mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
ila warusi wangekuwa na huruma kidogo,walilipua magari yote ya misaada ya vyakula ili jamaa waendelee kuteseka
Alafu kibaya zaidi hao brainwashed stupidity primitives ignorants sio wa Syria most ni Chechens Tunisia,Afghanistan,Saudi ArabiaHakuna cha misaada kupita wala upuuzi wowote ule,
Na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kulia njaa labda Wanatakiwa wajisalimishe wenye we, sababu sababu uchafu ndio umebakia hapo Allepo.
Hiyoo ni false flags mkuu haikuwa Russia waliolipuwa U.N. convoy,waongo mnoo U.S.ila warusi wangekuwa na huruma kidogo,walilipua magari yote ya misaada ya vyakula ili jamaa waendelee kuteseka
Ha ha Kudaadeki wako ktk trapped and no way out,and check it out jinsi gani assad and Russia how kindly they are?wote wenye wanajeshi wao aleppo watajitokeza mmoja mmoja.alianza marekani sasa kaja ufaransa
Aleppo pagumu ila sio kwa warusi,tuliongea hapa kidogo tupigwe humu ndani sasa kipo wapi mmekimbia wote tumebaki wenyew tu humu ndani.warusi oyeHa ha Kudaadeki wako ktk trapped and no way out,and check it out jinsi gani assad and Russia how kindly they are?
Wame wa offers amnesty tena under U.N. escorts with they're right weapons waondoke nazo [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Mkuu mie nimeishi Syria,Allepo, latakia Damascus ilikuwa nchi nzur mnoo! Yaaani am telling uAleppo pagumu ila sio kwa warusi,tuliongea hapa kidogo tupigwe humu ndani sasa kipo wapi mmekimbia wote tumebaki wenyew tu humu ndani.warusi oye
nimecheka san kumuona francos holland akiongea mpaka mishipa imemtoka kwa uchungu,kumbe nao uwa inawauma na pia kumbe wanajua uwarifu wa kivita.ha ha haMkuu mie nimeishi Syria,Allepo, latakia Damascus ilikuwa nchi nzur mnoo! Yaaani am telling u
They are criminals hao Sarkozy Blair and many moresnimecheka san kumuona francos holland akiongea mpaka mishipa imemtoka kwa uchungu,kumbe nao uwa inawauma na pia kumbe wanajua uwarifu wa kivita.ha ha ha
Haa uonevu umezid mnoo bana kwa mataifa wannyongee sanawarusi wanafanya ndugu zetu wakose raha(wazee wa USA)
Haa uonevu umezid mnoo bana kwa mataifa wannyongee sanawarusi wanafanya ndugu zetu wakose raha(wazee wa USA)
Ha ha ha uliifanyaje,ulifaulu?mkuu mimi nilifanya reseach ya chuo bila pesa
Oooh yes brother tena big Times yaani am not jokingHa ha ha uliifanyaje,ulifaulu?
AMERICAN alipogunduwa tu Iran's and Hezbollahs are deeply involved on syria wars,basi akajuwa ushindi hapa hakunaga kabisa,cos anakumbuka ile 8years wars between iran na Iraq,jinsi gani alivyokuwa aki m support Saddam kwa mlango wa uwani na wakashidwa vile vitawarusi wanafanya ndugu zetu wakose raha(wazee wa USA)
Wapuuzi walizania syria wako peke yaomazingira mabovu wametengeneza wenyew,wanapindua serikali za watu pasipo kuandaa viongozi wa baadae
Ungesoma ni kwanini nimemjibu hivyo.Tunaongelea Allepo situation right now kaka sio suala la usaid
OyeeeeeeeeeeeeeeeeAleppo pagumu ila sio kwa warusi,tuliongea hapa kidogo tupigwe humu ndani sasa kipo wapi mmekimbia wote tumebaki wenyew tu humu ndani.warusi oye
Hahahabahahahahahahahahahahahahkwa stahili hii ya aleppo sizani kama kuna mtu atawatoa tena wanajeshi wake kafala.labda wawaweke mipakani ili isijitokee kama hii ya aleppo
Nina wasiwasi asije tokea Mtumbua majipu Mzee Ngosha.wote wenye wanajeshi wao aleppo watajitokeza mmoja mmoja.alianza marekani sasa kaja ufaransa