Clinton hakusema kuwa King alisaidiwa na rais mweupe; alichosema ni kuwa ndoto ya King isingetimia kama kusingekuwa na rais aliyejua umuhimu wa ndoto ile. Message yake ilikuwa kuhusu umuhimu wa kuwa na rais anayejua mambo; hakuwa na maana ya kumdharau King.
.......................
Prof.
Yes hakuwa anamdharau MLK however,...............
Upande mwingine wa shilingi kutokana na statement hiyo ni kuwa Obama is a "dreamer" and that si clever enough to be a President wa kuweza kutimiza anayo-dream
Yaani hile statement ilinifanya.........niwaangalie mara mbili mbili hawa Clintons.......are they Real?
Mkuu FMES,
napenda kutokukubaliana nawe hapo juu, kwanza among whitemen Obama na Clinton wamepata support sawa. Generally Obama kapata 24 per ya whites, hiyo ni 1/4 ya votes which is very good ktk threeway election iliyoingizwa rangi na clintons!!. Good news nyingine ni kuwa, supporters wa Obama wapo palepale regardless of color. Watu hao ni, vijana wasomi na watu wa middle and upper middle class. Issue ipo kwenye gender kwani white women voted big for Billary. Overall jamaa ka-prove kwamba yupo electable anywhere in America. Politics za color zimechokwa na watu wa rangi zote!!!!!
Florida governor Charlie Crist ana-endorse McCain right now!!! LOL masikini Rudy "the rude" Giuliani....a testemony kwamba politics za vitisho na ku-capitalize kwa matukio angamizi nazo pia zimechokwa. Intriguing!!!
SuperWoman
constituency kubwa ya Obama ni vijana wa 18 to 15, na hao ndio anaotakiwa kuhakikisha kuwa wanapiga kura. Tatizo lake pale alipoonyesha kuacha race itumike katika mazingiora ya kusaidia ndipo alopovuruga. hiyo 25% ya whites aliyopta imetokana na grupu jilo la 18 to 15, na ndile limekuwa linampa ushindi sikub zote. Amefanya makosa ku-create mazingira yanayoweza kulifanya likavurugwa kimawazo na hii element ya race. Ndiyo maana unaona hotuba yake ilikuwa ya kufuta madhambi yote yatokanayo na race kwenye uchaguzi wa SC.
Hapana bana...kushinda primary ambayo hata Jesse alishinda sio alama kwamba hata uchaguzi mkuu atashinda. Jamaa ana wakati mgumu sana kushinda kusini ktk uchaguzi mkuu. Super Tuesday ndio takuwa D-day kwa sababu states ambazo zina Hispanics wengi na zenyewe zitakuwemo na wengi wao so far wako solidly behind SuperWoman
Hata Bill Clinton kasema hivo hivo jana mchana, hizo statement za hata Jesse alishinda SC pia ni za KIBAGUZI!!!! Je huyo Jesse alishinda IOWA? alikuwa wa pili in NH? pia alipata majority ya delegates in NV? at anytime alionekana tishio la kuweza kushinda nomination? na mwisho alikuwa anapambana na mashine kama ya Clintons??? Acha bana........Obama sio Jesse!!!!.
Clintons wame-inject race ktk kinyang'anyiro hiki wakijua watashinda, instead strategy hiyo imefail in SC na pengine beyond!!! Clintons wanashindwa ndio maana wanatumia dirty tricks, FL ilikuwa haimo kutokana na kuvunja kwao rules za chama...........now "superwoman" wako anazungumzia florida, how come man!!? same juu ya michigan na caucuses kufanyika kwenye casinos, inashangaza kwamba rules ni pale wanaposhinda tu....kinyume chake watataka zivunjwe na kutungwa mpya!!.
Strategy yao ya ku-divide latino na blacks labda itafanikiwa kidogo in Cali na other western states, kwasababu latino wa huko ni mexicans and other mainland south americans(traditional wana issues na watu weusi)............lakini northeast latinos(puerto ricans na dominicans) in big cities/industrial states wata-vote Obama bila shaka kwasababu wao pia wanajihesababu kama blacks!!! ambayo ina maana sera za clintons za latino politics zinaweza kumtia matatani in NYC/ NY state, MA, NJ, IL, DE, PA, Wash DC, CT na RI................kama ulivyosema tusubiri tsunami tuesday, kwani maneno matupu hayapiki ubwabwa!!!! lakini Jesse sio Obama kaka, kwa hilo upo WRONG.
Mi nadhani tusubiri hiyo tuesday. But as I always said and I say it again, Obama akishindwa, atalaumiwa Clintons kwamba walimchezea dirty politics za race, akishinda akaenda mbele, whatever will be said watasema ni ubaguzi wa republicans (though they dont give a damn when it comes to such issues za race..remember Jesse Helms?).
What I see the whole issue ya race ni MEDIA imejaribu kui-inject kupunguza makali ya Clinton (kama alikuwa nayo anyway!)!! maana hata weusi wameanza kumback up fully Obama baada ya hii issue ya race kujitokeza. Clintons have their own probs, lakini kwa hili wanaonewa! they never injected race ni media na hawa campaign operatives wa pande zote. Labda mnisaidie (....this whole thing is a fairly tale..!!) how does this statement ralate to racism jamani? yet the man was talking about Iraq! Honestly speaking to fully appreciate information by today`s media it needs high level of intellectualism and ability to disect what you see and hear!
I stand to be corrected, lakini what Iam sure of, hapa wengi watamtumia Clinton kama scape goat kama Obama akishindwa! hata kwenye hii thread people will say so! Lets wait and see. Huyu mama ni flip flopper mkubwa sana and she knows what she wants and how to get it at any cost, but watu wanashindwa ku-counter arguments zake wanabakia kudeal na siasa za personal..tangu lini how you relate with your wife or girl friend determines your job evaluation by your boss? You cant judge Hillary by indiscretion za Bill! Its rediculous!
Kesho wazungu wakivote kama block, will people complain? mbona leo black people walivyo vote kama weusi solidly behind Obama sijaona media yoyote ina raise eye blows? huu unafiki utaisha lini wa hizi media? This whole isse has been overblown by the media na kwa sababu we just feed on what they tell us (irrespective of the merit)we just get carried away.
No wonder serikali za dunia ya nne ziko very strict on media regulation...