US Election Coverage 2008

Amekuja kuwachukua mabaguzi ambao walikuwa wakimsapoti yeye before na kuamua kusympathize na Mama mara baada ya yeye kujitoa!
Amekuja kuwaambia jaluo ni mtu cool tu! Na hivyo warudi nyumbani kwani sasa na yeye yuko pamoja naye!
Hiki ni kipimo tosha..Kama jaluo akiweza kuregain kutokana na hili..then usishangae vijana hawa wadogo wawili waka run together na Mama kudondoshwa kama kiazi cha moto!

Kama endorsement ikilipa kwa kupata kura zaidi ya Mama..Then usishangae Edwards akipata u VP!
 

Cobb county noma....
Ila itabidi niende kwenye hiyo tavern nikale mbawa za kuku.....unadhani wataniwekea sumu?
 
It's over for Mama Clinton she should try again in 2016 after Obama's 2 terms.
 

Hili Li Edwards linafiki tu...linazungumzia umaskini huku likienda kwa vinyozi wa dola 400....wjat a looser
 
......mie kwa leo!! goodnight and goodluck y'all.
 
Cobb county noma....
Ila itabidi niende kwenye hiyo tavern nikale mbawa za kuku.....unadhani wataniwekea sumu?

Si ndio mitaa yako ya Cobb County... angalia usije kuambiwa kumeja na ukichungulia ndani unaona kutupu.
 
.....eebana utabidi upunguze kuangalia fixnuz na ku-idolize majamaa, maana sasa ipo clear kwamba tunakupoteza!!!

Kivipi swali langu linahusiana na SUPER FOX NEWS? BTW, usisahau kuangalia Haanity and Comes....najua huwa unaangalia...Lol
 

Itakuwa repeat ya '04....
 
Nyani,

Mama alidai win at any cost or means. Akaenda USA Today, akatoa shombo kuwa Obama hana uwezo na Wazungu hawamtaki, yale ma redneck ya West Virginia wakaona heri tumuunge mkono Mama "mwenzetu" na si Darky ambaye sijui ni Muislamu au ndugu yake Sadam au Usama!

Talk about dirty, kitchen sink stuff. Tani kashinda kwa kuwaambia redneck yeye ni bora na angalieni "kunta" anarudi atakuwa Masah!

Lakini leo kapata kipigo, with Edwards endorsment ya nyuka mabhere!
 

i dont mean all of them, what i meant is that there are some who like us and we should not be carried away with that ( mtu akupendee tu and you jump into his wagon). and remember my friend that BO is half white, what makes him more black is the fact he has a black wife and pretty daughters with a dark complexion. Nenda wewe mweusi tititit ukagombee kama utachaguliwa. when the race issue ( rev Wright issue) began BO had to tell them kuwa he was born by a white mum, his grand parents are white and they also fear blacks, and that they should be rest assured he doesnt hate whites. Picture this kama BO angekuwa mweusi tititi what concrete reason would he have given them?

I must admit i cant change ur mentality, this racially equity thing is in you, ukikuwa utajuwa then utaelewa. please dont argue. Chao.
 
Treni la Obama linawasomba tuu, alafu NN kama kungekuwa hakuna umuhimu wa hizi endorsements basi inakuwaje akina Billary walikuwa wanampigia misele John Edwards?

Clinton superdelegate Brad Ellsworth said Wednesday that he cast his vote in the May 6 Indiana Democratic presidential primary for Illinois Sen. Barack Obama, adding yet another intriguing twist to the mystery of just who the conservative freshman lawmaker supports
 
Pundit ulikuwa wapi bwana na wewe, haya ma-analyses yako tumeyakosa sana huku!

Hivi kweli hii ya Edwards nayo mnaifanya deal. Edwards mwenyewe inaonekana hana ubavu wa kufanya maamuzi magumu. Anasubiri hadi jamaa ameshamla karibu ng'ombe mzima ndio anajifanya kumpa support, huu ni uhuni au anatafuta ugombea mwenza? Kwa nini hakuwa as courageous and daring as Bill Richardson?
 

..edwards si deal kwa obama[at least kwasasa],ila ni pigo jingine kwa mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…