Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,132
Tusubiri leo Joe Biden atasema nini gaffe-wise....
WELL.........BUT IT ONLY TOOK OBAMA 2 YEARS IN THE SENATE TO SEE THAT THE THE COUNTRY WAS IN BAD SHAPE AND IT TOOK McCAIN WHAT 23 YEARS TO FIGURE IT OUT.
SV, mimi nasema kweli tu. Sasa hivi kuna tofauti kubwa katika kampeni za McSame Na Obama. Kwa McSame yaani unaona watu walivyokuwa na motisha wa kutisha tofauti kati ya sasa na kabla ya Convention yao ni kama usiku na mchana, kwenye kampeni za Obama nako unaona watu wamenywea. Hata political analysts wanasema hivyo kwamba ndani ya chama cha Democratics watu wameanza kuhoji kama watairudisha WH chini ya miliki yao na halafu VP anaposema chaguo zuri lilikuwa ni Hillary na siyo yeye basi hali ndiyo inazidi kuwa mbaya. Tusubiri siku 54 ni nyingi mno kwenye uchaguzi, chochote kinaweza kutokea lakini ukweli ni kwamba kwa sasa hivi mambo si mazuri kwa Obama. Kumbuka pia nilisema hapa JF kwamba amefanya makosa kumchagua Biden hata kabla ya opinion polls hazijaanza kwenda kombo kwa Obama.
Tumalize Sept 11th respecting the dead of the terrorist attack and then tomorrow is another day!The assault came a day before the seventh anniversary of the Sept. 11 attacks, when McCain and Obama are scheduled to appear together at Ground Zero during a mutually declared truce. That cease-fire is not likely to last long. With the airwaves already filling up with some of the most negative imagery of the campaign, Obama aides hinted that they would save their toughest counterpunch until after Sept. 11.
Has Obama charmed O'Reilly?????? KwikwikwiiiBill O'Reilly led off tonight's episode of The Factor with a pointed critique of the latest small-minded content of the news cycle, criticizing the McCain campaign both in terms of character and tactics, slagging the media for pressing the story senselessly, and largely absolving Obama - though perhaps with faint praise: his "Obama doesn't like confrontation" statement seems out of joint with last week's insistence that the Illinois Senator was "tough" and "not a wimp."
Nevertheless, O'Reilly very clearly stipulated that there was no evidence that Obama intended to make any sort of sexist remark.
Nyani!!!! Mbona Bill O'Reilly amemponda Babu aka Mzee wa Gasolina na Pitbull with Lipstick????
Has Obama charmed O'Reilly?????? Kwikwikwiii
Where have you been? Don't you know that Bill O claims to be "independent"...I don't believe him but that's what he says.....so tries to put on this facade that he is an independent by criticizing both parties equally....
But I still think he's a right winger....
Mi nadhani waliwasha ile big bang collider under the earth jana na ime-create a paralell universe!! Hahaaaa! We, mjukuu wake McCain, si ulisema unamhusudu sana O'Reily na huwa anasema ukweli, sasa leo unamruka?
Nah...I'm a ditto head...huge Rush Limbaugh fan, huge Sean Hannity fan....O'reilly...so-so.....
Is Hillary more qualified than Biden to be VP?
PHILADELPHIA - Republican presidential candidate John McCain cut short his first public appearance without running-mate Sarah Palin after chanting supporters of Democratic rival Barack Obama interrupted his speech.
After lunching with a roundtable of women at Philadelphias Down Home Diner, McCain shook hands with supporters and strode up to a podium to deliver a statement. But as he spoke, chants of Obama, Obama, Obama filled the room.
Ishu hii nimeaddress above. Ie about Biden - HIllary, sitaki kurudiarudia. Lakini nilitaka kukwambia in the spirit of 9/11 and brotherhood, I condemn what my fellow Obama supporters did to you Babu yesterday:
Poleni sana! that was uncalled for na Babu yako alionewa kwa kweli!
Hamna ustaarabu nyie....ndio maana huwaga mnashindwa chaguzi za uraisi...
...ni Coincidence au pre-planned?
...leo ni 9/11 memorial, tunaonyeshwa Unseen footage ya POW Maccain, kwenye all major Tv stations worlwide.
Duh mkuu, leo hasira za nini? Mi naendeleakurespect ceasefire, maana ndo nimeshtuka kumbe 9/11 hiyo. Kwa hiyo PEACE, mkuu. Leo namfagilia tu Obama, simpondi Babu yako na mwenza wake.
Vipi gaffe ya Biden....gaffe-o-meter yetu iko off the charts.....
Halafu gaffe radar yangu inaniambia atatoa ingine katika siku 2 zijazo.....lol