Mwanamke wa ufunuo au mama wa makahaba ni vatikan.mwanamkee wa ufunuo hawez kuwa mama clinton acha kupotosha
Trump atatupa makombora ya nyukliawalianza kujiandaa baada ya ile ya pili,na akishinda Trump mmmh
.
Cheki this
russia isngekuwa kama ilivyo leoHivi ingekuwaje kama mjerumani angeshinda vita vya pili
.
Cheki this
Tuombee amani tuu mkuu iwe nasi ktk hii dunia vita havina mpango kabisa ktk maisha yetu amani ndoo kila kitu Kwa kwelikwa hali hii ni bora tu kupoteza wanajeshi 500 waliopo Allepo kuliko kupata hasara mara 1000
ilo nalo neno mkuuTuombee amani tuu mkuu iwe nasi ktk hii dunia vita havina mpango kabisa ktk maisha yetu amani ndoo kila kitu Kwa kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Crucial battle for Allepo
Hiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.Wanyonge hawawezi kusimama nyuma ya mrusi kwa sababu anachoweza kuwasaidia ni bunduki AK47 na mizinga tu sio chakula wala dawa! Ambapo USA ataleta unga wa yanga na ngano na dawa, niambie lini uliona shirika la kirusi mfano wa USAID huku afrika likitoa misaada?! Kwa wanyonge bottom line ni tumbo mkuu, mrusi hana chake!
Swadakta MkuuHiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.
Alichofanya ni kukuwahi kabla haujamuwahi.
Umeshinda wewe uliyeshiba, lakini kaa ukijua Urusi kamwe hawezi kuanzisha a fullscale convetional war, sisi wenye njaa tunalijua hilo!Hiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.
Alichofanya ni kukuwahi kabla haujamuwahi.
kila system hapa dunia inahitaji reloading,inaweza kuwa na kombora 8-12 kwa wakati mmoja per one launcher,hizi zikiisha maana yake itabidi kufanya reloading,kwahiyo lazima liwepo gari limejaa makombora ya kureloadSasa mkuu hivi hiyo System defense Air huwa inahifadhiwa makombora mangapi....??
Sababu ikiwa vitani lazima Atakuwa anatupia Missiles nyingi
Muongee na kumwambia kuwa Russia atailinda Syria kwa gharama yoyote ile kwani anajua akiipoteza basi biashara yake ya mafuta na Gas itakuwa ipo hatarini. So Russia lazima pesa aimwage, hamna namna.Unajifanya mchumi uchwara kuliko hao Russia wenyewe.
Pale hakuna cha gharama wala cha hasara
sababu wale ni washirika wakubwa sana na kuna mikataba wamewekeana ktk suala la ulinzi na kijeshi. Ndio maana usishangae kumuona Mrusi yupo pale.
Na ujue kuwa Urusi ina wananchi wengi sana kuliko huyo Mwenye uchumi mkubwa lakini kwake hajali zaidi ya kulinda maslahi yake.
jibu kuntuSwadakta Mkuu
Hapo umemchana mara Elfuishirini, ndio tatizo la Afrika
Uchumi wao ulipatikana kutokana na biashara ya utumwa, kupora mali kutoka makoloni, na kufanyisha kazi watu masaa mengi bila ujira wa kutosha. Kama uchumi wao ukianguka sana kutokana na vita hii itawalazimu kurudisha biashara ya utumwa na kutafuta makoloni upya. Mtumwa wa kwanza huenda akatoka miongoni mwa wachangiaji wa uzi huu, nani ajuae?We dont need war this time,when they fight young nations are the ones which suffers more,or pays the cost
Ni kweli Mkuu tena hapo Syria sio kwamba kaingia mzima mzima ni wachache sana ila wanaongozwa na zana za kisasa. Na huo mji wa Allepo ndio wameuzuka kwelikweli hata hao Islamic States wanapumbua kwa shida.Muongee na kumwambia kuwa Russia atailinda Syria kwa gharama yoyote ile kwani anajua akiipoteza basi biashara yake ya mafuta na Gas itakuwa ipo hatarini. So Russia lazima pesa aimwage, hamna namna.