USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

"Haya mapicha yangu" kama unavyoyaita yanamaanisha Failure of American Imperialism! and Chaotic Withdrawal ya US troops pamoja na supporters (vibaraka wao) kutoka Vietnam!

Ina maanisha US baada ya kipigo walichopata huko Vietnam ... wanakimbia!

53e0fdda4aaa3.image.jpg
​

Kama ingekuwa US angekuwa ameshinda vita ya Vietnam asingelikimbia mji wakati vikosi vya North Vietnam vinaingia mjini Saigon!

US wakakimbiza watu wao, watu wakavamia ubalozi wakitaka muwaokoe vibaraka wenu! - hata sehemu ya kupaki helicopter mlikosa ikabidi helicopter itue juu ya nyumba (paa) ya ubalozi!

Kwenye meli zenu za US zimejaa mpaka mmekosa sehemu ya kuweka watu ikabidi mtupe / mzitose helicopter nyingine baharini ili kupata sehemu ya kuwaweka vibaraka wenu wa South Vietnam.
US waliomba peace baada ya kushindwa vita ili wafanye orderly withdrawal, North Vietnam wakakataa - wakasema kuwa hawana muda wa kuongea peace na Marekani ila kwa usalama wenu ni lazima vikosi vyote vya US viwe vimeondoka katika ardhi ya Vietnam haraka! - US yeyote atakaekutwa Saigon atauwawa!

Ndio maana US walikimbia mkautelekeza Ubalozi wenu wa US mjini Saigon ambayo leo mji umebadilishwa jina unaitwa Ho Chin Min City (ambalo ndio jina la Kiongozi wao aliewafurumusha US kutoka Vietnam!

Sasa hii ndio maana ya hayo mapicha! wewe si unasema eti Marekani ilishinda Vietnam?! - sasa mlikuwa mnakimbia nini? - mngengoja tu wawakute hapo kwenye hiyo nyumba au bandarini!

Anyway, through haya mapicha usiyoyapenda ... let me ... Refresh your memory!

On April 30, 1975, North Vietnamese tanks(link)rolled into the South Vietnamese capital of Saigon, marking the end of a decades-long conflict that left millions dead.
With North Vietnamese troops approaching Saigon, now known as Ho Chi Minh, the U.S. scrambled to pull back its last personnel in the city.

The photos below show frantic scenes as the U.S. attempted to evacuate thousands of government personnel, civilians and South Vietnamese residents.

o-SAIGON-APRIL-30-1975-900.jpg

A U.S. Marine helicopter takes off from the American Embassy in Saigon on April 30, 1975. (AP Photo/Phu)

o-SAIGON-APRIL-30-1975-900.jpg

Evacuees board a boat in the Saigon waterfront as communist forces from North Vietnam close in on the city. (AP Photo/Matt Franjola)

fall-of-saigon-2.jpg

fall-of-saigon-3.jpg

fall-of-saigon-4.jpg
fall-of-saigon-5.jpg

fall-of-saigon-6.jpg

​

o-SAIGON-APRIL-30-1975-900.jpg

On April 29, 1975, one day before the fall of South Vietnam, members of the U.S. Navy push a helicopter off a U.S. command ship and into the sea. The helicopter was discarded in order to make room for more evacuation flights out of Saigon. (AP Photo/File)

o-FALL-OF-SAIGON-900.jpg

On May 1, 1975, a large pile of U.S.-made rifles abandoned by pro-American Southern Vietnamese army soldiers sit on the ground at a commune in the southern province of Can Tho. (AFP/Getty Images)

o-SAIGON-APRIL-30-1975-900.jpg

On April 29, 1975, a South Vietnamese mother and her children prepare to board a U.S. helicopter to leave Vietnam. (AP Photo/File)

o-FALL-OF-SAIGON-900.jpg

Saigon residents take to the street to welcome the arrival of communist troops on April 30, 1975. (AFP/Getty Images)

o-FALL-OF-SAIGON-900.jpg

North Vietnamese soldiers sit on top of a tank posted in front of the presidential palace of the U.S.-backed regime as hundreds of Saigon residents gather around, April 30, 1975. (AFP/Getty Images)

o-FALL-OF-SAIGON-900.jpg

A North Vietnamese soldier perches on a tank in Saigon. (AFP/Getty Images)!

Sasa US mlikuwa mnakimbia nini kama mlikuwa mlishinda vita?! ... chaotic withdrawal ilikuwa ya nini?

Alafu unakuja hapa unataka kudanganya watu eti US walishinda Vietnam?! - Lol! .. wadanganye wengine wasiojua!

Chaotic withdraw of US Imperialism baada ya askari wenu wa US 53,000 kufa, ndege 10,000 kutunguliwa! - hasara kubwa sana!

Sasa Nyani Ngabu more than 3 million people, including 58,000 Americans, were killed in the conflict.... what for?! ... was it worth it?!

Read More
. 8 Historic Photos That Capture The Chaotic U.S. Withdrawal From Saigon
. Old Picz | The Fall of Saigon, 1975
. Vietnamese refugee describes monumental ‘Fall of Saigon’ - Port Arthur News Online: Local News
. The Fall of Saigon: Lessons for Today From the End of the Vietnam War
.

cc:
Bukyanagandi.Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau TUJITEGEMEE
.

Sadly..
Vita ya Vietnam ilikuwa one of the senseless machoni mwa wananchi wa USA , hii si kwa wamarekani peke yao bali kwa dunia. Hata Muhammad ally ni miongoni mwa wamarekani walipinga ile vita vikali sana. Upinzani ulitokana na kuona kuwa taifa lenye nguvu linaenda kushambulia taifa dhaifu. Matokeo ya upinzani wao yaliathiri morale ya wanajeshi. Na hata waliporudi nyumbani hawakupokelewa kama mashujaa, Bali wavamiz
I. Na wengi wa hawa wanajeshi walikufa vifo vya kusikitisha ikiwemo kujiua, ulevi. Ndio maana matokeo ya hii vita yalikuwa somo kwa wamarekani. (Source ni encyclopedia Britannica )

Pia.marekani iliwahi kufeli mkakati wa kumpindua Fidel Castro. Na ikawa aibu na shutuma nyingi dhidi ya wamarekani.

Ndio maana baada ya makosa ya vietnam, recently; Utaona japo walipinga vita ya Iraq lakini walipoona jeshi lao Limeenda kupigana. Waliwasapoti, na hatimaye wanajeshi wakaja na ushindi.

USA ilihitimisha vita baridi mwaka 90, baada ya kuvunja ukuta wa Berlin.

Na kuiangamiza USSR. -mission accomplished.

Wakati wa Taliban na mullah omar. Russia waliionya marekani kuwa isithibutu kuingia Afghanistan. Kwa madai kuwa wao walienda wakafeli na kupata hasara sana. USA akapuuza ushauri. Na kupeleka jeshi kumkimbiza Osama kwenye vumbi la Afghanistan. Mission were accomplished. Mfupa uliomshinda USSR ulitafunwa kiulaini na USA.
Bado utaona hata hiyl hasara.mnayoitaja kuwa USA waliipata huko Afghanistan Bado ni tone katika bahari.
Kwani haijayumbisha Research&Dev. yao katika silaha bora duniani.

USA ni ya pili kwa kuwa na jeshi kubwa duniani. Na la kisasa. China inaongoza .
Bajeti ya USA ya jeshi ni karibu nusu ya bajeti ya jeshi ya dunia.

Hi-Lites yangu inanionyesha kwa haraka kuwa uSA imekuwa victorious Mara nyingi zaidi katika mapambano ukilinganisha na Russia. Ikiwemo.proxy war

Russia alifeli uarabuni, alifeli ukomunisti, alifeli ujerumani, alifeli urafiki wake na China, alifeli Ukraine, alifeli uchumi, he's a failure. KGB knows best.

Koti alilovaa la nuclear tu ndio linampa Russia jeuri ya kuonyesha ana uwezo wa kupambana na marekani. Kitu ambacho hata China, India Pakistan, north Korea, wanazo nuclear. That make the least of differences.

Dunia inaposema USA ni polisi wa dunia haibahatishi. Itaonanhata Rais wa USA anapochaguliwa ulimwengu unakuwa concerned.
Kwani impact yake kwenye mustakabali wa dunia uko juu sana duniani.
Iwe Amani, uchumi, siasa, n.k.
Ni rahisi kwa simple minded person kufahamu jina la kiongozi wa USA kuliko wa Russia.
Kwa bahati mbaya majority wanaamini Russia ni urusi.

Mwanzo kulikuwa na Bipolar (upande wa USSR versus NATO) na tukaingia kwenye Unipolar(USA)
USSR is dead but NATO is still alive.
Hivi majuzi wakati wa sadam.na vita yaIraq, kuna chopper ya kisasa ya wamarekani.inaitwa Apache ilidunguliwa. Jeshi la sadam, likasema imedondoshwa na mgambo kwa gobore. Hatuwezi kuepuka ukweli kuwa makosa ya kiufundi huwa yanatokea , ama sivyo ndege ya malasyia isingepotea mbele ya satelites nyingi,
.cause hakuna limit ya uwezekano wa kutokea makosa.
MTU anayebisha kuhusu conventional war afuatiie kwa ukaribu kuhusu vifaru vya Abram.
Kwa miaka zaidi ya 20 marekaniniko kwenye vita. Hii INA maana karibu kila mwana jeshi wa marekani ameshiriki operation za kijeshi walau moja. Na hii inamwongezea uzoefu na ubora.

Sasa ikiwa USA imepigana. nyingi kuliko Russia. Iko wazi basi, Russia wakiingia kwenye conventional war na USA watachinjwa kirahisi kwasababu wanazo silaha lakini hawajawahi kuzitest na hawajafanya makosa.
Hii tu inatosha kusema kuwa USA ni bora kuliko Russia.
 
#2013

Very sensible, reasonable, well said....📶�👆👏👏👏👏👏👏

No questions at ALL....U.S.A ndio JOGOO wengine MITETEA...wanaokataa WAKAKODISHE AKILI WAJUE...!!!!! if possible...!!! 🐒🐒🐒🐒🐯🐯🐯🐯🐯

Bravo #2013 ....!!!

Sadly..
Vita ya Vietnam ilikuwa one of the senseless machoni mwa wananchi wa USA , hii si kwa wamarekani peke yao bali kwa dunia. Hata Muhammad ally ni miongoni mwa wamarekani walipinga ile vita vikali sana. Upinzani ulitokana na kuona kuwa taifa lenye nguvu linaenda kushambulia taifa dhaifu. Matokeo ya upinzani wao yaliathiri morale ya wanajeshi. Na hata waliporudi nyumbani hawakupokelewa kama mashujaa, Bali wavamiz
I. Na wengi wa hawa wanajeshi walikufa vifo vya kusikitisha ikiwemo kujiua, ulevi. Ndio maana matokeo ya hii vita yalikuwa somo kwa wamarekani. (Source ni encyclopedia Britannica )

Pia.marekani iliwahi kufeli mkakati wa kumpindua Fidel Castro. Na ikawa aibu na shutuma nyingi dhidi ya wamarekani.

Ndio maana baada ya makosa ya vietnam, recently; Utaona japo walipinga vita ya Iraq lakini walipoona jeshi lao Limeenda kupigana. Waliwasapoti, na hatimaye wanajeshi wakaja na ushindi.

USA ilihitimisha vita baridi mwaka 90, baada ya kuvunja ukuta wa Berlin.

Na kuiangamiza USSR. -mission accomplished.

Wakati wa Taliban na mullah omar. Russia waliionya marekani kuwa isithibutu kuingia Afghanistan. Kwa madai kuwa wao walienda wakafeli na kupata hasara sana. USA akapuuza ushauri. Na kupeleka jeshi kumkimbiza Osama kwenye vumbi la Afghanistan. Mission were accomplished. Mfupa uliomshinda USSR ulitafunwa kiulaini na USA.
Bado utaona hata hiyl hasara.mnayoitaja kuwa USA waliipata huko Afghanistan Bado ni tone katika bahari.
Kwani haijayumbisha Research&Dev. yao katika silaha bora duniani.

USA ni ya pili kwa kuwa na jeshi kubwa duniani. Na la kisasa. China inaongoza .
Bajeti ya USA ya jeshi ni karibu nusu ya bajeti ya jeshi ya dunia.

Hi-Lites yangu inanionyesha kwa haraka kuwa uSA imekuwa victorious Mara nyingi zaidi katika mapambano ukilinganisha na Russia. Ikiwemo.proxy war

Russia alifeli uarabuni, alifeli ukomunisti, alifeli ujerumani, alifeli urafiki wake na China, alifeli Ukraine, alifeli uchumi, he's a failure. KGB knows best.

Koti alilovaa la nuclear tu ndio linampa Russia jeuri ya kuonyesha ana uwezo wa kupambana na marekani. Kitu ambacho hata China, India Pakistan, north Korea, wanazo nuclear. That make the least of differences.

Dunia inaposema USA ni polisi wa dunia haibahatishi. Itaonanhata Rais wa USA anapochaguliwa ulimwengu unakuwa concerned.
Kwani impact yake kwenye mustakabali wa dunia uko juu sana duniani.
Iwe Amani, uchumi, siasa, n.k.
Ni rahisi kwa simple minded person kufahamu jina la kiongozi wa USA kuliko wa Russia.
Kwa bahati mbaya majority wanaamini Russia ni urusi.

Mwanzo kulikuwa na Bipolar na tukaingia kwenye Unipolar.
USSR is dead but NATO is still alive.
Majizi Iraq, chopper ya kisasa ya Apache ilidunguliwa. Jeshi la sadam, likasema imedondoshwa na mgambo kwa gobore. Hatuwezi kuepuka ukweli kuwa makosa ya kiufundi huwa yanatokea , ama sivyo ndege ya malasyia isingepotea mbele ya satelites nyingi,
.cause hakuna limit ya uwezekano wa kutokea makosa.

Sasa ikiwa USA imepigana. nyingi kuliko Russia. Iko wazi basi, Russia wakiingia kwenye conventional war na USA watachinjwa kirahisi kwasababu wanazo silaha lakini hawajawahi kuzitest na hawajafanya makosa.
Hii tu inatosha kusema kuwa USA ni bora kuliko Russia.
 
mkuu Dotworld kwa siku zote hizi,nimekuwa nikifatilia huu mnakasha kimya kimya bila kusema neno ili nipate kuelimika zaidi.now i'm breaking my silence about you sir,you're extra ordinary in international affairs.logically,you've left your opposers very far in arguments.hongera sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Netiquette 101: Tafadhali tumia tu fonts za kawaida. Hakuna haja ya kuchanganya changanya marangi mara sijui bold na hayo mazagazaga mengine.

Nadhani utaeleweka vizuri tu bila kuchanganya.

Wengine tunakuwa turned off na hivyo kuamua kupotezea mambo mengine.

Ili tuwe na mjadala wa kiutu uzima jaribu kuandika kawaida tu.

kubari tu Dotworld kakupiga za chembe kwenye ile post yake.naona unataka kujificha kwenye "tuvitu tudogo tudogo".eti fonts!!.hahahaha
 
Mkuu .. Mr. President siyo kila kitu utakipata kwa ku-google!

Mimi nakuambia kuwa Syria hana S-300 sema wapo wanapata Training on how to operate S-300 huko Russia.

Lengo la Syria kupewa S-300 si dhidi ya Israel! - hapana ni dhidi ya uvamizi na ambition ya Regime change ya Marekani.

Kimsingi Russia hana tatizo na Israel kama Israel ila tatizo anao na Marekani. Na sijui kama unajua kuwa kuna Raia wengi wa Israel (in Millions!) wana asili ya Russia!

Na pia Russia ndio nchi wanapoishi Waisrael wengi nje ya Israel!

2050948151.jpg

Waisrael wengi walitoka toka Russia na Ukraine kwenda Israel na ndio maana unaona Israel anapata kigugumizi hajui am-support yupi kati ya mgogoro wa Ukraine & Russia! as ni watu wale wale na sijui kama unajua kuwa Urusi wana State yao kamili (Oblast) maalum ya Jews! - na Jewish Laws ndizo zinatawala!

The Jewish Autonomous Oblast (Russian: Евре́йская автоно́мная о́бласть, Yevreyskaya avtonomnaya oblast; Yiddish: ייִדישע אווטאָנאָמע געגנט, yidishe avtonome gegnt is a federal subject of Russia (an autonomous oblast) in the Russian Far East, bordering with Khabarovsk Krai and Amur Oblast of Russia and with Heilongjiang province of China.

Government-hq.jpg
.
Hii ni ofisi ya Serikali ya Oblast ya Jews Russia - angalia maandishi ni Kiyaudi & Russia (Ni Kiyaudi kwa sababu State nzima ndio lugha rasmi)

Birobidjan-Dans-l-Etat-yiddish-de-Staline.jpg

Hawa ni Russians Jews na hapa ni Russia sio Israel

r1803457152.jpg

1543771641.jpg

Russian Jews remain an influential community: President Vladimir Putin lighting Hanukkah candles in Moscow

129_Menorah%20in%20Birobidjan.JPG

Angalia Miji ya Kiyahudi ya Russian Jews katika State yao - (unaona alama za Kiyahudi)​

Soma zaidi hapa(link): Jewish Autonomous Oblast - Wikipedia, the free encyclopedia

It is also referred to as "Yevrey" (Yiddish: יעװר&#1522😉 and "Birobidzhan" (Yiddish: ביראבידזשא&#1503😉. Its administrative center is the town of Birobidzhan! - sasa umeona sio kwamba Russia ana shida na Israel au Jews! kwanza hata kwenye serikali ya Russia wapo wanaongoza - tatizo la Russia ni kumlinda Syria tu asishambuliwe na US ila si dhidi ya Israel as Syria anaweza kujikinga dhidi ya Israel.

Unaweza ukashangaa kuwa ni kwa nini Syria amepigana miaka yote hii lakini bado hamuogopi Israel? - ni kwa sababu silaha zake nyingi aliwekeza kwenye ugomvi wa State to State (Missiles) zinazoenda mbali kureach Israel lakini hakutegemea kuwa ataletewa Alqaeda na ISIS na Marekani kwa ajili ya Urban Warfare & Terrorism.

Kwa hiyo as long as US haonyeshi wazo la Regime change in Syria basi hutasikia s300 kuwa inakwenda Syria - Sasa huyu Assad (Rais wa Syria) yeye anajitapa kuwa anazo s-300 ili kuwatisha maadui zake ikiwepo Israel.

Tatizo S-300 ikifika tu Syria ina maana kuwa hata ndege moja haitaweza kuruka NDANI ya ardhi ya North ISRAEL (as ni majirani) na sio Syria tu bali hata Jerusalem as itakuwa kwenye range ya kutunguliwa na Syria! ndio maana unaona jamaa hajapewa hiyo s300 na Russia!

Syria-missile-range-WEB.png
​

Sasa juzi tu hapa Mossad (Majasusi wa Israel) wamesema kuwa wana wasiwasi kuwa Syria anaweza akapata silaha hizi za s300 sio kutoka Russia! - bali ni kutoka Iran! - maana Russia amedhamiria kumpatia Iran na kwa uzoefu wao ni kuwa Iran kupitia Hezbollah watazipeleka Syria kwa rafiki yao Assad!

Sasa wewe unajua kuliko Mossad? - siku nne tu zilizopita ndo wana wasiwasi kuwa Syria atazipata kutoka Iran na wala siyo from Russia! - though ila kama US wakitaka kumshambulia Syria (Russia) amepromise kabisa kuwa atampatia S300 Syria ila kama hilo halitatokea basi hatampatia!

Hizo nyingine ni mbwembwe tu za Assad kwa maadui zake na mbembwe zako Mr Pres kuonyesha kuwa s300 imeshafika Syria na kwamba si kitu!

Teh! teh! teh! ... hebu pitia basi hii link hapa chini kutoka taarifa za Mossad kama unajua! - (maana ndio wanaendesha hiyo CIA yenu mnayoisifia!

Read More:

Israel Defence Force Air force official Brig.-Gen. (res.) Asaf Agmon speaks to 'Post' about the region impact Russia's recent deal with Iran could have.

Brig.-Gen. (res.) Asaf Agmon, CEO of the Fisher Brothers Institute for Air and Space Strategic Studies in Herzliya, described the S-300 as "one of the most advanced air defense systems in the world. This system will be a challenge for an air force to overcome. Its arrival is a significant change in our region."

Sasa wewe Mr Pres! Brig.-Gen. wa Israel Air Force ya Israel Defence Force anakuambia hiyo system ni most advanced air defense stystem in the world alafu wewe Armchair general unakuja na story zako hapa kuwa eti zipo Syria na wala si kitu! - unashangaza sana!

Hebu ongeza maarifa kidogo hapa chini

IAF must 'invest a lot' to overcome Russian S-300 missiles, says former air force official - Israel News - Jerusalem Post.

cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau TUJITEGEMEE kadoda11 .

Mkuu uko vizuri na Russia
 
mkuu Dotworld kwa siku zote hizi,nimekuwa nikifatilia huu mnakasha kimya kimya bila kusema neno ili nipate kuelimika zaidi.now i'm breaking my silence about you sir,you're extra ordinary in international affairs.logically,you've left your opposers very far in arguments.hongera sana mkuu.
Pamoja Mkuu, si unajua tena kuwa hapa JF tunabadilishana ideas & tunaelimishana ... though kuna kila aina ya watu na mawazo yako yapo tofauti tofauti ila mwisho wa siku tunapata mawazo tofauti katika kuongeza uelewa
 
......

Tukirudi kwenye mada kuhusu tishio kubwa la URUSI kwenye US NAVY- tishio hilo ni real sio utani - site nyingi zinazungumzia kwamba ni ndege moja ilihusika ku-wreak havoc kwenye the so called MEGA Hi-Tech AEGIS DEFENCE SYSTEM (PRIDE OF US NAVY and Land Based Defence System), ukweli wa mambo ni kwamba ni ndege tatu zilizo ruka kutoka kwenye nearest BASE for the mission, mbili ziliruka kwenye higher altitute, moja ndio iliruka kwenye low altitute (500 M above sea level) na kuizunguka meli ya Kimerikani mara kumi na mbili ikazima communication za meli, mobile phone satellite phone nk! Mkuu we fikiria mpaka baadhi ya wanamaji wa meli hiyo ya Kijeshi wafikie hatua ya kutoa notice ya masaa 24 ku-resign unafikili ni mchezo - waliotoa notice na fikiri ni wanajeshi wana sayansi walio kwenda shule waliona hakuna haja ya kwendela na ajila kwenye a floating coffin ambayo inaweza kuzamishwa time yoyote na mataifa kama Urusi, Uchina au India wakihamua kuizamisha - AEGIS system ambayo imeonekana dhahili haina ubavu wowote wa kushindana na teknolojia ya kisasa ya URUSI yenye uwezo mkubwa wa kuizima mitambo yote ya kujiamikushambulia ndani ya Meli za Kimerikani muda wowote wakiamua - oh yes inakuwa totally blind/deaf - harafu Warusi wakiamua kufyatua a Hypersonic Sea Skimming SUNBURN anti-Ship Missile si Meli za Kimerikani zitakuwa blown it into smithereens - ni mwanajeshi gani mwenye akili titamu atakubali kugehuzwa a CANNON FODDER - ndio maana baadhi ya wanamaji walihamua KUSEPA!! Who can blame 'em. Wewe unaweza kufikiri hilo lilikuwa ni tukio dogo tu - sikweli, kwa sisi wanasayansi tunajua fika implication yake.

........
Wakati Euro Maidan (maandamano ya ghasia nchini Ukraine yaliyochochewa na US kupitia Nulad, mmarekani wa 'f**k the E..) yamepamba moto na tayari wakiwa wameisha mtimua rais wa nchi hiyo (Viktor Yanukovych) aliyechaguliwa kwa njia za kidemokrasia; US ilikuwa imewaagiza 'contractors' wake wakishirikiana na kikundi katili cha Right Sector kumtafuta Viktor na wakimkamata na kisha wamuyeyushe na kemikali. Pia katika harakati hizo walitaka kulipua bwawa la maji yanayosaidia kusini na kusini mashariki mwa ukraine, pia walitaka kutia sumu chanzo cha maji yanayotumiwa na watu wa Crimea ili kuvuruga mchakato wa referendum ya huko Crimea iliyopelekea wana Crimea kuamua kujiunga na Russia Federation.

Mipango yote hiyo iliyokuwa inaandaliwa na wamarekani na watiifu wa EuroMaidan ilinaswa kwa urahisi na hatua stahiki kuchukuliwa, kwa sababu, Russia walifunga njia zote za mawasiliano ya kificho (encrypted communication) za wamerakani na wafuasi wao hapo Ukraine na mashariki ya ulaya kwa ujumla. Hivyo wakajikuta(wamarekani na wafuasi wao) wanatumia njia za wazi za mawasiliano(unencrypted communication) bila wao kujua. Baadaye alisikika mkuu mmoja wa operation wa vikosi vilivyokuwa chini ya contractors kutoka marekani akisema '..kila hatua tunayopiga tunajikuta Pro-Rusian na Russians wameishatutangulia hatua moja mbele zaidi...'

Maelezo haya yamo kwenye Documetary ya Crimea - Way Back Home ambapo Rais Putin ameshiriki kwa sehemu kubwa.

Mytake:
Mpaka hapo unaweza kutumia logic kugundua kuwa Russia wako mbele kitechnolojia hasa katika eneo hili lililozungumziwa.
 
Sadly..
Vita ya Vietnam ilikuwa one of the senseless machoni mwa wananchi wa USA , hii si kwa wamarekani peke yao bali kwa dunia. Hata Muhammad ally ni miongoni mwa wamarekani walipinga ile vita vikali sana. Upinzani ulitokana na kuona kuwa taifa lenye nguvu linaenda kushambulia taifa dhaifu. Matokeo ya upinzani wao yaliathiri morale ya wanajeshi. Na hata waliporudi nyumbani hawakupokelewa kama mashujaa, Bali wavamiz
I. Na wengi wa hawa wanajeshi walikufa vifo vya kusikitisha ikiwemo kujiua, ulevi. Ndio maana matokeo ya hii vita yalikuwa somo kwa wamarekani. (Source ni encyclopedia Britannica )

Pia.marekani iliwahi kufeli mkakati wa kumpindua Fidel Castro. Na ikawa aibu na shutuma nyingi dhidi ya wamarekani.
Mkuu yaani haya uliyoandika niliyoya-quote ndio yana maana ila kuanzia hapo kushuka chini ndio umeanza kuharibu na kupotoka kabisa ...

Aaaah ok now I get it! ... ni kwa sababu ya pili umeandika kwa mawazo yako mwenyewe .. ila yaliyokuwa ya kwanza ume-quote kutoka encyclopedia Britannica! ... that's why ulikuwa unatumia akili ya encyclopedia Britannica! XD!
 
mara nyingi sana huwa nasema ili tupate viongozi bora ktk nchi yetu hii hatuna budi kuweka midahalo ya wazi namna hii ... kila mgombea anapewa muda wa kutosha kuelezea uzoefu na uelewa wake ktk masuala mbalimbali yanayotusibu kama Taifa kwa upana wa kutosha.

from there tunaweza kuelewa uwezo wa mtu ktk kufikiri na kujenga hoja pia katika decision making zitakazomkabili

Dotword mie sikufahamu na wala sihitaji hilo
Ila kwa kutumia sense zangu naweza sema uko vizuri sana ktk kujenga hoja,kuielezea na kumshawishi mtu kwa mifano hai haswa.
Nashawishika kukubali na kusema IQ yako ni kubwa si mchezo
Sijui your position ktk nchi hii ila inawezekana uko sehemu nzuri tu ktk kuleta positive changes nchini kwetu
Ila sitashangaa vile vile mtu kama ww ukiwa upo tu mtaani au kwenye position ya kawaida sana koz ndio nchi yetu ilivyo.

Ol in Ol mungu akuzidishie sana koz umenipa Elimu ya kutosha sana ktk thread hii.🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
kubari tu Dotworld kakupiga za chembe kwenye ile post yake.naona unataka kujificha kwenye "tuvitu tudogo tudogo".eti fonts!!.hahahaha

Hao jamaa wakati mwingine nawaita GCE (GreenCardElites) wako vizuri kwenye nyanja hizo wanapobananishwa na hoja zao butu. Usishangae, JF reputation zako zinapukutishwa kisa umewabana. Na kueleza hayo kwa sababu yamenikuta. Usione hiyo JF Rep yangu ni zero (0) ukadhani kuwa nilivunja sheria za JF nikapigwa ban, la hasha ! Ni kazi ya GCE ili wani 'demoralize' niache kuchangia JF. Sikujali bado nimo.
 
kubari tu Dotworld kakupiga za chembe kwenye ile post yake.naona unataka kujificha kwenye "tuvitu tudogo tudogo".eti fonts!!.hahahaha

Fanboy, hakuna chochote hapo wewe.

Nime-address hayo mavurugu katika uandishi wake halafu nikaja kumjibu tena kwa hoja.

Wewe fanboy ndo umeshindwa kuliona hilo na umeamua kuona mambo ya netiquette tu.

Rudi juu na nyuma unisome tena, kama hata una raghba ya kufanya hivyo.

La sivyo endelea kupiga vuvuzela tu.
 
Mkuu sijasema directly USA wanashida ya chakula. But shortly ni kwamba. Russia is well organized country in terms of education, employment and economic stability than USA. America mpaka akaibe mafuta uarabuni na kuwachonganisha waarabu, aingilie siasa za mataifa mengine ndo apate nafuu. Ku react kwa matusi hakusaidii kitu mkuu.

watu milioni 40 wa marekani wanakula kwa stamp,i mean wanategemea kula kwa msaada.
ukisoma washington post la jana marekani ni kama iko kwenye recession kwa sasa.
marekani inazidiwa na hata china katika kutoa misaada,mfano marekani msaada mkubwa aliowahi kutoa miaka ya karibuni ni dola bilion 3 kwa israel na bilion kama 1 kwa misri.wakati china inatoa bilioni hadi 50 dola kwa nchi moja,investment ya mchina mfano kule pakstani kujenga bandari na barabara ni dola bilion 45,hakuna investment kubwa ya marekani kama za mchini.
wakati huo deni la marekani la trilion 17,haliwezi kulipika mpaka labda dunia ivurugwe na kujengwa upya(vita ya dunia).
 
Fanboy, hakuna chochote hapo wewe.

Nime-address hayo mavurugu katika uandishi wake halafu nikaja kumjibu tena kwa hoja.

Wewe fanboy ndo umeshindwa kuliona hilo na umeamua kuona mambo ya netiquette tu.

Rudi juu na nyuma unisome tena, kama hata una raghba ya kufanya hivyo.

La sivyo endelea kupiga vuvuzela tu.

"nyani",
nimeusoma mnakasha huu post kwa post,sijaona hoja yako yenye mantiki itakayo nishawishi nirudi nyuma kukosoma upya.upo kawaida sana.
 
Hivyo wakajikuta(wamarekani na wafuasi wao) wanatumia njia za wazi za mawasiliano(unencrypted communication) bila wao kujua. Baadaye alisikika mkuu mmoja wa operation wa vikosi vilivyokuwa chini ya contractors kutoka marekani akisema '..kila hatua tunayopiga tunajikuta Pro-Rusian na Russians wameishatutangulia hatua moja mbele zaidi...'

Maelezo haya yamo kwenye Documetary ya Crimea - Way Back Home ambapo Rais Putin ameshiriki kwa sehemu kubwa.

Mytake:
Mpaka hapo unaweza kutumia logic kugundua kuwa Russia wako mbele kitechnolojia hasa katika eneo hili lililozungumziwa.
Mkuu TUJITEGEMEE ... I have to admit kuwa nimeshangaa kidogo kuona kumbe na huku JF kuna watu wamepata kuiangalia hii Documentary ... Crimea: The Way Home - EN Subtitles - Full Documentary congratulation!

Hii Documentary Crimea: The Way Home - EN Subtitles - Full Documentary ina English unaweza kuifuatilia na utajifunza mambo mengi sana kuhusu US, Ukraine, EU & Geopolitics.

Utajua ni kwa nini Putin alikuwa tayari kusimama na kufanya vita na US hata kama ni Nyuklia! (maana yeye mwenyewe anasema kuwa ilibakia kidogo aviweke mkao wa vita vikosi vya Nuclear vya Russia (hatari sana)

Kwakweli nai-recommend kwa kila mtu ambae ana interests kujua why Crimea had to go back to Russia & why civil war in Donbass (Ukraine) aiangalie hii

Sasa naiweka hapa watu waweze kuiona

Unaweza ukabonyeza alama ya mishale minne kwenye kona kulia (maximize) ili kuiona katika full screen.

Highly Recommended!

[video=vimeo;123194285]https://vimeo.com/123194285[/video]

​

cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau kadoda11
 
"nyani",
nimeusoma mnakasha huu post kwa post,sijaona hoja hoja yako yenye mantiki itakayo nishawishi nirudi nyuma kukosoma upya.upo kawaida sana.

Na sitarajii uone hoja yangu yoyote yenye mantiki kwa sababu huna uwezo wowote wa kung'amua niandikacho.

Si kosa lako lakini. Ni ndivyo ulivyo tu.
 
actually wana mahesabu wanadai itachukua miaka milioni 400 kwa marekani kuweza kulipa deni hilo
 
Big lough....

U based on Pro-Russian DOCUMENTARY....openly u named Putin yuko ndani...!!! So what EXPECTATIONS U HV THERE...!!? Conclusions are known already as long THT IS PRO-RUSSIAN DOCUMENTARY....na ww ukaingia kichwa kichwa UNATOA CONCLUSION zako TO FAVOUR RUSSIA based on PRO-RUSSIAN DOCS.....big lough..!!!

Be smart, IN STRAIGHT LINE, TO PICK THE TRUTH...."!! DOCUMENTARY is not SOMETHING YOU CAN BASE ON...!!!! it depends hiyo DOCUMENTARY ni ya UPANDE UPI...na kwa maslahi ya nani..!!! Cremia ni part OF RUSSIA ya wakati wa USSR...watu wake ni RUSSIANS....ila jua ni U.S.A ndio ilisababisha USSR kubomoka...so Cremia kurudi Russia si issue kubwa...U.S.A ni mbabe, anatoka Miles and Miles, na anaibomoa Russia, kutumia njia mbali mbali...na kaiweza kweli kweli...!!

Back
Top Bottom