Mkuu Joka,
Heshima mbele, US ni Capitalist State, kwanza biashara halafu the rest of the story, katika huu uchaguzi mzima kuna one factor kuweza kuuza biashara za media, nayo ni kuwapiganisha Hillary na Obama,
Mwanzoni, ilikuwa ni bisahara nzuri kuwapiganisha Hillary na Giuliani, baadaye ikawa a Mormon Romney Vs Huckabee, sasa imekuwa Hillary Vs Obama, kumbuka ni hao hao CNN walio onyesha kipindi cha Obama for at least 2 Hours, wakimuita Osama, walipoambiwa baadaye what they did wakasema walikuwa wakikosea kwenye typing, kweli una amini hiyo?
CNN hawachagui rais wa US, na wala hawawakilishi mwananchi yoyote maana wangekuwa basi Kerry na Gore wangekuwa marais, polls za New Hampshire zinaonyesha ikiwa imebakia siku mbili tu, Hillary 37%, na Obama 25%, lakini CNN wanasema Obama is closing the gap! Huoni kuwa hii ni hadithi ya biashara?
When Iowa, talks, sio kweli kwamba the US listens, mara ya mwisho Democrat aliyeshinda Iowa, alikuwa Kerry 2004 lakini hakuweza kuwa rais, kabla yake alikuwa Jimmy Carter peke yake ndiye aliyeshinda urais mwaka 1976, my point ni kwamba tuwe objective katika hope kwamba huenda Obama atashinda, tungependa ashinde lakini sio on a false hope kutoka CNN ambao hawana any influence katika kuchagua rais wa US!
And look how bad Bush's presidency was. Do you want Americans to elect another under qualified affirmative action candidate such as Obama? God help us all!
Ningependa kuuliza swali kwa wachambuzi wetu hapa. Obama ana damu ya kijaluo. Kama angekulia Kenya angekuwa na nafasi ya kugombea urais wa Kenya, je nafasi yake ya kuwa rais wa Kenya ingekuwa vipi asa tukilinganisha na uchaguzi uliopita?
Hiyo ni recipe ya kushindwa kila chaguzi.
..
..nimesikiliza CNN na nikashangaa jinsi wanavyomsagia Hillary. Inaelekea hawamtaki kabisa.
...nasmell hate hapo..hata Bush was not smart he got into Yale because he was a legacy( His father and grandfather were Yale men)....you can call rich affirmative action.
Game, Thanks a lot for clearing out the ambiguity!
SteveD.
Are you planning on explaining how someone with mediocre grades as Obama has admitted to had can get into Harvard Law School?
nini Bush na YALE, hata Sumaye alikuwa HARVARD...
wewe umesoma wapi...hater.
Eeebwana usisikie..huyo contact yangu kule NH ni demu wa Kizungu na naweza kukuambia kuwa sijawahi kuona mtu anayemchukia Hillary kama huyu sister. Kila nikimuuliza jibu lake huwa ni "she grates on my nerves" na cha ajabu hayuko pekeyake.Utashangaa jinsi gani wazungu wanavyomchukia huyu Hillary na haswa wanawake lakini kwa haraka haraka sababu ni kuwa:
WANAWAKE WA KIZUNGU wanaona BILL CLINTON alicheat on her lakini HILLARY aliendelea kukaa naye...kama unajua psychology ya wanawake then you will understand that most women wanted her to get ghetto and drop his ass in other words wanam consider Hillary as WEAK!
WANAUME WA KIZUNGU jibu ni simple usitishike na propaganda za equality za wanawake...inshort most white men have a very very very big issue with women of power....sidhani kama hiii issue ni kwa white men only...(naamini ni sisi wanaume general) tuko intimidated by the thought of a woman with power. Lakini kwa USA ni hao ma ultra-conservative, Bible thumping, Rush Limbaugh listening crowd ambao akitajwa HILLARY tu bas utaona mapovu ya hasira yanaanza kuwatoka
I cant wait to catch up na CSPAN kesho japo leo nilitazama baadhi ya segments online lakini kesho itakuwa more interesting
Alafu kwenye 60 minutes wamefocus kwa Edwards na Obama kwa upande wa Dem 60 Minutes
Inside Clinton Camp: Donors Panicking,Advisers Blame Each Other
The scope of Barack Obama's victory in Iowa has shaken the Clinton machine down to its bolts. Donors are panicking. The campaign has been making a round of calls to reassure notoriously fickle "superdelegates" -- elected officials and party regulars who are awarded convention spots by virtue of their titles and positions -- who might be reconsidering their decisions to back the candidate who formerly looked like a sure winner. And internally, a round of recriminations is being aimed at her chief strategist, Mark Penn, as the representative of everything about her pseudo-incumbent campaign that has been too cautious, too arrogant, too conventional and too clueless as to how much the political landscape has shifted since the last Clinton reign. One adviser summed up the biggest challenge that faces the campaign in two words: "Fresh thinking."
Specifically, those inside the campaign and outside advisers fault Penn for failing to see the Iowa defeat coming. They say he was assuring Clinton and her allies right up until the caucuses that they would win it. Says one: "He did not predict in any way, shape or form the tidal wave we saw." In particular, he had assured them that Clinton's support among women would carry her through. Yet she managed to win only 30% of the women's vote, while 35% of them went for Obama.
http://www.time.com/time/politics/article/0,8599,1700705,00.html
Mpaka Tulipofikia inaonekana Barack amekwenda vyema kwenye Maswali yote ya Debate,Na Mama ametereza kidogo kwa kigongo alichopigwa na Edwards na swali lililoulizwa na Director ambalo lilionyesha udhaifu wake kama Mwanamke!!namnukuu "You hurts my feelings"Kauli mbaya hiyo kutoka kwa Army Chief.Swali gumu la Mwanamke anaweza kuongoza America litazuka hapo!!!
That drew a wry response from Obama, who said, "You're likable enough, Hillary."
Dont fool urself, Americans arent ready for Rais M-matumbi mwenye arabic middle name Hussein na Baba Mkenya. Hata huyo mvaa sketi nae msindikizaji tu....
Dont get me wrong I would love Obama to win not because he is african/american rather bcoz he is smartest and capable candidate. But its very unfortunate the afore-mentioned things will prove to b difficult to overcome.