Hivi kwa nini kaka Barack anaonekana kukwepa debates na dada Hillary? Au ndio yaleyale ya JK wetu ya kukataa debates na akina Lipumba 2005?
Hii argument imesha-expire muda mrefu sana! Wamesha-debate mara 18 na Obama amekubali 2 more debates, bringing the total to 20! Sasa kibibi kilitaka debate 5 in 4 weeks! Obama kamwambia anakubali debate 2 na zaidi ya hapo NO kwa sababu yuko busy kujitambulisha kwa wananchi wake. Which is fair considering the fact that Clinton is a household name while Obama ndo ameanza kujulikana na wamarekani!
Debate anazotaka Mama ni zile za ana kwa ana ili kuonyesha tofauti zilizopo kati yake na Obama. Kati ya hizo 18 ulizozitaja, ni ngapi zilijumuisha watu zaidi ya wawili? Debate yoyote inayohusisha watu zaidi ya wawili sio nzuri ktk kung'amua wagombea wanasimamia nini na wanasimama wapi ktk mambo muhimu. Muda wa kujibu maswali na wenyewe unakuwa hautoshi kwa sababu inabidi wampe kila mtu nafasi sawa. Inapokuja kwenye debate ya watu wawili, hapo ndio mtu mnaweza ku-debate kwa maana. Maana inakuwa ni argument-counter argument na point-counterpoint. Sasa hapa Obama ndio anagwaya kwa sababu anajua hafui dafu mbele ya Mama. Hili lingekuwa eneo analoliweza wala usingemuona anakimbia na kutoa visingizio kama anavyofanya sasa. Kitu anachokiweza yeye ni kukopi spichi za watu kama zilivyo, neno kwa neno, na kuhutubia kama vile ni zake mwenyewe. Huyu ni JK mwingine....uswahili swahili na blah blah nyiiingi lakini hakuna substance
sasa JK unataka kutwambia anakopi speech za wengine?
ww unatafuta shari kwa makusudi halafu ukibanwa sehemu nyeti ueleze utufanye tukeshe hapa kuuliza nyani yuko wapi
It is difficult to stop Obama kwa sasa!
Ngabu mama sasa kwisha habari yake yeye aunge hilo tela tuu ambalo linaenda kumsambaratisha babu hapo november,Clintons are smart na wala sio greedy kama watu wanavyotaka kuwaonyesha,na wanaopakaza hayo ni maadui zao Republican ambao walisambaratishwa vibaya sana in 90's,Clinton kama akishindwa one of the state TX or OH she is goin to concede the defeat and move on,coming 2 weeks mama anaweza kuwa nje ya hii kitu na kumwachia mpira Obama na kummwagia support tele,hapo sasa ndio utaona kivumbi cha kweli kutoka kwa hawa wachafu wa republican na sitashanga Obama camp nao wakianza kucheza foul maana republican sio mchezo kwa siasa chafu na nina uhakika mambo ya color yatakuwa waziwazi kabisa ila ita backfire this time...Obama ni very strong candidates na hata republican wanajua hilo,well tusubiri ila najua MCcain + republican watachapwa vibaya sana coming november.
Ngabu hiyo theory yako is not valid maana kwanza sio states zote alizoshinda obama zinaruhusu crossover na hata zinazoruhusu crossover percentage ya republican iliyofanya hivyo is not even 1%...hii analysis niliiona kweye realclear politics,kijana tunajua umewahi kuja hapa na theory like a million lakini kila mkisimama ni kipigo tuu,si mkubali tuu Obama is a winner,subiri uone MCcain atakavyosambaratishwa.
Sometime I am forced to believe on evolution! Sidhani kama itakuwa "Breaking News" kwa Obama kuwa rais. Hata JK alipata 80%.
sam welcome back....good to see you man!!
......hivi huyu mama na mahasira yake ataweza kweli mikikimikiki ya ulimwengu kweli huyu....hasa kule middle east!!!
Ogah,
Thank you,
Kuna kitu ambacho kimetokea kama kilichotukumba sisi tukaishia kumchagua JK. Sina uhakika kama huyu mama atauweza urais hata kuko nakopita simpigii kampeni. Kitu kinachoniuzi ni huyu Obama. Kwa kuwa yeye ni smart anatumia u-smart wake kuchezea vichwa vya watu. I hate that! He could be a better president kama angekuwa anaongelea facts. Najua hawezi kupata kura kama asipoziteka akili za watu. Sikiliza kwa makini hotuba zate halafu tafakari ni kitu gani anachongelea. He can make people shout.. we need change! we need change! we need change! we need change! we need change! for ten minutes na baadaye anamalizia kwa kusema kwa kusema we believe we can do it, we believe she can do it, we believe he can do it, Thank you california! Halafu watu wanaenda kupiga kura. That's damn stupid. We should stop politics of hope! Kwani CCM inashinda kwa mbinu gani? They make people hoping for better future without facing the real issues. Politics of hope non sense. Kwa sasa ukiwaweka wawili kati ya Obama na Clinton kama only option nitaenda na Hilary. No doubt! Thanks again.
Wasee,
naona demikrasia ilikuwa under assault, glad to be back!! I hope kila mtu yupo salama....nilikuwa nimewa-miss sana. LOL
mama vipi tena? naona ka-throw tantrums kichizi leo in cincinnati!! au ndio stunts hizo za kujaribu ku-salvage chochote kilichobaki kwenye kampeni yake?? ama kweli billary watafanya na kusema chochote ili kushinda!!
NN,
unasemaje juu ya attacks za Tavis Smiley kwa Obama, juu ya kukataa kwake kuuzurulia "state of black union" in NO?? nadhani ni unfair, kwani sababu alizotoa zinajitosheleza!!
mwaka huu tutaona mengi.....
Ngabu hiyo theory yako is not valid maana kwanza sio states zote alizoshinda obama zinaruhusu crossover na hata zinazoruhusu crossover percentage ya republican iliyofanya hivyo is not even 1%...hii analysis niliiona kweye realclear politics,kijana tunajua umewahi kuja hapa na theory like a million lakini kila mkisimama ni kipigo tuu,si mkubali tuu Obama is a winner,subiri uone MCcain atakavyosambaratishwa.
Nyie ma-Obamaniacs criticism yoyote ile kwa Obama ni unfair na racist....Tavis angekuwa mzungu tayari mngeshasema amekuwa mbaguzi. Mbona Mama kahudhuria even though haikuwa friendly territory...Obama anaogopa nini? Unapogombea kuwa raisi wa wote ni muhimu kwenda ku-adress matatizo ya watu pale wanapokuomba ufanye hivyo....
Obama anagombea uraisi wa marekani na sio wa watu weusi!! alikuwa NO wakti wa katrina na alikuwa huko juzijuzi wakati wa kampeni!! sasa yupo bize OH na TX aende Louissina kufanya nini?? tena lau kama angeenda kuna wale wengine wangesema, "he is to black and bla blah bla." Kwanza Tavis toka mwanzo yupo critical na Obama na ndio maana wakina sisi tupo suspicious na motives zake. Hiyo "black union" lipservice ipo sasa kwa miaka mingapi na chepi ilicho accomplish??. kuwa mbaguzi sio lazima ati "uwe mzungu tu," kuna mijitu mieusi pia mibaguzi!!.
Tavis akiendelea na ujinga wake huu tuta-boycott ka-talk show kake kwenye PBS!!!. Ndio maana Robinson alimpa chubwiii BET, kajamaa kubwe ni kazembe sana.................