kikosi fulani cha uja.susi!
we acha tuu kui....JF "samutaimu" vunja mbavu kweli kweli.:madgrin:
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hao ma fanboys na ma fangals wake ndo wanaitwa the 'low-information' crowd.

Ni wepesi sana wa kuwa impressed na vitu vidogo vidogo ambavyo kama ulivyosema, yeyote mwenye muda wa kukaa na kupekua mtandano halafu akavinakili na kuvileta hapa, anawaweza.

Kitu kidogo tu tena kilicho cha kawaida sana wao wanaona kama vile ni kikubwa na cha ajabu sana.

Kazi yao kupiga nderemo, vifijo, na vigeregere.

Huyo Dotworld anaweka vitu toka Wikipedia, wao wanamwona ni mkali.

Go figure!

...kwa nini usikae na wewe kwenye mtandao ukavinakili na wewe Mkuu ulete hapa kwa ss mafanboys na mafangals
Ili utukonvice na ww tukushabikie

kuna msemo wa mjini unasema hv 'Ashindwae nae Mume'
kubali jamaa yuko vizuri na ujifunze kutoka kwake , najua kuna sehemu na wewe uko vizuri siku thread ikija hapa kwenye angle zako na yy atajifunza.

' ustaarabu ni lazima ili tukujue umekua'
 
Hahaaa!, ati nyanipedia...nimeenda kuangalia kitu Wikipedia, ...or sorry Nyani pedia!, kukanikumbusha ile muvi ya Planet of the Apes,....for some reasons! :becky:

kui kuwa makini,atakujia ni kingereza cha cha mitaa ya "brokulini" mwisho akutoe manundu dada yangu.bila shaka ashakusoma kimya kimya.:becky::becky:
 
  • Thanks
Reactions: kui
Dotworld is a JF treasure. He is amazing in his capacity for retention and recall, like an extremely accurate and knowledgeable west african griot. Thank goodness that he has given his whole JF life to truth and that we have his lifetime efforts with which to teach all generations. May he live long and stay as sharp as he is..
kuna jamaa wakisomaa hayo maneno,wanababiza kichwa ukutani kwa hasira huko waliko:frusty:,haki ya mama tena.:madgrin:
 
kui kuwa makini,atakujia ni kingereza cha cha mitaa ya "brokulini" mwisho akutoe manundu dada yangu.bila shaka ashakusoma kimya kimya.:becky::becky:

Heheh!,.....U no wat am sayin!, kile cha bruklini na bronks.....lol!

Alisha niambianga, Eti mimi am akchually a fanigel, and intalekchuali chalengid!
 
kui;Heheh!,.....U no wat am sayin!, kile cha bruklini na bronks.....lol!

Alisha niambianga, Eti mimi am akchually a fanigel, and intalekchuali chalengid!

bollocks!!!asee sikuwahi jua kuwa KUI ni mama......
​kazi kweli kweli
 
kuna jamaa wakisomaa hayo maneno,wanababiza kichwa ukutani kwa hasira huko waliko:frusty:,haki ya mama tena.:madgrin:

kikosi cha 'GCE' kimekutana na mwamba asee!, strategy yao ya diminish and rule naona imekutana na mwenyewe, chezea JF weye!, jamaa kawakomalia anadondosha kila kitu, kama huelewi kusoma anaweka picha, kama huoni vizuri anaweka takwimu, kama huzielewi anaweka miduara.......daaamn!
 
kui;Heheh!,.....U no wat am sayin!, kile cha bruklini na bronks.....lol!

Alisha niambianga, Eti mimi am akchually a fanigel, and intalekchuali chalengid!

bollocks!!!asee sikuwahi jua kuwa KUI ni mama......
​kazi kweli kweli

Hahaaa!, mkuu nitake radhi, am 110% a woman.....lol!
 
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]the architect of this whole madness between Russian and the West was no one else than Sir Halford Mackinder,...huyu jamaa mwaka 1904 aliuaminisha ulimwengu kwamba "he who controls Russia controls the world"
kwa bahati mbaya mwaka 1943 the U.S.A foreign ministry ilimuita aisaidie na maandalizi ya post war period.Huu mpango ulifadhiliwa na the Rockerfeller foundation,mwishowe wakapatikana wafuasi wawili wakubwa wa falsafa za huyu jamaa: Bwana Henry Kissinger na Zbigniew Brzezinski.Hawa majaa wamechangia kuharibu dunia.

[/FONT] [FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​

...kwa nini usikae na wewe kwenye mtandao ukavinakili na wewe Mkuu ulete hapa kwa ss mafanboys na mafangals
Ili utukonvice na ww tukushabikie

kuna msemo wa mjini unasema hv 'Ashindwae nae Mume'
kubali jamaa yuko vizuri na ujifunze kutoka kwake , najua kuna sehemu na wewe uko vizuri siku thread ikija hapa kwenye angle zako na yy atajifunza.

' ustaarabu ni lazima ili tukujue umekua'

Watu tuna viwango tofauti humu.

Kama nyinyi mnamkubali hiyo ni juu yenu na ni haki yenu.

So knock yourselves out.
 
Mkuu Nyani Ngabu ... mimi nimeona hoja zako na nina mpango wa kuzijibu sema nilikuwa nawajibu watu wengine ila ntakujibu Mkuu na kuelezea mtizamo wangu.

Haya twende kazi, hoja kwa hoja.

Katika hoja zako nazikumbuka na kwa haraka haraka tu it was about
  • Kuwa US hakushindwa vita ila tu ni kuwa kulikuwa na political factor at home ambazo zilisababisha US ku-lose support ya vita toka nyumbani.
  • Kumbe hata hukumbuki vizuri. Nilisema 'kijeshi' Marekani haikushindwa vita. Ninaposema 'kijeshi' unajua namaanisha nini? Maana nisije nikawa naandika vitu ambavyo hata huvielewi.

Sasa mimi labda tu niseme kwa mawazo yangu as mimi nipo huru katika mtizamo wangu nafikiri ni kidogo tofauti na wewe ambae upo Pro US mwanzo mwisho!

Kwa hiyo wewe unajiona kwamba una mtizamo huru na mimi unadai ni pro-US mwanzo mwisho? Hahahaaaa unachekesha kweli we ndugu. Ukisikia mambo ya nyani haoni kundule ndo hayo sasa. Kwamba wewe hujioni kabisa ulivyo anti-US na ulivyo pro-Russia lakini unajiona kwamba uko na mtazamo huru? You can't be serious. Kubali tu kwamba uko ama anti-US au pro-Russia. Si dhambi kuwa moja au nyengine. Mbona mimi nakubali tu kwamba niko pro-US...eniwei uamuzi ni wako lakini mimi sikubaliani kabisa na unavyojipambanua.

Ninachoweza kusema ni kuwa USSR was right kupeleka majeshi Afghanistan as ilikuwa ni kurestore central Government ambayo ilikuwa ni secular.But US was wrong ku-recruit vikundi vyenye msimamo mkali na kuwapa silaha

Kwa pro-Russia kama wewe lazima uone kuwa walikuwa sawa na lazima uone kuwa Marekani ilikuwa na makosa. Hakuna la kushangaza hapo. Hata kama usingesema bado ingekuwa dhahiri tu kuwa hivyo ndivyo ilivyo.

Hayo yote ni kwa sababu za US ni ilitaka USSR ifail basi tu lakini sio kwa sababu ilikuwa inawapenda sana Afghanistan!

Hivi USSR yenyewe ilitaka Marekani ifanikiwe kule Vietnam?

Mambo haya yote yalianza June 1975, ambapo militants kutoka the Jamiat Islami party attempted to overthrow Afghanistani the government. In 1978, the Taraki government initiated a series of reforms, including a radical modernization of the traditional Islamic civil society.

Hukuwa na haja ya kuirudia historia kwani naijua vyema kabisa. Labda useme umefanya hivyo kwa ajili ya fan club yako.

The Afghan government, having secured a treaty in December 1978 that allowed them to call on Soviet forces, repeatedly requested the introduction of troops in Afghanistan in the first half of 1979.

And....?

They (Serikali halali ya Afghanistan) requested Soviet troops to provide security and to assist in the fight against the mujahideen rebels.

Kama serikali ilikuwa ni halali iweje sasa kukawepo na waasi? Na kusema serikali halali unamaanisha nini? Huo uhalali ulitoka wapi?

Sasa hapa kwa mawazo yangu US wangeshirikiana na USSR katika kuleta amani Afhanistan hiyo 1978 dhidi ya rebels against Central Government. Badala yake US akawa-organise Mawaziri wa mambo ya nje kutoka 34 Islamic nations adopted a resolution which condemned the Soviet intervention and demanded "the immediate, urgent and unconditional withdrawal of Soviet troops" from the Muslim nation of Afghanistan

Kwa nini USSR iliona ina uhalali wa kuvamia nchi huru? Hayo mamlaka iliyatoa wapi?

Sasa waliokuza haya ya Afghanistani ni US!

Ni wazi utasema hivyo. Bila soni unasingizia nchi ambayo haikufanya uvamizi. Waliofanya uvamizi unawaona ni wema sana. Umeghubikwa na upendeleo kiasi cha kushindwa hata kujistukia. Unasikitisha.

Sasa Mkuu Ngabu .. hii mada ya Afghanistani ni pana sana na inabidi upate muda mrefu ili kuijibu kutoka angle mbalimbali na ndio sababu sikukujibu kwa sababu maelezo ni mengi.

Teh teh teh....

Jambo moja tu la kutufundisha katika hizi vita:

La kujifunza ni moja tu?

USSR ilikuwa inasuppuport Serikali ya Afghanistan while US siku zote ina-support vikundi vya wanamgambo ku-distabilise central state

Hao unaowaita kuwa ni wanamgambo walikuwa hawana grievances zao dhidi ya hiyo unayoiita serikali ya Afgjanistan? Yaani wao walikuwa wanataka kuleta vurugu bila sababu au hoja za msingi?

Mfano USSR walikuwa wanaisaidia Central Government while US wakawatafuta Vikundi mbalimbali ambavyo wana misimamo mikali ya kidini na kuwapa Propaganda ili kudistabilize Serikali kuu ambayo huwa haikubalini nao:

Unarudia jambo lile lile tu bila kulielezea kwa utondoti. Kama vile watu waliamka tu siku moja wakaamua kuunda makundi na kuanza kuivuruga serikali. Come on now.

Mfano vikundi hivi vyote viliundwa na US kupitia CIA pamoja na Pakistani Inteligence Agency ili ku-fight USSR na Central government wasifanikiwe!

Ushahidi uko wapi kwamba hivyo vikundi viliundwa na US kupitia CIA?

Sunni Mujahideen:
  • Jamiat-e Islami
  • Shura-e Nazar
  • Gulbuddin faction
  • Maktab al-Khadamat
  • Khalis faction
  • Ittehad i-Islami
  • IRM
  • NLF
  • NIFA

Shia Mujahedeen:

  • Harakat i-Islami
  • Afghan Hezbollah
  • Nasr Party (IVOA)
  • COIRGA
  • Shura Party
  • IRM
  • UOIF
  • Raad Party
  • Supported by[show]
  • Small Maoist groups:
  • ALO
  • SAMA
  • AMFFF
  • Ushahidi kwamba hivyo vikundi viliundwa na US kupitia CIA uko wapi?

Mwisho wa siku Majeshi ya Urusi yalipata hasara:

Hakuna vita visivyo na hasara.

Jumla ya Wanajeshi Warusi 14,453 walikufa kwa ajili ya kui-support Serikali ya Afghanistani ambapo Jumla ya Loss ni kama

Chanzo cha hiyo idadi ni kipi? Kwa sababu inavyodaiwa na kada mbalimbali ni kwamba Urusi haikuwa kutoa idadi kamili ya askari wake waliopoteza maisha. Sasa wewe hiyo idadi umeitoa wapi? Umeibuni kichwani mwako? Taja ulipoitoa na kama ni makadirio sema kuwa ni makadirio.

Osama lazima atakuwa alisababisha baadhi ya hao majeruhi.

  • 1,000 died from disease and accidents
    [*]53,753 wounded
    [*]265 missing
    [*]451 aircraft (including 333 helicopters)
    [*]147 tanks
    [*]1,314 IFV/APCs
    [*]433 artillery guns and mortars
    [*]11,369 cargo and fuel tanker trucks
    Aisee

Majeshi ya Serikali ya Afghan 18,000
waliuwawa waliokuwa (wanasaidiwa na USSR)

Mimi nahisi waliokufa ni zaidi ya hao.

157152651-80.jpg
​

Baadae Warusi waliamua ku-withdrawal from Afghanistani

Yeah...waliamua kusepa baada ya kuchemsha na kilichofuatia huko kwao ni kuanguka kwa shirikisho la kisoshalisti.

RIAN_archive_58833_Withdrawal_of_Soviet_troops_from_Afghanistan.jpg

Soviet Army soldiers wave their hands as their last detachment crosses a bridge on the border between Afghanistan and Soviet Uzbekistan, Feb. 15, 1989

​

Ku-summarize kabla sijakujibu in details ni kuwa USSR (Afghanistan) ilipata the same fate kama US walichopata Vietnam!

Same fate kivipi hasa?

Sasa Wamerikani walikuwa wanawasapoti Wanamgambo ili tu kuwa Urusi washindwe katika kutetea Central government ya Afghanistani!!

Teh teh teh na kweli wakashindwa hadi wakaamua kucheua na kuondoka kurudi kwao.

Anyway, Urusi ilikuwa inastrugle ili kuisupport Central Government ili kuilinda Afghanistani hii hapa:

Na ndo maana baada ya kuondoka hilo shirikisho la Kirusi likaanguka na kuvunjika. Walikuwa na uchumi mbovu halafu wakajifanya kimbelembele na kujiingiza katika conflict isiyowahusu mwishowe wakashindwa kuji-sustain nyumbani.

135

afghan-women4.jpg

afghanistan7.jpg

afghanistan151.jpg

Kabul University Students at graduation

720x511xafghanistan25.jpg.pagespeed.ic.HJQ24Vm221.webp

Classroom in Kabul

afghanistan40.jpg

Women’s Rally 1980

640x380xafghanistan1.jpg.pagespeed.ic.OexRvUSQw4.webp

Afghan ladies at Kabul Airport

afghan-women3.jpg

afghan-women5.jpg

​

Afghanistani TODAY So Mkuu Nyani Ngabu, Kama US angeshirikiana na USSR katika kuhakikisha serikali halali ya Afghanistani inakuwa stabilized!

Kwa nini USSR asingeshirikiana na US ili kuhakikisha huo utawala dhalimu wanauondoa madarakani kwa pamoja?

Na kama US asingeamua ku-recruit Wanamgambo (Mujahdeen) na kuwapa silaha pamoja na Pesa

Basi leo
  • Hii Afghanistan hapo juu bado ingeendelea kuwa kama hiyo hapo juu na
  • Wala tusingekuwa na akina Osama bin Laden
  • Wala Sept 11 isingekuwepo
  • Wala US isingelazimika kurudi Afghanistani kwenda kupigana na watu wale wale alio wa recruit na kuwapa silaha!
  • Ah wapi. Wewe unaongea tu kwa vile una advantage ya hindsight.

Je Nyani Ngabu yaani bado unataka kuifananisha USSR na US?!

Kufanana kivipi? Kiuchumi? Kisiasa? Au kujiingiza katika vita visivyowahusu?

Vile vikundi alivyovi-requit US kama tulivyoona hapo juu hawawezi kuunda serikali moja / various religion ideologies etc na ndio maana Afghanistan ya leo. Sina sababu ya kupost picha za leo za afghanistan ili kujua how things changed!

Hujatoa ushahidi wowote ule ulio wa kutosha, kushawishi, wala kuaminika kwamba Marekani ndo iliunda hivyo vikundi.

Huwa nashangaa sana watu ambao wanaishabikia US blindly kama kina Nyani Ngabu bila ya kuwa na full Information on what US normally do under the Capet.

Nami huwa nawashangaa sana watu kama Dotworld ambao wanaishabikia Russia blindly bila hata kuwa na full information on what "Russia
normally do under the Capet"

Bytheway source zipo nyingi ila hata habari za Wikipedia zinatosha:

Ungenipia source mpya ningekuona wa maana kuliko kunipa habari za Wiki ambazo kila mtu na mamake anazijua.
 
Urusi siyo kinara wa teknolojia ya zana za kivita.

Kwangu Marekani ndo kinara na sababu ziko wazi kabisa.

Tatizo watu humu wanaleta articles zinazoandikwa na watu walio anti-US na kudhani huo ndo ukweli pekee.

Ni sawa na ukutane na mtu ambaye source ya habari zake ni gazeti la Uhuru na anaamini mazima kila asomacho kwenye gazeti hilo.

Hivi mtu kwa akili yake kabisa anaweza kudhani kwamba Urusi wanaweza kuwa na zana ambazo US hana counter yake?

Seriously?

'Miafrika ikikaa Washington DC Ndivyo Ilivyo.'

CC: Nyani Ngabu,
 
Ninachoweza kusema ni kuwa USSR was right kupeleka majeshi Afghanistan as ilikuwa ni kurestore central Government ambayo ilikuwa ni secular.But US was wrong ku-recruit vikundi vyenye msimamo mkali na kuwapa silaha

Hayo yote ni kwa sababu za US ni ilitaka USSR ifail basi tu lakini sio kwa sababu ilikuwa inawapenda sana Afghanistan!

Mambo haya yote yalianza June 1975, ambapo militants kutoka the Jamiat Islami party attempted to overthrow Afghanistani the government. In 1978, the Taraki government initiated a series of reforms, including a radical modernization of the traditional Islamic civil society.

The Afghan government, having secured a treaty in December 1978 that allowed them to call on Soviet forces, repeatedly requested the introduction of troops in Afghanistan in the first half of 1979.

They (Serikali halali ya Afghanistan) requested Soviet troops to provide security and to assist in the fight against the mujahideen rebels.

Sasa hapa kwa mawazo yangu US wangeshirikiana na USSR katika kuleta amani Afhanistan hiyo 1978 dhidi ya rebels against Central Government. Badala yake US akawa-organise Mawaziri wa mambo ya nje kutoka 34 Islamic nations adopted a resolution which condemned the Soviet intervention and demanded "the immediate, urgent and unconditional withdrawal of Soviet troops" from the Muslim nation of Afghanistan

Sasa waliokuza haya ya Afghanistani ni US!

Sasa Mkuu Ngabu .. hii mada ya Afghanistani ni pana sana na inabidi upate muda mrefu ili kuijibu kutoka angle mbalimbali na ndio sababu sikukujibu kwa sababu maelezo ni mengi.

Jambo moja tu la kutufundisha katika hizi vita:

USSR ilikuwa inasuppuport Serikali ya Afghanistan while US siku zote ina-support vikundi vya wanamgambo ku-distabilise central state

Mfano USSR walikuwa wanaisaidia Central Government while US wakawatafuta Vikundi mbalimbali ambavyo wana misimamo mikali ya kidini na kuwapa Propaganda ili kudistabilize Serikali kuu ambayo huwa haikubalini nao:

Mfano vikundi hivi vyote viliundwa na US kupitia CIA pamoja na Pakistani Inteligence Agency ili ku-fight USSR na Central government wasifanikiwe!

Sunni Mujahideen:
[/FONT][/SIZE]
  • Jamiat-e Islami
  • Shura-e Nazar
  • Gulbuddin faction
  • Maktab al-Khadamat
  • Khalis faction
  • Ittehad i-Islami
  • IRM
  • NLF
  • NIFA

Shia Mujahedeen:

  • Harakat i-Islami
  • Afghan Hezbollah
  • Nasr Party (IVOA)
  • COIRGA
  • Shura Party
  • IRM
  • UOIF
  • Raad Party
  • Supported by[show]
  • Small Maoist groups:
  • ALO
  • SAMA
  • AMFFF

Mwisho wa siku Majeshi ya Urusi yalipata hasara:

Jumla ya Wanajeshi Warusi 14,453 walikufa kwa ajili ya kui-support Serikali ya Afghanistani ambapo Jumla ya Loss ni kama

  • 9,500 killed in combat
  • 4,000 died from wounds
  • 1,000 died from disease and accidents
  • 53,753 wounded
  • 265 missing
  • 451 aircraft (including 333 helicopters)
  • 147 tanks
  • 1,314 IFV/APCs
  • 433 artillery guns and mortars
  • 11,369 cargo and fuel tanker trucks

Majeshi ya Serikali ya Afghan 18,000 waliuwawa waliokuwa (wanasaidiwa na USSR)

157152651-80.jpg
​

Baadae Warusi waliamua ku-withdrawal from Afghanistani

RIAN_archive_58833_Withdrawal_of_Soviet_troops_from_Afghanistan.jpg

Soviet Army soldiers wave their hands as their last detachment crosses a bridge on the border between Afghanistan and Soviet Uzbekistan, Feb. 15, 1989

​

Ku-summarize kabla sijakujibu in details ni kuwa USSR (Afghanistan) ilipata the same fate kama US walichopata Vietnam!

Sasa Wamerikani walikuwa wanawasapoti Wanamgambo ili tu kuwa Urusi washindwe katika kutetea Central government ya Afghanistani!!

Anyway, Urusi ilikuwa inastrugle ili kuisupport Central Government ili kuilinda Afghanistani hii hapa:

135

afghan-women4.jpg

afghanistan7.jpg

afghanistan151.jpg

Kabul University Students at graduation

720x511xafghanistan25.jpg.pagespeed.ic.HJQ24Vm221.webp

Classroom in Kabul

afghanistan40.jpg

Women’s Rally 1980

640x380xafghanistan1.jpg.pagespeed.ic.OexRvUSQw4.webp

Afghan ladies at Kabul Airport

afghan-women3.jpg

afghan-women5.jpg

​

Afghanistani TODAY So Mkuu Nyani Ngabu, Kama US angeshirikiana na USSR katika kuhakikisha serikali halali ya Afghanistani inakuwa stabilized!

Na kama US asingeamua ku-recruit Wanamgambo (Mujahdeen) na kuwapa silaha pamoja na Pesa

Basi leo

  • Hii Afghanistan hapo juu bado ingeendelea kuwa kama hiyo hapo juu na
  • Wala tusingekuwa na akina Osama bin Laden
  • Wala Sept 11 isingekuwepo
  • Wala US isingelazimika kurudi Afghanistani kwenda kupigana na watu wale wale alio wa recruit na kuwapa silaha!

Je Nyani Ngabu yaani bado unataka kuifananisha USSR na US?!

Vile vikundi alivyovi-requit US kama tulivyoona hapo juu hawawezi kuunda serikali moja / various religion ideologies etc na ndio maana Afghanistan ya leo. Sina sababu ya kupost picha za leo za afghanistan ili kujua how things changed!

Huwa nashangaa sana watu ambao wanaishabikia US blindly kama kina Nyani Ngabu bila ya kuwa na full Information on what US normally do under the Capet.

----
Read More:

Bytheway source zipo nyingi ila hata habari za Wikipedia zinatosha:

Link: Soviet–Afghan War - Wikipedia, the free encyclopedia

.cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy [B/www.jamiiforums.com/member.php?u=38229"]Maswala[/URL][/B] 1954 Nyani Ngabu [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=141127.

Mkuu dotworld wakati wa Cold war, mataifa haya mawili yalifanya chochote ili kuangamizana.ili yabaki kuwa salama. Na proxy war ilikuwa convenient way kuachieve their goals.

Hata technolojia ya nuclear ilivuja kwa mataifa mengine duniani, kwasababu ya ugomvi wao. Kwa wewe kusema USA ilikosea kuwatumia mujahidina pale Afghanistan na unasema USA haikuwa inawapenda wa Afghanistan. Labda unataka Kumaanisha Russia iliwapenda wa afghnistan. Wakati ukweli ni kuwa mataifa haya Makubwa duniani yalikuwa yana hujumiana kwa kila kitu. Na hakuna ushahidi wa kusema USSR iliwapenda waAfghanistan.am a serikali yao ya kisekulari

Kwani pia sio USA iliyoifanya Iran kuung'oa utawala wa kisekulari.

Russia ndio ilikuwa inafadhili mataifa.ya waarabu dhidi ya Israel.
Hata Amani mashariki ya kati Israel na Egypt ililazimishwa ilikuondoa influence ya Russia pale middle east. Ambaye alitaka.kuingia vitani moja kwa moja dhidi ya Israel.

Russia iliotumia aerikali ya afghan dhidi ya NATO. Ile ilikuwa vita proxy war, kipindi cha cold war.
Na umishenary wa wamarekani kwa wajahidina hauna uhusiano na ugaidi tuliona Leo. Waliutumia kuwapa morali ya kupigana. Manake waafghan walikuwa waoga kufa vitani.
Naweza nikasema usekulari unahusika na religion dominance zaidi,
Kasome zaidi historia ya uislamu ili kujua usekulari maanaake nini?

Kwa wale Wanaotaka ku-equate ugaidi wa leo na usa kuwa recruit ya mujahidina ni kuwa wanatafuta excuses za uovu wao.
Ile ni imani na inatumia maandiko. Na magaidi wa Leo hawapigani na Russia tena.

Russia ilikuwa ni nchi yenye mtazamo wa kupiga marufuku watu wasiamini katika uwepo wa mungu.

Russia ilishapeleka vichwa vya nuclear CUBA, kama sio USA kutka masaa 52 ya kuivamia kyuba kijeshi, wakati wa Kennedy, USSR wasingeviondoa vile vichwa.

Pia ufahamu tu kuwa ugomvi wa hapo Ukraine, unatokana na Russia kusapoti vikundi vya uasi(pro Russian).

Putin aliwahi kunukuliwa hivi karibuni Akisema atahakikisha anaviwezesha kipesa, vyama vya siasa vya upinzani vya ulaya magharibi especially vile vyenye mtazamo wa kikomunisti, ili vifanye kazi kwa maslahi yao na kueneza propaganda zao.

Na ni wiki hazijapita mbili, Russia imesaini mikataba ya kuiwezeaha ugiriki kiuchumi na kushirikiana nayo.

Utaona hata udukuzi aliokua akifanyiwa mama Angela Merkel na wamarekani (NSA) ni kwakuwa ametokea Eastern German ambayo ilikuwa ujerumani yenye kufuata ukomunisti. USA hawana imani naye. Wanahisi anawezA kuwa pandikizi. Ukiwa narrow minded utasema USA wachokozi. Kumbe la!

Russia imemnyang'anya Ukraine ardhi ya Crimea kwa ubabe.kwasababu tu anajiiunga na nchi ushirika na nchi za ulaya magharibi.

Ni mwaka jana kama sijakosea, Russia amedungua ndege ya kiraia akaua RAIA wengi wa uholanzi. Na wala haikuomba radhi kwa mauaji hayo. Ikafanya nde ge za mashirika mengine ya duniani ziamue rasmi kubadilisha route zake. Zisipite kwenye anga hiyo.

Ulaya na.marekani zilichukizwa na kuamua kuongeza economic sunctions zaidi kwa Russia.

Sasa Bado hujanishawishi kuwa mbinu za Russia ni takatifu dhidi ya mbinu za USA.
Nachotaka kusema haya mataifa yanasimamia objectives zao ruthless and fanatically.
Na hayawezi kuaminiana moja kwa moja. Na hapawezi kuwa na mchezo wa fair play kati yao. Na ndio mwana unaona China haitaki kuwa na USA wala Russia. Imechagua kuwa independent.

Kitu ambacho huwezi kukiepuka katika hii minyukano yao, USA imekuwa victor Mara nyingi zaidi. Wakati Russian imefeli zaidi.
Kwahiyo wanoishabikia USA blindly ni kwamba wanatazama results. Mpira ni magoli mkuu.
 
Back
Top Bottom