Two-year-old Barack Hussein Obama, in Honolulu, Hawaii, in 1963. His mother, Stanley Ann Dunham, was the white daughter of a Kansas furniture and insurance salesman who moved his family to Hawaii on the eve of statehood. There, she met and married Barack Hussein Obama Sr., a former Kenyan goatherd and the first African student to enroll at the University of Hawaii
Barack and his ninth-grade class at Punahou School in 1976. His maternal grandparents arranged for him to receive a scholarship to the prestigious Honolulu school. Obama says his grandmother (who became the first female vice president of the Bank of Hawaii) injected into him a lot of that very midwestern, sort of traditional sense of prudence and hard work.
Barack playing varsity basketball at Punahou in 1979. Basketball was a good way for me to channel my energy, he says. It did parallel some of the broader struggles I was going through, because there were some issues in terms of racial identity that played themselves out on the basketball court.
The newly elected first black president of the Harvard Law Review, February 1990. His ambitions growing, Obama ran for president during his second year at Harvard Law. I probably figured I would practice law for a while but then be part of some large-scale community-rebuilding effort, he says. I dont think at that point that I was absolutely focused on politics.
Michelle Robinson and Barack Obama on their wedding day, October 18, 1992, with Michelles mother, Marian Robinson, at left, and Baracks mother, Ann Dunham
..unatakiwa kufikiria zaidi, huwezi mfananisha huyo mama na obama, hamfikii hata robo.
..we'll see who win this election..........
"The Republican ticket has a Maverick and a MILF!" Bill Maher
If you are counting sitting in a hate-Whitey church listening to Rev. Wright for 20 years, then Obama has more experience than Palin. Other than that I don't think so.
'Maamuzi ya Mungu' kupitia Hurricane Gustav inaelekea yatabadilisha kwa kiasi kikubwa Convention ya Republican kama athari itakayofanywa na hurricane hiyo itakuwa ni kubwa sana. Vyombo vya habari vingi badala ya kutangaza hiyo convention ya kumsimika Mcsame na Kisura Palin kwa muda mrefu itabidi pia watangaze impact kutokana na hurricane hiyo hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watakaongalia convention hiyo.
Naona Wachangiaji wengi kwenye huu mjadala (nadhani wanajijua) wamevimba vichwa kujiona kama wao ni "Wataalamu", "Wachambuzi" au penginepo "Wasomi" wa mambo ya siasa za Marekani. Wengi wanaishia kusoma hoja (au arguments) za watu wengine kwenye blogs au news sites mbalimbali au pengine kusikia kwenye malumbano ya luninga halafu wanakuja humu kuzitema utadhani walizitunga wao, bila ya kutaja vyanzo vya hoja/habari zao. Ujumbe wangu kwao ni: Asilimia 99.9% ya hoja zinazoandikwa kwenye hii mada ni za kukopa (au tuseme kuibwa) na zinakosa "sense of originality". Shame on you fellas! We aren't fooled!
Nyani McCain,
..sikuwa na nia ya kumnyanyapaa Mama Sarah Palin hata kidogo.
..lakini ninachojiuliza ni: what is McCain trying to get by picking her as his running mate?
..Obama amemleta Joe Biden ili kumsaidia ktk masuala ya Foreign Policy.
'Maamuzi ya Mungu' kupitia Hurricane Gustav inaelekea yatabadilisha kwa kiasi kikubwa Convention ya Republican kama athari itakayofanywa na hurricane hiyo itakuwa ni kubwa sana. Vyombo vya habari vingi badala ya kutangaza hiyo convention ya kumsimika Mcsame na Kisura Palin kwa muda mrefu itabidi pia watangaze impact kutokana na hurricane hiyo hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watakaongalia convention hiyo.
Waungwana, kwenye mtandao kuna rumours zinatembea kwamba mtoto wa mwisho wa Kisura Palin si mtoto wake, ni mtoto wa binti yake wa kwanza mwenye umri wa miaka 16/17 ambaye alipata uja uzito na mama katika juhudi za kuficha kama mwanae kapata mimba akaamua 'kufanya mambo' ili ionekane huyo mtoto ni wake.
Sijui hili lina ukweli kiasi gani, lakini kama waandishi wa habari wakiamua kulifuatilia na likadhihirika kwamba ni kweli kabla ya November 4th, basi Mcsame atakuwa hana chake kabisa na Republican watamchukia milele kwa kumpa uVP mtu aliyekutana naye mara moja tu na hajui chochote kuhusu background ya kisura Palin. Chaguzi huwa zinajaa habari za kila aina hivyo tuwe na tahadhari na hii habari inawezekana kabisa ikawa ni uzushi tu.
Yaani hoja...oops...vioja vingine bana. Kwani ugumu uko wapi kuthibitisha kuwa ni mtoto wake? Si waende tu kwenye ofisi husika waombe kuona cheti cha kuzaliwa huyo mtoto.....yaani mama wa watu afeki uzazi wa mtoto kwa minajili ipi? Nyinyi mkubali tu huyu mama kweli ni kiboko na mpaka sasa hamjajua jinsi ya kudeal naye.....grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Ndiyo maana nimetoa tahadhari. Nakumbuka hadithi ya Monica Lewinsky ilianzia pia mtandaoni. Nilipomuona jamaa kapandisha mori na kutamka, "I did not have sex with that woman." basi nikamuamini kabisa, kumbe....
Wow, who the hell is this dude?
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.