Urgent!...ushauri unahitajika kuninusuru

Urgent!...ushauri unahitajika kuninusuru

kwa nini unamtafutia better half to be body guard?mapenzi ni kujiaminisha wewe na yeye tu.
 
dogo piga shule ww mambo ya mapenz na shule c ishu utaliwa kichwa
 
mie npo mwaka wa pili sasa manake mwaka 2014 naua bendi kaka wala cyo kwamba ndo naanza ila yote kumi mjomba dem mkali na ananipa nisichonacho....kwa wengine cwez kaka maana niliaswa kaumpenda mmoja!

Mussa hebu piga buku kwanza huyo dada anaweza kuja kukufanya ulie bila machozi kutoka asee... usiwe mbulula kiivo chali yangu....
 
Back
Top Bottom