YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,236
- 63
Mhhh...it takes one to know one.....otherwise how did you know? bwahahahahahaaaaaa
mie niliishi ma-midwest unaenda chini huko kwa "tornado alley" kwahiyo najua hiyo mambo yooote!
Mhhh...it takes one to know one.....otherwise how did you know? bwahahahahahaaaaaa
mie niliishi ma-midwest unaenda chini huko kwa "tornado alley" kwahiyo najua hiyo mambo yooote!
....ile ilikuwa personal vendetta, kati yake yeye na those guyz...lakini si kweli kwamba hata 50% ya 'Nam Vets walikuwa behind ule upuuzi!.
hivi unashida gani? kwanini kila usemacho kinakuwa kimepindapinda?? sema ukweli, acha tabia ya kupindisha facts.
Nani kakwambia wala chew wanaishi midwest tu?
Kerry alitupa medali zake mtoni: fact
Uongo uko wapi hapo?
kwamba hata robo ya 'Nam vets haifiki hesabu ya wale waliom-mind kwa kitendo hicho!! majority ya 'Nam vets walitupa medals zao!! Fact. Ile ilikuwa ni right wing smear campaign, na kosa la Kerry ni kutokujibu mapigo forceful na kwa wakati....what?? je watu walio-save na Kerry kwenye boat moja walisemaje wakati ule?? je unajua kwamba kuna 'Nam Vets wanaomlaumu Makopo na issue ya mateka wakati ule?? huwezi ku-please kila mtu...............ile ilikuwa pure politcs za smear.
sasa aliyetupa medals kwenye charles river na yule aliye-dodge kwenda vitani nani ni bora?? matokeo yake ndio haya, ati ame-give up golf ilikuwa kuwa sawa na wale wanaoomboleza za war deads!!! miujiza...
No, kosa la Kerry lilikuwa flip-flopping. He voted for it before he voted against it.....classic line....Lol
ni classic line yenye kupendeza kwa watu kama wewe wanaozimia mipasho..........ukweli ni kwamba tokana na dataz alizokuwa nazo/ kupewa wakati wa ile kura, ilibidi a-vote yes!! baada ya kupata facts zote na kugundua kwamba, awali walikuwa wamedanganywa jamaa akaamua kusema NO!! sasa hapo flip flopping iwapi? kwahiyo ukigundua kosa, na kama ukiamua kulikosoa...basi unakuwa ni flip flopper!!?? kaaazi kweli kweli.
kwani ni nini hasa kisa cha Powell kutema u-secretary of state?? naye pia ni flip flopper?? acha bangi bana...kuwa serious kidogo.
Stay tuned for shock and awe.....
McCain all the way...
Hivi unajua historia ya huyu bwana...? Hakuna fighter kama McCain.....google story yake ya Vietnam
Kwani mimi naongela u-fighter kwenye vita, siasa. Ingekuwa ni vita mbona ingebidi wote wajitoe wampishe MacCain!
Kwa Marekani ni jambo la kawaida kabisa kwa mawaziri kukaa madarakani kwa muhula mmoja. Mbona Warren Chrostopher alikaa kwa muhula mmoja? Leo huna points kabisa. Huna hela ya gongo nini...? Kwa nini usiende pale hospitalini unapofanyia kazi ukaibe spirit...?[/QUOTE]
hiyo yenye blue ni hatari mno, ile spirit ya hospital ina methanol.....kana unataka kuwa kipofu basi kunywa ile!!!! sina points kwa mujibu wako au wa nani?
Hahahahaha...umenikumbusha mbali sana mwanangu! Nilipoanza college jamaa walinipa chew nikaijaribu....hahahahaha.....I can't say what happened next.
Kuhusu Novemba, nadhani wote tunaweza kusubiri, sio?
Tungo tata hiyo mkuu!!! angalia wavimba macho wasianze kuianalyze isivyo.
Kwa Marekani ni jambo la kawaida kabisa kwa mawaziri kukaa madarakani kwa muhula mmoja. Mbona Warren Chrostopher alikaa kwa muhula mmoja? Leo huna points kabisa. Huna hela ya gongo nini...? Kwa nini usiende pale hospitalini unapofanyia kazi ukaibe spirit...?[/QUOTE]
hiyo yenye blue ni hatari mno, ile spirit ya hospital ina methanol.....kana unataka kuwa kipofu basi kunywa ile!!!! sina points kwa mujibu wako au wa nani?
Only you would know that....
..Icadon,
mkulu hongera kwa kufikisha mabandiko 2000!!!!!!!! hongera nyingi...
..Icadon,
mkulu hongera kwa kufikisha mabandiko 2000!!!!!!!! hongera nyingi...
Ebanae duh!!! hii kitu nilishaacha kuiangalia(number ya posts) Ahsante sana mkuu...NN weekend ulienda Mulligan's(I hope sijakosea jina) maana naona ulikuwa MIA kwa muda. Kuna mtu mmoja alikwua anauliza Lieberman atakuwa anamsaidia McCain kujibu maswali magumu?
Kaanzishe thread ya hongera basi...hata wewe unaweza au ubrazameni umekuzidi na unaona noma...Lol