US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Me too Kaka sielewielewi! natamani ashinde angalau ainfluence marais wa afrika! maana most of them are like statues

Waberoya

FMES and Waberoya: No need for distress, au mlikuwa disterss pia wakati wa Reverend Wright incident during the primaries? Mi niliwaambia Obama atashinda, mkaniona mshabiki tu, but they were playing the game that mattered.
Remember that polls are interesting only to a certain extent, especially gallup etc. Wao wanaangalia kama picha (photograph) of sentiment. Unfortunately they are not accurate and they swing widely. What you are seeing is bounces. Ndo maana both campaigns haev internall polls that they listen to very closely and during the primaries, Obama's internal polls were fairly accurate, showing that whichever company or person is working with them is doing a good job. That is why Plouffe said there's no need for drama, just vote for Obama.
But remember as well American elections are not decided on popular votes but electoral college votes. kwa hiyo hapa cha muhimu ni kuhakikisha that Obama wins the States that Kerry won and add 3 or 2 more states. So far things look good lakini Obama Campaing is not overconfident and they are busy canvassing and knocking on doors. These stories are not reported by the media but believe me the hard work will be reflected in the elections.
I suggest that you chill out and on election day everybody in America who is eligible to vote in the US, GO and VOTE!!!! Tell your friends, family and colleagues!! No way no how, no McCain, no Palin!!
 
ABC News
Mcsame awekwa kiti moto

Aisee Bubu: hiyo program ya the View imekuwa mistake kubwa kwa McCain kwa sababu alijua ni vimama vita-chat naye about his suit and loafers, kwikwikwiii! Ameumbuka sana, ameshindwa kujitetea imebidi mke wake aje to the rescue ili conversation moves from hardball politics. Compare this interview with that of Obama!!
Mkuu, mi nilikwambia uongo wa Rethugs utaonekana mapema. Mpaka AP na media houses zingine wameanza kusema wazi that McCain is lying!! That is interesting! Hii cheap popularity yao ya Palin ita-expire fast especially with Troopergate breathing down their neck. Did you see the Dude - Todd Palin ataitwa kwa nguvu kutoa statement (subpoena) in this case!! And it was bipartisan decision, hata Republicans in the Alaskan legislature voted for the subpoena! I call this drip drip drip!! Truth (siyo mdogo wake Jindal) will seep through the cacophony of noise.
 
Your fortitude is admirable. You are a true believer indeed!
 
Sijafa na Sifi Moyo, nasubiria Debates ndio watu wataona itakuwaje, na ndipo watajua Mchele na Pumba ni upii na kuuona utupu wa Mama Palin (Yaani interview kama mtoto wa Form Two kakariri maneno anayotakiwa kusema.) Watu watatofautisha Policies zao kwenye debates na kuondoa uongo, maana nashangaa MacCain anabisha kwamba yule Mama hajachukua Earmarks zozote kama Governor, na ukweli utajulikana na uongo utajitenga, sidhani Wamarekani watafanya makosa kama walivyofanya ya G. Bush. Bado nina HOPE.
 
Walisema hivyo hivyo kuhusu W aliyeshindwa hata kutamka neno 'subliminal' na 'stratergy'.....walisema subiri debate ya Gore na W....wakaja kusema tena subirini debate ya Kerry na W.....na sasa wanasema/ mnasema subirini debate ya Palin na Biden.....haya mi nitasubiri.....
 
Aisee Bubu: hiyo program ya the View imekuwa mistake kubwa kwa McCain kwa sababu alijua ni vimama vita-chat naye about his suit and loafers, kwikwikwiii! Ameumbuka sana, ameshindwa kujitetea imebidi mke wake aje to the rescue ili conversation moves from hardball politics. Compare this interview with that of Obama!!
Mkuu, mi nilikwambia uongo wa Rethugs utaonekana mapema. Mpaka AP na media houses zingine wameanza kusema wazi that McCain is lying!! That is interesting! Hii cheap popularity yao ya Palin ita-expire fast especially with Troopergate breathing down their neck. Did you see the Dude - Todd Palin ataitwa kwa nguvu kutoa statement (subpoena) in this case!! And it was bipartisan decision, hata Republicans in the Alaskan legislature voted for the subpoena! I call this drip drip drip!! Truth (siyo mdogo wake Jindal) will seep through the cacophony of noise.

Hiyo The View iko dominated na vibibi liberal vinavyomuunga mkono Obama....haikuwa friendly territory kwa McCain....

Hawatathubutu hata kidogo kumkosoa Yesu (Obama-community organizer)...

Halafu talking points zenu za ajabu sana....kila Dem operative anazi-recite....eti Yesu alikuwa community organizer na pilato alikuwa gavana....bwahahahahaaaaa.....yaani hizi nyodo zenu sasa zimevuka mstari.....yaani mnamlinganisha Obama na Yesu......Hahahahahaaaa....I just can't wait for Nov.4th get here.....
 
Hivi umeona toka jana Conservative Shows wanavyoonyesha The View siku alipoenda Michelle Obama na jana ya Makeni, inaonyesha wazi kuwa kuna bias maana Michelle hakuulizwa maswali kabisa, kama jana Mkakeni vitu kama hivi vinasiadia sana kuwapa moyo na kuwaunganisha The Base ya Republicans, lakini havisadii sana kwenye kuwasiadia Democrats.

Bado niko stressed out!
 
Nilikuwa sijui hivi kumbe Michelle naye anagombea uraisi?????
 
Hivi umeona toka jana Conservative Shows wanavyoonyesha The View siku alipoenda Michelle Obama na jana ya Makeni, inaonyesha wazi kuwa kuna bias maana Michelle hakuulizwa maswali kabisa, kama jana Mkakeni vitu kama hivi vinasiadia sana kuwapa moyo na kuwaunganisha The Base ya Republicans, lakini havisadii sana kwenye kuwasiadia Democrats.

Bado niko stressed out!

Sasa compasrison ni wapi na wapi? Na wewe mkuu sasa umeanza kupanic! Unaangalia akina Hanninty alafu unaichukua kama ilivyo. Mkuu Nyambala alikuwa ana good point!!! Kwa nini wasilinganishe interview ya Barack Obama na McCain? Kwani Mrs McCain - Cindy alipewa maswali haya? No!! Same applies for Michelle. They both co hosted the View, juzi hata binti yake McCain alienda na kuongea kuhusu baba yake hawakumpa hard time. Compare these with Michelle ndo utaeleweka.
Mkuu, switch off Fixed News na right wingers because believe me wanazidi kusema uongo sasa mpaka wanasutwa na media zote hata Wall Street Journal.
 
Nyaniiii! Nimepata latest photo wa Babu yako na Kisura wake!! Kwikwikwiii

McCain_Palin.jpg
 
Sasa compasrison ni wapi na wapi? Na wewe mkuu sasa umeanza kupanic! Unaangalia akina Hanninty alafu unaichukua kama ilivyo. Mkuu Nyambala alikuwa ana good point!!! Kwa nini wasilinganishe interview ya Barack Obama na McCain? Kwani Mrs McCain - Cindy alipewa maswali haya? No!! Same applies for Michelle. They both co hosted the View, juzi hata binti yake McCain alienda na kuongea kuhusu baba yake hawakumpa hard time. Compare these with Michelle ndo utaeleweka.
Mkuu, switch off Fixed News na right wingers because believe me wanazidi kusema uongo sasa mpaka wanasutwa na media zote hata Wall Street Journal.

Hivi Yesu hajawahi kwenda The View....?
 
Sasa compasrison ni wapi na wapi? Na wewe mkuu sasa umeanza kupanic! Unaangalia akina Hanninty alafu unaichukua kama ilivyo. Mkuu Nyambala alikuwa ana good point!!! Kwa nini wasilinganishe interview ya Barack Obama na McCain? Kwani Mrs McCain - Cindy alipewa maswali haya? No!! Same applies for Michelle. They both co hosted the View, juzi hata binti yake McCain alienda na kuongea kuhusu baba yake hawakumpa hard time. Compare these with Michelle ndo utaeleweka. Mkuu, switch off Fixed News na right wingers because believe me wanazidi kusema uongo sasa mpaka wanasutwa na media zote hata Wall Street Journal.

Mkuu heshima yako,

1. siamini kuwa tunaangalia kampeni za uchaguzi tofauti, leo nimemsikiliza sana Mama Professor Palia, ambaye ni namba one supporter wa Jaluo, leo pia nimemsikiliza sana Ed Koch another Jaluo's supporter, na wao pia wako nervous kama mimi, hawa sio Conservative Radio hapana ni die hard Democrats lakini wanayaona ninayoyaona sasa huwezi sema kuwa sioni vizuri.

2. Uchaguzi ukifanyika leo Makeni anashinda tena hands down, kule MSCNBC bwana Oliberman amepigwa marufuku kutangaza any special political event tena, Biden ndio huyu mtupu kabisaaa! Jaluo naye jana alikuwa Columbia University, akabadili msiamo wake wa zamani, sasa hii kitu ianenda wapi hii?

3. Nimesikiliza interview ya Charles Gibbson na Pelin, wallahi ni aibu tupu kwa Democrats, mkulu amejaribu kila njia kumnasa mama lakini wapi, hawa Democrats wanazidi kumshambulia Pelin bila hoja nzito sasa polls zote ni noma tupu 48 kwa 42 asubuhi ya leo, sasa unasema ninapanic bure wewe mkuu honi hii kitu inaondoka hii, sasa Jaluo afukuze Biden na the Kennedys, now! na huyu mkewe wamfiche huko kama wanavyofanya sasa maana hii noma sasa!

Au wakuu tunaangalia uchaguzi tofauti?
 
Alafu kuhusu Lipstick on a pig, huu ni msemo unatumiwa sana na wanasiasa along na That dog can't hunt...mara ya kwanza huo msemo umesikika ilikuwa 1991 aliyesema alikuwa Sen. Tom Harkin.
Hamjiulizi kwa nini kila wakati Team McCain wakienda negative wanapanda kwenye polls?..
FMES, kuhusu interview ya Palin, hmmm no comments...a little observation I made ni kuwa mama alistick kwenye kile alichoambiwa aseme.

(CNN) - Saturday's CNN national Poll of Polls - which includes the new Newsweek survey - shows McCain leading Obama by one point (46 to 45 percent). Friday's Poll of Polls showed McCain leading Obama by two points (46 to 44 percent).

The national general election "Poll of Polls" consists of four surveys: Newsweek (September 10-11), Fox News/Opinion Dynamics (September 8-9), Gallup (September 9-11), and Diageo/Hotline (September 9-11). The Poll of Polls does not have a sampling error.
 
Uzuri wa mtandao siku hizi mahojiano yanayofika popote pale duniani unaweza kuyaona bila matatizo yoyote. Hapa Kisura Palin alikuwa amewekwa kiti moto baada ya kuwakimbia wana habari kwa zaidi ya wiki moja.
Click hapa:ABC News
 
Alafu kuhusu Lipstick on a pig, huu ni msemo unatumiwa sana na wanasiasa along na That dog can't hunt...mara ya kwanza huo msemo umesikika ilikuwa 1991 aliyesema alikuwa Sen. Tom Harkin.
Hamjiulizi kwa nini kila wakati Team McCain wakienda negative wanapanda kwenye polls?..
FMES, kuhusu interview ya Palin, hmmm no comments...a little observation I made ni kuwa mama alistick kwenye kile alichoambiwa aseme.

(CNN) — Saturday’s CNN national Poll of Polls — which includes the new Newsweek survey — shows McCain leading Obama by one point (46 to 45 percent). Friday’s Poll of Polls showed McCain leading Obama by two points (46 to 44 percent).

The national general election "Poll of Polls" consists of four surveys: Newsweek (September 10-11), Fox News/Opinion Dynamics (September 8-9), Gallup (September 9-11), and Diageo/Hotline (September 9-11). The Poll of Polls does not have a sampling error.

It appears from these polls Obama is not resonating with the American people. After the Rev Wright fiasco, Obama has been struggling. He stumbled to the finish line during the Democratic primaries and the super delegates had to give him the nomination. Hillary was kicking his rear end all throughout the primaries. The only thing McCain and Palin need to do between now and the election is not make a huuuuuuuuge mistake and they are in.
 
More than 70% of Americans are not happy with the direction of their country. More than 75% no longer support Iraq's invasion and they would like to see the end of that unnecessary war asap. Americans' economy is underperfoming in many areas. Usually in many western countries when citizens are unhappy with the performance of the party in power, they always take necessary action on the ballot box to punish that party, but it seems this year many are not ready to see a black person in the WH. IMO, that is a big shame and it shows America has a long way to go before it can elect a president from another race, but I am still hopeful that voters will do the right thing to punish and remove Republicans from WH
 
Back
Top Bottom