M23 Washambulia tena Mji wa Sake

zwangandaba

JF-Expert Member
Jan 31, 2023
673
1,237
Kwa mujibu wa vyombo vya habari mji wa Sake uliopo km 23 magharibi mwa Goma ambai ni mji mkuu wa Kivu ya kaskazini, umeshambuliwa tena.

Ikumbukwe wiki iliyopita waliuzingira na kukaribia kuuteka lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya serikali na washirika wake.

Wakati huo huo msafara wa silaha mzito pamoja na mitambo ya maroketi ya kutungulua ndege kutoka Rwanda imeonekena ikielekea uwanja wa mapambano upande wa m23. Wachunguzi wa umoja wa mataifa umethinitisha kundi la m23 kutumia mitambo ya SAM(surface to Air Missiles)
Baada ya m23 kushambuliwa sana na ndege za serilali, Rwanda imelazimika kutoa mitambo hiyo ili kuwawezesha m23 kukabiliana na ndege ambazo zimekuwa zikiwapa wakati mgumu na kusababisha hasara kubwa kwa m23. SAM ni mitambo yenye rada ambayo ina uwezo mkubwa sana wa kutungua ndege za adui.

Hii ni ushahidi tosha kuwa Rwanda inahusika sana katika vita hii moja kwani hakuna kundi la waasi laweza kumiliki mitambo hiyo. Lakini pia ili.mitambo huyo ifike kivu lazima ifate barabara kutoka Rwanda kuingia uganda ndio ifike DRC

Wakati ambapo mji wa Sake uko mikononi mwa majeshi ya serikali, m23 wanasenekena wako upande wa milima inayouzunguka.

Wakongomani wasubiri kwa hamu kusikia majeshi ya serikali na washirika wake wanakomboa maeneo yote yanayoshikiliwa na waasi kama sasha,kiwanja,Kitchanga, Rutshuru,Rubaya pamoja na Bunagana ngome kuu ya m23.

Ni jambo linalowezekana ila linahitaji uwekezaji mkubwa wa nguvu na teknolojia ya kisasa ya zana za mapigano kwani Rwanda na Uganda wameingia vitani upabde waasi wazimawazima bila kubakisha kitu nyuma.

Maswali kadhaa ya kujiuliza.
1. Inakuwaje adui anaingiza nchini kwako zana za kisasa bila kupata wakati mgumu na hasara? Wapi intelijensia ya nchi?

2. Kwa nini majeshi ya serikali na washirika wake hayateki maeneo ya waasi badala yake nguvu kubwa ni kukilinda na kujibu mashambulizi tu?

Natamani vita iishe ili maisha ya raia wa Kongo yaendelee
 
Hatari sana, itafutwe suluhu, bila shaka kupigana pigana hakujaisaidia DRC, wakubali kujenga taifa kwa pamoja.
Nimekua pale Sudan Kusini na kushuhudia namna nchi imeboreka tangu walipokaa na kuyajenga.
Ikumbukwe hata kama hawa M23 wanapewa nguvu na Rwanda, lakini asilimia kubwa ni wazawa, wana urithi kwenye nchi hiyo na hamuwezi kuwaua wote, mtafukuzana maporini miaka nenda miaka rudi.
 
Hao waasi wakubaliwe kuingizwa jesheni... Nadhan tutatatua mgogoro kwa kiasi chake
 
Hatari sana, itafutwe suluhu, bila shaka kupigana pigana hakujaisaidia DRC, wakubali kujenga taifa kwa pamoja.
Nimekua pale Sudan Kusini na kushuhudia namna nchi imeboreka tangu walipokaa na kuyajenga.
Ikumbukwe hata kama hawa M23 wanapewa nguvu na Rwanda, lakini asilimia kubwa ni wazawa, wana urithi kwenye nchi hiyo na hamuwezi kuwaua wote, mtafukuzana maporini miaka nenda miaka rudi.
Kipindi cha mobutu waliishi namna gani?
 
Hatari sana, itafutwe suluhu, bila shaka kupigana pigana hakujaisaidia DRC, wakubali kujenga taifa kwa pamoja.
Nimekua pale Sudan Kusini na kushuhudia namna nchi imeboreka tangu walipokaa na kuyajenga.
Ikumbukwe hata kama hawa M23 wanapewa nguvu na Rwanda, lakini asilimia kubwa ni wazawa, wana urithi kwenye nchi hiyo na hamuwezi kuwaua wote, mtafukuzana maporini miaka nenda miaka rudi.
Tatizo wanaokichafua DRC sio wakongomani
 
Hebu niambie, hao unao waita Watusi ni wa Congo au sio waCongo?
Watutsi wa Kongo au Banyamulenge ni Wakongomani kama alivyo Tishekedi kwa kuwakataa na kuwatenga ni ubaguzi wa hali ya juu.

Mimi ushauri wangu kwa Watutsi wa Kongo washirikiane na Moise Katumbi and the likes halafu waungane ili Katanga ijitenge na DRC kabla hawajafanyiwa mauaji ya Kimbari.
 
Hatari sana, itafutwe suluhu, bila shaka kupigana pigana hakujaisaidia DRC, wakubali kujenga taifa kwa pamoja.
Nimekua pale Sudan Kusini na kushuhudia namna nchi imeboreka tangu walipokaa na kuyajenga.
Ikumbukwe hata kama hawa M23 wanapewa nguvu na Rwanda, lakini asilimia kubwa ni wazawa, wana urithi kwenye nchi hiyo na hamuwezi kuwaua wote, mtafukuzana maporini miaka nenda miaka rudi.
Kwa Congo hapana. Kagame ndio tatizo hakuna solutions zaid ya kichapo
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari mji wa Sake uliopo km 23 magharibi mwa Goma ambai ni mji mkuu wa Kivu ya kaskazini, umeshambuliwa tena.

Ikumbukwe wiki iliyopita waliuzingira na kukaribia kuuteka lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya serikali na washirika wake.

Wakati huo huo msafara wa silaha mzito pamoja na mitambo ya maroketi ya kutungulua ndege kutoka Rwanda imeonekena ikielekea uwanja wa mapambano upande wa m23. Wachunguzi wa umoja wa mataifa umethinitisha kundi la m23 kutumia mitambo ya SAM(surface to Air Missiles)
Baada ya m23 kushambuliwa sana na ndege za serilali, Rwanda imelazimika kutoa mitambo hiyo ili kuwawezesha m23 kukabiliana na ndege ambazo zimekuwa zikiwapa wakati mgumu na kusababisha hasara kubwa kwa m23. SAM ni mitambo yenye rada ambayo ina uwezo mkubwa sana wa kutungua ndege za adui.

Hii ni ushahidi tosha kuwa Rwanda inahusika sana katika vita hii moja kwani hakuna kundi la waasi laweza kumiliki mitambo hiyo. Lakini pia ili.mitambo huyo ifike kivu lazima ifate barabara kutoka Rwanda kuingia uganda ndio ifike DRC

Wakati ambapo mji wa Sake uko mikononi mwa majeshi ya serikali, m23 wanasenekena wako upande wa milima inayouzunguka.

Wakongomani wasubiri kwa hamu kusikia majeshi ya serikali na washirika wake wanakomboa maeneo yote yanayoshikiliwa na waasi kama sasha,kiwanja,Kitchanga, Rutshuru,Rubaya pamoja na Bunagana ngome kuu ya m23.

Ni jambo linalowezekana ila linahitaji uwekezaji mkubwa wa nguvu na teknolojia ya kisasa ya zana za mapigano kwani Rwanda na Uganda wameingia vitani upabde waasi wazimawazima bila kubakisha kitu nyuma.

Maswali kadhaa ya kujiuliza.
1. Inakuwaje adui anaingiza nchini kwako zana za kisasa bila kupata wakati mgumu na hasara? Wapi intelijensia ya nchi?

2. Kwa nini majeshi ya serikali na washirika wake hayateki maeneo ya waasi badala yake nguvu kubwa ni kukilinda na kujibu mashambulizi tu?

Natamani vita iishe ili maisha ya raia wa Kongo yaendelee
Drc yupo vitani na Rwanda na sio waasi wa ndani
 
Watutsi wa Kongo au Banyamulenge ni Wakongomani kama alivyo Tishekedi kwa kuwakataa na kuwatenga ni ubaguzi wa hali ya juu.

Mimi ushauri wangu kwa Watutsi wa Kongo washirikiane na Moise Katumbi and the likes halafu waungane ili Katanga ijitenge na DRC kabla hawajafanyiwa mauaji ya Kimbari.
kuwa mkongoman wakati upo royal kwa rwanda huo ni upimbi pia
 
20240215_224346.jpg
askari wa Pk wanaenda kweli
 
kuwa mkongoman wakati upo royal kwa rwanda huo ni upimbi pia
Unamaanisha nini Royal? pili uwe unasoma HISTORIA👈 ya Jamii za Kiafrika kabla ya Mfalme Leopold kujitwalia hilo eneo na kuliita Congo Free State Wafalme wa Kitutsi wa Rwanda walikuwa wakilitawa eneo hilo naongelea eneo la Kivu.
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari mji wa Sake uliopo km 23 magharibi mwa Goma ambai ni mji mkuu wa Kivu ya kaskazini, umeshambuliwa tena.

Ikumbukwe wiki iliyopita waliuzingira na kukaribia kuuteka lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya serikali na washirika wake.

Wakati huo huo msafara wa silaha mzito pamoja na mitambo ya maroketi ya kutungulua ndege kutoka Rwanda imeonekena ikielekea uwanja wa mapambano upande wa m23. Wachunguzi wa umoja wa mataifa umethinitisha kundi la m23 kutumia mitambo ya SAM(surface to Air Missiles)
Baada ya m23 kushambuliwa sana na ndege za serilali, Rwanda imelazimika kutoa mitambo hiyo ili kuwawezesha m23 kukabiliana na ndege ambazo zimekuwa zikiwapa wakati mgumu na kusababisha hasara kubwa kwa m23. SAM ni mitambo yenye rada ambayo ina uwezo mkubwa sana wa kutungua ndege za adui.

Hii ni ushahidi tosha kuwa Rwanda inahusika sana katika vita hii moja kwani hakuna kundi la waasi laweza kumiliki mitambo hiyo. Lakini pia ili.mitambo huyo ifike kivu lazima ifate barabara kutoka Rwanda kuingia uganda ndio ifike DRC

Wakati ambapo mji wa Sake uko mikononi mwa majeshi ya serikali, m23 wanasenekena wako upande wa milima inayouzunguka.

Wakongomani wasubiri kwa hamu kusikia majeshi ya serikali na washirika wake wanakomboa maeneo yote yanayoshikiliwa na waasi kama sasha,kiwanja,Kitchanga, Rutshuru,Rubaya pamoja na Bunagana ngome kuu ya m23.

Ni jambo linalowezekana ila linahitaji uwekezaji mkubwa wa nguvu na teknolojia ya kisasa ya zana za mapigano kwani Rwanda na Uganda wameingia vitani upabde waasi wazimawazima bila kubakisha kitu nyuma.

Maswali kadhaa ya kujiuliza.
1. Inakuwaje adui anaingiza nchini kwako zana za kisasa bila kupata wakati mgumu na hasara? Wapi intelijensia ya nchi?

2. Kwa nini majeshi ya serikali na washirika wake hayateki maeneo ya waasi badala yake nguvu kubwa ni kukilinda na kujibu mashambulizi tu?

Natamani vita iishe ili maisha ya raia wa Kongo yaendelee
Rwanda inajifanya yenyewe ndiyo Iran ya East Africa na Maziwa Makuu.
 
Back
Top Bottom