YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,238
- 74
sasa naamini kabisa kuwa wewe IQ yako kweli ni ndogo kwa maana kama kweli ungekuwa na intelijensia angalau hata ya wastani usingeweza kusema eti wikiendi utaenda kutafuta wanawake! mtu yeyote mwenye akili kama ni mwanafunzi basi ungesema una kazi za chuo za kufanya, kama ni mfanyakazi ambaye unafanya kazi inayohitaji kutumia akili ambayo umeisomea ungetoa jibu tofauti kabisa... yaani mtu anakuuliza utafanya nini w'end unasema nitaenda kutafuta wanawake kama kuna mtu anataka kujua uwezo wako wa kiakili hana haja ya kuuliza zaidi kwa hiyo nahitimisha yale niliyokuwa nafikiria siku zoote kuhusu wewe kwamba ni kweli hauna uwezo mkubwa wa kifikra na hii imejionyesha... kwa jibu kama hilo anatarajiwa kutoa kijana wa miaka 15 au 16 ambapo nafikiri wewe umeshapita.....
..huyo Nyani Ngabu ni "joka la kibisa" kwa maneno mengine "si ridhiki" kwa hivo mwache aji advertize vyovyote atakavyo!! sisi tunaomjua tunaelewa kwamba hiyo ni posturing tu.....LOL.
..halafu polepole ndugu, kumbuka kwamba upo JF, "where we dare to talk openly." pumba kwako wewe ni point kwa mwingine......kuna hadithi hapa, inafanana na ile ya "hila ya kwapa..kunuka bila kidonda." kama umeachwa kwenye mataa/solemba, basi uliza!!! usikulupuke....kijiwe kinazidi kuwa technical, kama upo one dimensional basi kazi unayo.......bwahahahahha.