obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp
obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp
Masanja,
Hillary anataniwa kuwa ni senator toka Punjab. Yaani, Sen. Hillary Clinton, D-Punjab. Nadhani umeipata hiyo!!
Billary wame-run divisive campaign na haya ndio matokea yake, come November common interests za hawa minorities zitawarudisha kundini na ku-vote nominee wa democratic.
Immigrants na minorities wengi wana tabia ya kuto kuelewana miongoni mwao, kwasababu ya competition ya jobs na resources nyingine. Watu weusi wanaona Latino wanachukua jobs zao na kufanya pay kushuka chini. Asians wao hasira yao na weusi ni juu ya crimes, maana jamaa wana-rob sana kwenye liquor na convinience stores zao!! Mwisho wa siku, wa kulaumiwa hapa ni Billary kwa kujaribu makusudi kabisa ku-take advantage ya issues kama hizi badala ya ku-unite. Ndio maana watu waerevu, wanakwenda na Obama. its all about change, change for the best....there is no white, black or brown america, there is just one america!!. Go Obama.
Hii topic nimepoteza hamu nayo kabisa baada ya kuiona report ya Richmond! Tunakaa tunashabikia vya wengine wakati nyumba yetu inaungua!! Yaani imagine wote hapa tunavyoshadadia huu uchaguzi wa US as if Tanzania will become another US state Obama or HRC akishinda...
Richmond report is a grim reminder of our responsibility to liberate our country.....Iam sorry guys lakini mi sioni impact ya global politics katika maisha ya mtanzania wa kawaida..Things are so bad in our country.....That to discuss global politics unaonekana you are out of touch with reality in Tanzania. Anyway life goes on..
obama kaanguka kifudi fudi, nnaona watoa michango ya kumuunga mkono wanahema wakitafakari watoke vp
Nyani Ngabu, Hillary is one thing lakini BILLARY! Kwa kweli that couple wana ishu nyingi sana na ndiyo maana watu wengi hawampendi and everyone is wishing that they loose, including HOllywood and Media. lakini ungejiuliza ilikuwaje kwamba the Darlings of Hollywood, African Americans na media - the Clintons - wameshuka chati hivyo?! It is their behavior! Hakuna kusingiziwa ni ukweli. Na ukiangalia BIll is now very well behaved. I personally used to admire Bill ile mbaya! Lakini sasa he sounds so hollow next to Obama.
Kuhusu super delegates aliowapata Hillary kumbuka that they can also change their minds wakiwa katika convention! So we are definitely up for some very exciting time.
Lakini pamoja na ushabiki wote, I have faith in the American system, kwa hiyo hata BIllary wakishinda I must say that they deserve it, whatever we may say, maana the competition is tough!
Mkuu soma chini hapo,
If Clinton can't score a big win by early March, calls will begin in earnest for her to leave the race. And while all signs point to leads in both Ohio and Texas now, she may not have the same support in the four long weeks Obama has to play catchup.
For Barack Obama and Hillary Clinton, Super Tuesday was a draw. But that draw provided Obama with the opportunity to extend the nomination fight, and left Clinton, once again, ending an important round without landing the knock-out punch. The longer Obama dances and avoids the roundhouse, the more likely he will end up winning by surprising in a state he's not supposed to take.