US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

tatizo kubwa la Dick Morrison na Clintons ni loyalty!!
matatizo yalianza kule kwenye ile scandal ya whitewater, ndio maana Dick alikuwa reluctant kujiunga na team clinton....maana kulikuwa tayari na ka-pattern flani hivi ka kina clinton kuwatosa marafiki mambo yanapokuwa mabaya(remember the McDougals na Gavana Guy).
Dick analia na betrayal ya kina Clintons, ana amini mpaka leo, ile issue ya prostitute ilikuwa ni setup, ana amini kwamba alikuwa used na baadae kutoswa vibaya licha ya ku-run a successful campaign!!
hasira zikamzidi baada ya lewisky scandal kufumuka(connect dots hapo, DOUBLE STANDARDS)............

lakini kina Billary wanakatabia kabaya sana ka ku-betray marafiki, kumbuka Vincent Foster(the rumor has it kwamba,huyu alikuwa ana msaidia unyumba Bill kwa Hilly, alijiua akiwa kama sehemu ya whitewatergate investigation, wakti huo alikuwa whitehouse attorney). mfarakano wao na mtu kama Louis Freeh(FBI chief), the McDougals, Gov. Guy, Miss Trippi, Al Gore.....na list goes on and on!!!

Billary ni wabaya sana, all they care ni themselves and power.......dizaini ya Machiavelli bila modifications.!!!
 
Yeah yeah yeah...Billary ni mashetani....
 
Nyani Ngabu,YNIM,Susuviri,

..Mzee Lewis kwa kweli amechemsha. he is a party elder na alitakiwa asubiri mpaka mwisho ndiyo atoe kauli yake. he could still do it privately na baada ya Mama ku-concede ndiye amu-endorse Obama.

..pia hii mifarakano ya baina ya weusi kuhusu kum-support Obama inaleta picha mbaya. isije wakajikuta Obama anakuwa Raisi halafu hali na maisha ya blacks haibadiliki hata kidogo.

..kwanza alikuwepo ...Frederick Douglas, WEB DuBois, Thurgood Marshall, mpaka MLK, lakini blacks bado ni watu wa chini kabisa USA. sasa wawe makini kuendeleza ajenda yao haswa ikiwa Obama anakuwa Raisi.

..Blacks need Obama more than he needs them. George Bush alishinda Uraisi bila kukubalika na blacks.

NB:

Obama amepagawisha Wamarekani na hicho ni kitu muhimu sana kwa mwanasiasa yeyote. Kashfa nyingi alizoibuliwa zingeweza kummaliza kisiasa mgombea yeyote yule. Kwa Obama imeshindikana.

Nashawishika kutabiri ushindi wa kishindo kwa Obama ktk general elections.
 
Kwanza nianze kwa kupingana na utabiri wako. Uchaguzi mkuu sio primary na caucus za Democratic party, kitu ambacho ndio kinaendelea sasa. Na si sahihi kusema Obama amewapagawisha Wamarekani. Ungesema amewapagawaisha Democrats ningekubaliana na wewe.
Ndugu yangu uchaguzi mkuu wa Marekani ni ball game tofauti kabisa na ktk siasa miezi nane iliyobaki ni lifetime.

Halafu unaposema "Blacks need Obama more than he needs them. George Bush alishinda Uraisi bila kukubalika na blacks" sijui una maana gani kwa sababu hii sentensi ina apply zaidi kwa Republicans more than Democrats. McCain anaweza kushinda bila hata kura moja ya mweusi lakini weusi ni ngome kuu ya Democrats.

Halafu kuna double standard ya ajabu sana. John Lewis anasema amebadili uamuzi wake kwa vile jimbo lake kwa uwingi lilimpigia kura Obama na sasa wajumbe wengi wa CBC wana shinikizo kuwa na wao wabadili uungaji mkono wao. Lakini kwa wakati huo huo hakuna mtu anayewashinikiza John Kerry na Uncle Teddy na wao wabadili uungaji mkono wao kwa vile Mama alishinda convincingly Massachussets....All I can say is wow!!!
 
Sasa Obama naye ifika mahala aanze kukaukia endorsement zingine hasa zile za kinafiki. Kama mtu alikuwa anamuunga mkono Hillary juzi tu iweje ghafla leo anakuunga mkono wewe, huu ndio tunaita unafiki kwa kiswahili, sasa kuna haja gani ya kuchekelea endorsement za wanafiki?

JokaKuu: Ni kweli jamaa kapagawisha, lakini naona umeruka step kubwa sana. Ngoma ya jumanne sio rahisi, ni nzito na naona mama kule atashinda na race itaanza upya. Acha kabisa hii kitu bado japokuwa Mr O inaelekea upepo wa kisiasa unaelekea kwake. Tuendako inaonekana hawa weusi ndio watakaomharibia Obama. Inaonekana wengi wa weusi wenzetu huko wanamuunga mkono Obama kwa sababu ni mweusi, sasa hili ni fake maana linaweza kuwakera baadhi ya weupe hasa wale ma-lunatics ambao bila shaka Obama atawahitaji katika kampeni kuu akifika huko. Sasa itabidi NN abadilishe usemi, sio tena miafrika ndivyo tulivyo, bali meusi ndivyo tulivyo maana naona uduwanzi umevuka mabonde ila uweusi naonekana kuwa ni constant variable🙂
 
Halafu kuna double standard ya ajabu sana. John Lewis anasema amebadili uamuzi wake kwa vile jimbo lake kwa uwingi lilimpigia kura Obama na sasa wajumbe wengi wa CBC wana shinikizo kuwa na wao wabadili uungaji mkono wao. Lakini kwa wakati huo huo hakuna mtu anayewashinikiza John Kerry na Uncle Teddy na wao wabadili uungaji mkono wao kwa vile Mama alishinda convincingly Massachussets....All I can say is wow!!!

Huyo ame-display ujinga ambao pengine watu walikuwa hawaujui, sasa amejichafua beyond Obama's campaign. Yaani yeye ni kama bua anajiendea tu hana maamuzi yake mwenyewe, hii ni zaidi ya wow, yaani wakati nasoma vidudu tungemuita huyu ni ziiiiiiiii kabisa!
 
Ebwana Kitila mimi nipo kazini hapa Atlanta sasa hivi nasikiliza moja ya local radio stations. Watu wanapiga simu wamechukizwa kishenzi na ukigeugeu wa huyu jamaa. Wanasema he has no mind of his own.

Na kuhusu Obama...nadhani watu wengi wanasahau kuwa kinachoendelea sasa ni mchakato wa kumtafuta standard bearer wa Democratic Party ambaye atachuana na John McCain. Nakuambia bwana McCain ni formidable candidate....utakuja kuniambia...

Miafrika Ndivyo Tulivyo...hii inajumuisha hata yale Maafrika ya diaspora....wewe kama huamini angalia sehemu ambako yapo...Brazil...Jamaica...US...Brixton...n.k....hayana tofauti sana....yote yako vile vile tu...Lol
 
Kwanza nianze kwa kupingana na utabiri wako. Uchaguzi mkuu sio primary na caucus za Democratic party, kitu ambacho ndio kinaendelea sasa. Na si sahihi kusema Obama amewapagawisha Wamarekani. Ungesema amewapagawaisha Democrats ningekubaliana na wewe.
Ndugu yangu uchaguzi mkuu wa Marekani ni ball game tofauti kabisa na ktk siasa miezi nane iliyobaki ni lifetime.

Halafu unaposema "Blacks need Obama more than he needs them. George Bush alishinda Uraisi bila kukubalika na blacks" sijui una maana gani kwa sababu hii sentensi ina apply zaidi kwa Republicans more than Democrats. McCain anaweza kushinda bila hata kura moja ya mweusi lakini weusi ni ngome kuu ya Democrats.

Halafu kuna double standard ya ajabu sana. John Lewis anasema amebadili uamuzi wake kwa vile jimbo lake kwa uwingi lilimpigia kura Obama na sasa wajumbe wengi wa CBC wana shinikizo kuwa na wao wabadili uungaji mkono wao. Lakini kwa wakati huo huo hakuna mtu anayewashinikiza John Kerry na Uncle Teddy na wao wabadili uungaji mkono wao kwa vile Mama alishinda convincingly Massachussets....All I can say is wow!!!

good argument!! Lewis kaua pale aliposema ati "uamuzi huu ulikuwa mgumu kushinda hata ule wa ku-march Selma-Alabama." That's booooo, to my opinion.......there is no way u can compare the significance of the two!!!.

sijawaigi kuwa mshabiki wa huyu jamaa, ni opportunist kama "candinda albicans"..........hanaga tofauti na watu kama Jesse au ma-relaxer Sharpton!!

Sura Ndefu na Uncle Teddy, they knw better.....huwezi kuwafananisha na John Lewis!!
 
good argument!! Lewis kaua pale aliposema ati "uamuzi huu ulikuwa mgumu kushinda hata ule wa ku-march Selma-Alabama." That's booooo, to my opinion.......there is no way u can the significance of the two!!!.

sijawaigi kuwa mshabiki wa huyu jamaa, ni opportunist kama "candinda albicans"..........hanaga tofauti na watu kama Jesse au ma-relaxer Sharpton!!

Sura Ndefu na Uncle Teddy, they knw better.....huwezi kuwafananisha na John Lewis!!

Kaka naona hukunielewa kidogo. Ninachosema ni hiki...members wengi wa Congressional Black Caucus sasa hivi wanajikuta kuwa na wakati mgumu sana hasa wale wanaomuunga mkono Mama. Katika majimbo yao watu wengi walimpigia kura Obama. Sasa kama hii mechi ikienda kwenye convention ina maana wata-stick na Clinton au watapiga kura kuendana na matakwa ya walio wengi majimboni mwao? Mfano mzuri ni John Lewis...zaidi ya asilimia 80 ya jimbo lake walimpigia kura Obama na ndio maana na yeye kaamua kubadili uamuzi ingawaje hakulazimisha na haikuwa lazima kufanya hivyo.

Kwa hiyo ishu niliyonayo mimi ni kwa nini hawa wajumbe wa CBC wanaomsapoti Mama waonekane kama ni wasaliti na kupewa wakati mgumu kwa vile tu majimbo yao yalimpigia kura Obama na baadhi ya watu wanawataka wabadilishe kura yao ya superdelegate lakini sijasikia mtu hata mmoja anayewashinikia sura ndefu na mjomba Teddy kwa sababu na wao jimbo lao Mama alishinda..? Kwa nini na wao wasibadili kura yao ya superdelegate iendane na matakwa ya wengi jimboni mwao...

By the way...umewahi kumwona Uncle Teddy akiimba...? M-search kwenye youtube....
 
...hiyo ya Lewis niliishtukia long time na haijakaa vizuri kabisa,lakini sasa Obama afanye nini maaana deep down anajua kabisa hii game ya Lewis italeta maswali tuu kama sio backlash ya kinamna na kuikataa hawezi maana jamaa watajua ni unafiki tuu utakuwa,lakini alinifurahisha juzi alivyokataa kwenda kwenye State of Black Union,was good move nikajua jamaa yuko mbele dakika mbili na sijui watu kama Tarvis Smilley hawakuona hilo na kuanza kumpaka Obama,kweli kuna shida kwa hawa wenzetu weusi maana strategy zao kisiasa nina wasiwasi nazo,nahisi sasa Michelle naye atakuwa underground mpaka kieleweke maana kishaonekana burden tuu maana mama kila akifungua mdomo ni vernom tuu inatoka..bye bye michelle!
 
I am anxious to see what Charlie Rangel would do, Ingawa Mkewe Alma Rangel ni supporter wa Obama tangia siku nyingi.
Hili la John Lewis..nafikiri angechagua side moja toka mwanzoni na kwa vile alikuwa on the side ya HRC angekaa huko huko. Hii mambo ya "I'll support you until it's inconvenient....and then I'll bail." sio good politics sasa hivi he's switching sides to a nominee who is likely going to win. What will happen mama akirudi on top of the game na kushinda nominee ya Dems?
Ninakubaliana na Kitila kwamba Barack Obama anahitaji kuanza ku reject some of hizi endorsements kwa sababu hawa watu wa sampuli ya Lewis hawana loyalty kabisa.
 
Kitila,Nyani,Susuviri,Koba,YNIM,

..kwa kweli mtizamo wangu unatokana na jinsi media inavyom-treat Obama. yaani kila mtu amezibwa mdomo isipokuwa yule anayemtetea Obama.

..sasa media ni kitu muhimu sana kwa mwanasiasa yeyote yule. if you can not get your message out then you have no chance of wining.

..hali hii nakumbuka ilitokea wakati wa Al Gore vs Bush. yaani Al Gore kuwa articulate and detailed ikawa ni sifa mbaya na kikwazo ktk uongozi.

..ndiyo maana nikasema hizi kashfa za Obama zingemkuta mgombea mwingine tayari angeshatupwa nje ya mpambano.

NB:

nakubaliana na nyinyi kwamba general election is a whole different ball game. lakini hivi sasa hivi hatuoni kuwa ndiyo preview?

Nyani inawezekana uko sahihi kwamba kura za weusi ni muhimu kwa mgombea Uraisi wa Democrats. Kwa upande mwingine inawezekana Obama amesomba watu wengi wapya kiasi kwamba umuhimu wa kura za weusi umepungua.
 
Jokakuu babu has no chance ya kusimama na Obama na kama huamini utaona,preview tumeiona jana pale babu alivyopewa lecture na Obama kuhusu Al Qaida in Iraq,na this time hakuna cha rangi wala southern states....nimemsikia O'reilly akisema may be this is a new kind of politics seems nothing can bring him down,mama kafanya kila kitu lakini kila akiamka polls zinaenda chini.....usicheze na hope bwana na hakuna mtu anataka kuwa depressed hapa!
 
Hivi ni mimi tu au babu McCain vimikono vyake ni kama anataka kupata Seizure. Jana katolewa nishai ile kinoma and It's On. Yeye amesema watakaa Iraq for 100 more years.
 
Kaka naona hukunielewa kidogo. Ninachosema ni hiki...members wengi wa Congressional Black Caucus sasa hivi wanajikuta kuwa na wakati mgumu sana hasa wale wanaomuunga mkono Mama. Katika majimbo yao watu wengi walimpigia kura Obama. Sasa kama hii mechi ikienda kwenye convention ina maana wata-stick na Clinton au watapiga kura kuendana na matakwa ya walio wengi majimboni mwao? Mfano mzuri ni John Lewis...zaidi ya asilimia 80 ya jimbo lake walimpigia kura Obama na ndio maana na yeye kaamua kubadili uamuzi ingawaje hakulazimisha na haikuwa lazima kufanya hivyo.

Kwa hiyo ishu niliyonayo mimi ni kwa nini hawa wajumbe wa CBC wanaomsapoti Mama waonekane kama ni wasaliti na kupewa wakati mgumu kwa vile tu majimbo yao yalimpigia kura Obama na baadhi ya watu wanawataka wabadilishe kura yao ya superdelegate lakini sijasikia mtu hata mmoja anayewashinikia sura ndefu na mjomba Teddy kwa sababu na wao jimbo lao Mama alishinda..? Kwa nini na wao wasibadili kura yao ya superdelegate iendane na matakwa ya wengi jimboni mwao...

By the way...umewahi kumwona Uncle Teddy akiimba...? M-search kwenye youtube....

nimekuelewa vizuri sana!! kimsingi tupo pamoja, kwamba watu wawe huru ku-support campaign wanayotaka. ndio maana nikamfananisha J. Lewis na candida..........inaonyesha jinsi gani black community in america ambavyo bado ipo nyuma sana ktk uelewa!!. binafsi toka day one, nahisi kwamba ni wao ndio wata-torpedo hii kampeni.....i was happy na ile kitu ya barack is not black enuff na kama alivyosema Joka hapo juu, mie pia nilifurahi kukataa kwake kwenda NO kwenye ule upuuzi wao. jamaa anajaribu sana kuji-distance na watu kama hawa, lakini ni ngumu sana!!.......mijitu miueusi ndivyo tulivyo.

nimeshamwona Uncle Teddy akiimba, tena kwa ki-spanish..........kwikwikwikwikwi, utafikiri Elvis !!! LOL.
 
Hivi ni mimi tu au babu McCain vimikono vyake ni kama anataka kupata Seizure. Jana katolewa nishai ile kinoma and It's On. Yeye amesema watakaa Iraq for 100 more years.

Oyaa jamaa ni war hero halafu alikuwa prisoner of war kwa miaka mitano Vietnam...na aliteswa sana. Nadhani unalijua hilo na umeamua kumrushia dongo tu....

Halafu kukaa Iraq miaka 100..nini cha ajabu..mbona Japan wako Kwa miaka zaidi ya 60? Korea mbona wako tokea miaka ya 50? Ujerumani mbona wako zaidi ya miaka 60 na hakuna dalili zozote za kuondoka....leo hii Iraq imekuwa nongwa?

Halafu kama Al-Qaeda wapo Iraq kwa nini Obama anataka kutoka badala ya kubaki na kuwashughulikia? Akitoa majeshi itamsaidia nani kama Al-Qaeda ikibaki na kuendelea kujiimarisha?
 
Kitila,Nyani,Susuviri,Koba,YNIM,

..kwa kweli mtizamo wangu unatokana na jinsi media inavyom-treat Obama. yaani kila mtu amezibwa mdomo isipokuwa yule anayemtetea Obama.

Mkuu naomba ku differ na wewe. Hivi utasema ile sweep ya Obama kwenye potomac primaries ilikuwa ni media driven? Siku zote media iko kwenye biashara na siku zote wanaangalia product itakayo drive their ratings through the roof. Na Obama happens to be that product kwa sasa...kwa mfano Obama asipopata nomination sasa hivi, then aka decide ku run tena baadae, nina uhakika hatakuwa na coverage anayopata sasa..lakini this is not media. Obama movement kutoka kwa voters ndio imesababisha media ku join the bandwagon.
 
Jokakuu babu has no chance ya kusimama na Obama na kama huamini utaona,preview tumeiona jana pale babu alivyopewa lecture na Obama kuhusu Al Qaida in Iraq,na this time hakuna cha rangi wala southern states....nimemsikia O'reilly akisema may be this is a new kind of politics seems nothing can bring him down,mama kafanya kila kitu lakini kila akiamka polls zinaenda chini.....usicheze na hope bwana na hakuna mtu anataka kuwa depressed hapa!

Mama na Republicans ni vitu viwili tofauti kabisa...
 
Mkuu naomba ku differ na wewe. Hivi utasema ile sweep ya Obama kwenye potomac primaries ilikuwa ni media driven? Siku zote media iko kwenye biashara na siku zote wanaangalia product itakayo drive their ratings through the roof. Na Obama happens to be that product kwa sasa...kwa mfano Obama asipopata nomination sasa hivi, then aka decide ku run tena baadae, nina uhakika hatakuwa na coverage anayopata sasa..lakini this is not media. Obama movement kutoka kwa voters ndio imesababisha media ku join the bandwagon.

Hiyo hiyo media ikianza kum-scrutinize Obama utaona watu wanaanza kusema iko biased against him. Kwa kweli mpaka sasa hajapata scrutiny kama aliyopata Mama..tena kwa miaka mingi tu....
 
hajapata scrutiny? jinsi unavyomchukia Obama wewe ungemwachia kweli kama una chochote...au mnasubiri aingie WH ndio muanze,mseme tuu hamna kitu hapo na kawashinda kila kitu!
 
Back
Top Bottom