majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Vita vya maneno tu. Hakutakuwa na hiyo nyingine.
PAKA ni lazima ataadhibiwa tu hata atetewe na binadamu au nchi gani wole wenu mnaotukanwa na mpuuzi kupitia raisi wenu mnashangilia.
Vita vya maneno tu. Hakutakuwa na hiyo nyingine.
Mtoa mada umekurupuka! UN ndiyo ya kwanza na mpaka report ilitolewa, marekani ikaionya Rwanda, hata Obama alipokuja mwandishi wa habari wa Congo Silaji Kalyango alimuuliza Obama anachukua hatua gani waasi na kundi la Rwanda kuivamia Congo kubaka wanawake na mauaji. Obama akaahidi hatua kuchukuliwa maana Kagame Alisha onywa.
PAKA ni lazima ataadhibiwa tu hata atetewe na binadamu au nchi gani wole wenu mnaotukanwa na mpuuzi kupitia raisi wenu mnashangilia.
Am talking about your misleading here,It's not true that the whole world is against Rwandese government, Only a handful of countries with their hidden motives who trying to use UN to further their agenda,France in particular!Whats your point here?we just talk about UN report concern DRC and not mutual friendship between individual countries
Sasa hapo nani karopoka UN au Membe?
Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.
Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Taarifa zinazohusiana
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC
Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania
Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.
Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.
Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.
Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda.
Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.
View attachment 160985
Waziri Membe akiropoka bungeni
Source: BBC
Wasi wasi wetu ni kwamba hatuna uhakika kama hao ndugu zetu walioko jeshini wamepelekwa Congo kwaajili ya maslahi ya nchi kweli au kwaajili ya maslahi ya wajinga wachache?jamani wote ni wapinzani lakani penye ukweli lazima tuwe wakweli, membe amesema kweli jamani upinzani siyo kupinga kila kitu tufatilie hata historia inasemaje kuhusu waasi wa m23 wametoka wapi na kwa nini wako kongo, pia membe ana taarifa za uhakika juu la hili kwani hata umoja wa mataifa kupitia taarifa zake ilithibisha hivyo, pia upinzani hauna budi kuamini hivyo kwani tanzania kabla halijatumwa jeshi kuna taaarifa za kijasusi zililetwa, je WENJE yeye ana taarifa gani na tene za uhakika kusema kuwa M23 siyo wanyarwanda? na pili upinzani hawana budi kwa namna nyingine kukubali baadhi ya vitu au kama ukweli taarifa usipinge bali omba uthibitisho? na cha mwisho ni kwamba kwa nini uhusiano kati ya TZ na rwanda umekuwa mbaya baada ya TZ kupereka majeshi kongo, haingii akilini kwa kauli ile ya kikwete ndo isababishe uhusiano uwe hivi? VUKA KIWANGO CHA FIKRA NI USHINDI,KUTUMIA DARAJA LA KWANZA LA KUFIKRI NI HEKIMA...........UZALENDO KWANZA MACCCM, MACHEDEMA BAADAYE
Kwahio kwa akili yako na kusoma kwako historia una amini hao CIA wana uchungu zaidi ya hao wa Africa wanaouliwa huko DRC kuliko viongozi wa Ki Africa wenyewe. Hehehe!
CIA unaijua wewe? Unafikiri iko pale kwa ajili yako wewe mtu mweusi? Unajua historia ya CIA duniani na jinsi inavyo engineer mambo kwa ajili ya interest za America and the west!?
Hivi nyie watu ikianza vita hapa kati yetu na rwanda tuanze kuuana kisa eti UN inasema Rwanda anaua watu Congo nani ataumia zaidi na nani atafaidika kwa hio vita. Hi vita ikishaisha kama basi itaisha, gesi huna, mafuta huna, madini huna!
Embu acheni UJ.INGA!!
Ni upuuzi na ujinga kwa wenje na hao wote wanaoikashifu nchi yao na kumsupport adui wa nchi yao.
Ninachoweza kusema ni Kimoja tu, Membe ni kiongozi mwenye kusema anachokiamini na kukijua, Kwa Membe "JIWE NI JIWE" huwa hawezi kugeuza,,,,,!!! KIONGOZI LAZIMA AWE HIVYO...!!
You know nothing about Americans attitude toward Rwanda, They are much closer than you think!You can't separate France from the DRC conflict too!!
Mbona husemi pia kuwa kasema hayo si maneno yake, hiyo ni kutoka kwenye report ya Wataalam wa Umoja wa Mataifa walioipeleka AU na kila nchi ya AU wamepelekewa hiyo ripoti?
Na ripoti kaionesha na kasema anaipeleka kwa spika wa bunge kama ushahidi wa maneno yake, na pia amesema Wenje na yeye aende na ushahidi kwa aliyoyasema kuwa ni uongo na yeye ataachia ngazi na yeye akipeleka ripoti ya ushahidi wa maneno yake basi Wenje aachie ngazi.
Mbona Wenje kaa na hakuchukuwa hiyo challenge?
Wasi wasi wetu ni kwamba
hatuna uhakika kama hao ndugu zetu walioko jeshini wamepelekwa Congo
kwaajili ya maslahi ya nchi kweli au kwaajili ya maslahi ya wajinga
wachache?