Clinton won at least 28 delegates, according to an Associated Press analysis of early returns. Obama won at least 14, with 13 still to be allocated.
Obama has a total of 2,068 delegates, leaving him 50 shy of the number needed to clinch the nomination, with two primaries remaining. Clinton has 1905.5, according to the latest tally by the AP.
This is a very complicated nomination process. if there are democrats who still are overwhelmingly voting for Hillary, despite all the odds, the future of dems in this election sounds gloomy and smells fishy!
mtu ane mchukia Obama atoe sababu za msingi nimweleweshe kwa nini mi mnyawezi wa Tutuo ni mpende obama ninayo mengi katika speech zake, policy yake kwa Afrika,Amerika na Dunia nzima. Keep it Obama
Mbongo said:Nipo East Africa, Nomba nikiri kuwa Obama nampenda sana kwa Speech zilizo jaa mvuto toka kichwani
Kuna watu humu walipuuzia hiyo ishu ya Trinity....
Itam haunt Obama mpaka Novemba halafu atalipa kwenye sanduku la kura...
McCain easily wins this contest....
.....mie nimesha achana na hii mambo na wala siangalii news on TV au kusoma online!! upuuzi mtupu...yeyote akiwa rais, pouwa tu alimradi life goes on.
Wakuu,
Analists mbalimbali wanatabiri kwamba huyu mama atatumia mbinu ya kujitoa na kukaa pembeni kwa muda kidogo akijikuna majeraha ya kukubali kushindwa iwe Alhamisi au Ijumaa wiki hii.
Lakini baada ya hapo endapo Obama atatetereka dhidi ya McCain, itabidi Democrats washauriane na wamrudishe Mrs Clinton ili aje tena kwa mbwembwe na hatimae ashindane na McCain.
Je ninyi hamuoni kwamba Obama anaweza akaenda na kasi hii na itapoanza mchuano na McCain ikawa tatizo kwa ile popular vote?
.
...wewe naona unaongelea uchaguzi wa Zimbabwe!