Hapa ndipo ngoma ilipo. Ni namna ya kuwashawishi super delegates. Obama anakwenda akiwa na more delegates kuliko Hillary, wakati Hillary anakwenda akiwa na more popular vote kuliko Obama. The question is, will the superdelegates be swayed and persuaded by one's magnitude of popular vote or one's number of delegates? Halafu hii ngoma baada ya 22 April itabaki indoor. Sasa inaonekana ma-pundits wakakiri kwamba ngoma ikibaki indoor Hillary ana nafasi zaidi maana wanasema akina Clintons huko ndio uwanja wao, yaani ni wataalamu wa kutisha kwa kampeni za indoors. Je, ma-pundits wa JF mnakubaliana na hili?
Kitila,
sina la kuongeza juu ya indoor politics na kina clintons!! lakini kitu kimoja nadhani umekichanganya, popular vote ni Obama anaongoza so far na inaonekana itakuwa hivyo mpaka mwisho!!!
kitu pekee anachotambia clinton ni ku-win big states, ambazo huenda democrats anywayz..........hali si nzuri, kwani ni kweli kuna watu hawatavote hillary kama akishinda na vivyo hivyo kwa Obama!!! sad, mie kwa bahati mbaya sana na labda nipo biased, namlaumu HRC kwa kwenda too -ve.
week njema wasee!!.
Maybe, lakini nilikuwa nasikiliza abc asubuhi (kwa hapa UK), wanametoa mchanganuo ufuatao:
Delegates: Obama ana 1,577 na Clinton ana 1,467
Popular vote: Obama ana 13,575,879 na Clinton ana 13,578,860.
Kwa hiyo utaona kwamba kwa popular vote, Clinton anaongoza ila kwa delegates Obama anaongoza. Nafikiri hii imechangiwa na ukweli kwamba Hillary ameshinda majimbo mengi makubwa yenye population kubwa wakati Obama kashinda majimbo madogo yenye population ndogo!
Kitila,
sina la kuongeza juu ya indoor politics na kina clintons!! lakini kitu kimoja nadhani umekichanganya, popular vote ni Obama anaongoza so far na inaonekana itakuwa hivyo mpaka mwisho!!!
kitu pekee anachotambia clinton ni ku-win big states, ambazo huenda democrats anywayz..........hali si nzuri, kwani ni kweli kuna watu hawatavote hillary kama akishinda na vivyo hivyo kwa Obama!!! sad, mie kwa bahati mbaya sana na labda nipo biased, namlaumu HRC kwa kwenda too -ve.
week njema wasee!!.
Maybe, lakini nilikuwa nasikiliza abc asubuhi (kwa hapa UK), wanametoa mchanganuo ufuatao:
Delegates: Obama ana 1,577 na Clinton ana 1,467
Popular vote: Obama ana 13,575,879 na Clinton ana 13,578,860.
Kwa hiyo utaona kwamba kwa popular vote, Clinton anaongoza ila kwa delegates Obama anaongoza. Nafikiri hii imechangiwa na ukweli kwamba Hillary ameshinda majimbo mengi makubwa yenye population kubwa wakati Obama kashinda majimbo madogo yenye population ndogo!
Icadon, kwa kweli naona huko mbele kuna kazi. How much this kind of stuff will damage Hillary, I think very sparingly, simply because what this guy is saying is not new. Haya anayoyasema wapiga kura wa Hillary wanayajua na wameamua kum-support anayway. Kwa hiyo katika swala la negative attack, wa kuumia ni Obama kwa sababu ame-raise hope kubwa kuhusu how clean he is. Kwa hiyo ukitajwa ubaya wa Obama watu watashtuka. Ubaya wa Hillary na mume wake watu wanaujua, hakuna kipya ambacho watasema kibadili mawazo ya watu, hasa wale core supporters. Na so far tumeshaona jinsi ambavyo negative attack zinavyomuathiri Obama, but not so much for Hillary.
http://www.dailykos.com/story/2008/3/9/2038/37655/750/473190voluntarily left thE Hillary Finance Committee after I discovered more than $3, 000 in unauthorized charges from HRC campaign on my own VISA card! And that set off a wave of overdrafts and $400 in bank charges that I was stuck with. And thE compliance officer Allison Wright at Hillary VA headquarters refused to reimburse me for the charges. And the senior finance reps who I notified about more than $3, 000 in Unauthorized Visa Charges: never once aplogized or empathized with my plight...Much less send me a "sorry for all the trouble" note and a check!
Unbelievably, it took me more than a month of pleading and begging VIA email to get the money back. I was told verbatim:
"Kathy Callahan, you are going to be with us all the way to the White House...So let's leave the money where it is and we'll save time on inevitable future donations and transactions!"
I went into a state of abject shock, disbelief and later anger! Heartbroken. I didn't want to report this entirely correctable problem to anyone outside the Hillary campaign! One long month later, and at the behest of a bank executive who said to me a few days before Christmas Eve,
"You are way way way over the legal donor limit, Kathy! What are they thinking? Are they thinking at all?"
So I followed his direction and filed a police report in Ridgefield. I then notified Allison Wright and Cc'ed senior finance reps (who I met many times) via email again -about the police report and said,
"Enough is Enough, already! Christmas is coming!"
It was then and only then and within a matter of seconds that I got a cell phone call and email from Allison Wright imploring me, "Kathy, please don't do anything, formally! I will send you whatever you want back, immediately!" I told her,
"You can send all of my money back!" Finally, $5, 300 large came back to me but not $400 in overdraft charges. And to think that the legal limit during the primary is $2, 300 and I had already generously and enthusiastically donated $2, 000 to Hillary legitimately!
I had no other choice but to walk away! And I am so glad that I did. Every cloud has a green, gold and silver lining. And in my case it's Barack Obama.
-Kathy Callahan, MSW, NJ LCSW, MASS LICSW
Mambo yataanza kufumuka sasa and when it bursts from the seams zitamwagika!For Senator Hillary Rodham Clinton, it was a monumental achievement: Her campaign announced in April that she had raised $26 million in the first quarter of the year, more than any other presidential candidate.
The tally was especially important because it nudged her past Senator Barack Obama, whose campaign reported a surprisingly strong $25.7 million, and allowed her to claim victory in the money primary that is widely viewed as an early test of endurance in the Democratic race for the presidential nomination.
But like a certain home run record, Mrs. Clintons big numbers might require an asterisk.
Her campaign has since had to subtract hundreds of thousands of dollars from its first-quarter total because of a variety of problems, including donors whose credit cards were mistakenly charged twice, contributions exceeding the legal limit and checks that bounced. As a result, her total was reduced to $25.6 million dead even with Mr. Obama, whose first-quarter take also shrank, albeit to a lesser degree.
And in one important measure, the amount collected from individuals, it now appears that Mr. Obama surpassed Mrs. Clinton. Mrs. Clintons overall total included $236,000 from political action committees, while Mr. Obama did not accept money from PACs.
mimi ninavyohisi, Bill Clinton atafanya makeke yake ya kudeal na masuper delegates wakati huo huo atajaribu kuweka deal na obama, deal la muda mrefu. kumconvice obama kwamba, bwana sikiliza, chukua u vice president halafu huko mbeleni Mama akiwa ndo president anayemaliza term yake atafanya kila linalowezekana kuhakikisha obama anasimamama kwa ticket ya democract kugombea uraisi.kwamba Bill mwenyewe na machine yake watakuwa tayari kumsupport Obama katika kugombea, kama Mama akienda kwenye convention na akashinda kwa mkono wa masuper delegates hata kama obama anaongoza kwa madelegates wa kawaida,hakuna jinsi obama anavyoweza kukataa ofa ya uvice president, akisusa ajue amejiangusha kisiasa, na atakuwa amemwangusha mama kwa sababu mama bila obama ktk ticket yake mambo yake hayako sawasawa.kwa hiyo wazee wenyewe watakaa kumconvice kijana atulize boli!. kumbuka masuper delegates ni sehemu halali kabisa ya ushindani ndani ya democrtacts, kwa hiyo wakishampiga chenga ya mwili obama watampa option obama achague uvp au kuzamisha jahazi. sasa unafikiri obama atachagua kipi?
Pia naomba niwasilishe alichoandika Kathleen Callahan ambaye alikuwa member of finance committee ya Clinton na sasa ni Obama supporter:
http://www.dailykos.com/story/2008/3/9/2038/37655/750/473190
Wanachoharibu akina Clintons ni kusema kuwa Obama hana commander in chief threshhold..wanasema McCain na Hillary wanazo.
Hivi kweli mkuu ulitegemea au ulitaka akina Clinton wamsifie Obama, kwamba anazo hizo credentials? Sasa hivi the primary thing ni kushinda nomination, hawawezi kuanza kushughulika na MacCain wakati hata hiyo nomination hawana. Kwa watu wanaojua mambo haya ya kampeni za siasa hawawezi kushangaa kuwasikia akina Clinton wanamkandia Obama na in a way kumsifia MaCcain. Kwa sasa their immediate target ni Obama. Wakati ukifika, kama watapata nomination, watam-target MacCain kwa risasi zinazomstahili. Mkuu, kwenye campaign za kisiasa, first things first. The first thing right now is to get the nomination. It follows logically, Obama is the first target, MacCain, second. This is a non-issue.
Kitila,
Ndio maana nikauliza kama Hillary Camp wanasema jamaa hawezi kuwa number one iweje at the same time ana qualify kwa VP job?
Hata hivyo binafsi sijaona kabisa negativity ya kampeni za akina Clinton; mimi sioni kabisa ubaya wa kumwambia mpinzani wako hana sifa hizi na mimi ninazo. I mean what is negative kumwambia Obama hana experience?
Sasa akiwa VP si ndio atapata hizo credentials za kuwa Commander in Chief. So, this is very good for him, najua yeye anatambua hivyo. Tatizo Hillary kachelewa sana kumwambia hii kitu maana hakujua nguvu zake, alitakiwa amwambie mapema Obama wala asingegombee angekuwa naye kwenye kampeni-na kivumbi sasa hivi ingekuwa kati ya Hillary na John Edwards.