Ndiyo maana nikasema "Watch Tthis space closely" hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo, November sio mbali tutarudi hapa halafu tutaona nani "atayala maneno yake" kama wanavyosema.
The writing is on the wall, Marekani hawako tayari kumpigia kura Obama wala mtu mweusi yeyote, hata kwa hao ma Democrats ambao wanatakiwa kuwa progressive bado kuna issues kibao za race.
One does not need a PhD thesis to know this.Sisemi sana, time will tell.
...sasa kama hivyo ni kweli kwanini BO ana lead na technically ndio nominee?? unadhani kura za weusi tu pekeyao zingetosha?? basi kama ni hivyo McCain angekuwa kakaa tu kampuzika bila kufanya kampeni!!! think!! haipo kama unavyotaka kulazimisha, unachosema wewe ni one possibilty na mtu yeyote hapa anaweza kusema hivyo........ndio maana nikakuuliza umejuaje?? jibu swali!!
usemi sana kwasababu hujui....unabahatisha au wasee wanasema unalengesha.
acha kubahatisha!!
.......kuna "peasant" mwingine alikuja hapa na story kwamba, "wazungu hawapendi watu weusi" WRONG!!!! kuna wazungu ambao hawapendi watu weusi kama vile ambavyo kuna watu weusi ambao hawapendi wazungu!!!
je kuna wazungu ambao hawata vote BO kwasababu ni mweusi?? ndio wapo! je kuna wazungu ambao hawatavote HRC kwasababu ni mwanamke?? ndio wapo!! je kuna wazungu ambao hawata vote McCain kwasababu ni mzee?? ndio wapo.............sasa wewe "wannabe" kwa akili zako na ujuaji wako, unaweza ku-conclude nini kutokana na hizo facts!!!??
you don't know!!!
kama turnouts za primaries za dems itaendelea na kama wataweza ku-unite party after these primaries, then its a game of chance btn GOP and DNC to take the WH(kama ni football match, basi ni ile superbowl kati ya Pats na Jints) ..advantage DNC(regardless kama nominee ni BO au HRC).......got it!!??
au na wewe ndio wale wanao-post "uzembe" hapa ili baadae waseme, "mimi nilisema, tena nilikuwa wa kwanza kusema." man, you can do better than that.
You are reading what I did not write, perhaps you have some pre-conceived ideas of what I represent, hence the total butchering of my line of thought.Si represent a total and distinct divide between blacks and whites, kuna black women for hillary just as kulivyokuwa na white bikers/ for Obama.Ninachoongea hapa ni Demographics
Usichanganye maoni ya Democrats, ambao ni liberals na chini ya nusu ya wapigakura na maoni ya Wamarekani wote.
Huwezi kujua kitu kinachokuja kwa sababu hakipo, huwezi kukijua.Mimi nakupa an informed projection kwa mujibu wa mambo yalivyo leo.
Katika ulimwengu wa possibility John McCain anaweza kujikojolea on stage na Obama kurudi Kenya halafu rais awe Kucinich baada ya Hillary Clinton kugundulika na scandal za u Lesbian.
Ninachokwambia ni kuwa, ukichukua hizi polls za ma Democrats ambao kwa kawaida ndio ma liberals/progressive/ wanaopenda weusi ukaangalia wanaosema "I am not ready to vote for a black man" ukajumlisha na fact kuwa hawa ndio progressive wenyewe, ukajumlisha na fact kuwa kwenye polls watu wengi racists huwa hawasemi ukweli na hivyo hizo figures zinaweza kuwa as low as half of what the real figures are, ukaangalia huko middle America kuna watu kibao ambao hawapendi "poor blacks" sembuse a perceived elitist Harvard graduate who prefer Orange juice to coffee and cannot even bowl, does not only read books but writes bestsellers too utapata jibu lako.
Utajua kwa nini Obama hakushinda Penn wala WV.Sasa hii trend ya Penn na WV ndiyo itaendelea Oklahoma huko, mpaka majimbo ya kati yote aliyoshinda Obama huko Kansas and what not, ma Utah huko Mormomns mpaka kesho hawataki mtu mweusi despite kanisa lao kuondoa hiyo stand officially.Kuna ma Hillbillies huko yako racist hata hayajui kwamba kuna racism, yenyewe yanaona sawasawa tu, kuna ma Doug The Bounty Hunter kibao huko middle Amerika ma Idaho na The Dakotas huko, wanavyohusudu mibunduki huko ma Missouri unafikiri wanaweza kumpigia Obama "wasiyemjua" wakati anapambanishwa na War Veteran aliyekataa kuachiwa huru kwa sababu tu alitaka asiachiwe peke yake bali waachiwe wote na wenzake?
Ujue watu wanavyokuwa optimistic hapa ni kama vile wanafikiri Wamarekani wa middle
America wanapiga kura kwa kuchambua issues na kuangalia nanai rais mzuri atakayeifaa nchi kiuchumi and all ("Whats The Matter With Kansas" ime document vizuri jinsi wanavyo vote against their own ecomic interest).Ukweli ni kuwa wanavote kwa mtu ambaye ni likeable, mtu ambaye wanaweza kula naye barbecue and that sort of stuff, a black man is a radically different type of fellow than good old McCain.Ulishajiuliza kwa nini Bush kachaguliwa mara mbili?
Sad as it sounds this is the situation, this is why McCain is just bidding his time til he rolls into Penn Ave
.....unatumia talking points za GOP!!! hamna ukweli ni upupu mtupu, kama hizo nazo ni facts basi neno facts lina maana nyingine siku hizi!!.
Unashindwa kuelewa swala central sana hapa, Demographics of the voting Americans.
Mimi nawamaliza voting base ya GOP, wewe unaona ninatumia talking points za GOP.Clearly kuna tofauti kubwa kati yetu, tunavyoelewa mambo na kuyatafsiri.
And even though my name may be yours as self proclaimed, the caliber is not the same.
Kama nilivyosema, Novemba si mbali, just mark these pages tutarudi kuangalia archives hapa.
Mashahidi kibao wapo.
wewe ndio unashindwa kuelewa demographics....upo biased na analysis yako ya hizo demographic na kwa bahati mbaya unataka kulazimisha kuwa ndio ukweli wakati sio!!! hamna mtu anaejua with any evidenced certainity nini kitatokea Nov 4th!!!!
tupo au tunatoka kwenye sayari mbili tofauti..........na SIO KWELI kwamba all dems are liberals and/or progressive na ni kweli pia sio "rethugs" wote ni conservatives!!!! tatizo lako una blanket vitu sana na mwepesi kufikia conclusions bila kuweka window kwa doubts. fact nyingine ni kwamba racism haina chama wala rangi........acha kukurupuka!!!!!!.
Again, unaonyesha zaidi na zaidi usivyojua demographics.Granted there is nothing pure, sure or safe in this world, vitu vinaelezwa kwa demographics za majority na trends.
Sasa unataka ku expose ignorance yako kwa kukataa kwamba by demographics Democrats ni Liberals zaidi na Republicans ni Conservatives zaidi?
Au unataka kuleta ubishi tu?
Kwa hiyo unatak Democrats woote 100% wawe liberals ndiyo uwaite liberals?
Sasa wewe ndiye uliyekuwa una ni accuse mimi kwamba naona vitu in black and white, wewe utaitaje views zako hizi
...kama kawaida yako, unaona vitu kwa black and white!!!! kuna states kibao zipo kwenye play kama swing, nazo ni CO, NM, MS, MO nk........kama wewe ni Sheikh Yahya Hussein (mnajimu) sawa lakini kama domo ni mali yako basi hapa umekosea sana!!! walisema hivyo hivyo kwamba hawezi kushinda IA huyo, mara msee purukuchu, IA kibindoni. Wakasema anashinda kwenye watu weusi tu huyo, mara oooh MN na WS kibindoni....kwa kifupi haya mambo huwezi kuya generalize kama ulivyofanya hapo juu, wewe ni "fake au wannabe pundit." huna data yoyote halafu unajifanya (kwa sauti ya keith O akimwiga Bill O), "RAIS NI MCCAIN, KWASABABU BO ATASHINDA COASTAL NA GREAT LAKES STATES"!!! how did you know that??? umefanya polls, research au nini....tuambie umefikia vipi hiyo conclusion yako!! kwani wewe umeyajua hayo na sio mimi au wengine humu JF na wapiga kura kwa mamilioni hapa USA.......kwahiyo watu woooooooooooooooote toka kwenye snows za IA to the coast of SC, from the wet lands of WA to the sounds of Jazz in LA from showme state to the evergreen state kwamba ni wajinga(kwa kumpigia kura BO, kwamba McCain ni rais) na wewe peke yako ndio mwerevu. kwamba wewe unaijua vizuri US na americans kuliko wao wanavyoijua nchi yao au kujijua wenyewe..............kama huna la kuchangia kwenye hii mada kaa kimya bana, sio kutuletea low self esteem zako hapa kwamba, "wazungu watachagua mzungu mwenzi wao." ingekuwa hivyo basi mama zamaniiiiiiiiiiiiiii angekuwa kapata hiyo nomination!!! kuwa objective Pundit wannabe....aaaight!???
watu wengine bwana hoooooooovyo!!.
Ndiyo maana nikasema "Watch Tthis space closely" hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo, November sio mbali tutarudi hapa halafu tutaona nani "atayala maneno yake" kama wanavyosema.
The writing is on the wall, Marekani hawako tayari kumpigia kura Obama wala mtu mweusi yeyote, hata kwa hao ma Democrats ambao wanatakiwa kuwa progressive bado kuna issues kibao za race.
Kabla ya "The Republican Machinery" iliyommaliza Dukakis kwa kipicha trivial na kum "Swift Boat" Kerry tayari Clinton kashammaliza Obama kwa dirty tricks na mind games, huko mbele itakuwa si kazi kwa Republicans kumalizia Mama Clinton alipoachia.Tatizo watu wanaongea kwa racial pride na emotion zaidi kuliko kuangalia hali halisi.I would also like Obama to be prezzo lakini ukweli ni kuwa America is neither as free nor enlightened as it claim to be.
One does not need a PhD thesis to know this.Sisemi sana, time will tell.
Unamaanisha Mississippi au? Kama mi hivyo kweli wewe uko sayari nyingine!! Mississipi is the most reliable GOP state than all of them. Acha gongo kijana...
Actually Obama keshaji-swift boat mwenyewe na kauli yake ya "bitter" Americans...
....Edwards kishapanda garimoshi la Obama..haha ahahaha ahahanaona Buchanan hapa linapiga makelele tuu,jamaa chuki zimemjaa mpaka hawezi kuongea ukweli.
acha kukariri wewe, usiwe kama "wannabe"...........mie na inside info juu ya MS, @least so far!!!
NN naona ulikuwa MIA...
Edwards keshajongea kwenye train...sasa watu wanaanza kula kura za rural americans...