Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Nyani: yaani umebaki kutafuta vitu vidogo kama eti Ludacris - sasa Ludacris ambaye ni mwimbaji (rapper) anayejitegemea anahusiana vipi , na in fact Obama ameshashutumu ishu nzima. Yaani naona GOP wanatafuta vijisababu ili waweze kumtajataja Obama. Obama yuko busy anapanga mambo, Mccain and his team wako busy whining alafu wanatumia tactic ya Mama lakini they come off very tin and hollow sounding. Sasa umepata habari kwamba Hillary anaanza campaining for Obama.... aisee babu yako atafyata mkia!
Yaani Mama tutamsema mengi lakini she's ruthless when it comes to whooping a**...sidhani kama Babu yako ataweza kuhimili.
So kumbuka after Denver, mambo ndo yataanza on the part of Democrats. McCain anatapatapa mapema hivi hata GOP wamebaki wanashika kichwa.