Lakini hii ni society ambayo inaamini mwanamke na mwanaume wote ni sawa hakuna double standards when it comes to sex, i got the feeling Bill kumpigia debe Hillary basi tena ni kwa nia ya kumharibia tu, maybe ana some insecurities, labda mkewe akiwa raisi atakuwa better kuliko yeye alivyokuwa?
Hakutakiwa kulia kwa sababu yeye ni mwanamke wa kwanza kugombea nafasi kama hii, alitakiwa kuonyesha huu umma wa US kwamba wanawake sio watu wa emotions all the time kama inavyosemwa saa zote, kwa ku-prove them wrong.
Anyway just a thought
she's got to go! hakuna cha sympathy hapa wala nini.......hatuwezi kutawaliwa na familia mbili kila siku kama vile tupo kwenye ufalme!! that's absurd!! why? hii nchi ina watu millioni 400, sasa unataka kusema ni Bush au Clinton families ndizo pekee zenye uwezo wa urais??...................
NBC, projects Obama in MD by a significant margin, "significant margin."!!!! tumechoka politics za dynasty.
Inategemea ni kulia kupi unakokuzungumzia. Kama ni kule kwa 'empathy' aliyoionyesha katika kujibu lile swali la yule mama wa NH, huko kulimpandishia chati na kushinda.
Pamoja na ukweli kuwa Obama ni smart na kuwa na uwezo mkubwa kabisa kuwa rais wa nchi hiyo ya Marekani; nasikitika MwanaMama, hilo halitawezekana safari hii. Nasikitika, kwani hata mimi ningependa awe, lakini hilo ni jambo lisilowezekana bado katika nchi hiyo. Inawezekana kabisa akashinda katika mchepuko huu wa 'nomination' kwani humo humo wamo wengi wanaomchafua Hillary; lakini utakapofika uchaguzi, McCain atachukua kiurahisi kama mpinzani wake atakuwa ni Obama. Too bad, but that is how it works in this democrasy.
YournameisMINE asante!
Ni kweli kabisa kwa nini yeye anajiona kwa vile mumewe alikuwa raisi basi na sasa ni zamu yake, anaendeleza BUSHICANIZATION OF AMERICA? who is next sasa? Chelsea is the next president hah? oh I got that.
Mh maybe the rest of families in America are dumb enough not to be able to produce a president.
All in all Washington need a new face.
Tatizo baadhi ya watu wanasahau kuwa hizi ni primaries na caucuses za vyama. General election ni ballgame nyingine kabisa. Tutaona jinsi Obama atakavyo-fare dhidi ya McCain na atakavyohimili mikikimikiki ya swift boaters
Nyani,
Kubali Potomac sweep na huyo Mike Henry aliyeachia manyanga leo kuwa mambo magumu Kambi ya Billary!
superdelegates ni party officials kama vile senators, representatives, governors, former presidents na kadhalika. Democrats wanao takribani 400.......hawa nao wana-vote on top ya delegates ambao candidates wana-win ktk hizi primaries!!! HRC anao wengi kushinda Obama so far, lakini hawa pia hawaja pledge, which means wanaweza ku-change votes zao siku hiyo huko Denver!! Pia wanatabia ya ku-reflects the say of their constituents, maana yake ni kwamba aliyeshinda wengi wa kura na delegates toka primaries, atashinda anyway!!.......kwahiyo booooooo HRC.
swift boaters wapo out of gas, isitoshe moveon.org wata-counter na "ngoma" zitakuwa zina-cancell mumo kwa mumo!! Obama is no John Kerry......so bring it on.
huyo McCain mwenyewe hao swift boat wanataka kumfanyia noma, in SC walijaribu, ingawa ikasemekana ni "bootyleggers" sio wenyewe. McCain ana dirty laundry kibao. It will get nasty if they play it dirt, watapewa ile mentality ya "if you don't give a damn, we don't give a f@ck."
Mfupa umemshinda billary huu na strategy zake mediocre.
.............thanks YNIM kwa kumuelewesha majita............nilipata wageni hapa tukawa tunashuhudia Obama anavyokanyaga.........woow!!
Uliona hata Herbie Hancock alimpa Mzee Ojwang turufu juzi uskiku aliposema "Yes we Can"?Ni kweli mambo si mazuri kwa Mama na nadhani Obama atapata nomination. So on behalf of the Mac...I tell your Obama...bring it on kid.
Gavana wa PA ameleta tena mambo ya rangi!
Wooow ni na wewe...aaaghhh
Uliona hata Herbie Hancock alimpa Mzee Ojwang turufu juzi uskiku aliposema "Yes we Can"?
Unajua binadamu ni watu ambao hata ufanyeje kuna watakaokukosoa na watakaokupongeza. Bill angeamua kukaa pembeni na kutomkampenia mke wake watu wangesema labda hataki mke wake naye awe raisi.
..........bwaaaahahahahahah.........jaluo huyo kaa chonjo Mkuu