JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Mkuu reading between the lines nakuhakikishia jamaa huyu hajawahi hata kufika Merikani let alone TEXAS - labda kama alikwenda TEXAS kwa baiskeli kuangalia movies za Chuck Norris!! Mambo mengi ya teknolojia tunayo zungumza humu kwake sounds GREEK, nimeangalia ana attempt kuzungumzia nuclear Submarine, sijui Radio jammer mara aviator mara pilot basi kwa watu weledi walisha gundua kwamba jamaa huyu ni msanii mahili, afadhali angekaa kimya hasinge gundulika. Mimi namshauri asituletee vurugu sizizo kuwa na kichwa wala miguu, mbinu zake za kutaka ku-derail mada hazitafanikiwa - na infact zitamvunjia heshima in other words wanaJF-watamu-ignore, anashindwa kuiga wenzake akina Nyani Ngambu nk - kama hawezi kujenga hoja, basi hapa hampamfai.
Mambo mengi anayo file kwenye post zake yako totally incoherent!! Mimi namshauri DotWorld aendelee kutoa nondo kuwaelimisha Watanzania wenzake wenye kiu ya kujua mambo mengi ambayo yalikuwa yanafichwa/potoshwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi kwa muda mrefu - mimi nilianzisha crusade hii muda mrefu lakini nilikuwa siendi in details kama DotWorld ambaye anaonekana ni a prolific writer , kwa kifupi mambo mengi anayo yaleta humu binafsi nayajua sana kutokana na kuishi kwa muda mrefu na jamaa hawa, vile vile na background ya familia yangu, tutashirikiana na DotWorld hapa na pale ku-reverse propaganda za muda mrefu zilizo kuwa zinatumiwa na MSM kubrainwash wasikilizaji Duniani.
sawa kabisa mkuu, tuko pamoja