US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Screenshot_20220221-225618.jpg
 
Hawa mbuzi ilioaswa tuwafunge, ndio basi tu, Kanoute kazingua.. Halafu mimi huyu kanoute bado kumuelewa, pass accuracy yake ni mbovu. Game hii alihitajika kiungi mnyumbukifu kuwa maliza pale kati, wajomba wanakaba kama game za ndondo.
 
Hii game ilipaswa Kanoute acheze na mkude pale katikati.
 
Sawa mkuu maana inaonekana somo la hesabu limekuwa ugonjwa wa taifa. Kaa chini piga hesabu endspo timu tatu zote yaani Simba, Assec na Berkane wakishinda nyumbani kwao je kitakachoipa timu nyingine ziada ya kufuzu ni nini kama sio point zilizovunwa kwenye mechi za away dhidi ya USGN?
Mwalimu wa somo la hesabu? Unaona hesabu zako zilivyokua fake?

Tulisema hapa Simba ashinde mechi zake 2 za nyumban anafuzu, akishinda ijayo anafuzu au hafuzu??

Nyonyoma wewe
 
Sawa mkuu maana inaonekana somo la hesabu limekuwa ugonjwa wa taifa. Kaa chini piga hesabu endspo timu tatu zote yaani Simba, Assec na Berkane wakishinda nyumbani kwao je kitakachoipa timu nyingine ziada ya kufuzu ni nini kama sio point zilizovunwa kwenye mechi za away dhidi ya USGN?
Rudi hapa useme tena kwamba kila team itaifunga USGN.
 
Back
Top Bottom