US Election Coverage 2008

....hivi 'Networks' nazo kwani zinagombea urais?? huwezi uka-justify kile kisemwacho na networks kuwa sahihi kama HRC akikisema!!! think...

networks hizi za kina Bill O, Chris M na Wolf B e.t.c unadhani zinajali?? HRC kaenda nje ya mstari kwa zile comments zake......
....kila kitu kina mwanzo na mwisho, huu ni mwisho wa Clinton Political Dynasty( get busy kuandika orbituary yao) na ni mwanzo wa mtu mweusi kugombea urais na pengine kushinda!! je hard working white americans wata-vote mtu mweusi kuwa rais?? swali gumu, hatujui, wewe hujui, HRC hajui, nobody knows(kwasababu hajawahi kutokea)....so give it a chance na sio utoto wa sentensi za kibaguzi, then wakiambiwa wanakuja juu na nyie mashabiki mnashabikia mambo ya ajabu!! ebo

look, hii ni 2008 na sio 1960....mambo yanakwenda yakiongezeka huku yakibadilika kwa kasi!!! Go Obama.
 

Networks pia zinasita kumshikiza ajitoe kwa style waliyoifanya mara baada ya Obama kusweep state 10 mfululizo!
Na Obama people wameshaonya kuhusu hilo!

Hii inamsadia mama ambaye anasubiri shinikizo liwe kubwa then arudi na kusema kwasababu yeye ni mwanamke, na wazungu wako easily ku sympathize pale inapokuja kuamua ni nani wa kumuonea huruma!

Halafu hivi ni wangapi hapa wanaoishi marekani? Kwasababu kujadili uchaguzi wa primaries kama hauko hapa then utabaki kuspeculate base on the news you get rather than being here and actually have a freedom to watch them in every aspect!
 
YNIM,

..wanao-ctiticize HRC kwa hizo 'comments' ni liberal 'networks'. tena baada ya kufanya hivyo na wao wanakwenda kuchambua jinsi kura zilivyopigwa kwa kutumia demographic groups.

..sijui kwanini watu wanapandwa jazba ukweli unaposemwa. HRC ana matatizo ya kupata kura za AA. Barack Obama naye kabla ya NC alikuwa na matatizo ya kupata kura za white-blue-color workers. kwanini iwe tatizo HRC akisema ukweli huo?

..nilitegemea busara ingewaeleza wapambe kujiepusha au kuzipuuza comments zinazoweza kugeuzwa kuwa racists.

..huu uharaka wa kupeana label ya u-racists nadhani inaharibu ladha ya kampeni hizi.

jmushi1,

..ninachosema mimi ni kwamba wapambe wa Obama mfuate mfano wa mgombea wenu. sijamsikia Obama kusema-sema mambo ya racism.

..vilevile tu-appreciate mahala primaries hizi zilipofikia. so far race wala gender haijawa issue.

NB:

..kuhusu siasa za Bongo najaribu kuwa mwangalifu kidogo.

..hakuna uwazi kama huko kwa wenzetu.

..bila habari na facts kupatikana kwa uhakika then inakuwa vigumu kuchangia.

..hebu fikiria tumefanya chaguzi 2 za Raisi bila kuwa na debate ya wagombea.
 

Hivi unafikiri issue ya Pastor Wright ni ajali ya kisiasa?

Inaweza ikawa hivyo lakini haina maana kuwa alikuwa hajui kuwa whats gonna happen kwenye political journey yake given the fact wazito flani flani wa dems walimwandaa hadi walipompa nafasi ya kutoa speech yake ya kihistoria kwenye convetion ya 2004!


Kuanzia safari za Afrika na else where around the world akiwa na washauri wake wa kijeshi mageneral walioretire kutoka kwenye ranks zote za millitary particularly Navy!


Ndugu yangu ndio maana nikauliza where are you!

Hawa watu (wamarekani) hawafahamiani kabisai! Hawajui hata historia za wenzao!

Wenyewe wanatumia usemi wa "salad bowl".

Wakimaanisha kuwa kuna vitu mabali mbali kwenye "salad bowl" kama vile nyanya, lettuce etc lakini haviwezi kuchanganyika kabisa licha ya kwamba viko at the same bowl uniqueness lazima iwe preserved....Kwamba nyanya ziendelee kubaki kama nyanya kivyake vyake etc etc! VS MLK ambaye alikuwa ana wish iwe ni "melting pot!" where everybody mingle with everybody!

Hivyo basi nakupa changamoto!

Nataka tuendelee na mjadala huu kuhusu other issues!

Lakini usisahahu kuwa ni juzi tu weusi wamekubaliwa kupiga kura!

Ni juzi tu wameacha kuwa genie pigs kama ilivyokuwa kwenye tuskegee experiments!

Listi ya yale mengi ya kuhusu haki zao za kimsingi na za kibinadamu walizozipata kipindi si kirefu kilichopita ni ndefu!

Sasa wewe unafikiri ni very easy kutoka kwenye level kama hizo hadi white house?
We unafikiri hii ni Afrika?

We hujui kwasababu ya Jim Crowe hawa watu (wazungu na weusi) hawachanganyani na asilimia ya wazungu hapa USA ambao hawajawahi kumona mtu mweusi live ni kubwa! Itakuwaje kumpa kura?

Hayo hamuoni ninyi watu?

Hamuoni kuwa hata Mandela mwenyewe alikuwa ni gaidi kwa wamarekani hadi majuzi tu?

Na baada ya kutoka jela kupata nafasi ya kulihutubia congress ambayo kina Cheney waliwahi kupiga kura asitolewe jela?

Na hujui bado hata jina lake liko kwenye listi ya magaidi kama kina Osama Bin Laden?

Vipi kuhusu mwenye jina kama Barack Hussein Obsama?

Ni wapi huelewi mkuu! huuuwi
 

Halafu mbona hukunijibu haya maswali una jump tu up and down and up and down?

Stay cool..Just take it easy thats kinda cool...

Jibu bana sio kutwist na kuspin!

Kama we ndo unataka kuendelea kuita watu wengine liberals then wewe ni naive!

unajua maana ya liberal?
 
Duh kumbe nimekosa uhondo....Alafu hakuna anayemforce mama aachie ngazi ila tunachotaka ni aangalie alama za nyakati...Numbers don't lie..."From Inevitable Nominee to on the ropes"!!!!
VIDEO
 
....uuuuuuwwwii, hii kitu inanikumbusha ule usemi wa, "la kuvunda halina ubani." HRC wame-lost hii kitu, kilichobaki wanaleta fuji tu....it a done deal, wakina Tyrone/Shaunte wanasemaga its a wrap!! mama ajiandae tu kugombea ugavana wa NY kwani wanahitaji a fighter pale Albany!!
 

Tunahitaji fighter 1600 Pennyslvania Avenue...McCain au Mama..

The stop Obama Express is at full speed....
 
Tunahitaji fighter 1600 Pennyslvania Avenue...McCain au Mama..

The stop Obama Express is at full speed....

...Mccaina na Hillary wapi na wapi?kweli bitter uneducated racist mko wengi,pelekeni kura zenu huko huko maana hatuzihitaji kura kama hizi zina nuksi tuu
 
...Mccaina na Hillary wapi na wapi?kweli bitter uneducated racist mko wengi,pelekeni kura zenu huko huko maana hatuzihitaji kura kama hizi zina nuksi tuu

Wewe kweli huna akili...I mean dumb! Racism iko wapi hapa? Kila kitu wewe unalia "racist" tu. Ndugu yangu, acha hiyo mentality ya kuona kila mtu anayepingana na Obama ni mbaguzi. Hiyo ni mentality ya kinyonge na unaitumia kama mwanya wa kutotaka kukosolewa au kupingwa. I hope you are not serious about it.
 
Tunahitaji fighter 1600 Pennyslvania Avenue...McCain au Mama..

The stop Obama Express is at full speed....

The country doesn't need a fighter it needs a UNITER.
Mlisikia Terry McAuliffe jana alivyo botch kwenye Meet the Press. Kusema baba yake Tim Russert amekufa namnukuu "Big Russ (yaani baba yake Tim Russert), if he were sitting here today -- nothing's impossible. Jack McAuliffe (baba yake Terry), if they were with us today, they're probably both in heaven right now Tim, probably having a scotch, looking down saying, you know what: this fight goes on. It's good for the Democratic Party.This shows that kukurupuka kwao na kutoa wrong statements hakujaanza leo...Remember the Bosnia Sniper story? They need check finder first.
 

...ofcourse,wanaotoa sababu yako ya kupiga kura kama sio Hillary ni MCcain ni mibaguzi tuu na wala hawafichi na wanasema waziwazi,true Dems watavote Dems no matter what kijana kwa sababu wanasimamia in principles sio ushabiki tuu kama unaonyesha wewe na wenzako alosto wa Chadema.
 
jmushi1,

..umeleta historia ya Mandela kuwa kwenye terrorist list. hayo ni ya wa-Sauz.

..sasa ngoja nikukumbushe yanayonihusu mimi binafsi na wa-Tanzania wenzangu.

..miaka ya 1980 wa-Tanzania tulikuwa tukitoa DAMU kwenda kusaidia vita vya Msumbiji dhidi ya RENAMO. zingatia neno DAMU.

..Ni majuzi tu miili ya askari wetu waliopigana dhidi ya Renamo imerudishwa na kuzikwa Naliendele-Mtwara.

..Renamo walikuwa wakipata msaada toka serikali ya USA chini ya utawala wa RONALD REAGAN.

..sasa unakumbuka BARAKA HUSSEIN OBAMA alisema kuwa RONALD REAGAN is one of the greatest presidents of USA?

..sina haja ya kukumbusha vituko na vitimbi vya Reagan kwa Angola,Namibia,Liberia,Afghanistan,Libya,Nicaragua, etc etc.

..kwa kifupi dunia nzima ina-suffer kutokana na siasa chafu za Ronald Reagan.

..ile statement ya Obama kuhusu Reagan, ilinikumbusha kwamba Barack Obama atakuja kuwa Raisi wa WAMAREKANI. kwamba maslahi ya MAREKANI ndiyo kipaumbele chake. kwamba sisi watu wa mataifa/watu baki tutakuwa tunajidanganya kwa kuwa na mategemeo makubwa kwake.

..Democrats kuwa na kura za uhakika za African Americans hilo nilishalieleza. Democrats hawawezi kushinda uchaguzi bila ya kura za African Americans.

..Barack Obama pia ameweza kuleta wapiga kura vijana, ambao watawa-replace baby boomers huko mbeleni. kwa hiyo hapo unazungumzia a new leader of the democtratic party.

..umetoa mfano mzuri wa "salad bowl." i hope nimeuelewa vizuri.

..umeeleza vizuri kuhusu ziara ya Obama Kenya. sidhani kama umekosea unapoashiria kwamba alikuwa amejiandaa kugombea Uraisi.

..kwa hiyo nakuunga mkono kwamba Obama hakukurupuka kugombea Uraisi. particularly inaelekea alimsoma vizuri Howard Dean na sababu zilizopelekea kushindwa kwake ktk democratic primaries.

..kwa upande wa HRC inaelekea kinachomponza ni uzoefu. huyu Mama alikuwepo tangu miaka ya 1970 kwenye campaign za kina McGovern.

..kinachomfanya Hillary ashindwe naamini ni organisation mbaya. she knows her facts, she is energetic and relentless, lakini kampeni yake imemuangusha.

NB:

..naomba univumilie sana. kampeni hii mimi naiangalia kama an OUTSIDER.

..mimi siyo mdau ktk kampeni hizi.
 
Nyani kamsome Bob Herbert kwenye OP Ed ya New York Times leo jinsi alimvyomchambua huyo mama na kuwafanya wengine hawaelewi coded message zake..huyu mama shes just a lost course & dumb na hakuna mwenye akili zake anaweza kumsikiliza na akicheza she is goin to loose NY senate!
 
Joka kuu naona sasa umeanza kuwa kama Nyani maana uko bias sana na facts kwako zimeanza kuwa tatizo..hiyo statements kuhusu Reagan naona unajaribu kuspin tuu lakini huo sio ukweli na BO alishaeleza sana maana Hillary ali jump haraka haraka na akaishia kuumbuka tuu
 

Ok, kama hicho ndio kipimo chako cha ubaguzi basi hata mke wa Obama naye ni mbaguzi. Maana na yeye alisema atafikiria mara mbili mbili kumpigia kura Mama kama akipata nomination. Uko mwepesi mno wa kurusha tuhuma za ubaguzi. Hiyo ni janja ya mtu ambaye hana au kasihiwa hoja au ambaye hajui ku-debate mambo!
 

Na wewe hauko biased?
 

...naona Kentucky na WV mtashinda kwa ajiri ya hoja nzuri,hongereni sana!
 

DU!
Ama kweli!
Haya naomba nyani umuunganishie Joka ule usemi wako wa Waafrika ndivyo....

Yani MADIBA doesnt matter?

Then i am out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…