Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu kimoja chini marekani(online) vilevile akawa ameomba tena kuwekwa kwenye mpango wa masomo.
Akabahatika kupata full funded scholarship na anaendelea na masomo online.Mwaka huu amepata barua ya kukubaliwa kuwekwa kwenye mpango, hivyo akaona afanye application baada ya dirisha la udahili wa vyuo vikuu kufunguliwa.
Katika selection hii amebahatika kuchaguliwa vyuo vikuu viwili.AMUCTa -Shahada ya elimu maalum na SUA Bachelor of science with education (Geo&Math).
Yupo njia Panda achukue kozi ipi kati ya hizi mbili? Vilevile anahitaji kujua kama hiyo Science ya elimu ataweza kuimudu andapo akiichuku hali ya kuwa hajapitia(hajasoma kabisa) advance. Lakini O level ana A ya maths na C ya Geo.
Note:Kozi ya online hajapenda kuiacha na ni B.B.A . Lakini Kama Kuna maoni nini afanye,anayapokea
Msaidieni Ushauri ndugu yetu.