Once again you failed to understand that the fight against biology has failed!We are all animals!only we're more smarter than the rest!Isipokuwa BIOLOGY ALWAYS STAYS THE SAME REGARDLESS OF ALL THE CATEGORIES!The other ways to protect those who are overwhelmed with the effects of biology is through encouraging them to wear protection!WHEN ARE CONSERVATIVES GOING TO ACTUALLY ACCEPT THE FACT AND TRUTH ABOUT THE WORLD AND ACT ACCORDINGLY?SO NYANI WE UNAFATA KAULI MBIU ZA MACONSERVETIVES ZA ABSTINENCY NA MAPONO YOTE HAYO HUKO MAREKANI NA DUNIANI KOTE?UNAFIKIRI BIOLOGY IMELALA KAMA MNAVYOTAKA KUFIKIRI?Karibu tena ingawa umerudi na longolongo nyiiingi!! Hilo la McCain kuhusu condom unashangaa nini? Wewe una uhakika wa asilimia 100 kuwa condom zinazuia mdudu? Mimi mwenyewe siziamini hizo condom. Njia pekee iliyo salama ya kuzuia uambukizwaji ni absitence ukiacha kuambukizwa kwa njia zingine. Sasa eti hili nalo unataka kulifanya kuwa big deal....geeeez....talkin' about somebody talkin' out of the side of their neck....
UMESAHAU LOBBYSTS NI KAMA MBWA AMBAYE UKIZOEANA NAYE ATAKUFATA MPAKA MSIKITINI!Ilianza tratiibu..lakini ni powerfull lobbysts!Ni kweli iliwanufaisha baadhi ya wananchi maeneo flani flani..especially yaliyopo maeneo ya mipakani mwa mexico na US ie Texas!NAFTA stands for North America Free Trade Act kama sikosei!ni mkataba unaohusiana na nchi za US,Canada na Mexico..ambapo unayapa makampuni uhuru wa kufanya biashara btn these three North American territories!lakini lobbysts ndio waliwabana congressmen na kufanya mabadiliko all the time ambapo eventually waliyapa haya makampuni rhuksa ya ku outsource kazi na nguvu kubwa ya hoja over the people!(we should use the NAFTA example on our East A union).Back to the point..Obama ameshasema ataifanyia marekebisho ili iwanufaishe wananchi zaidi ya hayo makampuni ambayo yanawakilishwa na malobbysts wenye ushawishi mkubwa kwa viongozi wakuu wa marekani.jmushi1,
..mjadala wa NAFTA unahusu free-trade vs protectionism. ni mjadala mkubwa kuliko Bush,Clinton,Obama,McCain etc etc.
..sijaona mahali Obama amesema ataifuta NAFTA mara atakapoingia madarakani. kama una taarifa hizo naomba utuletee.
..vilevile kuna maeneo ndani ya USA ambayo wananchi wa kawaida wamefaidika na NAFTA. hata huko Mexico wanalalamika kwamba NAFTA imewaumiza wakulima wa mahindi.
..mimi nafikiri tatizo hapa ni Bush kushindwa kuja na programs na ideas ambazo zingewezesha Wamarekani wengi zaidi ku-prosper kiuchumi within NAFTA.
..Otherwise, mbona hali haikuwa mbaya hivyo wakati wa Bill Clinton? wakati wa Bill Clinton ajira ziliongezeka across the board.
Karibu tena ingawa umerudi na longolongo nyiiingi!! Hilo la McCain kuhusu condom unashangaa nini? Wewe una uhakika wa asilimia 100 kuwa condom zinazuia mdudu? Mimi mwenyewe siziamini hizo condom. Njia pekee iliyo salama ya kuzuia uambukizwaji ni absitence ukiacha kuambukizwa kwa njia zingine. Sasa eti hili nalo unataka kulifanya kuwa big deal....geeeez....talkin' about somebody talkin' out of the side of their neck....
Hillary Rodham Clinton's cash-strapped presidential campaign has been putting off paying hundreds of bills for months -- freeing up cash for critical media buys, but also earning the campaign a reputation as something of a deadbeat in some small business circles.
A pair of Ohio companies owed more than $25,000 by Clinton for staging events for her campaign are warning others in the tight-knit event production community -- and anyone else who will listen -- to get their cash upfront when doing business with her. Her campaign, say representatives of the two companies, has stopped returning phone calls and e-mails seeking payment of outstanding invoices. One even got no response from a certified letter.
Yaani wewe Suzie kwa kukuza mambo...
Mwenzako ni binadamu kama wewe na hajui kila kitu. Sasa kusema kwamba hana uhakika ama hajui mpaka akaangalie kuna ubaya gani? Hamna ishu hapa zaidi ya longolongo tu!
Yeah bado namfagilia Mama na ninavutiwa na kila kitu chake! Babu bado ni plan B....
Nime-emphasize pauses... Babu is in the dark! Alafu anadai hajui then he says "Im sure Im opposed to government spending on it, Im sure I support the presidents policies on it.A transcript of the encounter follows. (Weaver is John Weaver, his senior adviser, and Brian is Mr. Jones, his press secretary):
Reporter: Should U.S. taxpayer money go to places like Africa to fund contraception to prevent AIDS?
Mr. McCain: Well I think its a combination. The guy I really respect on this is Dr. Coburn. He believes and I was just reading the thing he wrote that you should do what you can to encourage abstinence where there is going to be sexual activity. Where that doesnt succeed, than he thinks that we should employ contraceptives as well. But I agree with him that the first priority is on abstinence. I look to people like Dr. Coburn. Im not very wise on it.
(Mr. McCain turns to take a question on Iraq, but a moment later looks back to the reporter who asked him about AIDS.)
Mr. McCain: I havent thought about it. Before I give you an answer, let me think about. Let me think about it a little bit because I never got a question about it before. I dont know if I would use taxpayers money for it.
Q: What about grants for sex education in the United States? Should they include instructions about using contraceptives? Or should it be Bushs policy, which is just abstinence?
Mr. McCain: (Long pause) Ahhh. I think I support the presidents policy.
Q: So no contraception, no counseling on contraception. Just abstinence. Do you think contraceptives help stop the spread of HIV?
Mr. McCain: (Long pause) Youve stumped me.
Q: I mean, I think youd probably agree it probably does help stop it?
Mr. McCain: (Laughs) Are we on the Straight Talk express? Im not informed enough on it. Let me find out. You know, Im sure Ive taken a position on it on the past. I have to find out what my position was. Brian, would you find out what my position is on contraception Im sure Im opposed to government spending on it, Im sure I support the presidents policies on it.
Q: But you would agree that condoms do stop the spread of sexually transmitted diseases. Would you say: No, were not going to distribute them, knowing that?
Mr. McCain: (Twelve-second pause) Get me Coburns thing, ask Weaver to get me Coburns paper that he just gave me in the last couple of days. Ive never gotten into these issues before.
This went on for a few more moments until a reporter from the Chicago Tribune broke in and asked Mr. McCain about the weight of a pig that he saw at the Iowa State Fair last year.
Susuviri: Huyu babu anasumbuliwa na kile wanasaikolojia wanaiita cognitive dissonance. Anachofikiria sicho anachokisema ndio maana ya hizo pause. Na hii inaonyesha yupo opposed na mambo mengi sana ya Bush. Time will tell. Lakini kazi yake itakuwa ngumu zaidi kama Hillary atakuwa nomination maana atakuwa hana cha kusema kuhusu uchumi na haya mambo ya sex education kwa sababu ni hot sana US. Lakini nadhani haitakuwa ngumu vile kama itakuwa ni Obama maana credentials zao kwenye uchumi hazitifautiani vile bali yeye ata-bank kwenye security competence. Of course mimi sina pla B, nataka Hillary ashinde, lakini akishindwa bado nitaendelea ku-support democrats maana I bank more on institutions than on individual personalities. Ndio maana nawashangaa sana hata nyumbani watu ambao wanafikri matatizo yetu yatatuliwa kwa kuwatosa baadhi ya wana CCM wachafu badala ya kuing'oa CCM marakani.
Kitila, ulichokisema ni sawa kabisa. Kinachonisikitisha ni kwamba kambi zote mbili za Obama na Clinton zimefikia malumbano ambayo ni makali sana mpaka kama akina Nyani wanasema wanahama chama. Mi nadhani hata kambi ya akina Obama, tumesema mengi ambayo yanakera wenzetu mnao-support Clinton, lakini at the end of the day nilichokuwa namwambia Nyani, the difference is not that big and it is the same party. Bado nataka kum-convince my friend Nyani asihame kwa GOP!
Kwa kumwangalia McCain, alianza vizuri lakini nadhani alipotea njia baada ya kuamua kwamba hatapata nomination bila far right wing ya GOP kumtetea kama akina Hagee na Parsley! Sasa hapo ndipo nimeona babu kachemka. Also nadhani Repugs wenzake kama akina Mitt wamemtosa maana they know mwaka huu ni mgumu sana kwao na hawataki kuchafua CV. Wamemwacha babu achemke mwaka huu, wao 2012 watawania.
Nimemsikitikia McCain because I beleive that personally he is a good guy lakini chama chake kina matatatizo.
Your analogy with CCM is good ingawa nadhani kuna tofauti ya kwamba there has never been healthy multi partyism in Bongo kwa hiyo opposition until recent years was not really a viable option for a politician.
SOMA ALAMA ZA NYAKATI..ROMNEY ALIKUWA HATAKI KABISA KUACHANA NA KAMPENI..SASA HIVI ANASUBIRI DEMOKRATS AMBAO WANAONYESHA KILA DALILI KUWA OBAMA ANAWEZA KUWA EITHER PRESIDENT/VICE PRESIDENT NOMINEE...NA SABABU KUBWA AMBAYO ROMNEY ALIKOSA SUPPORT NI KWA SABABU YA MORMOISM!SASA ROMNEY IS PLANNING A COMEBACK!ANAJIWEKA KARIBU NA MC CAIN.. NA KUNA UVUMI KUWA ANGEPENDELEA AWE VP BILA KUJALI MORMOISM KWANI KUNA UWEZEKANO WA WAMAREKANI KUMCHAGUA MMORMON ZAIDI YA MWEUSI!ROMNEY IS A VERY POWERFULL FIGURE NA TAJIRI MKUBWA MWENYE KUHESHIMIKA NDANI YA REPUBLIKAN PARTY!KUKIWA NA CONFIRMATION KUWA BLACK MAN IS GOING TO BE ON THE NEXT ELECTION'S BALLOTS THE WHY NOT A MORMON?..NA PIA THE FACT KUWA ROMNEY NAYE ALIKUSANYA VICHWA EARLIER IN THE CAMPAIGN!NAMBA AMBAZO MC CAIN ANAZIHITAJI ON GENERAL ELECTION DAY!LAKINI UTABIRI WANGU NI KUWA INAWEZEKANA HAYO YAKAWA MAKOSA MAKUBWA KWA REPUBLIKANS KWANI NAFIKIRI MWEUSI CAN GET VOTED OVER A MORMON!KWA WALE WASIOIJUA DINI YA MORMON WAENDE KUFANYA UTAFITI NA UTAGUNDUA MENGI AMBAYO YANAWEZA KUWA OBSTACLES KWAO INAPOKUJA KWENYE KAMBI YAO YA EVANGELICALS KUWAPA SUPPORT!NYANI WATCH OUT!Dude, you've got it all wrong...Mitt Romney has gone on the record saying he'll be honored if Mac picks him for the VP slot basically saying he wants it. On top of that, there are so many other Republicans who are very well qualified from where he can choose from. Watch out for South Carolina governor Mark Sanford or MN's Pawlenty. If Sanford gets it....the GOP will have the South on lock (even though it is a solid GOP stronghold).
SOMA ALAMA ZA NYAKATI..ROMNEY ALIKUWA HATAKI KABISA KUACHANA NA KAMPENI..SASA HIVI ANASUBIRI DEMOKRATS AMBAO WANAONYESHA KILA DALILI KUWA OBAMA ANAWEZA KUWA EITHER PRESIDENT/VICE PRESIDENT NOMINEE...NA SABABU KUBWA AMBAYO ROMNEY ALIKOSA SUPPORT NI KWA SABABU YA MORMOISM!SASA ROMNEY IS PLANNING A COMEBACK!ANAJIWEKA KARIBU NA MC CAIN.. NA KUNA UVUMI KUWA ANGEPENDELEA AWE VP BILA KUJALI MORMOISM KWANI KUNA UWEZEKANO WA WAMAREKANI KUMCHAGUA MMORMON ZAIDI YA MWEUSI!ROMNEY IS A VERY POWERFULL FIGURE NA TAJIRI MKUBWA MWENYE KUHESHIMIKA NDANI YA REPUBLIKAN PARTY!KUKIWA NA CONFIRMATION KUWA BLACK MAN IS GOING TO BE ON THE NEXT ELECTION'S BALLOTS THE WHY NOT A MORMON?..NA PIA THE FACT KUWA ROMNEY NAYE ALIKUSANYA VICHWA EARLIER IN THE CAMPAIGN!NAMBA AMBAZO MC CAIN ANAZIHITAJI ON GENERAL ELECTION DAY!LAKINI UTABIRI WANGU NI KUWA INAWEZEKANA HAYO YAKAWA MAKOSA MAKUBWA KWA REPUBLIKANS KWANI NAFIKIRI MWEUSI CAN GET VOTED OVER A MORMON!KWA WALE WASIOIJUA DINI YA MORMON WAENDE KUFANYA UTAFITI NA UTAGUNDUA MENGI AMBAYO YANAWEZA KUWA OBSTACLES KWAO INAPOKUJA KWENYE KAMBI YAO YA EVANGELICALS KUWAPA SUPPORT!NYANI WATCH OUT!
I say your prediction will be proven wrong on November 4th. The silent majority will speak and it's voice will be loud and clear.
kheeee msee umeshakuwa 'mnajimu' kana sheihk Yahya Hussein, yaani unajua nini kitatokea November. umewapita hata vimungu mtu wako(Rush na shoga lake Hannity) ambao hawawezi kuthubutu kusema maneno kama uloandika hapo juu.!!!???? silent majority ndio wakina nani hao?? na toka lini hasa wapo silent!? naanza kuwa na wasiwasi juu ya hizi bias zako na generalization ya vitu, akili yako inafanyakazi kama yule 'The Truth' au VRS!! seriously, you need a reality check..........
hii mambo ua inanikumbusha heinsenbergs uncertanity principle, huwezi ku-predict with any certanity kwamba nini kitatokea Nov 4th!! sasa hiyo yako sijui tuiteje.........aaaaaagh.
Chief Commanding Officer wa Operation Chaos - Rush Limbaugh na Sean Hannity wote wanajua ushindi utakuwa kwenye column ya GOP. Tatizo lako wewe huwasikilizi kwa hiyo hujui hata wanaongelea nini. Rush yupo hewani sasa hivi mpaka 3PM EST...kama unataka niambie nikupe link uweze kumsikiliza online kama hamna redio inayorusha kipindi chake huko.
I'm not delusional so I don't need a reality check. You just hate to hear the truth for obvious and understandable reasons. And it is kind of asinine for you to compare me to Raj Patel or Njabu Ngabu aka VRS....
SOMA ALAMA ZA NYAKATI..ROMNEY ALIKUWA HATAKI KABISA KUACHANA NA KAMPENI..SASA HIVI ANASUBIRI DEMOKRATS AMBAO WANAONYESHA KILA DALILI KUWA OBAMA ANAWEZA KUWA EITHER PRESIDENT/VICE PRESIDENT NOMINEE...NA SABABU KUBWA AMBAYO ROMNEY ALIKOSA SUPPORT NI KWA SABABU YA MORMOISM!SASA ROMNEY IS PLANNING A COMEBACK!ANAJIWEKA KARIBU NA MC CAIN.. NA KUNA UVUMI KUWA ANGEPENDELEA AWE VP BILA KUJALI MORMOISM KWANI KUNA UWEZEKANO WA WAMAREKANI KUMCHAGUA MMORMON ZAIDI YA MWEUSI!ROMNEY IS A VERY POWERFULL FIGURE NA TAJIRI MKUBWA MWENYE KUHESHIMIKA NDANI YA REPUBLIKAN PARTY!KUKIWA NA CONFIRMATION KUWA BLACK MAN IS GOING TO BE ON THE NEXT ELECTION'S BALLOTS THE WHY NOT A MORMON?..NA PIA THE FACT KUWA ROMNEY NAYE ALIKUSANYA VICHWA EARLIER IN THE CAMPAIGN!NAMBA AMBAZO MC CAIN ANAZIHITAJI ON GENERAL ELECTION DAY!LAKINI UTABIRI WANGU NI KUWA INAWEZEKANA HAYO YAKAWA MAKOSA MAKUBWA KWA REPUBLIKANS KWANI NAFIKIRI MWEUSI CAN GET VOTED OVER A MORMON!KWA WALE WASIOIJUA DINI YA MORMON WAENDE KUFANYA UTAFITI NA UTAGUNDUA MENGI AMBAYO YANAWEZA KUWA OBSTACLES KWAO INAPOKUJA KWENYE KAMBI YAO YA EVANGELICALS KUWAPA SUPPORT!NYANI WATCH OUT!
Chief Commanding Officer wa Operation Chaos - Rush Limbaugh na Sean Hannity wote wanajua ushindi utakuwa kwenye column ya GOP. Tatizo lako wewe huwasikilizi kwa hiyo hujui hata wanaongelea nini. Rush yupo hewani sasa hivi mpaka 3PM EST...kama unataka niambie nikupe link uweze kumsikiliza online kama hamna redio inayorusha kipindi chake huko.
I'm not delusional so I don't need a reality check. You just hate to hear the truth for obvious and understandable reasons. And it is kind of asinine for you to compare me to Raj Patel or Njabu Ngabu aka VRS....
....hivi haya mambo ya leo Hillary na kesho eti camp yako ni Hannity/Rush kwa sababu mama kakosa nomination kuna mtu anayeelewa humu? somebody is not serious in here!