US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Susu,

Nilikuwa namuangalai Anderson Cooper jana usiku. Donna Brazille impressed me kwa kuongea facts na kusema McBush anashindwa kujiuza kutumia sera anakimbilia kulalama na kuongea shombo kuhusu Obama.

By the way, Donna has started slurring words, is she okay?

Sasa kama ameanza kufanya hivyo alikui-impress kivipi? Halafi facts gani alizoongea? Ni kweli President McCain hapati coverage kama ya Obama. Unabisha?
 
Ha ha NN...mambo ya jana Berlin yalikuwa si mchezo....si umesikia wamehamua kuhamishia Nomination acceptance kwenda Invesco Field maana kila mtu anataka kuwa part of history..
Sususviri picha za jana Berlin zilikuwa za kuvutia sana, niliangalia zaidi ya picha 500 zote zinavutia sana...speaking of pictures nimepata hii hapa
34iqzih.jpg

U.S. Senator from Arizona, John McCain scolds a young Vietnamese boy holding his hat to beg from the U.S. Senator, as McCain walks along the Truc Bach lake in Hanoi Thursday April 27, 2000. McCain earlier gave the boy money but lost his temper and told him to go away when the child asked a second time for a handout.
 
Smear....smear...smear.....

BTW, where is Barack "The Diva" Obama today?
 
Smear....smear...smear.....

BTW, where is Barack "The Diva" Obama today?

Barack Obama yuko City of Light
Ushabiki pembeni BO siku hizi anakaa kipresidential sana...naona wameshaanza kumlisha zoezi.
610x.jpg

610x.jpg
 
Hakuna cha kukaa kiprezidensho wala nini.....hiyo ni figment ya imagination yako tu!!!
 
Ha ha NN...mambo ya jana Berlin yalikuwa si mchezo....si umesikia wamehamua kuhamishia Nomination acceptance kwenda Invesco Field maana kila mtu anataka kuwa part of history..
Sususviri picha za jana Berlin zilikuwa za kuvutia sana, niliangalia zaidi ya picha 500 zote zinavutia sana...speaking of pictures nimepata hii hapa
34iqzih.jpg

U.S. Senator from Arizona, John McCain scolds a young Vietnamese boy holding his hat to beg from the U.S. Senator, as McCain walks along the Truc Bach lake in Hanoi Thursday April 27, 2000. McCain earlier gave the boy money but lost his temper and told him to go away when the child asked a second time for a handout.

Funny shit! Nimecheka mbavu sina. Is it true au photoshop?
 
Barack Obama yuko City of Light
Ushabiki pembeni BO siku hizi anakaa kipresidential sana...naona wameshaanza kumlisha zoezi.
610x.jpg

610x.jpg

Obama is now walking on a fine line between confidence and arrogance. Lately he is acting more and more like a president than a presidential candidate. He should watch out, this could piss people off.
 
Obama fatigue has already started to set in......

I predict his fall will just be like his rise.....you just wait...
 
obama.jpg

His rhetoric is sweeping. McCain's campaign calls the event presumptuous.
By Michael Finnegan, Los Angeles Times Staff Writer
July 25, 2008

BERLIN -- He has drawn record-breaking crowds to rallies all over the United States. But it took a trip to Germany for Barack Obama to attract his biggest audience of all: More than 200,000 people packed into a central Berlin park on Thursday to hear Obama call for closer ties between Europe and America.

The sea of people in Tiergarten, Berlin's central park, stretched a full mile, from the Victory Column where Obama spoke to the historic Brandenburg Gate. Obama's rhetoric was no less sweeping. The all-but-certain Democratic nominee for president voiced aspirations for a world that abolishes nuclear arms, banishes "the scourge of AIDS," feeds the poor in Chad and Bangladesh, unites against Muslim extremism and stops global warming.
 
Hakuna anayekataa picha. Mimi nahoji hayo mazungumzo au hiyo scolding uliyoisema.....

Haya ndio maelezo yaliyoambatana na picha..jina la mpiga picha liko chini

U.S. Senator from Arizona, John McCain scolds a young Vietnamese boy holding his hat to beg from the U.S. Senator, as McCain walks along the Truc Bach lake in Hanoi Thursday April 27, 2000. McCain earlier gave the boy money but lost his temper and told him to go away when the child asked a second time for a handout. McCain was pulled out of Truc Bach lake by Vietnamese on the shore after his war plane was shot down over Hanoi, Vietnam in October of 1967 and he consequently spent more than five years asa P.O.W.. McCain is visiting Vietnam this week as Vietnam prepares to mark the 25th anniversary of the end of the war on April 30th. (AP Photo/David Guttenfelder)
 
Hivi kama Obama akichaguliwa kuwa President,atakuwa tayari kuapologize kwa African Americans au watu wenye asilia ya Afrika for attrocities,rape,murder,pain and sufferings which was committed by USA government during slavery?
 
..apology ikitolewa na rais mweupe itabeba maana zaidi. kwani,ilikuwa ni watu weupe dhidi ya weusi.
 
I wouldn't read too much into the Berlin crowd for Obama. Most of them were likely turks, gays, third world immigrants, liberals and other degenerates. True Germans most likely avoided this gathering like a plague.
 
610x.jpg

Democratic presidential candidate Senator Barack Obama joins his entourage of security and american reporters as he leaves from the back door of television studios after being interviewed by television reporters on July 26, 2008 in London, England.
 
Obama is not acting more like a president than a presidential candidate. Why shouldn't he take the opportunity to reach out to the world, whether he is president, presidential candidate, senator, or any other citizen? The president of America is not the only American who deserves to be heard, but as presidential candidate and as a great leader people wish to hear him. He is also offering us a glimpse of what kind of president he will be! McCain visited Mexico and Canada, I believe, and he and his followers will accuse him of anything to make him look bad. It's all they know how to do!

Nitapiga kura kwa Barack Obama bila shaka.
 
najua Barack ni muelewa na yeye anauona upepo wa kisiasa, lakini najitahidi kuwaza mbona Republican inaonekana kama wamekubali matokeo? au vyombo vya habari vya Africa havitupi upande wa wapinzani wa Obama kwa ushabiki au mapenzi yao kwa huyu mswahili,lakini bado najiuliza inawezekana wanapima nguvu na uwezo wake ili wao watakapo jibu wammalize kabisa,maana achekae mwisho ndo hufaidi zaidi.
NINGEKUA mmarekani ningemchagua huyu mswahili ila namuona kama Kikwete........! atashinda kwa kura nyingi huenda kama alivyo mshinda Hilary lakini simuoni kama mtu makini,namuona kama mtu anaekuzwa kwa kupenda kwake masuruhisho rahisi na ahadi zisizo kua na idadi, kwa mawazo yangu Obama ni sawa na JAKAYA KIKWETE WA TZ, au mnamuonaje jamani....kuongoza sikitu rahisi kama kucheza dansi nakuipenda Yanga...ooh rais Kijana huyu?
 
Last edited:

Mmmmh!! Hii kali sasa....yaani GOP wamekubali matokeo? Matokeo gani hayo? Nakuhakikishia huyu Obama hajashinda na wala hatashinda uchaguzi mkuu. Naelewa kwa nini habari mnazopata pengine ni za upendeleo lakini ukweli wa mambo ni kwamba hakuna hata kura moja iliyokwisha pigwa. So don't get hopes up high yet or you run the risk of being hugely dissapointed......
 
Back
Top Bottom