US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Ab-Titchaz: Shukrani kwa picha ulizopost hapa! Mimi nimekwambia nina matumaini na watu wa Marekani, as they said, they are NOT Stupid!!! The latest meme that McCain Palin are lying and also that they think that Americans are stupid is catching on. Nimesikia hata kwenye Roland MArtin show mwanamke moja akisema I am white suburban American and I am not stupid! I will not vote for Palin just because she's a woman, I will vote for Obama because he talks about the issues I care!!
This demonstration against Palin was organized by women over coffee. It is democracy at work. Hao counter demonstrators ni wa kuhurumiwa kwa kweli!! Kwikwiiii! Kwa jinsi ninavyojua 1,500 people in Anchorage Alaska si kitu kidogo! Hahaaaa!
 
Nimekuwa nikifuatilia habari za Sarah "Plain" over the weekend, yaani it is an abomination kwamba huyu mama wanataka awe VP.Nilifikiri Republicans wasingeweza kufanya any worse than Bush, lakini wapi.
 
Susuviri,

Karibu sana mkuu.

Mie mwenyewe 'japo nawafahamu wamarekani weupe, nadhani this time
around McCain amechemsha na hii pick.Wanawake wenyewe wanasema kua
McCain amewadharau kwa kudhani watampa kura just because he picked a
woman for VP...they see it as sexist.

Hii kura itakua very interesting maana nishasikia minongono ya watu kua
Obama should have picked Hillary for VP.Imagine at the same time nasikia
ubavu wa pili wakisema kua McCain should have picked Mitt Romney.... shughuli ipo.

Acha nikupe story moja nimeona.Kuna mtaa hapa MI unaiotwa Bloomfield Hills
ambako kunaishi wazungu wenye hela kishenzi.Yaani nyumba zao can tell you
how much they make!!!During the last elections ni mitaa kama hii iliompa Bush
kura almost man to man.Basi mwenzio hua nakatiza hio sehemu nikienda kwangu
kupitia njia iitwayo Hickory Groove Drive na kila nikipita najua wazi hawa nd'o
Republicans damu.Amini usiamini juzi nimepita hio sehemu na nikaona nyumba
mbili zina Obama/Biden placards pitched in their yards!!! Ndani ya moyo wangu
nikasema "Mungu mkubwa tumefika" ...not that we have won but the
fact that Obama has broken those cielings!...Kwa ufupi watu wamekubali
kumpa jamaa kura despite his race.

Hata hivyo bado kuna pockets of racist white folk hususan mitaa ya Virginia,
Kentucky na Pennsylvania.Huko ndo kuna kazi mjomba lakini naamini ado ado
tu na Obama atavunja ngome.Huyu jamaa ana-grassroots connection za
nguvu and you undermine him at your own peril. Hillary yalimkumba na bado
huyu McSame naye!

Cheki Obama's fundraising in August despit McCains showings at the polls.
Obama's base is still fired up... FT.com / World - Obama raises record funds in August
 
Pundit,

I concur with you.Ijapo si wapendi Republicans lakini hapa McCain took a
very big risk.Yaani huyu mama kila kukicha kuna hadisi mpya.Cheki hio
posting ya Nyambala hapo juu kua huyu Mama hakuenda Iraq kama
anavodai.Je unakumbuka during the primaries vile Hillary alivyosema eti
walikua Bosnia under sniper fire and the like?...come to find out it was a
lie.Sasa je what are they gonna say about it.

Its simply wise to vet somebody thoroughly before giving them an opportunity
for such an office.But do I say...!
 
Susuviri,

Karibu sana mkuu.

Mie mwenyewe 'japo nawafahamu wamarekani weupe, nadhani this time
around McCain amechemsha na hii pick.Wanawake wenyewe wanasema kua
McCain amewadharau kwa kudhani watampa kura just because he picked a
woman for VP...they see it as sexist.

Hii kura itakua very interesting maana nishasikia minongono ya watu kua
Obama should have picked Hillary for VP.Imagine at the same time nasikia
ubavu wa pili wakisema kua McCain should have picked Mitt Romney.... shughuli ipo.

Acha nikupe story moja nimeona.Kuna mtaa hapa MI unaiotwa Bloomfield Hills
ambako kunaishi wazungu wenye hela kishenzi.Yaani nyumba zao can tell you
how much they make!!!During the last elections ni mitaa kama hii iliompa Bush
kura almost man to man.Basi mwenzio hua nakatiza hio sehemu nikienda kwangu
kupitia njia iitwayo Hickory Groove Drive na kila nikipita najua wazi hawa nd'o
Republicans damu.Amini usiamini juzi nimepita hio sehemu na nikaona nyumba
mbili zina Obama/Biden placards pitched in their yards!!! Ndani ya moyo wangu
nikasema "Mungu mkubwa tumefika" ...not that we have won but the
fact that Obama has broken those cielings!...Kwa ufupi watu wamekubali
kumpa jamaa kura despite his race.

Hata hivyo bado kuna pockets of racist white folk hususan mitaa ya Virginia,
Kentucky na Pennsylvania.Huko ndo kuna kazi mjomba lakini naamini ado ado
tu na Obama atavunja ngome.Huyu jamaa ana-grassroots connection za
nguvu and you undermine him at your own peril. Hillary yalimkumba na bado
huyu McSame naye!

Cheki Obama's fundraising in August despit McCains showings at the polls.
Obama's base is still fired up... FT.com / World - Obama raises record funds in August

Ab-Titchaz, asante sana kwa insight uliyotupatia. Unajua hapa nikiongea mimi naambiwa ni mshabiki, which is true but does not take away the fact that Obama is doing a fantastic job on the ground. Nimehabarishwa kupitia network ya Obama kuwa kuna volunteer lawyers ambao wamepanga kukaa in voting stations kuhakikisha weusi na other minorities hawanyimwi kura zao in Ohio and Florida and also other states. Ni kweli Obama alisema NOT THIS TIME. Rethugs waliiba kura in Florida in 2000 and in Ohio in 2004 lakini sasa Democrats wako macho. I think that Obama is not smarter or have different policies from Al Gore na John Kerry, the difference is he knows how to fire up the base, mobilize millions and get the job done. Sasa Rethugs know that their ground work is really bad and they like to use 'high tech' kama simu na internet tu, bila ground work. But Obama is using primarily ground work, his insurgency ndo ilimsaidia kupata ushindi wa DEmocratic primary na atashinda in general elections.
 
Very true mkuu mwenzangu.

Acha nikwambie the biggest fear about this election and people
are not focussing on its possibility happening. Nina hisi kua Obama
will win the popular vote kisha usikie eti McSame amechukua ile
wanaita Electoral College ambayo nd'o ina-determine who will be President.
Basi patakua hapatoshi na we will have the Bush-Al Gore thing all over
again but this time it will really hurt maana Obama is a minority so to
speak.

I believe its with this i mind that Obama's team has decided to go ahead
with the move.Kuna jamaa amepost article kwenye gazeti la
Newsweek about Minorities being disenfranchised by republicans...

‘Jim Crawford' Republicans​

The GOP is working to keep eligible African-Americans from voting in several states

It was a mainstay of Jim Crow segregation: for 100 years after the Civil War, Southern white Democrats kept eligible blacks from voting with poll taxes, literacy tests and property requirements. Starting in the 1960s, the U.S. Supreme Court declared these assaults on the heart of American democracy unconstitutional.

Now, with the help of a 2008 Supreme Court decision, Crawford vs. Marion County (Indiana) Election Board, white Republicans in some areas will keep eligible blacks from voting by requiring driver's licenses. Not only is this new-fangled discrimination constitutional, it's spreading
...READ ON
 
Nimekuwa nikifuatilia habari za Sarah "Plain" over the weekend, yaani it is an abomination kwamba huyu mama wanataka awe VP.Nilifikiri Republicans wasingeweza kufanya any worse than Bush, lakini wapi.

Pundit, mimi nakwambia chaguo hili la Sarah Plain haikuwa thought through, they a(GOP) are surprised that it gained any traction maana walishaamua kukubli matokeo. But you are right, Pitbull with Lipstick is like Bush and Cheney rolled into one. She is dumb, incurious like Bush and mean, vindactive like Cheney. McCain is plain senile! Hiyo combination makes them weapons of mass distractions and lethal for the US and the whole world!
 
Liberals said Reagan was dumb...they said Bush is/ was dumb....now they say the same thing about McCain-Palin......liberals kwa kujifanya wana akili.....kwikwikwikwiiiiiii....sasa kama wana akili kwa nini wanashindwa chaguzi (tena vibaya mno, kumbuka Nixon v McGovern, Reagan v Mondale, Bush v Dukakis....or even Ragan v Carter -the nuclear scientist...lol)........typical liberals always look down on people.....

Watu wanachagua commander in chief (a leader) na sio genius in chief......
 
"Ms. Palin most visibly stumbled when she was asked by Mr. Gibson if she agreed with the Bush doctrine. Ms. Palin did not seem to know what he was talking about. Mr. Gibson, sounding like an impatient teacher, informed her that it meant the right of `anticipatory self-defense.'" -- New York Times, Sept. 12WASHINGTON -- Informed her? Rubbish.

The Times got it wrong. And Charlie Gibson got it wrong.There is no single meaning of the Bush doctrine. In fact, there have been four distinct meanings, each one succeeding another over the eight years of this administration -- and the one Charlie Gibson cited is not the one in common usage today.
He asked Palin, "Do you agree with the Bush doctrine?"

She responded, quite sensibly to a question that is ambiguous, "In what respect, Charlie?" Sensing his "gotcha" moment, Gibson refused to tell her. After making her fish for the answer, he grudgingly explained to the moose-hunting rube that the Bush doctrine "is that we have the right of anticipatory self-defense."

Wrong.

I know something about the subject because, as the Wikipedia entry on the Bush doctrine notes, I was the first to use the term. In the cover essay of the June 4, 2001, issue of The Weekly Standard titled, "The Bush Doctrine: ABM, Kyoto, and the New American Unilateralism," I suggested that the Bush administration policies of unilaterally withdrawing from the ABM treaty and rejecting the Kyoto protocol, together with others, amounted to a radical change in foreign policy that should be called the Bush doctrine.

Then came 9/11, and that notion was immediately superseded by the advent of the war on terror. In his address to Congress nine days later, Bush declared: "Either you are with us, or you are with the terrorists. From this day forward, any nation that continues to harbor or support terrorism will be regarded by the United States as a hostile regime." This "with us or against us" policy regarding terror -- first deployed against Pakistan when Secretary of State Colin Powell gave President Musharraf that seven-point ultimatum to end support for the Taliban and support our attack on Afghanistan -- became the essence of the Bush Doctrine.

Until Iraq. A year later, when the Iraq War was looming, Bush offered his major justification by enunciating a doctrine of pre-emptive war. This is the one Charlie Gibson thinks is the Bush doctrine. It's not. It's the third in a series and was superseded by the fourth and current definition of the Bush doctrine, the most sweeping formulation of Bush foreign policy and the one that most distinctively defines it: the idea that the fundamental mission of American foreign policy is to spread democracy throughout the world. It was most dramatically enunciated in Bush's second inaugural address: "The survival of liberty in our land increasingly depends on the success of liberty in other lands. The best hope for peace in our world is the expansion of freedom in all the world."

This declaration of a sweeping, universal American freedom agenda was consciously meant to echo John Kennedy's pledge that the United States "shall pay any price, bear any burden ... to assure the survival and the success of liberty." It draws also from the Truman doctrine of March 1947 and from Wilson's 14 points.

If I were in any public foreign policy debate today, and my adversary were to raise the Bush doctrine, both I and the audience would assume -- unless my interlocutor annotated the reference otherwise -- that he was speaking about Bush's grandly proclaimed (and widely attacked) freedom agenda.

Not the Gibson doctrine of pre-emption.

Not the "with us or against us" no-neutrality-is-permitted policy of the immediate post-9/11 days.

Not the unilateralism that characterized the pre-9/11 first year of the Bush administration.

Presidential doctrines are inherently malleable and difficult to define. The only fixed "doctrines" in American history are the Monroe and the Truman doctrines, which came out of single presidential statements during administrations where there were few conflicting foreign policy crosscurrents.

Such is not the case with the Bush doctrine.

Yes, Palin didn't know what it is. But neither does Gibson. And at least she didn't pretend to know -- while he looked down his nose and over his glasses with weary disdain, "sounding like an impatient teacher," as the Times noted. In doing so, he captured perfectly the establishment snobbery and intellectual condescension that has characterized the chattering classes' reaction to the phenom who presumes to play on their stage.

Charles Krauthammer is a 1987 Pulitzer Prize winner, 1984 National Magazine Award winner, and a columnist for The Washington Post since 1985.
 
Nimekuwa nikifuatilia habari za Sarah "Plain" over the weekend, yaani it is an abomination kwamba huyu mama wanataka awe VP.Nilifikiri Republicans wasingeweza kufanya any worse than Bush, lakini wapi.

Jesus Christ was a community organizer (Barack Obama was a community organizer), Pontious Pilate was a governor (Sarah Palin is a governor).....talking about something being an abomination.....
 
Palin Administration Still Pursuing ‘Nowhere' Project

by Paul Kiel, ProPublica - September 13, 2008 1:19 pm EDT

Palin Administration Still Pursuing ‘Nowhere' Project - ProPublica

Alaska Gov. Sarah Palin has portrayed herself as a foe of pork-barrel spending, pointing in particular to her role in killing the $398 million "Bridge to Nowhere" between Ketchikan (pop. 7,400) and its airport on Gravina Island (pop. 50). I "told the Congress, 'Thanks, but no thanks,'" she said in her speech accepting the Republican vice presidential nomination. "If our state wanted to build a bridge, we were going to build it ourselves."

But Gov. Palin's administration acknowledges that it is still pursuing a project that would link Ketchikan to its airport -- with the help of as much as $73 million in federal funds earmarked by Congress for the original project.

"What the media isn't reporting is that the project isn't dead," Roger Wetherell, spokesman for Alaska's Department of Transportation, said. In a process begun this past winter, the state's DOT is currently considering (PDF) a number of alternative solutions (five other possible bridges or three different ferry routes) to link Ketchikan and Gravina Island.

The DOT has not yet developed cost estimates for those proposals, Wetherell said, but $73 million of the approximately $223 million Sen. Ted Stevens (R-AK) and Rep. Don Young (R-AK) earmarked for the bridge in 2005 has been set aside for the Gravina Access Project.

In an interview that aired Friday night, ABC's Charles Gibson challenged Palin about the fact that she'd initially supported the "Bridge to Nowhere" during her 2006 run for governor. "I was for infrastructure being built in the state," she said, but repeated her line that Alaska would "find a way to build [the bridge] ourselves."

She added: "What I supported was the link between a community and its airport. And we have found that link now."

Peter Feldman, a spokesman for the McCain campaign, did not respond directly to questions about whether Palin was aware that the project had begun anew or that $73 million in federal funds had been set aside for it. "The fact is that once Governor Palin was elected and had an opportunity to look closely at the project, she killed it," he said in an e-mailed statement. "She fought for Congress to kill the provision, but they sent the funds anyway. Palin fired the kill shot by not using a dime of that money on the bridge." Gov. Palin's state office referred questions about the project to Alaska's DOT.

The state has made no secret of its plans to go forward with the Gravina Access Project. A DOT website for the project contains a timeline that shows Alaska's study of the environmental impact of the bridge and ferry proposals is scheduled to conclude by the spring of 2010. One possible alternative, the DOT website notes, is to take "no action." The website, however, makes no mention of the ultimate source of the funding for the project.

The M.V. Oral Freeman ferry (Credit: Ketchikan Gateway Borough)The massive $398 million "Bridge to Nowhere" was to replace ferry service from the airport to Ketchikan (departing every half-hour), a 15-minute ride -- meaning that air travelers are assured of reaching Ketchikan in no more than 45 minutes. It would have done so in grand style: the planned structure would have been nearly as long as the Golden Gate and higher than the Brooklyn Bridge.

But government watchdogs and Sen. Tom Coburn (R-OK) made the project the poster child for wasteful earmarks. The money, they argued, should be rerouted to repair a major bridge damaged by Hurricane Katrina in New Orleans. Coburn's campaign against the "Bridge to Nowhere" didn't succeed in redirecting the money, but did succeed in stripping the stipulation that Alaska be forced to spend the funds on the $398 million bridge design.

By the time Gov. Palin entered office at the end of 2006, it was clearly unlikely that Congress would ever approve the funds necessary to complete the project. So in September 2007, Gov. Palin announced (PDF) that the state would no longer proceed with the $398 million bridge design, but she did not end the project, instead directing the DOT to look for the "most fiscally responsible alternative."

Sen. Tom Coburn (R-OK) -- who led the fight in Congress to redirect the $223 million to New Orleans -- said he didn't have any objection to Palin using the $73 million for the project.

"If I could have taken all the money away, I would have," he said, "but Alaska gets to do whatever they want to do with that money.

"The problem is in Washington, not on the local level," he said. "If you're a governor, and you're sitting in your state and your politicians are telling you, there's a lot of money we can get out of the budget, do you say, ‘No, we want nothing,' or 'Here's a list of projects?'"

Gov. Frank Murkowski (R), Palin's predecessor, was the first to confront what to do with the federal money. He redirected $48 million of the sum to be spent on various state transportation projects. He also, three days before he left office in December 2006, used about $26 million on a contract to build an access road from the airport to the bridge.

A map by Alaska's Department of Transportation showing the proposals being considered for the Gravina Access project. (Credit: Department of Transportation, Alaska)The road currently leads to a dead end on the shore and is expected to be completed by next week, Wetherell said. But since it follows the prior plan for the bridge, it might prove to be an access road to nowhere. Most of the bridge and ferry proposals being considered by the DOT are located at different places along the coast.

Palin supported the $398 million bridge project during her campaign for governor in 2006, but concluded in her first year in office that Alaska would never be able to win the funds needed to complete it. "Congress has little interest in spending any more money on a bridge between Ketchikan and Gravina Island," she said in an announcement. She directed that $36 million of the federal funds be used for other state DOT projects while the DOT "also looks for a more affordable answer for Gravina Island access."

A breakdown (PDF) provided by the Alaska DOT of the approximately $80 million in federal funds used on other projects shows that about half the money has so far been spent on 18 smaller projects ranging in cost from $140,000 spent on highway "scenic enhancements" to an $8.4 million highway project. About half of the funds remain to be used on other projects.
 
Palin Administration Still Pursuing ‘Nowhere’ Project

by Paul Kiel, ProPublica - September 13, 2008 1:19 pm EDT

Palin Administration Still Pursuing ‘Nowhere’ Project - ProPublica

Alaska Gov. Sarah Palin has portrayed herself as a foe of pork-barrel spending, pointing in particular to her role in killing the $398 million "Bridge to Nowhere” between Ketchikan (pop. 7,400) and its airport on Gravina Island (pop. 50). I "told the Congress, 'Thanks, but no thanks,'" she said in her speech accepting the Republican vice presidential nomination. "If our state wanted to build a bridge, we were going to build it ourselves."

But Gov. Palin’s administration acknowledges that it is still pursuing a project that would link Ketchikan to its airport -- with the help of as much as $73 million in federal funds earmarked by Congress for the original project.

"What the media isn't reporting is that the project isn't dead," Roger Wetherell, spokesman for Alaska’s Department of Transportation, said. In a process begun this past winter, the state’s DOT is currently considering (PDF) a number of alternative solutions (five other possible bridges or three different ferry routes) to link Ketchikan and Gravina Island.

The DOT has not yet developed cost estimates for those proposals, Wetherell said, but $73 million of the approximately $223 million Sen. Ted Stevens (R-AK) and Rep. Don Young (R-AK) earmarked for the bridge in 2005 has been set aside for the Gravina Access Project.

In an interview that aired Friday night, ABC’s Charles Gibson challenged Palin about the fact that she’d initially supported the “Bridge to Nowhere” during her 2006 run for governor. “I was for infrastructure being built in the state,” she said, but repeated her line that Alaska would “find a way to build [the bridge] ourselves.”

She added: “What I supported was the link between a community and its airport. And we have found that link now.”

Peter Feldman, a spokesman for the McCain campaign, did not respond directly to questions about whether Palin was aware that the project had begun anew or that $73 million in federal funds had been set aside for it. "The fact is that once Governor Palin was elected and had an opportunity to look closely at the project, she killed it," he said in an e-mailed statement. "She fought for Congress to kill the provision, but they sent the funds anyway. Palin fired the kill shot by not using a dime of that money on the bridge." Gov. Palin’s state office referred questions about the project to Alaska's DOT.

The state has made no secret of its plans to go forward with the Gravina Access Project. A DOT website for the project contains a timeline that shows Alaska's study of the environmental impact of the bridge and ferry proposals is scheduled to conclude by the spring of 2010. One possible alternative, the DOT website notes, is to take "no action." The website, however, makes no mention of the ultimate source of the funding for the project.

The M.V. Oral Freeman ferry (Credit: Ketchikan Gateway Borough)The massive $398 million "Bridge to Nowhere" was to replace ferry service from the airport to Ketchikan (departing every half-hour), a 15-minute ride -- meaning that air travelers are assured of reaching Ketchikan in no more than 45 minutes. It would have done so in grand style: the planned structure would have been nearly as long as the Golden Gate and higher than the Brooklyn Bridge.

But government watchdogs and Sen. Tom Coburn (R-OK) made the project the poster child for wasteful earmarks. The money, they argued, should be rerouted to repair a major bridge damaged by Hurricane Katrina in New Orleans. Coburn's campaign against the "Bridge to Nowhere" didn't succeed in redirecting the money, but did succeed in stripping the stipulation that Alaska be forced to spend the funds on the $398 million bridge design.

By the time Gov. Palin entered office at the end of 2006, it was clearly unlikely that Congress would ever approve the funds necessary to complete the project. So in September 2007, Gov. Palin announced (PDF) that the state would no longer proceed with the $398 million bridge design, but she did not end the project, instead directing the DOT to look for the "most fiscally responsible alternative."

Sen. Tom Coburn (R-OK) -- who led the fight in Congress to redirect the $223 million to New Orleans -- said he didn’t have any objection to Palin using the $73 million for the project.

"If I could have taken all the money away, I would have," he said, "but Alaska gets to do whatever they want to do with that money.

"The problem is in Washington, not on the local level," he said. "If you're a governor, and you're sitting in your state and your politicians are telling you, there's a lot of money we can get out of the budget, do you say, ‘No, we want nothing,' or 'Here's a list of projects?'"

Gov. Frank Murkowski (R), Palin’s predecessor, was the first to confront what to do with the federal money. He redirected $48 million of the sum to be spent on various state transportation projects. He also, three days before he left office in December 2006, used about $26 million on a contract to build an access road from the airport to the bridge.

A map by Alaska's Department of Transportation showing the proposals being considered for the Gravina Access project. (Credit: Department of Transportation, Alaska)The road currently leads to a dead end on the shore and is expected to be completed by next week, Wetherell said. But since it follows the prior plan for the bridge, it might prove to be an access road to nowhere. Most of the bridge and ferry proposals being considered by the DOT are located at different places along the coast.

Palin supported the $398 million bridge project during her campaign for governor in 2006, but concluded in her first year in office that Alaska would never be able to win the funds needed to complete it. “Congress has little interest in spending any more money on a bridge between Ketchikan and Gravina Island,” she said in an announcement. She directed that $36 million of the federal funds be used for other state DOT projects while the DOT “also looks for a more affordable answer for Gravina Island access.”

A breakdown (PDF) provided by the Alaska DOT of the approximately $80 million in federal funds used on other projects shows that about half the money has so far been spent on 18 smaller projects ranging in cost from $140,000 spent on highway "scenic enhancements" to an $8.4 million highway project. About half of the funds remain to be used on other projects.
 
"Ms. Palin most visibly stumbled when she was asked by Mr. Gibson if she agreed with the Bush doctrine. Ms. Palin did not seem to know what he was talking about. Mr. Gibson, sounding like an impatient teacher, informed her that it meant the right of `anticipatory self-defense.'" -- New York Times, Sept. 12WASHINGTON -- Informed her? Rubbish.

The Times got it wrong. And Charlie Gibson got it wrong.There is no single meaning of the Bush doctrine. In fact, there have been four distinct meanings, each one succeeding another over the eight years of this administration -- and the one Charlie Gibson cited is not the one in common usage today.
He asked Palin, "Do you agree with the Bush doctrine?"

She responded, quite sensibly to a question that is ambiguous, "In what respect, Charlie?" Sensing his "gotcha" moment, Gibson refused to tell her. After making her fish for the answer, he grudgingly explained to the moose-hunting rube that the Bush doctrine "is that we have the right of anticipatory self-defense."

Wrong.

I know something about the subject because, as the Wikipedia entry on the Bush doctrine notes, I was the first to use the term. In the cover essay of the June 4, 2001, issue of The Weekly Standard titled, "The Bush Doctrine: ABM, Kyoto, and the New American Unilateralism," I suggested that the Bush administration policies of unilaterally withdrawing from the ABM treaty and rejecting the Kyoto protocol, together with others, amounted to a radical change in foreign policy that should be called the Bush doctrine.

Then came 9/11, and that notion was immediately superseded by the advent of the war on terror. In his address to Congress nine days later, Bush declared: "Either you are with us, or you are with the terrorists. From this day forward, any nation that continues to harbor or support terrorism will be regarded by the United States as a hostile regime." This "with us or against us" policy regarding terror -- first deployed against Pakistan when Secretary of State Colin Powell gave President Musharraf that seven-point ultimatum to end support for the Taliban and support our attack on Afghanistan -- became the essence of the Bush Doctrine.

Until Iraq. A year later, when the Iraq War was looming, Bush offered his major justification by enunciating a doctrine of pre-emptive war. This is the one Charlie Gibson thinks is the Bush doctrine. It's not. It's the third in a series and was superseded by the fourth and current definition of the Bush doctrine, the most sweeping formulation of Bush foreign policy and the one that most distinctively defines it: the idea that the fundamental mission of American foreign policy is to spread democracy throughout the world. It was most dramatically enunciated in Bush's second inaugural address: "The survival of liberty in our land increasingly depends on the success of liberty in other lands. The best hope for peace in our world is the expansion of freedom in all the world."

This declaration of a sweeping, universal American freedom agenda was consciously meant to echo John Kennedy's pledge that the United States "shall pay any price, bear any burden ... to assure the survival and the success of liberty." It draws also from the Truman doctrine of March 1947 and from Wilson's 14 points.

If I were in any public foreign policy debate today, and my adversary were to raise the Bush doctrine, both I and the audience would assume -- unless my interlocutor annotated the reference otherwise -- that he was speaking about Bush's grandly proclaimed (and widely attacked) freedom agenda.

Not the Gibson doctrine of pre-emption.

Not the "with us or against us" no-neutrality-is-permitted policy of the immediate post-9/11 days.

Not the unilateralism that characterized the pre-9/11 first year of the Bush administration.

Presidential doctrines are inherently malleable and difficult to define. The only fixed "doctrines" in American history are the Monroe and the Truman doctrines, which came out of single presidential statements during administrations where there were few conflicting foreign policy crosscurrents.

Such is not the case with the Bush doctrine.

Yes, Palin didn't know what it is. But neither does Gibson. And at least she didn't pretend to know -- while he looked down his nose and over his glasses with weary disdain, "sounding like an impatient teacher," as the Times noted. In doing so, he captured perfectly the establishment snobbery and intellectual condescension that has characterized the chattering classes' reaction to the phenom who presumes to play on their stage.

Charles Krauthammer is a 1987 Pulitzer Prize winner, 1984 National Magazine Award winner, and a columnist for The Washington Post since 1985.

Spin, spin! Yaani hamwezi ku-deny your VP is dumb and has no IDEA about foreign policy, walim-cram-isha and that never works. Na ameumbuka hadharani and the meme is catching on with both Pitbull and your Babu - liars and dunno what they are talking about, out of touch!!!! Leo naona Carly Fiorna amekuwa frustrated sana kiasi kwamba ame-attack Saturday Night Live. Sasa Nyani ulikingia kifua SNL walivyodai HIllary was mistreated lakini ghafla now SNL is not good and is SEXIST? Kweli mmekosa hoja. Na hujajibu bado ile habari kuhusu Karl Rove akisema McCain has gone too far in lying?!
 
Wakuu mnaofuatilia Politics/Election ya America,ni nini tena kimetokea,mbona toka kuchaguliwa kwa Mama Gov. Sarah Palin kwenye nafasi ya UVP naona polls zina-twist.Ni kweli kwamba Mama amekuwa na mvuto kiasi cha kusema kwamba watu hawajali Issues tena na wanaangalia personalities?.Kwa mawazo yangu ni kwamba Waamerika wameelimika na watamchagua kiongozi anayeonekana anajali maslahi ya watu bila kujali Gender,Race au Age.Kama mwendo utakuwa huu,hizi siku 50 zilizobaki sio nyingi,tunaweza kushangaa Republican wakaingia Madarakani tena!!!Ngoja tusubiri Debates ambazo nafikiri ndio zitakuwa Weapons za mwisho kwa Liberals,kwa sababu kwa mtindo wowote bado Obama/Biden ni makini kwa issues kuliko McCain/Palin.
 
If you were remotely objective you would have mentioned the part where he said The Chosen One (Jesus) has gone even further. But of course, you left that part. I understand. Next......
 
Wakuu mnaofuatilia Politics/Election ya America,ni nini tena kimetokea,mbona toka kuchaguliwa kwa Mama Gov. Sarah Palin kwenye nafasi ya UVP naona polls zina-twist.Ni kweli kwamba Mama amekuwa na mvuto kiasi cha kusema kwamba watu hawajali Issues tena na wanaangalia personalities?.Kwa mawazo yangu ni kwamba Waamerika wameelimika na watamchagua kiongozi anayeonekana anajali maslahi ya watu bila kujali Gender,Race au Age.Kama mwendo utakuwa huu,hizi siku 50 zilizobaki sio nyingi,tunaweza kushangaa Republican wakaingia Madarakani tena!!!Ngoja tusubiri Debates ambazo nafikiri ndio zitakuwa Weapons za mwisho kwa Liberals,kwa sababu kwa mtindo wowote bado Obama/Biden ni makini kwa issues kuliko McCain/Palin.

Hakuna cha debates wala baba yake issues. Watu wengi wana piga kura kuendana na hisia zao, mwisho habari. Kama debates zingekuwa zinabadilisha kitu basi W wala asingeshinda re-election maana John Kerry ali-sweep debates zote tatu.

Halafu hii ya kumlinganisha Obama na Yesu (community organizer) na Palin na Pilato (Gavana) itawahamasisha walokole (evangelicals) kuliko ilivyowahi kutokea. Liberals wamekufuru kabisa hapo!! Ingine ni hii ya kum-diss Palin eti kuwa hana akili. Wewe subiri tu. Na yenyewe ita-backfire. Mara nyingi liberals hujifanya wana akili sana na matokeo yake hushikishwa adabu kwenye sanduku la kura.
 
Sawa bana, wewe endelea kutu-threten na kujifanya huelewi a good joke ya Yesu na Pilato. BTW kwa nii useme Obama na Palin? KWani nani alianza ku-diss community organizers???? Si huyo Kisura wenu? Tena she smirked and you GOPers booed! Sasa unategemea community organizers wata-react vipi. KWanza acha distractions hebu tuambie kwa nini Babu yako haelewi kwamba uchumi wa Marekani is in dire straits?? Anasema everything is fine, eti solid ground?! Yaani anazidi kuonekana yuko out of touch. Alafu amesema if you elect us we will ensure it will never happen again. Kwa hiyo mnakubali kwamba GOP mmechemka??!! Mmeingiza Marekani katika hali mbaya sana!
 
Well, Kisura alikuwa anajibu mapigo yenu baada ya kumkandia eti alikuwa Meya wa ka mji kenye watu 5,000 -7,000 bila hata ya kuzingatia kuwa ni gavana wa Alaska. Yaani kampeni yenu inachemka daily. Baada ya Obama kuwa-diss watu wa small town America kuwa wana cling to guns na religion kampeni yake inakuja kum-diss tena Kisura kuwa eti alikuwa meya wa Wassila.....hahahahaaaaa.....man o man...this is the gift that keeps on giving. Keep it up! Halafu ma-celebrity wanazidi kutusaidia.....Madonna, yule mjinga mjinga host wa MTV awards, Eva Longoria, Pamela Anderson......oooowiiiiiiii.....I'm loving this......you know how much disdain middle America has for Hollyweird......
 
...siwezi amini mtu mwenye akili timamu anaweza vote GOP...subirini muanze kuomba chinese work permit na kuruka great wall ndio mtagundua tunachosema humu!
 
Well, Kisura alikuwa anajibu mapigo yenu baada ya kumkandia eti alikuwa Meya wa ka mji kenye watu 5,000 -7,000 bila hata ya kuzingatia kuwa ni gavana wa Alaska. Yaani kampeni yenu inachemka daily. Baada ya Obama kuwa-diss watu wa small town America kuwa wana cling to guns na religion kampeni yake inakuja kum-diss tena Kisura kuwa eti alikuwa meya wa Wassila.....hahahahaaaaa.....man o man...this is the gift that keeps on giving. Keep it up! Halafu ma-celebrity wanazidi kutusaidia.....Madonna, yule mjinga mjinga host wa MTV awards, Eva Longoria, Pamela Anderson......oooowiiiiiiii.....I'm loving this......you know how much disdain middle America has for Hollyweird......

yaani kadri siku zinavyozidi kwenda ndio unazidi kuwa m-sick!! maaan,siamini kama unaweza kuandika upupu kama huo!

Mccain anasema economy ipo strong, wewe bado unashabikia tu. Palin anasema hakuunga mkono bridge to nowhere, wewe bado unashabikia tu....yaani mpaka lies ziwe ngapi ndio ukubali kwamba McCain ni Bush 44???
 
Back
Top Bottom