Ishu sio tax returns...ishu ni national security, health care, foreign relations, etc. etc.....
kila kitu ni ishu, ebo!! yaani kama kitu hakipo for her advantage basi sio ishu. hivi si yeye HRC alianza ile ya Obama ni muslim,kumwita Obama HUSSEIN(Bob Kerrey), jivazi la kisomali, madawa ya kulevya, he is not black enuff na etc.......sasa kitu kidogo kama tax kina mshinda, na wewe surrogate wake hapa JF( Nyani Ngabu) unasema ati hiyo sio issue!!!!. yaani kwa kukosa kwenu aibu, hata Obama kuwa na good speeches pia mmefanya ishu!!
ebu tupe definition ya ISSUES kwa mujibu wa Clintons "camp-pain."!!
Nimechoka kubishana na Nyani kwa hiyo nachukua time out kufanya jambo la maana kama vile ku angalia Spurs vs. Suns.
Nyani Ngabu,Capitol Hill,Susuviri,YNIM,
..naona watu wameamua kuleta talking points bila hata ya wao wenyewe kuzichambua. aliyedai hapa pamegeuka genge la ubishi wa simba na yanga hakukosea.
..LACK OF EXPERIENCE ndiyo asset kuu ya campaign ya Obama. Mentors wa Obama ni Ted Kennedy na Tom Daschel na hao ndiyo waliomshauri agombee kabla hajawa na "RECORD" ktk senate.
..Tatizo la siasa za Marekani mara nyingi hawaangalii the entire body of work ya mgombea. wanachofanya ni kuchukua sehemu ndogo ndogo na kuanza kumchambua mgombea ati hafai.
..Of course mwenye "experience" ya kupokea simu ya White House saa 9 usiku ni sitting and former Presidents. Lakini tunachotafuta hapa ni nani kati ya Obama,Hillary,na Mc Cain, ambaye kutokana na kazi na maisha yake, amejiandaa/ameandaliwa zaidi kubeba jukumu hilo.
..WHO IS MORE PREPARED? that is the question.
.. In my opinion, the 'red phone ad' will end up favoring John McCain come general election. Dr.Susan Rice[former assistant to Albright] anaweza asiwe mjinga kama tunavyofikiri. It is very possible that she was thinking beyong Hillary and democratic primaries.
Hatuna shida na McCain. Tunamweka kiporo sasa hivi maana huko mbele tutahitaji medical records zake ili tujue yuko fit na misuko suko ya white house should he become a president haitamuua.
Hatuna shida na McCain. Tunamweka kiporo sasa hivi maana huko mbele tutahitaji medical records zake ili tujue yuko fit na anaweza ku-handle misuko suko ya white house should he become a president, asije akapata Alzheimer's bure.
Halafu nyie ndio mnasema hampo personal na ham-play dirty politics, hiyo ndiyo change you believe in!?
Lakini siumemsikia baada ya kipigo cha Ohio amekubali kubadilisha strategy. Ndio maana na yeye amejiingiza kwenye mkumbo wa kudai tax returns. Anajua kete yake pekee ni hiyo ku-avoid conventional American politics, akijiingiza kwenye ku-attack personality za akina Clintons ndio hivyo tena atakuwa hana tena ticket ya kujiuza. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?
Mac yuko fit....hivi hukusikia ana girlfriend...?
Obama kaendesha campaign ya bila matusi kwa mwaka mzima na imemfikisha hapa alipo.
BAck to TZ politics, wapinzani hawakuomba records za Kikwete ama kuquestion ufit wake especially baada ya rumors za ngoma na kudondoka pale jangwani?
Guys hebu tujadili kidogo hili: Mnachukuliaje kauli ya Rep wa Iowa (Steve King-Republican) kwamba "Al Qeda will dance in the streets if Barack Huseein Obama will be elected President of the United States of America". Halafu anasema pia kwamba eti jina la Hussein ni issue kubwa katika mapambano ya terrorism. Commentaries zilizofuatia zimemtafisiri King kama vile anasema kwamba kumchagua Obama ni kutangaza rasmi kuwa America imeshindwa vita dhidi ya ugaidi.
Sasa swali: Je, kauli kama hizi zinamjenga au zinambomoa Obama katika primary race hii hasa ukizingatia kuwa zimetolewa na Republican?
Binafsi, sina uhakika na athari na faida za kauli kama hii kwa Obama. Lakini inanipa picha kidogo jinsi kampeni zitakavyokuwa chafu kuelekea November kama Obama atapata nomination. Tutashuhudia mengi mwaka huu katika siasa za Wamarekani.
According to the latest math....kama tunavyojua nobody will have enough delegates to secure the nomination before the Convention. Obama will go to the Democratic Convention with a lead of between 100-200 delegates...Superdelegates watafanya nini? Ata kama Mama ata sweep all the remaining primaries(labda Obama asipate kura ata moja) system ya proportional representation inafanya knockout ngumu. Sana sana atapunguza idadi labda mpaka 40 hivi.