US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

Tusamehe bure ndg yetu....Sasa tumewatofautisha Kumbe Waliowatandika 'Nje ndani' Ni Wanigeria....Basi Sisi Tulivyoona Jina linaanzia na Nige tukajua ndo hao hao kumbe Mwishoni Hakuna RIA...!
Hivi wale Platinums walikuwa wa NIGERIA au NIGER. Kuna timu iliwafanya jambo baya.

Na wale MITO ILIYOUNGANA aka RIVERS UNITED ilyomfanya mtu nje ndani ni ya NIGERIA au NIGER.
 
Hapana mkuu sio kweli na wasije wakasoma comment yako wachezaji wetu wakabweteka. Simba anahitaji tena point 1 away na points 6 home ili kujihakikishia kufuzu. Berkane na Asec wamebakiza mechi mbili mbili home maana yake wakishinda zote wanakuwa na points 9. Kama Asec na Berkane kila mmoja wataifunga USG away maana yake watafikisha points 12 kila mmoja huku simba ikiwa na points 10.
Kwa hiyo safari bado tusibwete.
Mnakosea sana kufanya assumption za kila team kuwafunga waniger, watanzania mtachelewa sana kuujua mpira.

Kwa ile pitch ya waniger na aina ya uchezaji wao, basi matokeo makubwa pale kwao ni draw tena hao waarabu si ajabu wakafungwa.
 
Hawa wa Ivory coast tuliwafunga wakaonekana vibonde.. jana wamemfunga mwarabu wamekua visu tayar sio kibonde tena hahaha
 
Simba alishinda mechi 2 nyumban amefuzu , unazunguuuka
Sawa mkuu maana inaonekana somo la hesabu limekuwa ugonjwa wa taifa. Kaa chini piga hesabu endspo timu tatu zote yaani Simba, Assec na Berkane wakishinda nyumbani kwao je kitakachoipa timu nyingine ziada ya kufuzu ni nini kama sio point zilizovunwa kwenye mechi za away dhidi ya USGN?
 
Mnakosea sana kufanya assumption za kila team kuwafunga waniger, watanzania mtachelewa sana kuujua mpira.

Kwa ile pitch ya waniger na aina ya uchezaji wao, basi matokeo makubwa pale kwao ni draw tena hao waarabu si ajabu wakafungwa.
Mkuu hata hii pia ni assumption. Hata tunaposema simba anapata point tisa kwa mkapa ni moja ya assumption asa ni ajabu kwenye hesabu unachagua ni assumption ya aina moja unaikubali na nyingine unaikataa.

Vipi kama hali itabalika na timu moja wapo kupata alama moja kwa mkapa? Mpira unachezwa uwanjani mkuu ila haya tunayaongea wote ni assumption tu.
 
Hawa wa Ivory coast tuliwafunga wakaonekana vibonde.. jana wamemfunga mwarabu wamekua visu tayar sio kibonde tena hahaha
Ahahaha yani team ikishafungwa na Simba Sc inachukuliwa kama kibonde, shida kubwa ni kwamba hawataki kukubali kuwa Simba Sc imeshakuwa na uzoefu na haya mashindano na sio inderdog kama kipindi kile 2018 wakati ndo inaingia baada ya kipindi kirefu kupita.

Ahly alivyopigwa na Simba akaitwa kibonde ila ndo huyohuyo akachukua ubingwa, As Vita walimnadi kuwa atatupiga khamsa ila alivyopigwa nke ndani wakamuona kibonde lakini huyohuyo ndo alitwaa ubingwa kabla ya kunyang'anywa ubingwa kwa kanuni.

ASEC kapigwa na Simba Sc akaitwa kibonde wa group, jana kaipiga team wanayoiimba sana (kisa nyani mwenzao kisinda) leo hii wanasema ASEC ni hatari.

👉🏿Berkane hawezi kushinda kwa wale waniger.
 
Sawa mkuu maana inaonekana somo la hesabu limekuwa ugonjwa wa taifa. Kaa chini piga hesabu endspo timu tatu zote yaani Simba, Assec na Berkane wakishinda nyumbani kwao je kitakachoipa timu nyingine ziada ya kufuzu ni nini kama sio point zilizovunwa kwenye mechi za away dhidi ya USGN?
Hakuna cha wakishinda

Simba ashinde mechi zake 2 tu hesabu linaisha, hakuna mashindo ya timu zote kushinda haipo na haitokuja kuwapo
 
Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.

Simba itakuwa na point 9
Assec point 9
Berkane point 9
Mpaka hapo watakuwa wanafanana point,. je nini kitatokea endapo Assec na Berkane watamfunga USGN nyumbani kwake? Maanake wote watakuwa wamejiongezea point 3 huku simba akipata alama moja ugenini. Umeelewa?
Ni kweli..nimekuelewa..mapambano bado..
 
US1.png
 
Hilo nalifahamu mkuu, sijaeleweka wapi kwani mbona hesabu rahisi tu? Ni hivi embu tuashum kila timu itashinda nyumbani kwake.

Simba itakuwa na point 9
Assec point 9
Berkane point 9
Mpaka hapo watakuwa wanafanana point,. je nini kitatokea endapo Assec na Berkane watamfunga USGN nyumbani kwake? Maanake wote watakuwa wamejiongezea point 3 huku simba akipata alama moja ugenini. Umeelewa?
Simba akishinda zote za nyumbani anakuaje na point 9 wakati tayari ana point 1 ya ugenini??
 
Back
Top Bottom