Oyaa usimkose anakuja at the top of the hour na atamzungumzia bwa' mdogo...lol
......siangaliagi Lou Dobbs, mara ya mwisho ilikuwa early 2005, his no brainer stand against immigrants, turned me off!!! jamaa ni FISADI, he used the immigaration squabble kujipandisha chati.............hakuna journalism pale, ni opinions za kijinga na mara nyingi anakuwa on the wrong side of tracks and history!!! shame on you Lou Dobbs.
Haya basi msubiri jamaa yako wa MSNBC....hata jina lake silikumbuki....kwikwikwiiii.
sasa hivi ni Hardball(chris matthews then inafuata Countdown(keith oberman), saa tatu inakuja Abrams Report(dan abrams)........Lou Dobbs mnaangalia ninyi wanazi!!.
sasa hivi ni Hardball(chris matthews then inafuata Countdown(keith oberman), saa tatu inakuja Abrams Report(dan abrams)........Lou Dobbs mnaangalia ninyi wanazi!!.
Unajua its funny, wiki kadhaa nyuma hapa tulikubaliana(well wengi wetu) kuwa Obama angwekuwa mzungu sasa hivi angekuwa amesha secure nomination lakini kwa sababu ni mweusi basi kutakuwa na vizuizi kibao, ol' boy anavipangua lakini bado tu naysayers wanapiga vijembe.
Where is John Edwards?
Mimi hilo li-network hata siliangaliagi...kwanza hata kwenye network ratings ni lamwisho kwa sababu ni watu wachache mno (weirdos) wanaoliangalia
Mambo yote Lou Dobbs, Bill O, Hannity and Colmes na Greta Van Susteren
Ningependa nitofautiane na wewe. Sidhani kabisa kwamba obama hajapta nomination hadi sasa kwa sababu yeye ni mweusi, ILA naweza nikasema hiyo inatokana na ESTABLISHMENT ya hillary clinton + kampeni chafu walizofanya hadi hivi sasa na still obama is rising ! Ebu chukulia mfano wa mccain, for instance weka position ya mccain angekuwa candidate mweusi na huckabee abaki huckabee, unajua the more huckabee angekuwepo akidhani atashinda watu wangechukulia kwamba hataki mtu mweusi ashinde !
So, hadi hivi hapa obama alipo nadhani ni somethign historical kwamba amempa mama kazi ngumu kiasi kwamba he has become a juggernault !
Edwards sidhani kama alikuwa mwanasiasa ! Atafanya vizuri akiwa volunteer kusaidia jamii maana he was too honest and didnt fit that political field !
Edwards mzushi anauhubiri umaskini akitoka hapo anapata hair cut ya $ 400 ebo!!!
Issue ya race Obama ameikwepa, lakini guess who brought it...? Obama never campaigned as a black candidate lakini yakaanza maneno ya ooh bila LBJ dream ya MLK isingefanikiwa, mara oooh Obama anapigiwa kura sana na weusi lakini hawawasemi watu kama akina AY wanaosema jamaa sio black enough, akawatwanga both kwa weusi na kwa wazungu.
Lou Dobbs=Masanja Mkandamizaji wa ze comedy
bill o-reilly= sean hannity
greta van susteren= nancy grace
that being said kama nataka kumuangalia lou dobbs naweka ze comedy !
Lou Dobbs=Masanja Mkandamizaji wa ze comedy
bill o-reilly= sean hannity
greta van susteren= nancy grace
that being said kama nataka kumuangalia lou dobbs naweka ze comedy !
I don't care what you say but Lou is always on point. Foreigners wengi hawampendi kwa sababu wako out of status na wanaona anazungumza ukweli na ukweli huuma.
kuna mtu kamzalisha nancy grace mapacha!!! watu wengine bwana, kwa kujitakiaga balaa!! that bi**h is a disaster for a peace of mind baby mama!! ni wa kumwogopa kama ukimwi.
NN,
wewe unaangalia hao watu kwa sababu unapenda 'mipasho,' sie wengine tunataka nyuzi kama zilivyo.....na hiyo ndio tofauti yetu!!.
polls closed in MS, kipigo chengine hicho, kama kufa!!! kwikwikwikwi.
NBC news reports: A nod for Obama from Magnolia, projected winner in Mississippi.......yes we can!!.[/QUOTE]
....in your dreams..
Edwards mzushi anauhubiri umaskini akitoka hapo anapata hair cut ya $ 400 ebo!!!
Issue ya race Obama ameikwepa, lakini guess who brought it...? Obama never campaigned as a black candidate lakini yakaanza maneno ya ooh bila LBJ dream ya MLK isingefanikiwa, mara oooh Obama anapigiwa kura sana na weusi lakini hawawasemi watu kama akina AY wanaosema jamaa sio black enough, akawatwanga both kwa weusi na kwa wazungu.
hayo maneno nilisikia, na utadhani hao watu weusi wapo 50% katika kila state ! sehemu nyingine pop. ya watu weusi ni less than 5% !
I don't care what you say but Lou is always on point. Foreigners wengi hawampendi kwa sababu wako out of status na wanaona anazungumza ukweli na ukweli huuma.