Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,122
HA ha ha,Ndo maana nkakwambiaje haina madhara russia labda ije itutishie sie kajamba nan! Wherever na kazyake....
My point: huwez jua madhara ya f22 kwa russia wala madhara ya PAK FA kwa USA unless otherwisd kungekuwa na battle tena real battle ndio tungejua,
Ila kwa sasa siwez comment chochote kwenye hilo, Pia kumbuka si kwamba kila kitu kijeshi kinaanikwa hadharani, Kuna baadhi ya vitu ni CLASSFIED
MY POINT: tunajua vitu vichache tu vingi ni classfied, Kwa mfano MINUTEMAN 3 ICBM ya USA ukisoma online wanasema ina range ya 13000km (real range classfied)
So tunajua vitu vidogo tu, Kuna siri kubwa chini ya uwezo wa F22 na PAK FA, pia kuna siri kubwa sana katika anti-balistic and anti-aircraft
Ila kwa sasa the only air supremacy fighter ni f22

