US Election Coverage 2008

umeyaona maneno ya bill clinton:
anadai he cannot win the general election but she can win


hebu soma:
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna ubaya gani mtu kusema/ kidai Obama hawezi kushinda uchaguzi mkuu? Yaani huyu Obama ni messiah ambaye hakosolewi, hapingwi, na ambaye hatakiwi kupewa changamoto yoyote ile na yoyotew yule.....man..this is bull.shit. I have never seen such in my life. It's above and beyond ridiculous!!!
 
mmhh.....bull.shit!!.......have u smell it b4 (joke)
 

Kwani... ..........bahati yako...
Wewe utapasuka kichwa....
 
Na akipigwa chini itakuwaje humu JF mjadala utaendelea au ndio tutaufunga kabisa??
 

Mimi nashangaa sana. Walitaka aseme atashinda hata kama haamini kwamba atashinda. Clinton ana haki ya kusema yale anayoyafikiri ikiwemo kufikiri na kusema kwamba Obama hatashinda kama vile ambavyo YN, Icadon et al wanavyofikiri na kusema kwamba Obama atashinda. Mwamuzi wa yote haya ni Novemba, so sioni kwa nini BC arushiwe mawe kwa kusema yake anayoyafikiri. BTW, hata mimi nafikri kama anavyofikiri BC kuhusu nafasi ya Obama kushinda, na wala msinirushie mawe maana hamna uwezo wa kunilazimisha kufikiri mnavyotaka!
 
Hehe huyu Clinton wiki chache zilizopita hakusema mkewe kushinda nomination ni ndoto?
Hakuwahi kusema kuwa ticket ya Obama na Hillary itakuwa ni winning ticket? sasa leo yanakuwa haya tena kazi kweli kweli.
 


...acha kulia lia wewe na tunaomba hizo vote zenu mumpelekee babu yenu Mccwar manaa zinaweza kumpunguzia landslide shame
 
...hv babu Makopo (McCain) ana dili gani na hawa ma-lobbists ktk kampeni yake?

Scott McLean (ex-Bush advisor) katoa kitabu very damaging juu ya war na sera nyingine za Bush...ambazo babu anazikumbatia!! hapo ndipo watakapo pigwa gumba la washeli na Mr Change......yangu macho!!
 
babu mavita leo na mastory yake ya mavita vita kazomewa ile mbaya!
 
babu mavita leo na mastory yake ya mavita vita kazomewa ile mbaya!

Ahahahahahaaaaa....Obama kwa kamba simuwezi!!! Umesikia mpya aliyoitoa kuhusu Auschiwitz? Halafu hajui hata tofauti kati ya Memorial day na Veterans day.....ohohohohohooooooo
 
Icadon,

..hoja ya Mzee Clinton ni kwamba Mama ndiye mwenye uwezo wa kushinda.

..anaongeza kwamba Obama peke yake hawezi kushinda, bila kumshirikisha Mama.

..anatoa msisitizo kwamba ushindi ni lazima kwa "dream ticket."

..kauli za namna hiyo zikitolewa wengi wanachukia kwasababu wanafikiri zimetolewa kwasababu Barack Obama is Black. hicho ndicho kinachowakwaza lakini hoja ya Mzee Clinton ni rahisi sana kuipangua.

Kitila Mkumbo,

..Mama amegeuzwa kituko huko kwenye networks kwasababu ameshindwa.

..sasa hivi watu lazima wampambe Obama wakitegemea kupata ulaji baadaye.

..naelewa kwamba some networks zimezidisha dhihaka na vituko dhidi ya Hillary, lakini kwa kiasi kikubwa maisha ndivyo yalivyo.
 

Umeona mambo aliyoandika The Matrix(Secret Service Code name ya McClellan)....? alafu juzi W kashow up kwenye fundraiser ya Mc naona wakaamua kuifanya private even though walikwua hawajauza ticket zote...nimesoma somewhere wanasema W anataka sana kuhit the trail lakini Mc anamkwepa..patamu hapo.

NN, kuhusu issue ya Obama na uncle wake, ni kuwa amechanganya sehemu tuu ila ni kweli uncle wake alishiriki kwenye mapigano...GOP walitaka kuikuza jana lakini baada ya kupewa maelezo naona wakacool off wakaja na ooh Obama na McCain waende Iraq pamoja.
 

Ni kweli vyombo vya habari vimeanza kumdhihaki huyu mama, kama jana nilikuwa naangalia mahojiano ya Candy Crowley alisema "mwaka jana alikuwa inevitable nominee leo ni inevitable looser" kwa upande mwingine sidhani kama akina Clinton wanajua kudeal na defeats...hii kitu itakuwa imewashangaza sana..tusubiri weekend hii watakapotoa majibu kuhusu Florida na Michigan.
 

Icadon,

Wala hujakosea.These are some sore losers and it is very evident in their
demeanor.Waliblunder wenye by taking things for granted na walipotaharuki kilikua kumekucha!
 

Na vipi kuhusu comments zake za Memorial day?

Gaffe za Obama inakuwa kuchanganya sehemu za Mama au McCain inakuwa nongwa. Nakwambia ingekuwa ndio McCain ka-gaffe mngeanza kusema uzee...kama mlivyofanya alipochanganya Washia na Wasuni
 
Na vipi kuhusu comments zake za Memorial day?

Gaffe za Obama inakuwa kuchanganya sehemu za Mama au McCain inakuwa nongwa. Nakwambia ingekuwa ndio McCain ka-gaffe mngeanza kusema uzee...kama mlivyofanya alipochanganya Washia na Wasuni

....umebaki kituko tuu na huna lolote zaidi ya ubishi,mama kashindwa leo unajifanya uko camp ya Mccwar,wapi na wapi hapo maana hata hawafanani kwa chochote...au ndio ile mitoto ikishindwa inapasua mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…