Uropokaji huu wa Membe utaibua upya mzozo wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Tanzania

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,214
2,000
Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.

Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Taarifa zinazohusiana

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC

Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.

Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.

Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda.

Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.

membe.jpg
Waziri Membe akiropoka bungeni
Source: BBC
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,847
2,000
Mtoa mada umekurupuka! UN ndiyo ya kwanza na mpaka report ilitolewa, marekani ikaionya Rwanda, hata Obama alipokuja mwandishi wa habari wa Congo Silaji Kalyango alimuuliza Obama anachukua hatua gani waasi na kundi la Rwanda kuivamia Congo kubaka wanawake na mauaji. Obama akaahidi hatua kuchukuliwa maana Kagame Alisha onywa.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292

View attachment 160985
Waziri Membe akiropoka bungeni
Source: BBC

Mbona husemi pia kuwa kasema hayo si maneno yake, hiyo ni kutoka kwenye report ya Wataalam wa Umoja wa Mataifa walioipeleka AU na kila nchi ya AU wamepelekewa hiyo ripoti?

Na ripoti kaionesha na kasema anaipeleka kwa spika wa bunge kama ushahidi wa maneno yake, na pia amesema Wenje na yeye aende na ushahidi kwa aliyoyasema kuwa ni uongo na yeye ataachia ngazi na yeye akipeleka ripoti ya ushahidi wa maneno yake basi Wenje aachie ngazi.

Mbona Wenje kakaa kimya na hakuchukuwa hiyo challenge?
 
kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
8,837
2,000
mtoa mada umevurugwa na hujitambui! Kwanza umequote taarifa ya bbc ukaichakachua na kuongeza vyako kama hapo chn ulipoandka 'Membe akiropoka bungeni'.
Hata hivyo membe yuko sahihi ukweli lazma usemwe kwani Rwanda kitu gan kama hawatak kuskia ukwel wa maovu wafanyayo kwa jiran zao wazbe maskio!
 
TabletFellow

JF-Expert Member
May 17, 2011
922
0
Mbona husemi pia kuwa kasema hayo si maneno yake, hiyo ni kutoka kwenye report ya Wataalam wa Umoja wa Mataifa walioipeleka AU na kila nchi ya AU wamepelekewa hiyo ripoti?

Na ripoti kaionesha na kasema anaipeleka kwa spika wa bunge kama ushahidi wa maneno yake, na pia amesema Wenje na yeye aende na ushahidi kwa aliyoyasema kuwa ni uongo na yeye ataachia ngazi na yeye akipeleka ripoti ya ushahidi wa maneno yake basi Wenje aachie ngazi.

Mbona Wenje kaa na hakuchukuwa hiyo challenge?
Bi mkora, kuna watu humu ukiwasoma unapoteza muda... tpaul is one of them
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,785
2,000
Mtoa mada umekurupuka! UN ndiyo ya kwanza na mpaka report ilitolewa, marekani ikaionya Rwanda, hata Obama alipokuja mwandishi wa habari wa Congo Silaji Kalyango alimuuliza Obama anachukua hatua gani waasi na kundi la Rwanda kuivamia Congo kubaka wanawake na mauaji. Obama akaahidi hatua kuchukuliwa maana Kagame Alisha onywa.
Hii ishu Cdm imeshawatokea puani,hadi Human right Watch wameshawahi kutoa report kuthibitisha hilo,huu ndo ubaya wa wachumia njaa kusimamia sana chama badala ya Taifa
 
Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,202
2,000
Mtoa mada ndio kati ya mnaotudharirisha kwamba wa africa tuna IQ ndogo! Membe amequote report ya UN ambayo ni jopo la wataalamu ndio lili research na kuiandika. Kabishane na UN,sio Membe. Ni u pompompo wa highest degree ulioandika.
 
Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
225
Ninachoweza kusema ni Kimoja tu, Membe ni kiongozi mwenye kusema anachokiamini na kukijua, Kwa Membe "JIWE NI JIWE" huwa hawezi kugeuza,,,,,!!! KIONGOZI LAZIMA AWE HIVYO...!!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,297
2,000
Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.

Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Taarifa zinazohusiana

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC

Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.

Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.

Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda.

Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.

View attachment 160985
Waziri Membe akiropoka bungeni
Source: BBC
Sasa hapo nani karopoka UN au Membe?
 
Jun 5, 2013
36
0
Membe tupe hiyo ripoti ya UN inayosema m23 ni raia wa Rwanda, vinginevyo hizi ni propaganda sijui zinalenga kumfurahisha nani na ili iweje?

Hebu nielezeni nielewe; kwanini mnaitetea Rwanda, hivi inahitaji digrii kuelewa M23 ni wa-Nyarwanda? Hili ni kundi linaloungwa mkono na Rwanda kwa ajili ya maslahi ya Rwanda. Chuki yote ya Kagame dhidi ya Tanzania ni kutokana na Tanzania kupeleka majeshi Congo na kutoa kichapo kwa M23.
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000
Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.

Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Taarifa zinazohusiana

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC

Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.

Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.

Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda.

Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.

View attachment 160985
Waziri Membe akiropoka bungeni
Source: BBC
...unatakiwa upate "BAN" kwa kuingiza maneno yenye kupotosha taarifa ya BBC (kwenye nyekunduku), "ulitakiwa kusema una NUKUU (QUOTE), na kuonyesha mwisho wa KUNUKULIA, ndiyo uongeze maneno ya kwako... akiropoka"

"mwanzo nilifikiri bbc ndiyo walioandika neno 'akiropoka', !kumbe umeogeza chumvi...!"

....nilichokisoma kwenye tovuti ya bbc... ;

"nanukuu"

Tanzania yasema M23 walitoka Rwanda

27 Mei, 2014 - Saa 16:05 GMTWaasi wa M23

Tanzania kwa mara ya Kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23 walitokea nchini Rwanda.
Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC

Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.
Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.
Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya Umoja wa Mataifa.
Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda wao.
Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.

"mwisho wa kunukuu"
 
SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
195
Watanzania tuwe na utaratibu wa kusoma na kufikiria kwanza kabla hqgujaandika. Kuna kitu kinaitwa UN group of expert report- DRC ya 2012 hadi 14 zinasema hivyo. Ukigoogle utazipata free. Someni kwanza kabla hamja comment. Kwa kifupi M23 ni Wanyarwanda na wamekuwa wakisaidiwa na Rwanda. Membe mtamuonea bure.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom