Hansard
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 842
- 247
Everybody knows kwamba wale ni wanyarwanda swali la msingi:kulikuwa na haja ya kutaja jana bungeni kwamba m23 ni wanyarwanda?
Wenje ndio kaanzisha hiyo habari ya M23
Everybody knows kwamba wale ni wanyarwanda swali la msingi:kulikuwa na haja ya kutaja jana bungeni kwamba m23 ni wanyarwanda?
Hapa sasa naona kwa mbaaaaali vita kamili vya nchi na nchi na ukizingatia ile mikwara ya juzi kati kwenye sherehe za Muungano!. Nahisi kitu.
We mla chapati hujitambui kabisa hakuna haja ya kuongea uongo wote huu membe alichokisema kipo kwenye maandishi ya UN wewe hujui kinachoendelea duniani.Hawa watu wanaotumia carolite kung'arisha nyuso zao (Membe, Nape, na wengineo) ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni wazi kabisa kuwa watu wa kama hawa uwezo wao wa kufikiri una utata mkubwa
We mla chapati hujitambui kabisa hakuna haja ya kuongea uongo wote huu membe alichokisema kipo kwenye maandishi ya UN wewe hujui kinachoendelea duniani.
Ni kweli lakin sisi inatuhusu nn? Kulikuwa na haja ya kuongelea mambo ya rwanda wakati wanajua uhusiano wetu na nchi hiyo umeshatetereka?sioni tatizo... Membe amequote report ya UN, sasa sijui kusoma kitu na kukirejea ni kuropoka au vipi
You know nothing about Americans attitude toward Rwanda, They are much closer than you think!You can't separate France from the DRC conflict too!!
Hicho "kitu" kimeachunguzwa na kuripotiwa na an organisation ambayo kwa asilimia kubwa inaongozwa na Western nations ambazo kuanzia historia ilivyoanza wamekua na ajenda za kuikandamiza na kuitumia Afrika kwa maslahi na faida zao kwanza.sioni tatizo... Membe amequote report ya UN, sasa sijui kusoma kitu na kukirejea ni kuropoka au vipi
Embu tumia akili kidogo.Whats your point here?we just talk about UN report concern DRC and not mutual friendship between individual countries
Everybody knows kwamba
wale ni wanyarwanda swali la msingi:kulikuwa na haja ya kutaja jana
bungeni kwamba m23 ni wanyarwanda?
Embu tumia akili kidogo.
Hicho "kitu" kimeachunguzwa na kuripotiwa na an organisation ambayo kwa asilimia kubwa inaongozwa na Western nations ambazo kuanzia historia ilivyoanza wamekua na ajenda za kuikandamiza na kuitumia Afrika kwa maslahi na faida zao kwanza.
Hivyo basi kwa kiongozi yeyote mwenye upeo kidogo, sio busara wala akili kuendelea kutumika na Western nations na organisations zao under the pretense of liberation ili kuendeleza agenda zao.
Ina shangaza sana jinsi wazungu walivyoweza kutukamata kuanzia enzi za utumwa. Ni viongozi wetu walikua wanatuuza na leo hii hata baada ya miaka 200 ya mafunzo bado tuna viongozi "wasomi" ambao hutumika na Westerners bila kufikiria umbali wa zaidi ya pua zao na wanaendelea "kutuuza" kwa kutumika na ngozi nyeupe.
Hata kama ni kweli M23 ni wa Rwanda, je kwa kupayuka kitu kama hicho hadharani kunaweka wapi mahusiano yetu na majirani zetu na ndugu zetu? Au that doesn't matter as long as tunawafurahisha mabwana zetu wa ulaya?
Palikua na haja gani ya kutamka wazi ya kwamba uhusiano wetu na Rwanda si shwari? Hawa politicians hawajajifunza unafiki wa wazungu kwenye maswala ya international relations kweli? Mzungu ana shake hands na kukumbatiana na Saddam na Gaddafi in less than 5 years anakuja kumuua kisa sio kibaraka wake tena.
Ikitokea vita hapa kati yetu na wa Rwanda ni nani watakao ummia zaidi? Sisi na wa Rwanda au wa Marekani na wenzake waliofanya hio "research" na kutuma vibaraka wao kutangaza!!
Wa Afrika tuna laana, kwa kweli!
Membe na uongozi uliokutuma ni WAJINGA NA WAPUMBAVU!! Put African interests first, fikirieni kwa vichwa vyenu na sio makalio!!
Mzungu hatamki kitu bila kufikiria impact yake miaka 50 ijayo, ni kwanini hatujajifunza hilo. Mnafikiri kweli huyo UN ana uchungu hivyo na hizo ngozi nyeusi huko mpaka atoe ripoti kama hiyo na ampe kibaraka atangaze!!??
Kuna kitu mzungu anataka na utashngaa vita vikianza risasi anazotumia mrwanda ndio hizo hizo anatumia mbongo, na wakati sisi tunauana jamaa anachukua uranium, oil, na gas kiulaiiini!! Na viongozi wa jeshi kupewa vimsaada. Yani tactics za miaka ya 1650 mpaka leo ni hizo hizo.
Mijitu myeusi ni mijingi, tufanye igombane kwa kututukuza halafu tuichukulie mali zao! Independent thinking ya Kagame ni kikwazo kikubwa sana kwa western countries na watafanya kila hila kumwondoa!
Huwa nachoka kabisa mimi Nyamgluu!! Arrghhhh!
tanzania kwa mara ya kwanza imesema inayo uhakika kuwa waasi wa m23 walioondolewa nchini jamuhuri ya kongo ni ni raia rwanda.waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo benard membe ameliambia bunge la tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi m23 walitokea nchini rwanda.
Hii ni mara kwanza kwa tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa rwanda.
Taarifa zinazohusiana
tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimepeleka majeshi jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo ambayo kwa kushirikiana na yale ya umoja wa mataifa yaliwaondoa waasi hao drc
benard membe waziri wa mambo ya nje wa tanzania
matamshi hayo ya waziri huyo aliyatoa wakati alipokuwa akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake ambapo pia alikiri kuwa bado uhusiano wa tanzania na rwanda sio mzuri.
Hata hivyo upande wa upinzani mlishambulia waziri huyo wa mambo ya nje benard membe wakidai kwamba waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa watanzania na rwanda kwa kuhisi kuwa m23 ni wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.
Mbali na tuhuma hizo waziri membe alizidi kusisitiza kuwa waasi wa m23 ni raia wa rwanda akisema hiyo ni ripoti ya umoja wa mataifa.
Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri membe kuwa waasi wa m23 ni raia wa rwanda.
Matamshi haya waziri wa tanzania kuhusu m23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa tanzania na rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.
View attachment 160985
waziri membe akiropoka bungeni
source: Bbc
Mbona husemi pia kuwa kasema hayo si maneno yake, hiyo ni kutoka kwenye report ya Wataalam wa Umoja wa Mataifa walioipeleka AU na kila nchi ya AU wamepelekewa hiyo ripoti?
Na ripoti kaionesha na kasema anaipeleka kwa spika wa bunge kama ushahidi wa maneno yake, na pia amesema Wenje na yeye aende na ushahidi kwa aliyoyasema kuwa ni uongo na yeye ataachia ngazi na yeye akipeleka ripoti ya ushahidi wa maneno yake basi Wenje aachie ngazi.
Mbona Wenje kaa na hakuchukuwa hiyo challenge?
Kwahio kwa akili yako na kusoma kwako historia una amini hao CIA wana uchungu zaidi ya hao wa Africa wanaouliwa huko DRC kuliko viongozi wa Ki Africa wenyewe. Hehehe!Niliwahi kuandika hapa juu ya maovu ya ndugu Kagame, ni mvivu pekee wa kusoma ambaye hatoamini kua M23 walnafadhiliwa na Kagame na kaka yake Museven, CIA ambao ndo walijifanya waandishi wa habari walilifanya hili kwa ustadi mkubwa sana na baadhi ya mawasiliano ya Kagame na viongozi wa M23 ylinaswa muda mrefu na vikao vya Kagame na ndugu zake vingi vilifanyika Gisenyi nyakati za usiku au katika wilaya ya Nyagatare ndo walifanyia vikao vyao.