USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Na sitarajii uone hoja yangu yoyote yenye mantiki kwa sababu huna uwezo wowote wa kung'amua niandikacho.

Si kosa lako lakini. Ni ndivyo ulivyo tu.
labda kama ungekuwa unaandika kwa kingereza chako kile cha kimtaani cha marekani ndio nisingeweza kung'amua udhaifu wa post zako kwenye mnakasha huu.
 
Ooh God, watu wako wanaangamia kwa kukosa MAARIFA....😷😷😨😨😨

U failed to understand, KUNA MSAADA....NA INVESTMENT....!!!

AMERICAN AIDS...ni BUREEE...hata ikitoa $ 1 BIL ni BUREEE hirudishwiii....!!!! Tht is NOT INVESTMENTS OR LOAN FOR INVESTMENTS....!!! damn...unapewa bureeee, msaada unalalamika...!!?

China, ni maskini like Russians, CHINA HAWATOI MISAADA, wanatoa LOANS...ILI ULIPE KWA RIBA KWA MIAKA, hizo si bureee....!!! China HAWATOI MISAADA...NEVER EVER...WANATOA LOANS za Investments ili ULIPE KWA RIBA KWA MIAKA....

So unapewa BUREE na U.S.A....hadi MAHOSPITALI, MAJENGO, BARABARA, MAJI, ELIMU, INAANDIKWA KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI...huo ni BUREEE...ni msaada, hulipi...SIO INVESTMENT LOANS...

You failed to distinguish the AIDS and INVESTMENTS LOANS....!!? OMG...!!!😨😨

watu milioni 40 wa marekani wanakula kwa stamp,i mean wanategemea kula kwa msaada.
ukisoma washington post la jana marekani ni kama iko kwenye recession kwa sasa.
marekani inazidiwa na hata china katika kutoa misaada,mfano marekani msaada mkubwa aliowahi kutoa miaka ya karibuni ni dola bilion 3 kwa israel na bilion kama 1 kwa misri.wakati china inatoa bilioni hadi 50 dola kwa nchi moja,investment ya mchina mfano kule pakstani kujenga bandari na barabara ni dola bilion 45,hakuna investment kubwa ya marekani kama za mchini.
wakati huo deni la marekani la trilion 17,haliwezi kulipika mpaka labda dunia ivurugwe na kujengwa upya(vita ya dunia).
 
Na sitarajii uone hoja yangu yoyote yenye mantiki kwa sababu huna uwezo wowote wa kung'amua niandikacho.

Si kosa lako lakini. Ni ndivyo ulivyo tu.

ha ha,nyani ngabu,kawa mpweke kweli
ni vile tu huna link wamarekani nao kuna baadhi ya weapons platform wako juu,sasa wewe sema huzipati link,na hapa watu wanaichukia america kwa vitendo vyake hapa duniani,sasa mtu wa kuhangaika na data za silaha za kimarekani hayupo.
kikubwa marekani anajivunia jeshi la anga(ndege),mrusi an
 
Anhaa!

I got you exactly where I want you.

I mentioned earlier that the growing opposition to the war in America is what made America get out of the war.

The American body politic grew tired of the conflict and eventually lacked the political will to continue the war.

Mind you, when the war was in full swing, civil rights activism was also in full swing and a lot of questions were being asked as to why America would spend so much money on a war half way around the world but it can't use that money on its own citizens condemned to living a life of grinding poverty.

I even uploaded a YouTube video of Martin Luther King Jr's speech explaining his reasons for his opposition to the war. Did you even bother to listen to it?

At the end of the day America wised up to the fact that it was a worthless war. What was in it for them to get involved to begin with?

It's not like Vietnam had attacked mainland USA.

Yes, 50 thousand plus American GIs died but by the same token, millions of Vietnamese died let alone the destruction of infrastructure and other things of that nature.

Now, any human death is a tragedy to some degree, but, in the context of war I'll take 50K deaths over millions of deaths on any given day.

50K is a drop in the bucket compared 3 million plus.

America got out of the Vietnam conflict the same way the Soviet Union got out of Afghanistan.

And I guarantee you some of your fan-boys and gals in here don't even know that the Soviets were mired in the Afghan conflict for a decade.

Imebidi nijinukuu mwenyewe!

Hakuna aliyethubutu kuzijibu hizo hoja.

Speaks volumes....
 
ha ha,nyani ngabu,kawa mpweke kweli
ni vile tu huna link wamarekani nao kuna baadhi ya weapons platform wako juu,sasa wewe sema huzipati link,na hapa watu wanaichukia america kwa vitendo vyake hapa duniani,sasa mtu wa kuhangaika na data za silaha za kimarekani hayupo.
kikubwa marekani anajivunia jeshi la anga(ndege),mrusi an

You people stop hallucinating.

Nimekuwa mpweke kivipi hasa?

Acheni kujiaminisha mambo ambayo hayapo.

Manake sasa mnaleta ushabiki usio na kichwa wala miguu.
 
Imebidi nijinukuu mwenyewe!

Hakuna aliyethubutu kuzijibu hizo hoja.

Speaks volumes....

ile post imekatika nilipoisubmit nilikua nimeandika mengi nadhani nikajaribu kuedit kitu kumbe nimefuta,sasa tena kuanza upya vdole vimechoka,
nikujibu kuhusu soviet jins walivyoondoka afaghnistan ni tofauti na jinsi marekani alivyoondoka vietnam.
ilikua ni sawa na syria alivyoondoka lebanon,
mrusi hakuondoka anakimbia afaghnistan.
story imeelezwa vizuri sana wikipedia cheki.
 
Umeiangalia hiyo documentary niliyoiweka?
 
Be traight to the point. Texas kuijua au kutoijua ndo nini? unaongea kama mvuta bangi. Ongea point tukuelewe ukiweka na evidence. Siyo ku bwabwajabwabwaja tu. Biggest country for what? hapa hatuko kwenye story za kijiweni. You better shut up your mouth...... Siwezi ku argue na mtu ambaye hana mpangilio wa point na hajui kujenga hoja. Kapige story na wenzako huko kijiweni. Inaonekana ulikwenda Texas........ Ndo wabongo wapo huko kibao ahahhahaha.

Mkuu reading between the lines nakuhakikishia jamaa huyu hajawahi hata kufika Merikani let alone TEXAS - labda kama alikwenda TEXAS kwa baiskeli kuangalia movies za Chuck Norris!! Mambo mengi ya teknolojia tunayo zungumza humu kwake sounds GREEK, nimeangalia ana attempt kuzungumzia nuclear Submarine, sijui Radio jammer mara aviator mara pilot basi kwa watu weledi walisha gundua kwamba jamaa huyu ni msanii mahili, afadhali angekaa kimya hasinge gundulika. Mimi namshauri asituletee vurugu sizizo kuwa na kichwa wala miguu, mbinu zake za kutaka ku-derail mada hazitafanikiwa - na infact zitamvunjia heshima in other words wanaJF-watamu-ignore, anashindwa kuiga wenzake akina Nyani Ngambu nk - kama hawezi kujenga hoja, basi hapa hampamfai.

Mambo mengi anayo file kwenye post zake yako totally incoherent!! Mimi namshauri DotWorld aendelee kutoa nondo kuwaelimisha Watanzania wenzake wenye kiu ya kujua mambo mengi ambayo yalikuwa yanafichwa/potoshwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi kwa muda mrefu - mimi nilianzisha crusade hii muda mrefu lakini nilikuwa siendi in details kama DotWorld ambaye anaonekana ni a prolific writer , kwa kifupi mambo mengi anayo yaleta humu binafsi nayajua sana kutokana na kuishi kwa muda mrefu na jamaa hawa, vile vile na background ya familia yangu, tutashirikiana na DotWorld hapa na pale ku-reverse propaganda za muda mrefu zilizo kuwa zinatumiwa na MSM kubrainwash wasikilizaji Duniani.
 
Administration just released data for the average yearly salary in the US in fiscal year that just ended. It stands at $44,888.16.
The currentdebt level of over $17.9 trillion would thus take more than 398 million years of working at the average wage to pay off.
This means that even if0„2every man, woman and child in the United States
0„2would work for one year just to help pay off thedebt the government has piled on in their name,0„2
it still wouldn¡¯tbe enough.
Mind you that this means contributing0„2everything0„2you earn, without taking anything for your basic needs¡ªwhich equates to slavery.
Now, rather than saying that the nationaldebt is reaching $18 trillion, which means nothing to most people, you could say that thedebt would currently take almost 400 million work-years to pay off. Wow.
When accounting for unfunded liabilities, the work-years necessary to pay off thedebt amount to astonishing 2.38 BILLION work-years¡-
And the years of slavery required are only growing.
As an amount alone thedebt is meaningless, but in terms of your future enslavement itcanbe better understood.
To put this in perspective even further¡ªwhat was the situation like previously?
At the end of the year 2000, the nationaldebt was at $5.7 trillion, while the average yearly income was $32,154. That¡¯s 177 million work-years.
Again¡ªwow.
So just from the turn of the century, we¡¯ve seen the time it would take to pay off the nationaldebt more than double.
 
Angalia nchi zilizo karibu na US mfano japan, S.korea afu linganisha na nchi zilizo karibu na russia mfano Iran, syria hapo utaona ukiwa karibu na ua lazima unukie......
Afu unakuta mswahili yuko kwenye gari toyota afu ana samsung galaxy ndo ameingilia humu full kujitoa akili
 
ile post imekatika nilipoisubmit nilikua nimeandika mengi nadhani nikajaribu kuedit kitu kumbe nimefuta,sasa tena kuanza upya vdole vimechoka,
nikujibu kuhusu soviet jins walivyoondoka afaghnistan ni tofauti na jinsi marekani alivyoondoka vietnam.
ilikua ni sawa na syria alivyoondoka lebanon,
mrusi hakuondoka anakimbia afaghnistan.
story imeelezwa vizuri sana wikipedia cheki.

Mkuu kama umetumia muda kuandika topic fulani alafu ikafutika huwa inatia hasira sana,mimi nakushauri next time jaribu kuwa una-save kwenye msword once in a while ili tatizo likitokea utakuwa na backup - utakacho fanya ni ku-copy na ku-paste basi, alternatively jaribu tena kupost majibu yako angalia kwenye autosave uki-click utakuta baadhi ya maneno kwenye post yako yalikuwa saved - wakati mwingine unaweza kukuta topic nzima ilikuwa autosaved - Goodluck.
 
Angalia nchi zilizo karibu na US mfano japan, S.korea afu linganisha na nchi zilizo karibu na russia mfano Iran, syria hapo utaona ukiwa karibu na ua lazima unukie......
Afu unakuta mswahili yuko kwenye gari toyota afu ana samsung galaxy ndo ameingilia humu full kujitoa akili

America runs the world.

Subiri uone jinsi uchaguzi wa Marekani utakavyoshabikiwa humu.

Kwanza tayari ushaanza kushabikiwa.

Kuna yule mfia dini kila siku haachi kubandika mada zinazohusu uchaguzi ujao wa Marekani.

Sasa jiulize, hivi Urusi uchaguzi wanafanya lini?
 
ukweli ni kuwa S-300,ni mota tu kati ya air defence system ya mrusi.ukiachia mbali S-400 ambayo ndo inaingia jeshini sasa.
pia kuna S-500 ambayo iko katika pipeline,na pia s-1000.
Bila kusahau short range kama TOR,BUK etc.

wakati marekani wana advanced patriot-3 ,Terminal high altitude air defence(THAAD),AEGIS.
lakini ni mrussi ndo system zake zinaonekana juu kuliko hizi za mmarekani
 
Mkuu kama umetumia muda kuandika topic fulani alafu ikafutika huwa inatia hasira sana,mimi nakushauri next time jaribu kuwa una-save kwenye msword once in a while ili tatizo likitokea utakuwa na backup - utakacho fanya ni ku-copy na ku-paste basi, alternatively jaribu tena kupost majibu yako angalia kwenye autosave uki-click utakuta baadhi ya maneno kwenye post yako yalikuwa saved - wakati mwingine unaweza kukuta topic nzima ilikuwa autosaved - Goodluck.

imenikata stimu,nimetumia dakika 15 natype ,.nilikua naongelea ile system ya perimeter,pia zile borey class submarine mpya za russia ,kombora la marekani -PEACEMAKER na jinsi mmarekani hajatoa intercontinental missile tangu miaka ya 90 wakati russia mara ya mwisho kuweka kombora jipya ni mwakajana mwishoni,etc
 
wakati marekani wana advanced patriot-3 ,Terminal high altitude air defence(THAAD),AEGIS.
lakini ni mrussi ndo system zake zinaonekana juu kuliko hizi za mmarekani

Kuonekana kama ziko juu haina maana kuwa kweli ziko juu.

Looks can be deceiving, you know!
 
Administration just released data for the average yearly salary in the US in fiscal year that just ended. It stands at $44,888.16.
The currentdebt level of over $17.9 trillion would thus take more than 398 million years of working at the average wage to pay off.
This means that even if0„2every man, woman and child in the United States
0„2would work for one year just to help pay off thedebt the government has piled on in their name,0„2
it still wouldn¡¯tbe enough.
Mind you that this means contributing0„2everything0„2you earn, without taking anything for your basic needs¡ªwhich equates to slavery.
Now, rather than saying that the nationaldebt is reaching $18 trillion, which means nothing to most people, you could say that thedebt would currently take almost 400 million work-years to pay off. Wow.
When accounting for unfunded liabilities, the work-years necessary to pay off thedebt amount to astonishing 2.38 BILLION work-years¡-
And the years of slavery required are only growing.
As an amount alone thedebt is meaningless, but in terms of your future enslavement itcanbe better understood.
To put this in perspective even further¡ªwhat was the situation like previously?
At the end of the year 2000, the nationaldebt was at $5.7 trillion, while the average yearly income was $32,154. That¡¯s 177 million work-years.
Again¡ªwow.
So just from the turn of the century, we¡¯ve seen the time it would take to pay off the nationaldebt more than double.

I do wonder ur IQ....such the THINNEST...!!! ONE SIDED thinking....!!!

Hv, ULIFIKIRI MADENI MAKUBWA YANALIPWA KWA KODI ZA MISHAHARA TU...!!? Umechukua salary taxes, ukagawanya na amount of debt ya U.S.A ndio unaleta porojo zako....!!! Ww bila hata KUFIKIRI KIUCHUMI, au Kisayansi ukikuta posts hasa za HOVYO UNA COPY NA KUPASTE...!!! Tht is mental paralysis....!!!

U.S debt $ 17.8 trillions is just 102% OF U.S ...GDP...!!!

Unajua maana yake hiyo kiuchumi ..!? Tht is very NORMAL...Any COUNTRY as long DEBT to its GDP ratio doesn't exceed 100% is in SAFE SIDE....it can get LOANS anywhere....hicho ni KIGEZO KIKUBWA SANA KUANGALIA....!!!"

So ww unasikia WANA SIASA, wa huko U.S.A wakitafuta KURA, wakitumia vigezo cha MFANYAKAZI TU KULIPA KODI THRU SALARY TAXES, ndio unaleta ur yrs hapa....!!? HIYO DEBT is VERY Normal kulingana na UKUBWA WA UCHUMI WA MAREKANI....hujui tu..!!!

Hapo, ulipo unatumia KILA KITU KARIBU VYA U.S.A....Sat. TV ( Digital ), Radio, Internet, Budget ya nchi yako almost 14% from U.S.A alone, Data bundle lastly hela yako inaenda U.S.A, Tele communications signals,(phone calls, sms, internet) Facebook, Tweeter, What's up, Computer soft ware ( Microsoft) unaongea hujui chochote, unailipa U.S hela kila siku, Afrika, na Dunia nzima wanalipia U.S services hizo kila cku...MEANING NA WW UNALIPA DENI HILO....thru ur money here...ushaelewa...!!? Satellites zako..!!? Vitu kibao hapa Tz mmepewa BUREE kwa HISANI YA WATU WA MAREKANI....VIBAO KILA KONA...

JE, hapo ulipo kuna KITU CHA RUSSIA UNATUMIA....!!? taja kimoja tu...hakuna..!!? Ulishasikia msaada mmoja toka Russia...!!? Hakuna..!!? Niseme HUJIELEWI....ww ni SAWA NA mtoto anayekula na kulala, unashiba, unasomeshwa na wazazi hapo hapo
UNAWATUKANA WAZAZI WAKO BLINDLY sbb ya uijinga huku huwezi jitegemea....huo ndio mfano wako na wengine....!!!-
 
Big lough....

U based on Pro-Russian DOCUMENTARY....openly u named Putin yuko ndani...!!! So what EXPECTATIONS U HV THERE...!!? Conclusions are known already as long THT IS PRO-RUSSIAN DOCUMENTARY....na ww ukaingia kichwa kichwa UNATOA CONCLUSION zako TO FAVOUR RUSSIA based on PRO-RUSSIAN DOCS.....big lough..!!!

Be smart, IN STRAIGHT LINE, TO PICK THE TRUTH...."!! DOCUMENTARY is not SOMETHING YOU CAN BASE ON...!!!! it depends hiyo DOCUMENTARY ni ya UPANDE UPI...na kwa maslahi ya nani..!!! Cremia ni part OF RUSSIA ya wakati wa USSR...watu wake ni RUSSIANS....ila jua ni U.S.A ndio ilisababisha USSR kubomoka...so Cremia kurudi Russia si issue kubwa...U.S.A ni mbabe, anatoka Miles and Miles, na anaibomoa Russia, kutumia njia mbali mbali...na kaiweza kweli kweli...!!

Sasa kama aliweza mbona russia karudisha? hapo nani mjanja?
 
Back
Top Bottom