US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Mfano mzuri wa kitu kinachofanana na monarch ni Cuba! Eti sasa Raul Castro ndio raisi....hivi lini walifanya uchaguzi?
 
..jamani Mama akasubiri kugombea Ugavana wa New York. Nafikiri huu mvutano kati yake na Obama siyo mzuri kwa democrats.

..halafu naona watu wanaompigia kura Obama will not stick with the democrats kama Hillary akishinda nomination.

..kwa upande mwingine nadhani wanaompigia kura Hillary are democrats to the core and will vote for any democrat nominee come november.
 
..

..kwa upande mwingine nadhani wanaompigia kura Hillary are democrats to the core and will vote for any democrat nominee come november.

I also think so! I think kwamba Dems to the core just like Reps to the core knows what is at stake and what they are interested to see is not individual but rather their respective parties in power. Ndo maana Juzi nilipooana yule core conservative Hagee akimuendorse McCain I was surprised, but again nikajua hawa wanataka Republican iwe madarakani, swala la nani atakuwa ni lingine. Na kwa dems core ni hivyo hivyo ndo maana hata Hillary akishindwa kupata nomination wata root kwa BO-which is great! Contrary kwa supporters wa BO ambao wengi ni vijana ambao wako disillusioned na siasa. The whole picture helps BO maana hao supporters wake sio reliable kwa chama kama chama rather wanafuata personality....so getting BO will help Dems to have a WH hopefully, but not to increase the base of their party...maana wanabadilika kwa upepo who is running!

Swala la BO na HRC nadhani ni swala la mda tuu..these people watakalishwa chini na chama waambiwe what is at stake...but my worry is can HRC accept to be NO. 2?
 
Hillary Clinton sees this race as a fight whilst Barack Obama sees it as an intellectual exercise! Read this stuff!

http://www.politico.com/news/stories/0308/8950.html

ukisoma maoni ya watu baada ya hiyo article, utaona "brain backers" won!!!
kuna just and unjust wayz of doing things, Obama kaamua kuchagua just wayz....kwani Spitzer kilichomwangusha si ni huo u-machiavelli wake!! in all of NY spitzer ana handfull of friends kwasababu ka-step into almost everybodies toes. hata hao Clintons, kinachowaponza hivi leo ni hako kamchezo, kwani watu wamechoka!!!.
ni makosa ku-compare politics na game kama football, mara ya mwisho ni lini superbowl champions wamepeleka nchi vitani???? football ni football na politics itabaki kuwa politcs, let's get real!!!
ati fighter!!! kama ingekuwa ni good strategy basi leo hii angekuwa na delegates wengi kuliko Obama........Mahtma Gandi na MLK wali-win agenda zao, je Malcom X and Co waliishia wapi?? its about better reasoning, sophisication and interllectuality at its highest level (something new....alijisemeaga Craig Mark, "Nu flava in ya earz, uuuuuuh!!), mind games bila watu kujua kwamba wanachezewa akili zao. hata researches mbalimbali zinaonyesha pple tends to admire that!!!...........hata true win ktk cold war, ilikuja bila kumwagika damu.

hii ni 2008, wakina clintons bado wanatumia tacts za mwaka '47!!! what happened to creativity?? Mark Penn kwanini analipwa mipesa yote hiyo......sasa ni nani anaye "xerox."??
 
Maccain could be better than both Obama and Clinton ,the guy has integrity(just see how he denounces statements of fanatics who think they help him by attacking others), strong(remember the surge), has experience.

Clinton can not be trusted, she says Obama can not be a good commander in chief while her and her husband are thinking to let him run for vice presidency, which means he can be a president at any time incase there happen something which the president cannot perform his/her duties or dies. thats why may be Obama says she lacks a good judgement.

I still question the validity of obama's message of hope, he talks hope but support abortion, the killing of innocents who also hope to be members of the globe one day!-may be thats why clinton said "Shame on you Obama"
 
ukisoma maoni ya watu baada ya hiyo article, utaona "brain backers" won!!!
kuna just and unjust wayz of doing things, Obama kaamua kuchagua just wayz....kwani Spitzer kilichomwangusha si ni huo u-machiavelli wake!! in all of NY spitzer ana handfull of friends kwasababu ka-step into almost everybodies toes. hata hao Clintons, kinachowaponza hivi leo ni hako kamchezo, kwani watu wamechoka!!!.
ni makosa ku-compare politics na game kama football, mara ya mwisho ni lini superbowl champions wamepeleka nchi vitani???? football ni football na politics itabaki kuwa politcs, let's get real!!!
ati fighter!!! kama ingekuwa ni good strategy basi leo hii angekuwa na delegates wengi kuliko Obama........Mahtma Gandi na MLK wali-win agenda zao, je Malcom X and Co waliishia wapi?? its about better reasoning, sophisication and interllectuality at its highest level (something new....alijisemeaga Craig Mark, "Nu flava in ya earz, uuuuuuh!!), mind games bila watu kujua kwamba wanachezewa akili zao. hata researches mbalimbali zinaonyesha pple tends to admire that!!!...........hata true win ktk cold war, ilikuja bila kumwagika damu.

hii ni 2008, wakina clintons bado wanatumia tacts za mwaka '47!!! what happened to creativity?? Mark Penn kwanini analipwa mipesa yote hiyo......sasa ni nani anaye "xerox."??

YN I always admire your analysis, lakini mkuu hapa naomba tutofautiane. Politics though old as Prostitution, it has never and never will it be a clean game! Certainly none can compare politics with Superbowl! If Jaluo becomes a president tomorrow (which I hope he will-Inshallah) what will change is some faces and way of doing things but interests and things to be done will never change!

Simply because BO is President; Do you expect peace in ME? Do you expect a better governed and democratic Iraq? do you expect more accountability by Israel for its policies? do you expect NATO out of Afghanistan?, do you expect more concession by WTO to the "wretched of the earth", Do you expect Africa to breath better, do you expect embrace of Cuba? do you expect better relation with Chavez?..and on and on.....?

Kifupi ni kwamba we dont expect US itutatulie matatizo ya dunia hii..lakini hatutegemei US hiyo hiyo ipunguze kuya-create hayo matatizo..kwa sababu engine ya huo Uchumi inategemea sera za kimachiavelli kama hizo zilizopo! Kwa serious analyst anajua kabisa tofauti ya Bush na Bill Clinton ni ndogo sana KIMASLAHI..leo McCain ana support NAFTA than dems wenyewe..why? Pre emptive wars alizianza Bush? alizianza Clinton 1999..and on and on....

Perhaps sema, USA will enjoy better standing to continue asserting its foreign policy with more "friendly countries". Alio waignore Bush..perhaps watashirikishwa! "allies" Perhaps BO can try to be multilateralists..etc..But reality is..we better lower our expectations of what BO can do for the rest of the world-even USA itself.

Kikubwa ninachoona BO can be an inspiration and role model to all those cast from the mainstream of success, they can once again believe that-IT CAN BE DONE with determination and hard work and here Iam not talking of a black Nigga in Alabama, Iam equally talking of young man in Nzega and Sengerema..akisoma Uhuru akajua kwamba US ina rais mweusi itamu-inspire!

The rest tuendelee ku-discuss as kawaida, but what Kitila was saying is the reality check ambayo ndo ukweli wa siasa. Siasa ni maslahi it has been so and it will ever be. ! Dhahabu yetu inayochukuliwa Tz ina fetch millions and millions hapo NY....ni rais gani atasema eti jamani mnawaibia third world countries..please re-evaluate your policies.....

Mi ningependa wajenga hoja tumsupport BO kwa hoja zake na sio kuandika kwamba the guy is holier and clean and..day one in office..Washington will change! Please...........We have seen many who wanted to change Washington, alas! only Washington to change them! What happened? Its a question relevant today as it was in 1992 when a young Governor from Arkansas was campaigning on the same platform of changing Washington!!
 
I still question the validity of obama's message of hope, he talks hope but support abortion, the killing of innocents who also hope to be members of the globe one day!-may be thats why clinton said "Shame on you Obama"

Perhaps you could shade more light on conservatives who admonish abortion but support capital punishment in the same America! What is it if not the first class hypocricy?
 
Watu wengi hapa mnasahau kwamba kila kampeni huwa ni kampeni za mabadiliko. Sijawahi hata siku moja kusikia eti mtu akikampeni na kusema hataleta mabadiliko yoyote yale.

Kitu kingine ambacho wengi wenu hamja-notice...ukiangalia electoral college map...Clinton ana 290 dhidi ya 190 za Obama. Mama kashinda swing states kama Ohio. Of course kashinda Arkansas na kama akibahatika kubeba bendera ya Democrats atachukua ataichukua tena novemba. Hiyo ni guarantee. Alishinda pia Tennessee nyumbani kwa Gore. Sasa kama Mama kishinda hayo majimbo wakati huu wa primary yenye mchuano mkali basi kwa maoni yangu yuko positioned vizuri kushinda tena majimbo hayo novemba. Na ndio maana anajenga hoja bwa mdogo achukue nafasi ya pili tu sasa hivi. Hamtaki?
 
Perhaps you could shade more light on conservatives who admonish abortion but support capital punishment in the same America! What is it if not the first class hypocricy?

I strongly oppose abortion with every fiber of my body and I also oppose the death penalty. So please don't try to lump all conservatives into the same category.

By the way, I consider myself to be a moderate social conservative.
 
Masanja,Kitila,YNIM,Koba,Nyani Ngabu,

..I thought Hillary made an open suggestion of possibility of a "dream ticket." I dont think she asserted that she has to be number 1.

..Even in that Texas debate there were some suggestions that she "hinting" that she was open to accepting a VP post.

..Yes, she Hillary claimed that Obama wouldnt be ready to be C-I-C on day one. But does that mean he wouldnt be ready to exercise the duties of a VP? I thought the Vice Presidency would be the best preparation to become a President and C-I-C.

..Sasa ukija kwa Obama yeye anadai Hillary lacks the JUDGMENT to be C-I-C. That seems to be a stronger statement than "lacking experience to be C-I-C on day one."

..I think telling someone that they are lacking in judgment is the same as telling them they are not intelligent enough to undertake certain responsibilities/tasks.

..To me, Obama has infact boxed himself, and didnt give himself some wiggle room to later come and pick Hillary to be his VP.

..Halafu hebu fikiria mtafaruku ambao ungetokea kama Hillary angesema Obama hana judgement ya kuwa the President and C-I-C. Hivi si wangeitwa ma-racicst wakubwa.
 
Joka kuu ile sugestion ya VP to obama was just a strategy na Obama kaishtukia ndio maana he said what said,whoever goin to get this nomination atachagua VP kwa kuangalia kama kuna kitu anaweza kupata kusaidia ushindi na si vinginevyo.
 
Yes..Politico.com wana pull for mama lakini msiogope tuna Huffington Post na The New Republic
 
Politics bila vijembe inawezekana...Campaigning bila ku mock and belittle your opponent kama ile ya Mrs. Clinton ya "Shame on you Barack Obama" inawezekana.
Why not be like Barack who in many instances has said "I think my opponent is qualify to be the Commander in Chief, but I think I am a better candidate." Don't you think this sound civil???
 
Inawezekana kinadharia lakini si kwa matendo....
 
Watu wengi hapa mnasahau kwamba kila kampeni huwa ni kampeni za mabadiliko. Sijawahi hata siku moja kusikia eti mtu akikampeni na kusema hataleta mabadiliko yoyote yale.

Kitu kingine ambacho wengi wenu hamja-notice...ukiangalia electoral college map...Clinton ana 290 dhidi ya 190 za Obama. Mama kashinda swing states kama Ohio. Of course kashinda Arkansas na kama akibahatika kubeba bendera ya Democrats atachukua ataichukua tena novemba. Hiyo ni guarantee. Alishinda pia Tennessee nyumbani kwa Gore. Sasa kama Mama kishinda hayo majimbo wakati huu wa primary yenye mchuano mkali basi kwa maoni yangu yuko positioned vizuri kushinda tena majimbo hayo novemba. Na ndio maana anajenga hoja bwa mdogo achukue nafasi ya pili tu sasa hivi. Hamtaki?

...spin spin spin,sasa hapo electoral colllege za nini? ili muonekane mnashinda tuu huku reality kila mkilala mkiamka gap ya delegates imeongezeka,mmekwisha nyie with zero chance of getting nomination,karibu obama camp Bill kishajiunga kisirisiri
 
Spin kichwani mwako tu. Hapa wenzako tunaangalia mbele kwenye superbowl. Sasa wewe kama unaona kidhungudhungu mimi siwezi kukusaidia
 
Masanja,Kitila,YNIM,Koba,Nyani Ngabu,

..Halafu hebu fikiria mtafaruku ambao ungetokea kama Hillary angesema Obama hana judgement ya kuwa the President and C-I-C. Hivi si wangeitwa ma-racicst wakubwa.

Tatizo watu wanataka hizi campaign ziendeshwe kwa different standards. Wanataka Obama awe-treated specially, untouchable boy. Lakini nakwambia hili litaishia ndani ya democrtats, akipata nomination utaona Republicans watakavyom-hit. Nawahurumia sana Obamanics maana watakuwa na miezi mitatu ya whining!
 
Koba,

..hiyo ya kusema Obama apewe u-VP media wameipandikiza kama ni dharau. infact, hata Obama mwenyewe ame-respond kwa hasira fulani hivi.

..lakini pamoja na ku-suggest Obama awe VP, nimeona wamezungumzia "dream ticket." sasa inaelekea wakina Clinton wako open hata kwa Obama-Clinto ticket.

..kwa hapa nazungumzia maneno ya candidates wenyewe, siyo surrogates au wasemaji wao.
 
Back
Top Bottom