Huyu mama bwana ni fighter. So far ameshafanikiwa kum-reduce Obama from a rare species of politicians to a normal one to the extent that Obama himself seems to have abandoned his message of hope. Kilichokuwa kinafanya watu wamchague Obama ni huo utofauti wake na wanasiasa wengine wa America, sasa in the advent that this brand has effectively been dismantled by the fighter Hillary, why should people elect him tomorrow and, more importantly, come November (if he still stand to win the nomination)? Hivi mnaweza kuelewa au kutueleza sisi lay pundits nini kimetokea kilichomfanya Obama ashuke kutoka 20+ lead to something 5+ kwenye poll za NC? Ngoja mimi nikapumzike nisubiri kushangilia ushindi wa fighter kesho!