Watu weusi ni Wamarekani pia. Tatizo lenu nyinyi mmeshalewa u-Obama na sasa hamtumii vichwa vyenu kuchanganua mambo badala yake mnatumia hisia...ndio maana hajibu hoja kwa hoja bali mnajibu hoja kwa shutuma....kwikwikwiiiiii

Mambo vipi wadau...? Duh poleni kwa mkasa ulioikumba forum..
NN nadhani juzi kwenye debate na kwenye mkutano wa Bill Clinton in Beaumont TX ni dalili za wao kukubali matokeo.
Issue ya emails, hazikuanza kutumwa leo wala jana its been going on for weeks if not months sasa iweje mama azione leo ebo?
Mkuu Icadon,
Nice to see you burazakaka, sema wewe bwana, sie wengine tukisema tuna onekana ni obama-maniacs!!!.
ile ya leo ni stunt kama ya NH na CT.....juzi kwenye debate alikuwa conciliatory, leo ghafla bin vuu ana swing kusema Tyson!! sasa huyu mama vipi? mbona flipflopping kama kadata........anatumia tactics ambazo zime-prove failure. Unakukumba in WS, alikuja na "P-bomb" it didn't work. Hii ya leo inadhihirisha kwamba, she is a "mad candidate."
Ralph Nader kesho kwenye MEET THE PRESS....kuna wasiwasi kwamba anaweza kutangaza kugombea kama alivyofanya 2000!!! what do you think.....?
Huyu Nader anakuja kuchukua kura za Dems sasa..naye si atulie tuu hasomi alama za nyakati?
alafu mnaonaje McCain Camp yake kuongozwa na malobbyst?
McCain ana skeletons nyingi sana kwenye closet, yaani ni mwepesi sana kumkamata uwongo!! kwanza ishu yake na Vicky Iseman bado haijatulia ingawa NYT hawana evidence nzuri zaidi ya anecdotes.
Kuna issue ya paxicco na ma-lobbyst wengi wengine!! campaign chair wake, congressman from AZ yupo indicted na "big brother" kwa shady land deals!!? Ikifika fall hapa patakuwa patamu sana, nasubiri hizo negative ads tuone.
Babu kumbe bado wamo, mambo ya "mechi za ugenini." Ni male version ya "Urban Cougars." kwi kwi kwi kwi.......
He he mzee nahisi alikula kizigo..Swali, Mitt Romney atarudisha majeshi?
Mkuu Icadon,
Nice to see you burazakaka, sema wewe bwana, sie wengine tukisema tuna onekana ni obama-maniacs!!!.
ile ya leo ni stunt kama ya NH na CT.....juzi kwenye debate alikuwa conciliatory, leo ghafla bin vuu ana swing kusema Tyson!! sasa huyu mama vipi? mbona flipflopping kama kadata........anatumia tactics ambazo zime-prove failure. Unakukumba in WS, alikuja na "P-bomb" it didn't work. Hii ya leo inadhihirisha kwamba, she is a "mad candidate."
Ralph Nader kesho kwenye MEET THE PRESS....kuna wasiwasi kwamba anaweza kutangaza kugombea kama alivyofanya 2000!!! what do you think.....?
McCain ana skeletons nyingi sana kwenye closet, yaani ni mwepesi sana kumkamata uwongo!! kwanza ishu yake na Vicky Iseman bado haijatulia ingawa NYT hawana evidence nzuri zaidi ya anecdotes.
Kuna issue ya paxicco na ma-lobbyst wengi wengine!! campaign chair wake, congressman from AZ yupo indicted na "big brother" kwa shady land deals!!? Ikifika fall hapa patakuwa patamu sana, nasubiri hizo negative ads tuone.
Babu kumbe bado wamo, mambo ya "mechi za ugenini." Ni male version ya "Urban Cougars." kwi kwi kwi kwi.......
Ogah,
Thank you,
Kuna kitu ambacho kimetokea kama kilichotukumba sisi tukaishia kumchagua JK. Sina uhakika kama huyu mama atauweza urais hata kuko nakopita simpigii kampeni. Kitu kinachoniuzi ni huyu Obama. Kwa kuwa yeye ni smart anatumia u-smart wake kuchezea vichwa vya watu. I hate that! He could be a better president kama angekuwa anaongelea facts. Najua hawezi kupata kura kama asipoziteka akili za watu. Sikiliza kwa makini hotuba zate halafu tafakari ni kitu gani anachongelea. He can make people shout.. we need change! we need change! we need change! we need change! we need change! for ten minutes na baadaye anamalizia kwa kusema kwa kusema we believe we can do it, we believe she can do it, we believe he can do it, Thank you california! Halafu watu wanaenda kupiga kura. That's damn stupid. We should stop politics of hope! Kwani CCM inashinda kwa mbinu gani? They make people hoping for better future without facing the real issues. Politics of hope non sense. Kwa sasa ukiwaweka wawili kati ya Obama na Clinton kama only option nitaenda na Hilary. No doubt! Thanks again.
...matatizo ya kulala kwenye radio za kina rush limbaugh haya,wakati anaanza campaign mlianza kumuita ooooh this guy is too much policy wonk sasa leo naona mnamwita no substance baada ya kuwapa vipigo mfululizo,nakuambia kila kitu alichojaribu Clinton naona kimeshindikana sasa tunamsubiri babu aje na vita vyake vya miaka 100,hata Gingrich kishawaambia babu has a ZERO chance!
NyaniOh Super Sam...you killed it man...you killed it!! Huyu Obama maneno mengi mno halafu no substance. Mimi natabiri ataangamizwa vibaya sana come November. Halafu hawa Democrats walivyo wajinga...eti washabiki wa Obama wanasema Mama akipata nomination hawatampigia kura...what a shame...hata mke wa Obama naye anasema hivyohivyo....talk about divide and conquer by the GOP....
Kupata platform ya kuongea behind the Internet siyo nafasi ya kubwabwaja bila facts. Soma thread hii
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=852&highlight=obama
nilipost 21st November 2006, 08:08 AM pengine kabla ya wewe kujiounga JF. Read what I said then na linganisha na mambo nayoongea sasa kama nimetoa kwa huyu Rush. Hivyo vipigo hata JK alitupa vipigo lakini kitu nachokataa hata kama ame brainswashed most of Americans and the rest of the world hawezi kufanya hivyo kwa kila mtu. There is nothing that he is talking about. Yes, anaweza kuwa president but I am not on his side. I have no reason why I should support him. Do I have to support him because he wants to create a system so employers can verify that their employees are legally eligible to work in the U.S.? We must be very stupid.
Is Iraq the problem? Kama akiondoa majeshi ya Marekani Iraq hate dhini ya wamarekani itaisha? Kwa kuwa wamarekeni ni wajinga wa kutosha wanadhani Iraq ndiyo tatizo. Haya matatizo yo ya waislam yanaanza kwa marekani kuweka base kwenye so called holy land. Kwa nini asisema atayaondoa huko na kuyapeleka Vatican?
Ogah,
Thank you,
Kuna kitu ambacho kimetokea kama kilichotukumba sisi tukaishia kumchagua JK. Sina uhakika kama huyu mama atauweza urais hata kuko nakopita simpigii kampeni. Kitu kinachoniuzi ni huyu Obama. Kwa kuwa yeye ni smart anatumia u-smart wake kuchezea vichwa vya watu. I hate that! He could be a better president kama angekuwa anaongelea facts. Najua hawezi kupata kura kama asipoziteka akili za watu. Sikiliza kwa makini hotuba zate halafu tafakari ni kitu gani anachongelea. He can make people shout.. we need change! we need change! we need change! we need change! we need change! for ten minutes na baadaye anamalizia kwa kusema kwa kusema we believe we can do it, we believe she can do it, we believe he can do it, Thank you california! Halafu watu wanaenda kupiga kura. That's damn stupid. We should stop politics of hope! Kwani CCM inashinda kwa mbinu gani? They make people hoping for better future without facing the real issues. Politics of hope non sense. Kwa sasa ukiwaweka wawili kati ya Obama na Clinton kama only option nitaenda na Hilary. No doubt! Thanks again.
Kupata platform ya kuongea behind the Internet siyo nafasi ya kubwabwaja bila facts. Soma thread hii
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=852&highlight=obama
nilipost 21st November 2006, 08:08 AM pengine kabla ya wewe kujiounga JF. Read what I said then na linganisha na mambo nayoongea sasa kama nimetoa kwa huyu Rush. Hivyo vipigo hata JK alitupa vipigo lakini kitu nachokataa hata kama ame brainswashed most of Americans and the rest of the world hawezi kufanya hivyo kwa kila mtu. There is nothing that he is talking about. Yes, anaweza kuwa president but I am not on his side. I have no reason why I should support him. Do I have to support him because he wants to create a system so employers can verify that their employees are legally eligible to work in the U.S.? We must be very stupid.
Is Iraq the problem? Kama akiondoa majeshi ya Marekani Iraq hate dhini ya wamarekani itaisha? Kwa kuwa wamarekeni ni wajinga wa kutosha wanadhani Iraq ndiyo tatizo. Haya matatizo yo ya waislam yanaanza kwa marekani kuweka base kwenye so called holy land. Kwa nini asisema atayaondoa huko na kuyapeleka Vatican?
Sam: Hata mimi nilikuwa naamini hivyo. Lakini niliamua kufanya jitihada kidogo kuhusu nini hasa issues anazosimamia Obama beyond yale anayoyaongea jukwaani. Nilipoenda kwenye website yake nimeona jamaa ana mawe makali sana na kwa maoni yangu kuna maeneo ana sera nzuri zaidi kuliko hata Hillary. Kwa hiyo, yes, hata mimi bado simuungi mkono kabisa huyu mshikaji lakini sababu zangu sasa hivi sio kwamba hana substance. Hebu jaribu kupitia hizi website halafu nenda kwenye issues niambie kama hamna substance huko.
http://www.barackobama.com/index.php
Nimependa zaidi sera yake kuhusu elimu hii hapa: http://www.barackobama.com/issues/education/
Unaweza pia linganisha na za Clinton hapa: http://www.hillaryclinton.com/?splash=1