Tatizo lenu nyinyi maniacs hamna hoja zaidi ya kulia ubaguzi. Mnaamini mkilia hivyo basi mtaachwa kwa sababu hakuna mtu anayependa kuonekana mbaguzi. Leteni hoja kabambe na si kulia lia ubaguzi.
Unasoma mabandiko huh!Punguza kwanza hiyo mi font yako. Naona giza nikianza kusoma mabandiko yako...
....mie na pozi swali hapa, je itakuwa jambo la busara kwa Obama kuweka HRC kwenye tiketi kama VP!!?? zingatia mgawantiko na animosity iliyopo ktk hizi primaries.....
binafsi, nasema yes and no....maelezo yatakuja baada ya kuona michango ya wengine.
asante and happy friday kwa wooooooote, kuanzia pwani ya bahari ya hindi mpaka kwa ile ya pacific...
Unasoma mabandiko huh!
Kweli bado uko Juu ya MUTI!
Kwi kwi kwi..Wazee wa BARAKUDA! Chini ya MUTI! Kwa wazee wa six Battallion etc etc!....ulivyoandika hiyo "MUTI" umenikumbusha bar flani pale Sanawari-Arusha, inaitwa CHINI YA MUTI.....sijui kama bado ipo, lakini wakati wa high school nakumbuka mie na 'chamaa' wangu tulikuwa tunaburudika wakti wa wkends!!.
....naona Uncle Teddy(fat head) senior senator (D-Mass), anasema hakuna kumpa HRC u-vice president!! politico inaripoti.......Okay, Okay, Nyani & Co anzeni kuandika Orbituary ya HRC mana naona hii ni political death, probably ndio maana labda hataki kuachia ngazi!!!
....naona Uncle Teddy(fat head) senior senator (D-Mass), anasema hakuna kumpa HRC u-vice president!! politico inaripoti.......Okay, Okay, Nyani & Co anzeni kuandika Orbituary ya HRC mana naona hii ni political death, probably ndio maana labda hataki kuachia ngazi!!!
Nimeanza kugundua Obama supporters kwenye hii forum wana-treat hii nomination process ki-CCM. Wanafikiri ukipata nomination ya CCM basi umepata urais!
Kitila uelewe hili..Kuchoshwa kwa wananchi na sera za Bush ndio kulikopelekea upepo wa kisiasa upande wa Democrats...Na ndio maana mama haendi mahali kwasababu base on the reality..Kizingiti kwa Democrats ni primaries!(Obama)Nimeanza kugundua Obama supporters kwenye hii forum wana-treat hii nomination process ki-CCM. Wanafikiri ukipata nomination ya CCM basi umepata urais!
Kwani nani alisema fighter anataka u-VP? Yaani tayari mmeshahesabu kwamba Obama ni Rais? Hujamsikia leo mayor wa New York anasema Obama hawezi kushinda utais wa Marekani?
Hizo nyodo zenu ndio zinamfanya figher aendelee kubaki kwenye race. Obama mmwenyewe ameshaomba sana kuwa muache nyodo maana fighter ana lundo la wapambe, wakinuna wakaacha kupiga kura kwa Obama hawezi kukatiza November
Nimeanza kugundua Obama supporters kwenye hii forum wana-treat hii nomination process ki-CCM. Wanafikiri ukipata nomination ya CCM basi umepata urais!
.....exaggrated generalization!! kitila sie wengine sio politicians, sasa ukianza ku-spin "kisiasa" mambo ktk mjadala kama huu unakuwa unatuonea sisi wengine.......ninavyojua mimi GE itakuwa ngumu pengine zaidi ya hizi primaries!! na nina uhakika kwamba Obamaniacs hapa JF wanajua kupata nomination ya Dem sio kupata urais wa US.......
polepole na hizo Gennuines sijui nini.....LOL.
Nimeshamueleza pia kuwa the asumption and the notion that being a dem nominee is close to become or maybe be even being perceived as a "Presumptive president" is primarily being derived from the fact that there's clear tardiness to the current administration together with its party!
Hiyo inawapa confidence kwamba pagumu ni primaries na hapo republicans wanajua hilo na ndio maana wanataka waendelee kukwama in any meansa neccessary!
Unashangaa Mc anataka kurelate na moderates zaidi ya far right conservative people ili kuanza kuila kambi ya Dems mapema mapema kujidai kwamba na yeye ni candidate of change!
The need for change in American politics has made this notion and assumption possible!
NB: Mc Cain na yeye anataka kuanza kampeni chafu kwasababu anajua kama si kampeni chafu hata mama asingefikia hapa alipo!
Na kwasababu anajua hilo hataki makubaliano ya kampeni safi yaendelee!
Ana spin na kudai uwa Obama ana mbagua kwa madai ya uzee pale alipotoa kauli ya "bearing"
Watu wanajiuliza je KKK wanaomsapoti Mc Cain ieleweke vipi?
Je na yeye alaumiwe kwa hilo?