US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Go Romney!!!!!

NO.......so far yupo nyuma 4 percent na 10 per ya votes kwisha hesabiwa. Trend ikienedelea hivyo, by 8:30P EST, networks zita-project McCain. NN acha ushabiki, huyu bwana alikuwa gavana wetu hapa, kama akishinda tutapata more of the same za Joj Kichaka.....ikitokea akashinda leo na general election, mie nafunga virago naenda north of the boarder(Canada) kwani I can't stand his behind.
 
Utani tu kaka huo...

Umeona mavituz ya Mama lakini...? That's what's up...
 
Clinton kwisha kuwa projected winner in FL, lakini FL hai-count, so hai-count NO spin there!! maelezo ni mengine, sitaenda huko kwani ni kupoteza muda. Unaweza kuamini kwamba yupo Davie,FL kwa victory rally!? Kwanini siku ya SC aliondoka na kuongelea TN? Huyu mama ni mushkeli na divisive, it doesn't look good!! ataongea 8:45P EST, nitatega sikio kuona spin yake!!.
 
Giuliani is a REJECT, sent back to NYC akale lasagna!!.
 
Wazee,
Icadon yu wapi!!?? na-miss posting zake nzuri nzuri ktk hii thread......mwenye habari zake pls mwambiee atinge hapa walau kutoa salamu!!.
 
Clinton kwisha kuwa projected winner in FL, lakini FL hai-count, so hai-count NO spin there!! maelezo ni mengine, sitaenda huko kwani ni kupoteza muda. Unaweza kuamini kwamba yupo Davie,FL kwa victory rally!? Kwanini siku ya SC aliondoka na kuongelea TN? Huyu mama ni mushkeli na divisive, it doesn't look good!! ataongea 8:45P EST, nitatega sikio kuona spin yake!!.

Ushindi ni ushindi tu!! Unajua Florida ni state ambayo iko diverse sana na ina reflect Marekani nzima na si SC yako na GA, au AL. The people of Florida have spoken and it is Hillary "Superwoman" Clinton. Kwa hiyo msi-haye hapa na nnajua Osama wako angeshinda ungeruka ruka kwa nderemo na vifijo. Ushindi huu una-neutralize endorsement ya Bichwa. Now we move on to SupaDupa Tuesday!! Now, you spin....
 
....who cares....it doesnt count anyway!

...but still...almost (if not) a million people showed up and voted when they knew it wasn't going to count...so you can't downplay the significance of her win and desire of those people wanting their voice to be heard. Those people could have stayed home and not be bothered by going to the polling stations but they did...that says a lot....and the Democratic party should be ashamed for disenfranchising the good people of the Sunshine state!!!!!
 
Nothing.....it does not count!! that's the keyword there. The good ppl of Florida voted symbolically and that's about it, no more no less, she is just embarrasing herself with this rally in beautfully Davies,FL. You can spin all you want, but she is dead woman walking!!.
 
Sounds like you've been sipping on some Clinton-hatorade....

...wameonyesha ukumbi wa HQ za Giuliani nimecheka sana....yaani kuna waandishi wa habari tu...
 
Actually na sip "watoto wa jangwani" ustaadhi style (22 oz bottles, kijani bin Heinny) after a dayz work!! Giuliani anaongea sasa toka Orlando.........jamaa wa NBC na AP wamesha project McCain, that's Good!!. Wanasema Giuliani ata-endorse McCain kesho in simi valley, California
 
Yeah...I like McCain...he'll be tough to beat
 
Giuliani out, yaaani kia wananchi wakijaribu kumuuliza ishus, yeye ni nine-eleven tu, oooh! thank God limetupwa nje out!

Ila sasa huku upande wa pili kwa kweli bado sielewi!
 
FMES,
unaweza kuwa unahitaji Incentive Spirometer, chest physiotherapy(CPT) au labda TCDB(turn,cough and deep breath) kusaidia ur breathing, maana hii kitu ni breathtaking........kama upo interested just stay tuned, we're insanely getting close to the end @least for the primary cycle!!! welcome to the big tyme. Kibabu(McCain kimeacha kuangalizia) speech ilikuwa nzuri flani usiku huu.
 
Ikitokea HRC akashinda hiyo next Tuesday, I will honestly believe that there is something wrong with American Media. Maana with all this bashing from the leading papers, blogs et al against this lady nadhani hata skeptics wataamini kwamba she is not worth a cup of coffee. I honestly believe that huyu mama si mbaya kama tunavyoambiwa! Otherwise it would be a political suicide to put her incharge wa taifa kubwa kama USA..... Maana kila news outlet huyu mama ni kama villain aliyeshindikana. Anyway hukumu ni keshokutwa, but after next tuesday I will have a different understanding of American Media. I hope they are not just paid to give us poison everyday. Though over the period I have learnt to differentiate what the media says and public citizenry do. will there be connection between bashing ya media na wapiga kura? This will trully speak volume!
 
Mimi sikujua kama media ya US inaweza kumchukia mtu kwa kiasi hiki. Lakini nina wasiwasi sana if they are not suffering a cognitive dissonance. I really doubt if what they do is what they think, kweli kabisa!
 
Naona "wastaafu" FL wamemtosa Rudy, arudi akale Italian food Brooklyn pale..nilikuwa mitaa ya Home of the Gators na Tampa week iliyopita naona Mitt alikuwa anaflood TV za huko lakini wapi the Mac anakuwa the come back kid sasa.

Robert Reich naona naye kamgeuka boss wake wa zamani jamani hadi Toni Morrison natumaini huu upepo wa liberals kuwapa kisogo akina Billary utamsaidia Obama.

NN, vipi huu uvumi wa Sonny kuwa potential Veep candidate wa GOP, alafu naona Vernon Jones kaamua kujiingiza kwenye mechi kubwa vile vile.

Obama/Hillary or vice versa hmmm watu wameshaanza kuspeculate lakini sijui kama itawezekana ila siasa ni kitu cha ajabu kila kitu kinawezekana.

Your, nilishitukia ile issue ya Brady kuwa ilikuwa magrini alafu huyu jamaa aliyetabiri Giants watashinda 23-17 duh naona amesahau walichosema wenzake watatu kwenye regular season.
 
Back
Top Bottom