Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
Hii thread baada ya fighter kutolewa kwisha habari yake. Seems like the two contestants can't stir enough political orgasm in their supporters!
Hii thread baada ya fighter kutolewa kwisha habari yake. Seems like the two contestants can't stir enough political orgasm in their supporters!
Mi naona wote wanaboa tu sasa especially Obama....
..wewe hapo ndio unaboa, kwa one liner zako dizaini ya bora uonekane umepost!!!? ooovyo........
..LA times poll, inasema kwamba hillary supporters wameamia kwa Obama in huge numberz!! lol, sasa sijui ile theory ya kwamba "hawata support Obama" imeishia wapi? kuna mwingine atakuja hapa na hadithi za Aristotle, ambazo huwezi kuziendea lab kuzi-prove...yes, im talking 'bout demographies na ile argument from analogy!!
..naona politics of fear tayari uwanjani, "eti Obama ataturudisha kwenye mentality ya Sept 10 2001." Not so fast......watu wameamka, its NOT GOIN' TO WORK THIS TIME!!!...yule mpuuzi mwingine wa Fix Nuz LIve, "ati Obama akiingia Casa Blanca..Mamlaka mjini Tehran yatafurumisha al shahab to military installations in the US." Toba....hakuna kitu kama hicho, al shahab haina ubavu hata wa kupiga jerusalem..ndio iwe mji wowote in US!!!??
..wamekuja na ku-drill mafuta kwenye offshores, yaani hata kama ulikuwa umelala fofo na kusituka leo hii...basi utajua kwamba ni election year!!!
..sitaki na nimechoka kusikia argument za "non sequitur," kama huna la kuongea nenda kacheze mdako na vigoli wenzio....yes, vigoli wenzio!!!
goodnight and goodluck.
YNIM.
...Yes na mimi nasisistiza tena Kigoli Ngabu akacheze na vigori wenzake maana anatusumbua sana huyu kigoli.
Ndugu, hapo juu sijui hata umeongea nini.....
Nakushauri uendelee kufunga vidonda haya ya siasa huyawezi...
Wewe wivu ndo unakusumbua.....
..matumizi mabaya ya neno wivu!? ukiitwa queer, unakasirika!! Nyani Ngabu, todayz worst person in the world.
Hii thread baada ya fighter kutolewa kwisha habari yake. Seems like the two contestants can't stir enough political orgasm in their supporters!
Re: Barack Obama Special thread
--------------------------------------------------------------------------------
Has Obama said what he will do about the high gas prices? What's his strategy?
The Following User Says Thank You to Manji Supporter For This Useful Post:
Nyani Ngabu (10th June 2008)
Change for the worse it sounds like. But I am not too worried about Obama, he is not going to win.
The Following User Says Thank You to Manji Supporter For This Useful Post:
Nyani Ngabu (11th June 2008)
Hivi issue ya Obama kuwa ni problem akiwa nje ya teleprompter inaweza ikawa ya kweli akama alivyowahi kusema Joka Kuu. Kuna article hapa chini inajarubu ku-argue hivi. Kwa hiyo kumbe jamaa anaweza akawa mzuri wa ku-dictate lakini sio nani.... Interesting!
When Obama is off the teleprompter
JOHN PODHORETZ
The November election is, and remains, Barack Obamas to lose. Usually, candidates whose victories are entirely in their own hands make it through. It is clear Obamas path to victory is through the teleprompter. Let him give a big speech and he drives it like Tiger Woods hitting a fairway, as he did Sunday with his stunning sermon about the importance of fathers. But let him sit for an interview with a well-prepared reporter who isnt interested in shilling for him and Obama makes mistake after mistake. This is what happened the other day with ABCs Jake Tapper, who got Obama to talk about how we need to treat terrorism as a law-enforcement matter which is exactly what he should not be saying if he wants to solidify those less-liberal Democratic votes in the states where he was shellacked by Hillary Clinton and how he opposes all forms of school choice which works against his vague message that he is a vague agent of vague change.
I suspect this is why John McCain is so eager to get Obama into those town-hall meetings Obama seems intent on avoiding. McCain has been doing them for 25 years and is very good at them; its a mark of how good he is at them that he doesnt make career-threatening gaffes during them. McCain wants Obama off that teleprompter, which is sound strategy. But he cant make Obama go anywhere Obama doesnt want to. The media pose a different challenge for Obama.
http://www.commentarymagazine.com/blogs/index.php/jpodhoretz/11931
Very true!! Take away the prompter, take away the script, Obama is a gaffe machine. If anyone doesn't believe this all you have to do is just listen to him when he is not reading from the teleprompter....he stumbles and stutters and says things without thinking.....
Ngoja niulize...uwezo wa kutumia au kutokutumia teleprompter nao utatumika katika kuchagua rais?
Ila tukiweka ushabiki pembeni..this race is Obama's to loose tutaspin na kubisha ila jaluo anajiweka kwenye position nzuri.
YNIM...Hongereni kwa ushindi....!!!
Ngoja niulize...uwezo wa kutumia au kutokutumia teleprompter nao utatumika katika kuchagua rais?
Ila tukiweka ushabiki pembeni..this race is Obama's to loose tutaspin na kubisha ila jaluo anajiweka kwenye position nzuri.
YNIM...Hongereni kwa ushindi....!!!
..asante mkuu, nilikuwa siwaamini vijana lakini naona wamecheza "jihad" mpaka kimeeleweka!! Parade inaanza hivi si punde, kuanzia pale Causeway St (home of the Garden a.k.a Fleet center) mpaka Copley square in the Back bay...kupitia Tremont na Boylston streets..mtu kibao (vigoli vya "kidhungu" kwenye boxers teh teh teh) maana nime-hoop subway dakika chache zilizopita, ni vurugu tupu!! mie siudhurii parade, majukumu na nimeshayaoona mengi (mawili ya Pats na mawili mengine ya Sox)...its feels good kuishi kwenye mji wa Champions!! LOL. Nadhani parade itakuwa live kwenye ESPN....ruksa kujiridhisha.