US Election Coverage 2008

Mbona sisikii tena watu wakizimia....kulikoni?

Watu wanazimia kama kawaida lakini hivi sasa Main stream media imeshazoea.
Lakini wapo pia wanaozimika katika Hillary camp na kughairi na wanahama kambi kwa Obama! Tena ni 70 top donors! Poleni sana!
 

Lini Bill alienda kwa El Rushpo...?
Halafu ubaya uko wapi kama alienda? Kama mtu unajiamini na hoja zako sioni sababu yoyote ya kukataa kwenda kwa yoyote yule. Obama kakwepa FOX NEWS SUNDAY kwa siku 700 na kitu. Jumapili iliyopita akaenda na kila kitu kilikuwa pouwa tu. Sasa nini ilikuwa sababu yake ya kukwepa masiku yote hayo? Some things are just plain stupid!
 
Nyani, hii ishu ilikupita ya Bill kwenda Rush Limbaugh, one day before the Ohio primary? Rush aliripoti mgonjwa just on that day.

Also Fox news on Sunday aliyefanya interview na Obama alikuwa Chris Wallace kama sijakosea ambaye ni qualified journalist, siyo wehu kama Sean Haninty au Rush Limbaugh ambao hata Republicans wengine wanakubali kwamba they are too extreme. Nadhani kuna umhimu wa kutofautisha.
Also Fox news ina kasoro zake nyingi sana, lakini wao pia wameona kuwa confrontation na Obama is not good, so both sides met half way. Mi nadhani ni kitu kizuri na inaonyesha kwamba Obama is more of a uniter and is ready to reconsider and re-assess things. Mimi pia nimeona ya kuwa amefanya vyema kwenda Fox news na watu waliomshauri asiende walikosea. Hapo tumekubaliana. Lakini kumbuka left wing activists kama Moveon.org wana bifu kubwa sana na Fox News. Na walimponda Obama for going.
Anyway, interview ili kuwa nzuri na alifikia another group of people who could see that Obama is not some alien or out of this world, but human. Hata hivyo ile interview ya Bill CLinton nakataa, also endorsement ya Scaife na Hillary pia naona ni unafiki tu! These people are really extremeists, and there was no love lost between the two camps, ni sasa hivi tu and it is not even genuine.
 
Koba, Game Theory, Icadon
Naomba kuwasilisha the Flip Flopper of ELections 2008 - JOHN MCCAIN!
Yaani huyu babu ataumbuka sana kwenye general elections ngoja Obama akae vizuri! Haya cheki foregin policy flipflop yake:

Nyani huyu Babu McCain, mi naona hata GOP are having buyer's remorse maana aliwadanganya sana, this guy was a conservative liberal before he was a neo-con. Sasa anajikanyaga tu! Alafu tusikie analialia tena eti nipersonal attack wakati hapa wanachofanya ni kumquote alichosema. See you in November, McCain!
 

Kama mtu ni uniter basi hana budi kuwafikia watu wote hata wale wasiokubaliana naye. Huwezi kujua unaweza kuwabadilisha mawazo. Sasa kum-dismiss Rush kwa vile tu hukubaliani naye sio busara. People should own up to their claims...if one claims to bring people together...then he should do just that, try to bring people together by reaching out to everyone even your perceived enemies and contrary to that is just hot air and smoke.
 

Hujanielewa au hutaki kunielewa. Kama media hukubaliani nayo inawezekana for many reasons, lakini huwezi ukaenda kuongea na ma radio host wendawazimu kama akina Rush au Sean Haninty ambaye anaongea pumba. Akina Pat Bucahnan, Chris Wallace hata Karl Rove ni tofauti, wao wanaweza kuwa na views zao lakini they are able to give a more balanced view of things. Sasa kama organization like Fox news wanakuwa na waandishi na hosts tofauti, unampa Politician uwezo wa kusema ninaprefer interview ya fulani, maana anamwamini zaidi kuwa it iwill be professional. Chris alikuwa very tough on Obama lakini ali-conduct professionally the interview. In fact he did a better job then Stephanopolous na mwenzake during ABC debate. Hapo nampa haki yake, lakini Rush Limbaugh is a nutcase! Hata McCain atamwa-avoid tu!
So hakuna cha smoke na hot air hapa, na sioni sasa point yako ni nini, maana tumeshakubali Obama ni lazima azungumze na right wing media the difference ni kwamba sioni kama kuna haja ya kutaka kuwa-please na kukubali every nutcase's interview. Amesema alichotaka kusema, watu wamemsikia, we move on!
 

Rush is a nutcase? Hahaha...check the radio ratings and see who's dominated the number one spot for years (strange for a nutcase)....ana wasikilizaji wengi kuliko radio talk show yoyote yule. Love or hate him...he's an influential guy and he has a huge following.
 
Susuviri,

..lets be fair kidogo. nadhani hawa MSNBC na CNN ni enemy territory kwa kina Clinton. pamoja na kwamba waliwatetea wakina Clinton walipokuwa in power, lakini ktk uchaguzi huu, CNN,na MSNBC, wamekuwa biased to the point of being irresponsible.

..liberal media imewatenga Hillary na Bill. ndiyo maana wameona ili kuwasilisha ujumbe wao bora waende hata huko FOX NEWS, na kwa kina Rush Limbaugh.

..labda suala la kushangaza kabisa ni jinsi ambavyo Hillary ameendelea kufanya interviews na watu wa MSNBC. Nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba hawa ni liberal network ambao walienda mbali mpaka kumtukana Chelsea,kumuandama Mzee Clinton, na kumkandia Hillary na kampeni yake.

..mimi ni kati ya wale ambao wanaamini kwamba media inaweza kumpamba na kumuinua Barack Obama, bila ku-destort rekodi, na ku-destroy legacy, ya kina Clinton..
 
Man oh man...Obama just threw Wrong...ooops...I mean Wright...under the bus. Unbelievable. Wright has said Obama is a politician and he does what politicians do.....bwahahahahahaaaaa....Obama played right into it.....no single solitary soul is going to believe that.
 

For the first time Hillary will be on the O'Reilly Factor tomorrow....that's what's up!
 
Obama has done exactly what was supposed to be done. From todays speech, Rev. Wright is just one lone individual and this is his war vs. Fox News. Kudos for Barack..now lets get her (indiana) done
 
For the first time Hillary will be on the O'Reilly Factor tomorrow....that's what's up!

Kaka mama ana follow foot steps za Obama. Obama was on Chris Wallace last Sunday..I am sure Bill'o will throw "softballs" on her, kwani they (Fox News) still predicting that Barack is going to be the nominee for the Dems.
 
NN, isn't that y'all wanted(ditching Rev Wright)?

Too little...too late...
Wright is a loose cannon
Did you see him throw the Omega sign at the press club yesterday...? He is something else...
Hahahahaaa.....and tell me people will elect Obama to occupy the White House with associations like Wright....my friend...elections are all about perceptions
 
Kaka mama ana follow foot steps za Obama. Obama was on Chris Wallace last Sunday..I am sure Bill'o will throw "softballs" on her, kwani they (Fox News) still predicting that Barack is going to be the nominee for the Dems.

I don't care if he becomes the nominee. Bottom line he's not going to win the presidency. I'll bet my blood on that!!
 

....naona cheerleader wa Hillary bado mpo delusional kama mwenzenu,lakini the good thing sio all Dems wako delusional/bitter kama nyie ambao mnaamini kama sio Hillary basi no Dems na mtavote Mccain,ila sasa inabidi tuu uanze kuzoea Barack is your nominee and is goin to win the presidency in Nov,na hatuhitaji kura zenu na mkampe yule babu yenu mpenda vita ingawaje atashindwa tuu Nov,hata baada ya Civil right act kupita lots of Dems wenye akili kama zenu walihama chama lakini still strong,sasa new generation ya democrats wapya ni young/open minded/college educated sio nyie wala tumbaku/classless/racist/past/no education....mwende tuu hatuwahitaji!
 
I don't care if he becomes the nominee. Bottom line he's not going to win the presidency. I'll bet my blood on that!!

...bet ur blood? si bora ukawape wale wala nyama na damu za watu bongo maana watakushukuru kuliko hao Repubs ambao wakikuona na rangi yako ya mpingo wanajua criminal in the loose na hawakawii kukuitia njagu!
 

Hapa sijui umeongea nini...?
Keep on ranting....

Oh by the way...Obama also threw Farakhann under the bus today....but here is the kicker....he thought highly of him and went to the million man march....bwahahahahahahahaaaa.....talk about poilitical expediency
 

....i doubt hata kama unaelewa,whats all about million man march?unajitia aibu tuu maana kazi yako ni bandika bandua talking points from conservative media,next time learn kabla ya kuja kufanya bashing ya vitu usivyojua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…