Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

kila system hapa dunia inahitaji reloading,inaweza kuwa na kombora 8-12 kwa wakati mmoja per one launcher,hizi zikiisha maana yake itabidi kufanya reloading,kwahiyo lazima liwepo gari limejaa makombora ya kureload
Ahsante Mkuu nimekuelewa sana.....
Ila nikiyaona jinsi yanavyochomoka kuelekea huko yalipo tumwa aiseeeee balaaaaa mkuu
 
Hiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.

Alichofanya ni kukuwahi kabla haujamuwahi.
Tunaongelea Allepo situation right now kaka sio suala la usaid
 
Hiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.

Alichofanya ni kukuwahi kabla haujamuwahi.
Urusi, Iran na Iraq ni ndio nchi tu ambazo zinaweza kusaidia Syria kusimama na kupambana dhidi ya Marekani uchokozi na uvamizi. Umoja wa Mataifa amepoteza madhumuni yake na kazi kama mlinzi kwa severign: kikamilifu chini ya udhibiti USA. Syria ina haja zaidi ya kujihami na kujitetea kama taifa huru na kulinda raia wake . :haraka Zaidi inatakiwa nchi za Kiislamu kama Malaysia, Indonesia, Pakistan na wengine wanapaswa kum saidia Urusi Russian to protect the innocence muslim na kulinda Syria kutokana na hati hati kubwa juu ya Muslim population katika Iraq, Syria na Yemen dhidi ya Marekani na ukandamizaji wa Kizayuni na umoja wa NATOs
 
Hiyo njaa yako ndo inakufanya idumaze akili zako, anajua asipokupa misaada utaanza kukitumia kichwa chako ili ujikwamue, na hapo ndo utakuwa na akili kama zake.

Alichofanya ni kukuwahi kabla haujamuwahi.
Better huyoo asiyekupa msaada hata unga wa njano,kulikoni anayekupa msaada at da same is turning is back on
Am not trying to promote Russia or U.S. NATO and Zionist
Open up you're eyes brother,na hakika ukweli unaujuwa lazima
Tusiwe mashabiki wa mataifa,let's just gets something straight and upfront mkuu wangu,
Wats happen in Syria right now it's really really Nooma,Russia iran Syria na Iraq wanataka damu isizidi kumwagika tena,ila US.saudia,Qatar na Zionist wanazid kuwapa terrorist silaha na mambo mengine zaid,Hilo sio sawa kabisa brother [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muongee na kumwambia kuwa Russia atailinda Syria kwa gharama yoyote ile kwani anajua akiipoteza basi biashara yake ya mafuta na Gas itakuwa ipo hatarini. So Russia lazima pesa aimwage, hamna namna.
You're right its one of many reasons ila kuna sababu kubwa zaidi ya hiloo...
 
Ni kweli Mkuu tena hapo Syria sio kwamba kaingia mzima mzima ni wachache sana ila wanaongozwa na zana za kisasa. Na huo mji wa Allepo ndio wameuzuka kwelikweli hata hao Islamic States wanapumbua kwa shida.

Kwa hiyo hawa viongozi Western na paka Wao US, wanafanya juu chini kumtuliza Putin kwenye vikao asitishe mashambulizi lakini Putin kapaniki kwelikweli na wala hataki kuona makosa yakijirudia kama Libya.

[emoji635]
[emoji635]
[emoji635]
Thanks for understanding kaka,na sio libya tu plus Iraq yemen right now,
 
At least we should be happy rights now cos there s balance of power's katika hii dunia sio ilivyomtokea Saddam and Ghaddafi,afadhali russia ameonyesha umuhimu wake kama na yeye taifa kubwa,otherwise uonevu ungezidi tuu kuendelea kwa mataifa wanyonge....
 
A dire and foreboding Security Council ( SC) report circulating in the Kremlin today states that 200,000 Ministry of Emergency Situations ( EMERCOM) specialists of emergency rescue divisions, with about 50,000 units of equipment, have begun evacuating over 40 million Federation citizens to their assigned nuclear protective bunkersat the same time the Ministry of Defense ( MoD) has reported that the Main Command of the Navy ( MCoN) has stationed their atomic weapons subs at their “strike points” alongboth the East and West Coasts of the United States—while Russia media sources are, likewise warning that the “ schizophrenics from America are sharpening nuclear weapons for Moscow”.


Immediately following the Obama regimes breaking off diplomatic relations, and then having their Islamic terrorists attack the Russian embassy in Syria, this report continues, President Putin suspended the treaty with Washington on cleaning up weapons-grade plutonium—with the Foreign Ministry further warning that the Americans had made “ a deal with the devil ” in supporting these Islamic terroristswho have killed tens-of-thousands of innocents and are preparing to kill even more.
With Syrian army troops under the cover of Federation air power systematically destroying the Obama regimes Islamic terrorists, this report says, the US is rushing Assistant Secretary of State for European and Eurasian Affairs at the United States Department of State Victoria Nuland to Moscow this evening who is expected to issue a “ final threat ” against Russia—but that this report makes clear will not even be listened to.

Whatdoesitmean.com
Here is the problem: ALL those "moderate/terrorist groups are supported by the US. Stop sponsoring terrorists and let the man make order in his country. If NATOs Zionist,Saudia Qatar didn't sponsor these killers Syria would have been war free long time ago.
 
Ila alepo wameprove kuwa battle hardened kuliko wapiganaji wowote wale hapa duniani,kwajinsi wanavyoabsorb makombora,mabomu,mizinga na bado wako ngangari kinoma,
hapa hata mvietnamu anasubiri sana kwa street fighting na urban guerillar warfare
wanawauwa kidogo kidogo ili marekani nao wapate uchungu kuwa kwa ndugu zao
 
Umeshinda wewe uliyeshiba, lakini kaa ukijua Urusi kamwe hawezi kuanzisha a fullscale convetional war, sisi wenye njaa tunalijua hilo!
na kama huwez kuhimili coventional war uhesabu kushndwa coz hakuna vita itakayohusisha nuclear kwa sasa coz kitendo cha kumnuke mwenzio basi utakua umebariki hundreds of nuclear missiles kuja kwako pia
 
Allepo is battle of Apocalypse mkuu [emoji95] [emoji95] [emoji95]

Sent from my LG-D958 using JamiiForums mobile app
vita gani ya kiama kwa upande mmoja.mpaka sasa jamaa chakula kimewaishia wanakula kwa tabu tu sema Assad ana roho mzuri san kawambia anataka kuandaa mipango ili ikiwezekana waondoke chini ya uwangalizi wa majeshi yake pasipo kudhuriwa
 
Mkuu umesikia upuuzi wa Rais wa Ufaransa Francois Holland akibwabwaja maneno ambayo hata Taifa lolote Duniani litashindwa kuifanya hiyo kazi.
Haa another idiot huyo like Obama,lifestyle wanayoishi France and,most parts of Europe sio life ambayo waliozowea kuishi,wasi wasi mtupu midaa yote
Ilaa tuu waache wa pay prices kwani sio ndoo sponsored wakubwa wa hao barbarians

Sent from my LG-D958 using JamiiForums mobile app
 
Haa another idiot huyo like Obama,lifestyle wanayoishi France and,most parts of Europe sio life ambayo waliozowea kuishi,wasi wasi mtupu midaa yote
Ilaa tuu waache wa pay prices kwani sio ndoo sponsored wakubwa wa hao barbarians

Sent from my LG-D958 using JamiiForums mobile app
mazingira mabovu wametengeneza wenyew,wanapindua serikali za watu pasipo kuandaa viongozi wa baadae
 
vita gani ya kiama kwa upande mmoja.mpaka sasa jamaa chakula kimewaishia wanakula kwa tabu tu sema Assad ana roho mzuri san kawambia anataka kuandaa mipango ili ikiwezekana waondoke chini ya uwangalizi wa majeshi yake pasipo kudhuriwa
Hakuna cha misaada kupita wala upuuzi wowote ule,

Na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kulia njaa labda Wanatakiwa wajisalimishe wenye we, sababu sababu uchafu ndio umebakia hapo Allepo.
 
Back
Top Bottom