US Election Coverage 2008

[media]http://www.youtube.com/watch?v=XL0KxjeKlrM[/media]
 
..icadon,

..mi sijamwelewa vizuri mcsame na hii gamble yake.

..ina maana akifa kwa cancer huyu mama kijana ndio atakuwa POTUS?

..nashindwa hata ku-imagine.

Kama umebahatika kutembelea blogs kadhaa jana na leo, watu wameanza kubring hii kitu up na afya ya McCain...ikitokea wakachaguliwa at one point lazima huyu bibie atakaimu urais sasa akina Putin au Ahmadinejad waamue kushow off their muscles huyu carrying, gun totting conservative si anaweza kuauthorize vita.

Ofcourse atapata kura za akina mama wa GOP ambao wangempigia McCain anyways, lakini akina mama wa Clinton au independents leo hii uwaambie choice ni illegal hmm sijui kama watakuelewa...After all Clintonites aren't that stupid, hawakumpigia kura Hillary kwa sababu ni mwanamke bali kwa kile anachoamini(kama wao).
 
Naona Wachangiaji wengi kwenye huu mjadala (nadhani wanajijua) wamevimba vichwa kujiona kama wao ni "Wataalamu", "Wachambuzi" au penginepo "Wasomi" wa mambo ya siasa za Marekani. Wengi wanaishia kusoma hoja (au arguments) za watu wengine kwenye blogs au news sites mbalimbali au pengine kusikia kwenye malumbano ya luninga halafu wanakuja humu kuzitema utadhani walizitunga wao, bila ya kutaja vyanzo vya hoja/habari zao. Ujumbe wangu kwao ni: Asilimia 99.9% ya hoja zinazoandikwa kwenye hii mada ni za kukopa (au tuseme kuibwa) na zinakosa "sense of originality". Shame on you fellas! We aren't fooled!
 

WoW!! "Shame on you fellas" , nice way to start a conversation! Karibu katika thread yetu and if you are not pleased with what you read, please move on. Kuna mtu amekwambia kwamba hapa kuna pundits, wasomi, n.k? Hebu soma alivyosema mwenzetu hapo nyuma.... kabla hujapanda basi soma kibao kinasemaje!!
And by the way instead of coming and talking BS, njoo na pointi zako hapa na si kuwatukana wenzako. Just your post shows that you are full of insecurities and don't have an original thought in your mind! Shame on you, DUDE!!!!!
 

I think Sarah Palin has just as little or as much experience to be the president as Obama. The problem with liberal elites such as the one who wrote this article is they are completely disconnected from middle America. I think this woman will resonate in middle America because she is just like them. Middle America is what decides American elections. That's how Bush won the elections because he was viewed as one of their own. Obama will never resonate in middle America and not because he is a Bantu. He is an elitist with exotic background. Indonesia, Kenya, Hawaii, Havard who in middle America is going to identify with that? I don't see Obama winning one single southern state...lol!
 
mmmh?? a 10 year old??? Well she must be a helluva-of-a-ten-year-old to be able to convince us of a racial divide. In so saying, we should go back and declare Princeton graduates as 10-year-olds as well.
interesting...........very interesting

Not so much as the content of thesis but her writing style is that of a 10 year old. Albeit the content of the thesis is just as nonsensical. Princeton graduates? I don't think the woman deserved to be in Princeton let alone graduate from there.
 

Kuhusu intellect....mlisema hivyo hivyo kuhusu GWB na bado akawapiga bao mara mbili. Mlisema hivyo hivyo kuhusu Reagan and the rest is history. Democrats wanapenda sana kujidhania wana akili kushinda Republicans. That's just a myth.

Nakumbuka mlivyosema kuhusu GWB ku-debate na Al Gore.....mkarudia vivyo hivyo 2004 kuhusu GWB ku-debate John Kerry.....and guess what happened?

Halafu una-question intellect yake kwa sababu ni mwanamke. Angekuwa dume wala usingehoji uwezo wake kiakili. Yaani mama wa watu hata humpi nafasi kuonyesha uwezo alionao wewe tayari umeshaanza kuhoji uwezo wake wa akili. Shame on you Jokakuu...shame on you. Mama wa watu alimshinda incumbet GOP gorvenor na akaja kumshinda Dem challenger kwenye uchaguzi wewe bado unahoji akili yake. Hivi mtu kuwa raisi au makamu wa raisi inabidi awe na akili kiasi gani na unapimaje hiyo akili? Shame on you Jokakuu....shame on you.....
 
Nyani,'
Hivi ulikuwepo wakati wa Bush-Gore? I voted for Gore and lost. Lakini wakati huo nilikuwa bado sijajiunga kwenye mtandao wowote. Ungenikoma!
 
Nyani,'
Hivi ulikuwepo wakati wa Bush-Gore? I voted for Gore and lost. Lakini wakati huo nilikuwa bado sijajiunga kwenye mtandao wowote. Ungenikoma!

Nilikuwepo tokea Dole v Clinton.....

Sasa ningekumoa kivipi wakati mtu wako alishindwa......? Wewe ndio ungenikoma.....

Lazima nikupigie simu Novemba 4 kukupa pole na vidonge at the same time......
 

Hehe na umeona price ambayo nchi inalipa kwa kumchagua Dubya mara mbili lol....
 
Hehe na umeona price ambayo nchi inalipa kwa kumchagua Dubya mara mbili lol....

...what price? can the so called price top the price of electing Jimmy Carter for four years? puh-lease.....
 

Two-year-old Barack Hussein Obama, in Honolulu, Hawaii, in 1963. His mother, Stanley Ann Dunham, was the white daughter of a Kansas furniture and insurance salesman who moved his family to Hawaii on the eve of statehood. There, she met and married Barack Hussein Obama Sr., a former Kenyan goatherd and the first African student to enroll at the University of Hawaii

Barack and his ninth-grade class at Punahou School in 1976. His maternal grandparents arranged for him to receive a scholarship to the prestigious Honolulu school. Obama says his grandmother (who became the first female vice president of the Bank of Hawaii) "injected" into him "a lot of that very midwestern, sort of traditional sense of prudence and hard work."

Barack playing varsity basketball at Punahou in 1979. "Basketball was a good way for me to channel my energy," he says. "It did parallel some of the broader struggles I was going through, because there were some issues in terms of racial identity that played themselves out on the basketball court."

The newly elected first black president of the Harvard Law Review, February 1990. His ambitions growing, Obama ran for president during his second year at Harvard Law. "I probably figured I would practice law for a while but then be part of some large-scale community-rebuilding effort," he says. "I don't think at that point that I was absolutely focused on politics."

Michelle Robinson and Barack Obama on their wedding day, October 18, 1992, with Michelle's mother, Marian Robinson, at left, and Barack's mother, Ann Dunham
 

..kweli wewe dude!

..nani kakwambia hapa watu wamevimba vichwa?

..hapa watu wanachangia mada kwa kutoa maoni yao kwa kile wanachokiona,sikia na kuambiwa.

..ujinga utajipa wewe mwenyewe, hamna mtu atakupa humu!

..you are on your own!
 

..unatakiwa kufikiria zaidi, huwezi mfananisha huyo mama na obama, hamfikii hata robo.

..we'll see who win this election..........
 
Nilikuwepo tokea Dole v Clinton.....

Sasa ningekumoa kivipi wakati mtu wako alishindwa......? Wewe ndio ungenikoma.....

Lazima nikupigie simu Novemba 4 kukupa pole na vidonge at the same time......


..babu yako mcsame akishindwa hilo jina utalifanyaje?
 
Nyani McCain,

..sikuwa na nia ya kumnyanyapaa Mama Sarah Palin hata kidogo.

..lakini ninachojiuliza ni: what is McCain trying to get by picking her as his running mate?

..Obama amemleta Joe Biden ili kumsaidia ktk masuala ya Foreign Policy.
 
Hehe na umeona price ambayo nchi inalipa kwa kumchagua Dubya mara mbili lol....

Alisema uvamizi wa Iraq ungegharimu $30 billion, mpaka sasa hivi gharama ni $700 billion and counting. Aliingia madarakani kukiwa na budget surplus kaitafuna yote sasa hivi kuna budget deficit ya $500 billion! Aliingia madarani deni la US likiwa $4.5 Trillion, sasa hivi deni hilo ni $9.5 Trillion and counting! kumchagua tena Republican the so called 'fiscal conservative' kutakuwa ni disaster kubwa siyo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima.
 
..unatakiwa kufikiria zaidi, huwezi mfananisha huyo mama na obama, hamfikii hata robo.

..we'll see who win this election..........

DSL, Wanaweza kushinda kwa kuiba kura na kuintimidate wapiga kura hasa weusi. Si waliiba kura katika chaguzi za 2000 na 2004. Mwaka huu watatangaza katika maeneo ya weusi kwamba wote wenye criminal record wakienda kupiga kura watakamatwa (huwa wanatangaza hili kila chaguzu) halafu huweka mabango katika maeneo ya weusi wengi kwamba uchaguzi umeahirishwa kwa wiki moja na hawa weusi wanaongalia BET 24/7 huwa wanaamini hivyo. Halafu katika maeneo ya weusi wengi kupiga kura inabidi usimame kwenye mstari si chini ya masaa 5 na kuendelea wakati kwa wazungu hata haiwachukui dakika 10 kupiga kura.

Republican watatumia kila njia hata za haramu ili kuhakikisha wanashinda na pia namwamini Putin aliposema kwamba Marekani iliishawishi Georgia ivamie jimbo linalotaka kujitenga la Ossetia ili kumpa advantage Mcsame
 

..kazi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…